SHAFI ALIPOSIFIA UJINGA WA SWAHABA MUIMBA KWAWA WA ASKOF HAMZA .SEHEMU YA NNE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 358

  • @anthonykariuki2438
    @anthonykariuki2438 5 ปีที่แล้ว +10

    Wallahi waislamu mwenyezi mungu awajaalie subra na mziidi kutumia hekima kujadiliana na wanafiki kama hawa, kwani mimi kama mtu aliyesilimu nazidi kupandwa na imani na kuthibitisha kuwa uislamu haukenezwa kwa upanga kama wanavosema makafiri Bali ni kwa hekima. Allah awazidishie naitwa Mustafa natokea huku Nairobi , Kenya.

  • @omarameirsalum8879
    @omarameirsalum8879 6 ปีที่แล้ว +34

    Wewe Shaafii wewe,wallahi Mungu akuzidishie elimu ya hapa na huko na Mungu namuomba akupe Pepo wewe na sisi pia Shaafii. Fanya kazi ya daawa nasi tunayo huku kwetu.

    • @zuu__95
      @zuu__95 3 ปีที่แล้ว +1

      aamin yarabbilaalamin

    • @nolanandy4203
      @nolanandy4203 3 ปีที่แล้ว

      i dont mean to be so offtopic but does someone know of a method to get back into an instagram account?
      I was dumb forgot the password. I would love any tricks you can give me.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 6 ปีที่แล้ว +9

    Hongerani Mashekhe wetu !! Allah awaongeze mzidi kuipigania Dini yetu! ! Inshallah

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 ปีที่แล้ว +3

    Shekh shafii mashaallah Allah akuzidishie elmu zaidi uokoe wiislam

  • @SalumKhamis-289
    @SalumKhamis-289 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Shekhe Shafii Mungu akuzidishie elimu watu kama Hamza Wazalilike kwa kutaka kutujaribia Uislamu wetu.

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 4 ปีที่แล้ว +2

    Wallah ustz shafii uko vizuri Allah akupe mwisho mwema wallah nakuelewa unachozungumza kimenyooka sana

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 ปีที่แล้ว

    Allhamdulillah ALLAH akulinde na mitihani kaka yangu shekhe wangu shafi endeleni kulingalia dini ya ALLAH yeye ndiye atakae walipa lnssaallah

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Sheikh Shafii

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahhahahahaahaha sheikh wangu shafii umewamaliza.... Ety akajisema aliokoka na kapatizwa n maji mengi Alf saizi kajiita muislamu..... ustadhi Shafii your one of my loved sheikh....

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 4 ปีที่แล้ว

    Masheikh. Ustadh Shaafi na Sheikh Diwani nakundi lenu( kutoa la Hamza kafiri Na kundi lake ). Allah awabaariki kwa kazi mnayo ifanya Jazaakallahu khaira 🙏 nduguzangu

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว +4

    بارك الله فيك يا الشيخ شافي

  • @zaharanihassan9013
    @zaharanihassan9013 6 ปีที่แล้ว +3

    hapa nakula daku huku nawafatilia, kiukweli Allah awalipe kwa kazi nzito hio inayohitaji moyo na ujasir

  • @raiswamaraishalisi8426
    @raiswamaraishalisi8426 5 ปีที่แล้ว +2

    Mnatisha ma hustadh wangu
    Shaffi na wengine vigogo vya ALLAH

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah Mimi hata nawapenda Sana masheihk wetu huyo hamz atapoteza hao makafiri wenzak

    • @osamaalharthy4150
      @osamaalharthy4150 4 ปีที่แล้ว

      Shekhe. Shaffi mashallah. Umemwambi ukweli. HamzA

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    Asante ustadh shafi hawa mambumbu wa kawaida

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah... wote tungekuwa kama wewe wallahi Uislam ungekuwa mbali sana

  • @KelvinMlay-mi7kc
    @KelvinMlay-mi7kc 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh Shafi anakosea sana

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 2 ปีที่แล้ว

    Kweli Yesu kitu kingine aisee waislamu wao kwa wao wanambishania Yesu leo hii

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheir sheikh shafii na wenzako

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 3 ปีที่แล้ว

    Tena lile suali nlitamani kuuliza Hamza y kwamba ka anajitangaza yy ni nabii wapi kitabu chake mungu alimpa.... Ustadh Shafi kauliza ht nliridhika

  • @maamasuli9351
    @maamasuli9351 6 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mungu anamuongoza ampendae, Askof Hamza ni ibilisi

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว

    Ustadhi shafiiii m.mungu akuzidishie umriii inshaallah

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 ปีที่แล้ว

    MWENYEZIMUNGU awape umri mrefu mashed wetu na kumtetea mtukufu wa dara Ja pamoja na mola wetu kwa kusingiziwa mambo kama hayo mola awlipe pepo ishallah

  • @mwanahamisyahya9354
    @mwanahamisyahya9354 5 ปีที่แล้ว

    Umenifundishi na umenifulahisha MUNGU akupaliki ln shaalaaah

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 ปีที่แล้ว

    Allah ibarek sheikh shafi na wenzako

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi shafi.. huyo Hamza njaa inamsumbua

