ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Yani umenena mambo mazuri sana ww ndio unafaa wakilishi wakuige na Allah atakulipa kwa ujumbe huo ishallah
siyo kinya sini tu kachara wapemba wote dowanavo fanyiwa👏👏👏👏👏👏mana wana sema pemba mali na Zanzibar mbali
Kichwa cha mpumbavu😁😄🔥🔥🤸🤸🇹🇿🇹🇿🤙
Tusaidizane kushea ili huu ujumbe uwafikie wahusika ishallah
Big up
dhu! kachara bwanaaa ....ujumbe umefika kaka.
Kachara upon vzri Fanya utoe move pamoja na mau mpemba
Good sana kachara ujumbe umetosha naumefika
Dugh noma
Shekh khamis kokoko unafurahisha asante Sana Kwa kazi mzuri 💯💯
Dah!! Kachara umewapiga fumbo zuuri hao wahusika.😂😂😂
Kake kachara uyo kijana ana kipaji kikubwa mpe uzoef zaid na zaid
ujumbe nimeupenda
Ukateni kama muwanaume
Safi sana lahaja kiwango kaka kutoka konde mimi ni Handhal Talib Handhal.
Kata mikono yao kachara yao kachara Hao Serikali hio ni ya kidhaalim
Kachara ww noma duuh
Asee nan anaichek kma mm0
Kachara
Big up Ami kachara
Message sent
Kichwa Cha mpumbavu
Bro keep it up
Asante kachara na shekh khamis kokoko mana fundisho limekubalika Zawa watafaham 👊💯
Wapemba wenzangu munanifirahisha
Kachara umenena
hahahahaha kachara
Na kwetu wingwi kinazin majishida
ha ha ha! baa, baa, usifanye vita
Zawa oyee
Hhhhhhhh nakuliza Kake kachara kwani muheshimiwa polepole hakufika taifu au maneno yake yaliishia hewanii .poleni san watu wa taifu na kinyasini kwa kukosa kitu muhimu san maishan mwenu
Hahahaha kachara ucjeuwa
Yaan haya maji ulipe wakat hata kwako hayatoki ni shida
zawa mjipange hahahaha
Hhhhhhhh kake kachara hutaki goya
Hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaha
Ujumbe umefika
Asante kachara
Plz usitie misiki, tafadhalini, tena tafadhalini haswaa
Maji kinyasini ya tele yatoka usiku mchana Alhamdulillahi
Sikweli kinyasini mji hamna miaka na miaka
Wape kachara wamezoeya kupelekea watu bili atakama pahali hakuna maji muwajibike zawa kunasehemu maji nihistoria 2 na munajuwa why
😂😂😂
Ukateni
Yani umenena mambo mazuri sana ww ndio unafaa wakilishi wakuige na Allah atakulipa kwa ujumbe huo ishallah
siyo kinya sini tu kachara
wapemba wote dowanavo fanyiwa
👏👏👏👏👏👏
mana wana sema pemba mali na Zanzibar mbali
Kichwa cha mpumbavu😁😄🔥🔥🤸🤸🇹🇿🇹🇿🤙
Tusaidizane kushea ili huu ujumbe uwafikie wahusika ishallah
Big up
dhu! kachara bwanaaa ....ujumbe umefika kaka.
Kachara upon vzri Fanya utoe move pamoja na mau mpemba
Good sana kachara ujumbe umetosha naumefika
Dugh noma
Shekh khamis kokoko unafurahisha asante Sana Kwa kazi mzuri 💯💯
Dah!! Kachara umewapiga fumbo zuuri hao wahusika.😂😂😂
Kake kachara uyo kijana ana kipaji kikubwa mpe uzoef zaid na zaid
ujumbe nimeupenda
Ukateni kama muwanaume
Safi sana lahaja kiwango kaka kutoka konde mimi ni Handhal Talib Handhal.
Kata mikono yao kachara yao kachara Hao
Serikali hio ni ya kidhaalim