MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU NI JINSI GANI SADAKA INAVYOWEZA KUSHIKA MAISHA YAKO YA BAADAE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ค. 2023
  • USHUHUDA HUU WA MWLIMU MWAKASEGE NI SEHEMU YA SOMO LENYE KICHWA KINACHOSEMA "HASARA NA HATARI ZA KUTOUTHAMINI WOKOVU" ALILOFUNDISHA KAHAMA, MWAKA 2023 SEMINA SIKU YA PILI.

ความคิดเห็น • 80

  • @user-gu4fe4zv1e
    @user-gu4fe4zv1e 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu wetu anasikia Kila unalo omba kwa uaminifu , Nina muomba MUNGU atujarie sisi wasichana ambao hatujaolewa tuwe na maamuzi sahihi ameen 🙏

  • @SimonLukindo-qm8ql
    @SimonLukindo-qm8ql ปีที่แล้ว +6

    Napenda sana kuwa pamoja na mwalimu ananifundisha sana nampenda sana ananipeleka nitakiwapo

  • @GodfreyAllan-yv3pk
    @GodfreyAllan-yv3pk ปีที่แล้ว +8

    Umenigusa Mtumishi wa Mungu... Umenikumbusha mbali,,,, UBARIKIWE

  • @user-vi9xn5ui9g
    @user-vi9xn5ui9g 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli mtumishi wa MUNGU unatufundishaga neno la MUNGU kwa namna ambavyo mimi naeza nikasema huwa unaonanaga na MUNGU ANA KWA ANA asante sana MUNGU anisaidie nizidi kuwa na ufahamu!

  • @rhodanilsson9627
    @rhodanilsson9627 ปีที่แล้ว +19

    Hii neno linanitafarisha sana . Asante Yesu mama ya mtumishi alitoa sadaka kwa Mungu aliye hai. Nawaza tu kwa sauti haya maisha na sadaka zilizotolewa sehemu mbalimbali tusizozijua na kushika maisha yetu.

    • @nyamburafrank9782
      @nyamburafrank9782 ปีที่แล้ว

      Ndiyo kabisa mkuu

    • @ibrahimsokoine
      @ibrahimsokoine ปีที่แล้ว

      Mungu akupe maisha marefu huduma hii inanifugua akili namna ya kumtumikia Mungu.

  • @user-uz3po4gr6n
    @user-uz3po4gr6n 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli Mungu yupo, Amen mtumish

  • @alexrichboy93
    @alexrichboy93 ปีที่แล้ว +6

    MTUMISHI WA MUNGU, ni ombi langu, Mungu afanye mlango na kufungua kibali juu ya mkoa mpya wa Songwe (Mlowo) Tupate neema hii.
    Tunakukaribisha sana Mtumishi wa Mungu. Na Mungu akuwezeshe na kukubariki.

  • @veronicamwaseba7839
    @veronicamwaseba7839 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja Baba. Naomba sana Mwenyezi Mungu atufungue ktk vifungo mbalimbali tulivyofungwa bila sisi kujua.

  • @cominathamchomvu2206
    @cominathamchomvu2206 ปีที่แล้ว +3

    Ee Mungu nisaidie na mm nahitaj kuwa miongon mwa watu wakoo nabarikiwaa saana na mwakasegeee Mungu akubarik saanaa

  • @olivaerasto372
    @olivaerasto372 ปีที่แล้ว +36

    Mungu atusaidie.wakati mwingine tunapitia maisha magumu kupita kiasi. kumbe ni sadaka zilizotolewa upande wa pili.Mungu nakuomba unisaidie na ufungue akili yangu na ufamu wangu nikujue njinsi ulivyo na nikutafute kwa akili yangu yote na ufahamu wangu pia na nguvu zangu.fungua macho yangu ya kiloho ili nijue kinachoendelea katika maisha yangu katika ulimwengu wa kiloho.

  • @user-ny5gc3fg8d
    @user-ny5gc3fg8d 3 วันที่ผ่านมา

    Amen, UTUKUFU KWA YESU KRISTO❤

  • @ElifurahaMinja-hp2hy
    @ElifurahaMinja-hp2hy 11 หลายเดือนก่อน +3

    mungu wetu ni mwaminifu sanaa... anatuwazia yaliyomema kila siku

  • @erickykiwango4012
    @erickykiwango4012 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi WA MUNGU nimaombi yangu mbele za bwana juu ya mahusiano yangu na mtu nlioko nae ni miaka 2 Sasa tumepiga hatua Sasa imefika mahali s week 2 zimepita anasema hawezi kuondelea tena katolewa sadaka za kishirikina na MUNGU kaninisistiza kutoa sadaka kwa ajili yakurudisha fikra na fahamu zake tena maana upendo umeisha ghafla