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 4 ปีที่แล้ว +4

    Maashallah

  • @hassanimdimu8051
    @hassanimdimu8051 5 ปีที่แล้ว

    Innalilaah wainnailayh rajiun,hao hamza na wenzake ni makafiri,nahao sio waislamu

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu kiukweli tuka tufikirie sisi ni wanadamu ipo siku tutakufa na tutakwenda kusimama mbeli ya ALLAH

  • @earlymanhamza5018
    @earlymanhamza5018 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah sheikh shafi mfahamishe mshenzi huyo.akizidi mzabe makofi

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว +1

    ومن يبتغ غير الاسلام دينا فلن يقبل منه وفي الآخرة هو من الخاسرين

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 5 ปีที่แล้ว +1

    Waallahy ustadh shafii ww huwa napenda sanaa unavyoongea yani uko sahihi

  • @whonshineargay4804
    @whonshineargay4804 6 ปีที่แล้ว +9

    HAKIKA YA MAMBO NIKUA HUYO JAMA HAMZA ISSA NA MASAHABA ZAKE HAKIKA NI WAONGO KISHA JUWENI YAKWAMBA HAO WOTE WANALIPWA PESA NYINGI SANA NA WANA CHAMA CHAO NA HAO WOTE KWANZA SI WAISLMU MUJUE.HAO WAKO KAZINI WANALIPWA ILI KUUKOROGA UISLAAMU NA WANA PEWA MAFUNZO NA WAPO WENGI BAADAE WATAJITOKEZA TU, NA KUNAO WANAO PEWA MAFUNZO WAKIWA WATOTO PIA JUENI ENYI WAISLAAMU....LENGO KUU LAO NI KUIBADILISHA QUR'AN UL KAREEM.NA HAWATAEZA KATTU.

  • @zainabukhalifa3967
    @zainabukhalifa3967 5 ปีที่แล้ว

    mashaalh ustadhi mungu akupe yaliwe mema

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 ปีที่แล้ว +1

    Kila Goti litapigwa na kila Ulimi utakiri kwamba Yesu ni Bwana

  • @victordisper5983
    @victordisper5983 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie kidogo ustadhi...kwa maana busara name hekima huna

  • @myself4128
    @myself4128 2 ปีที่แล้ว

    Waabudu Sanamu mnajifariji kweli...Kiarabu hakitowafikisha mbinguni...Mnaabudu jiwe kule Macca mnakoelekea wakati wa ibada!!!poleni

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 ปีที่แล้ว

    Nafurai nikikuona unajibu maswali wanigusa ndani yamoyo yani maustadh nawakubali mungu awalinde

  • @halidihassan3796
    @halidihassan3796 4 ปีที่แล้ว

    Assalam alayikum njina Nayitwa khalidi Hassan Ujumbe wangu watu kama akina Hamza ni tatizo laki mayisha ndilo linalo wasibu Sasa wasubiri huko sokoni watakuwa na shayitwani jahanm

  • @jorammarushwa1533
    @jorammarushwa1533 6 ปีที่แล้ว +1

    Hamza issa ubalikiwe sana kwajina LA Yesu piga injili hadi waislam waokoke wamjue Yesu ninani utakua umejivua waachie majini yao yawashike vizur

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣,hapa pia hujaelewa? Hamza ISSA anasema anakuja kanisani maana nyinyi hamumjui MUNGU wa kweli na wala hamna dini, leo unafurahia apa!!hakuna muislam atamfata huyu kafiri mwenyewe duniani hayupo na akhera unatafutwa

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana UST shafii kuwambia mwaislamu kwamba mtume wenu Mohammad hataiona kiama maana umesema isa akija ataenda kwa wana wa Israeli.nasio mtume tuu mbali na waislamu wote.

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaman hili jambo la hamza tunalichukuliwa izy yani rahisi ila likija likizoeleka basi atapoteza wengi ombi langu ni kumkata shingo

  • @latinusjohny6906
    @latinusjohny6906 3 ปีที่แล้ว

    Shafi haujibu hoja, na hujajibu hoja yoyote, unatoa maeleozo nnje ya hoja kuzungumza personal life na sio hoja za maswal ma 4 ya upande ulioulizwa..

