NIMESHUHUDIA WATU WENGI WAKIKATA ROHO |JELA IMENIHARIBIA MFUMO WOTE WA MAISHA YANGU|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

ความคิดเห็น • 9

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +3

    Hamfanikiwi kwasababu hamuwasiliani na wazazi wenu mara kwa mara ili mpake bless nyinyi mnajifanya masela kwa sana na ilo ndilo tatizo kubwa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว

    Yaani unaogopa kurudi kwenu kwasababu huna kitu,alafu unasema hujazoea wakati ulizaliwa huko huko na ulizaliwa huna kitu.... Hilo ni tatzo la afya ya akili. Pole sana

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

    pole Sanaa kaka Angu kwachangamoto🔥,hila Usikate Tamaha enderea kupambambana Uku Ukimshirikisha Mungu,Naamini Atokuacha🙏

  • @killerboi8756
    @killerboi8756 ปีที่แล้ว

    Be strong 💪

  • @didamanyanya4893
    @didamanyanya4893 2 ปีที่แล้ว +1

    Watatu hapa

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 ปีที่แล้ว +1

    Yupo chwiiiiiiiii

  • @eliaskasambala3408
    @eliaskasambala3408 ปีที่แล้ว

    presenter ajui kuoji

  • @jumahalifa6436
    @jumahalifa6436 ปีที่แล้ว

    Jamaa hajui kujielezea kazi nikucheka

  • @user-yp5mm2pg5s
    @user-yp5mm2pg5s 2 ปีที่แล้ว +1

    𝐖𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐧𝐣𝐨𝐨𝐧 𝐮𝐤𝐮