  • @agapenyigo9798
    @agapenyigo9798 10 หลายเดือนก่อน +5

    Daaa mm nampenda sanaaa huyu mzee yaan mafundisho yake yanaaa maanaaa

  • @priscamussa4672
    @priscamussa4672 5 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeh Mungu katika ulimwengu huu wa mwili na roho naomba ukanitendee ukanionyeshe mambo makubwa na magum nisio yajua😢 tunaishi dunia ambayo watu wa karibu ndio wanao tuuwa kwakua wanatufahamu kiundani roho mtaka tifu uniongoze unioneshe yote yanayo kuja mbele yangu

  • @EsterMathayo
    @EsterMathayo หลายเดือนก่อน

    Amina sana na barikiwa sana na neno la mungu mungu azidi kutupa ufahamu

  • @mohamedimembe834
    @mohamedimembe834 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni MUNGU mwenye Nguvu

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh man of God ❤

  • @Julesbahatip3
    @Julesbahatip3 4 หลายเดือนก่อน +2

    Merci Sana.

  • @jescatebuye2287
    @jescatebuye2287 ปีที่แล้ว +3

    Umebarikiwa na Mungu mtumishi Mungu aendelee kukuweka ili utufundishe.najiskia kubarikiwa ninaposikia mafundisho

  • @maryamm7254
    @maryamm7254 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe mama mtumishi na mwalimu

  • @fredyJoseph-pb7og
    @fredyJoseph-pb7og หลายเดือนก่อน

    Amina ..tulishe kondoo wako tunaangamia kwakukosa maarifa na hekima ya kimungu ndani yetu ituinue tusikie yale anayotaka tusikie na tuone anachotaka tuone na kunena anachotaka tunene kwa jinsi aonavyo yeye inafaa.

  • @InesYohana
    @InesYohana หลายเดือนก่อน

    Barikiwa baba mungu akutunze

  • @FarajaMbigi-zs9ed
    @FarajaMbigi-zs9ed หลายเดือนก่อน

    barikiwa baba christopher

  • @eliasbelthandiyooooo6119
    @eliasbelthandiyooooo6119 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe umri mlefu

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj ปีที่แล้ว +1

    Aisee!
    Mungu nisaidie sana kujua kweli yako.

  • @angelamdee9319
    @angelamdee9319 ปีที่แล้ว +7

    Haleluuuuuuuya!!! Asante YESU kwa ajili ya mama

    • @matildachuhila1321
      @matildachuhila1321 ปีที่แล้ว

      Kumbe Mtumishi mkubwa namna hii alizaliwa na mama ambaye angeweza kuwa Sista!!Nampenda Mungu kwa sababu huwa hasahau Agano analofanya nasi.Abarikiwe yule mama kwa kitimiza Agano alilofanya na Mungu.Tazama sasa kila mtu amchaye Bwana anachota hekima hii kubwa Asante Yesu

  • @ReginaSanga-uo7yo
    @ReginaSanga-uo7yo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu kwajili ta mama

  • @NdageDacosta-uy4ir
    @NdageDacosta-uy4ir ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wetu baba wa taifa yupo vizuri

  • @daudlusaganya5324
    @daudlusaganya5324 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ushikae agano nisaidie na mimi

  • @erickmkandara8245
    @erickmkandara8245 ปีที่แล้ว +3

    Mungu unapodhuru wengine usinipite na famiria yangu

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว +2

    Uso wako uende nami YESU 🙏 nawe utanipa Raha 🌹

  • @ShedrackabelpetroShedrackabelp
    @ShedrackabelpetroShedrackabelp 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว +3

    Aaah ama hakika Mungu yupo

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mwalimu nakuelewa sanaaa🙏🙏naninakufurahia

  • @esteryohan290
    @esteryohan290 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa 🙏🙏

  • @StephanoMollel-eu2dp
    @StephanoMollel-eu2dp 2 หลายเดือนก่อน

    Hakiki Mungu aturehemu na wazazi wetu waliotuunganisha na sadaka tusizojua

  • @petersimeone6621
    @petersimeone6621 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi

  • @PascalMuga-zk7bm
    @PascalMuga-zk7bm 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen🎉

  • @kibwanambelwa8352
    @kibwanambelwa8352 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @maryamm7254
    @maryamm7254 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU mwenye nguvu libarikiwe Jina lako

  • @EmmaSwai-uv1fh
    @EmmaSwai-uv1fh 24 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu naomba nieleweshe nini maana ya Fungu la kumi

