NI UCHAWI NA KUABUDIA MAJINI KILICHOPO MISIKITINI NA MAKANISANI KWA SASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Video from Nabil Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 17

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 3 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu yako bado sana ulishauriwa na jopo la Mashekh ukasome, we unahangaika na kubwabwaja

  • @NkunzimanaKevin-ck7lv
    @NkunzimanaKevin-ck7lv 3 หลายเดือนก่อน

    Nabii unaongea ukweli. Ila mbona hujibu ku Whatsapp?

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kupotosha watu kama ulivyopotea wewe

  • @santinoplacid7571
    @santinoplacid7571 2 หลายเดือนก่อน

    huyu bwana ana kitu asikilizwe

  • @andrewnyenza
    @andrewnyenza 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
    Tuijue kweli nayo itatuweka huru

  • @NkunzimanaKevin-ck7lv
    @NkunzimanaKevin-ck7lv 3 หลายเดือนก่อน

    Kingine kwa nini siku hizi hakuna miujiza ya watu wa kweli?

  • @salumuselemani-km2ee
    @salumuselemani-km2ee 3 หลายเดือนก่อน

    We jamaa acha kufuru,

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 3 หลายเดือนก่อน

    Masahihisho dakika ya 2:55 hiyo ayah inasema kuja kwake Yani kurudi sio kuzaliwa, ni dalili ya kiama

  • @patrickmsangi5864
    @patrickmsangi5864 3 หลายเดือนก่อน

    Ongelea kitu na uwe na ufunuo nacho. Sio kudokoa na kuacha

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ni injili original

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 3 หลายเดือนก่อน

    Tumekuchoka😮

  • @patrickmsangi5864
    @patrickmsangi5864 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongelea kuhusu nguvu ya wachungaji au dua ama mapango wa Mungu kwa kujitwalie cheo kwa jina la Kristo? Mtumishi, ongea kitu basi. Kusema Kristo alikuja kwa ajili ya kiti cha daudi soma Warumi pale 1:1-3.

    • @HekimaSalama
      @HekimaSalama 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ndo injili original

    • @HekimaSalama
      @HekimaSalama 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unapo kuwa na wito wa kufanya kali ya mungu ni lazima uyatoe maisha yako kwaajili ya wengine so kuzingatia maokoto

    • @patrickmsangi5864
      @patrickmsangi5864 3 หลายเดือนก่อน

      @@HekimaSalama 😄😄🤸

    • @philipjey8955
      @philipjey8955 3 หลายเดือนก่อน

      Alikuja kukalia hicho kiti Cha Daudi Kwa kuwa alikua from that throne kuwaokoa waisraeli na kwamba ndie alikua messiah ila walimchukua msaliti na muongo,Kwa sasa hivi akina netanyahu,Ben gvir na wengine pale Israel wanamsubiri messiah wao ila sio Yesu