  • @elishaanyosisye4078
    @elishaanyosisye4078 ปีที่แล้ว +3

    nguvu ya agano nakuelewa mtu wa Mungu

  • @DenisRaphael-un3yq
    @DenisRaphael-un3yq 19 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏

  • @user-ky2bq1sf8w
    @user-ky2bq1sf8w 5 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏

    • @rosedohho8971
      @rosedohho8971 3 หลายเดือนก่อน

      Emungu hakuna kama wewe

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba

  • @claudiajosephmselle5091
    @claudiajosephmselle5091 ปีที่แล้ว +1

    Aleluyaaaa

  • @user-bt5mu4gz4u
    @user-bt5mu4gz4u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eee MUNGU utusikiye tunapo kuomba na sadaka tunazo toa kanisani hata kwawenzetu ambao ni wandugu na marafiki zikubaliwe na wewe mwenye uwezo.

  • @EzekielPaulo-pm9wy
    @EzekielPaulo-pm9wy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Baba

  • @JacklineMwakyange
    @JacklineMwakyange ปีที่แล้ว +2

    Amina ubarikiwe sana mtumishi ni neno lenye ujumbe mkubwa sana katika maisha yangu Mungu anisaidie

  • @emmanuelkalangwa-fc3iz
    @emmanuelkalangwa-fc3iz 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi wa MUNGU,, BWANA akuongezee miaka ya uzima na amani taifa bado linakuhitaji sana

  • @rebekahMarco
    @rebekahMarco ปีที่แล้ว +2

    Amen sana mtumishi Mungu, asante Yesu kwa sadaka ya mama aliyoitoa kwa Mungu wetu aliyehai. Umekuwa msaada sana mwalimu mwakasege Mungu akupemaisha marefu. Tunabarikiwa na uwepo wako

  • @bigbrightentertainment9498
    @bigbrightentertainment9498 ปีที่แล้ว +3

    Kanisa LA Baba Mwakasege liko wap naomba msaada

    • @franklinjr996
      @franklinjr996 10 หลายเดือนก่อน

      ingia kwa page zao za instagram na facebook utapata info zaidi

    • @user-lg3ez7yh8c
      @user-lg3ez7yh8c 2 หลายเดือนก่อน

      Mwakasege hana kanisa ni Mwalimu WA neno la MUNGU Nchini kote

  • @magdalenemohamedi7061
    @magdalenemohamedi7061 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni nzuri lakini mtu akitolewa sadaka kwa miungu atateseka

    • @adelajoseph127
      @adelajoseph127 ปีที่แล้ว

      Amina baba

    • @SimonLukindo-qm8ql
      @SimonLukindo-qm8ql ปีที่แล้ว

      Nawapenda sana wanaoijua neno LA mwalimu barikiweni sana sana sana amen

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 ปีที่แล้ว +1

    MATENDO YANAZUNGUMZA 80%
    MANENO YANAZUNGUMZA 20%
    SASA HIVI MNAFANYA BIASHARA
    SIYO HUDUMA TENA, NDIO MAANA
    MNATEGEMEA SAYANSI ZAIDI KULIKO MUNGU, MNAMALIZA
    KAMA SAULI AU KAMA SAMSONI NA DELILA😭😭.

    • @producerflorizy2365
      @producerflorizy2365 ปีที่แล้ว +6

      tengeneza mahusiano yako binafsi na Mungu linda kunywa chako kwenye habari za watumishi wa Mungu hata kama wanakosea itakusaidia sana...

    • @miraclennko1147
      @miraclennko1147 ปีที่แล้ว

      Mungu nimwaminifu San nakupenda mwalimu shuuda zako Zina niinu

    • @adelajoseph127
      @adelajoseph127 ปีที่แล้ว

      Yani wewe mwokope Mungu ilapole.

    • @lightnessjulius7173
      @lightnessjulius7173 ปีที่แล้ว

      Kama ni rahisi fanya na wewe

    • @johnzacharia
      @johnzacharia ปีที่แล้ว

      Usiseme hivyo ndugu nihatari kwako kiroho Tena kwa mtumishi wa Mungu wa kweli Kama huyu tubu haraka maneno hayo uliyotamka hayatakuacha salama, heri uwe msikilizaji Sana kuliko kuwa msemaji, chunga ulimi wako

  • @user-pj1qx4sg7i
    @user-pj1qx4sg7i 27 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @urasaanold2851
    @urasaanold2851 ปีที่แล้ว +1

    🙏

  • @EmanuelCharles-jz6ut
    @EmanuelCharles-jz6ut 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @arcadetlwigulira3212
    @arcadetlwigulira3212 ปีที่แล้ว +1

    Amina