  • @maryambintukhadija1604
    @maryambintukhadija1604 3 ปีที่แล้ว

    Shee shafii nakukubal sana Allah awalipe kwa kaz zenu amiin

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว +1

    Paulo hamza ni kichaa anatapatapa

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 6 ปีที่แล้ว +6

    Kristo anakuja na kila goti litapigwa......nyie bishana wee ila mwisho wa cku mtauelewa ukweli, sio kama hamjui mnajua ila bado mnaweka ugumu kwenye mioyo yenu...Kristo ni Mungu na anakuja hakika

    • @amdaniamimu9839
      @amdaniamimu9839 5 ปีที่แล้ว +1

      Wew ni kiazi nn

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว

      Awa waislam watapata tabu sana wajinga awa yesu ni kila kitu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 ปีที่แล้ว

      @@amdaniamimu9839 njia ni moja tuu yesu basi wengine aho wanapiga kelele tuu amna jipyaa

    • @omarykatongo4943
      @omarykatongo4943 5 ปีที่แล้ว +1

      Ina ilah wa ina lillah rajiun

    • @bxgdhydydh6505
      @bxgdhydydh6505 5 ปีที่แล้ว

      Moto unawasubiri wana yesu kwa kufata njia potovu

  • @salmafaraj9293
    @salmafaraj9293 6 ปีที่แล้ว +5

    Ustadh shafi maneno yk ishallah yawaingie nyoyoni mwao hao ni kweli akifika kanisani anasema haleluya alf anajifanya muislam mbona hawaambii km dini ya kweli ni uislam mnafik huyo sijui likoje hy nikafiri tu mana makafiri wanamiyoyo migumu sana

    • @kautharmarik8904
      @kautharmarik8904 6 ปีที่แล้ว

      Salma Faraj eeeh eti!!kwann asiseme hko kanisan kuwa dini ya haki na ya kweli ni uislam..

    • @hassinarahbi352
      @hassinarahbi352 6 ปีที่แล้ว

      Salma Faraj mwehu huyoo anawapotezea wakati

    • @khalidunited5978
      @khalidunited5978 6 ปีที่แล้ว

      Salma Faraj Allah akbar

  • @sospeterezekiel7262
    @sospeterezekiel7262 5 ปีที่แล้ว

    Wanamacho lakini hawaoni wana maskio lakini hawasikii ,,Mungu awasaidie ,Mungu hakuleta dini Mungu alileta mitume manabii MUNGU awaongoze mpate kujua nini kusudio lake Kwa wanadamu acheni usisi in bora kuliko wale kumbukeni bila wale hakuna mijadala

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 6 ปีที่แล้ว +4

    shafii ha ha ha du we jamaa hapana mkali sana

  • @selemaniniyonkuru6576
    @selemaniniyonkuru6576 4 ปีที่แล้ว +1

    Hhh kwel shafiii nakubali

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 2 ปีที่แล้ว

    Shafii Anasema Kuna Clip Kaiona Mtandaoni Hamza Anajinadi Kanisani Kuwa Ameokoka, Lakini Hapo Kwenye Mdahalo Hamza Anajiita Mwislamu, Mpaka Hapo Shafii Katuhakikishia Kwamba Mwislamu Hana Sifa Ya Kuokoka Bali Kuangamia, Na Kweli Wataangamia Quran 40 : 60

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 ปีที่แล้ว

    Duuuu mnatuelimisha sanaaaa

  • @aleemaalrahbi338
    @aleemaalrahbi338 5 ปีที่แล้ว +1

    We kaka shafii wallah unaongea ukwel mtup lkn wanivunja mbav sio kwa manen hy unaympa 😂😂😂😂

  • @chefmasai2020
    @chefmasai2020 6 ปีที่แล้ว

    hayo makafiri yametumwa hapo yalipo yanalipwa. maisha ya duniani ni mafupi na malipo yake ni makubwa either ukufuru au ufanye mema. na Moto au pepo no ya milele. inalillah wainaillah rajoun kwa kina hamza

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana Hamza Issa unaongea ukwer siku zote ukwer unauma wabishi hao achana nao twende kanisan mwaya

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Mchukue mkacheze kwaya

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 ปีที่แล้ว

      Hatuwez kuwa wote pepon wakat ww una muita kanisan wenzio tunatoka huko tunaufuata ukwel

  • @mawazoamily2678
    @mawazoamily2678 6 ปีที่แล้ว +3

    Kukubali ukwel sio dhambi mashekh kubalini kua hamza Issa kawazid ilimu mashekh wote...... Acheni ghadhibu

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 ปีที่แล้ว

    Waidhaa lakuladhiina aaamanuu kaluu aamanaa waidhaa khalau ilaa shayaatwiinihim kaluu innaa maakum inamaa nahnu muhtahziuun...

  • @jaffaryramadhani1467
    @jaffaryramadhani1467 5 ปีที่แล้ว

    Petro katupoteza sana jamani mimi naamini mumgu wa waislam ndio mungu wa duniani na mbinguni kwa sabab cha kujiuliza kitu kidogo sana wakati muokozi wetu yesu tunayempa sifa ambayo sio yake alivyosulubiwa msalabani akafa sasa rizki alikuwa anatoa nani maana si tunaambiwa riziki anatoa mungu na mungu ndio kafa msalabani

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 6 หลายเดือนก่อน

    Sijamsikia akisema wakristo hawana mungu duh nyi wabongo sana wakristo hatuna dini sisi niwakristo nakristo sio dini kubalini mfundishwe na hamza mtamkumbuka huyo skuhio

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashekhe wavumilivu Hawa! Ningekua hapo ambulance inahusika kwahamnza Na watu wake

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Kweli eee hhhhhh hata mie

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtaelewa tu kuwa YESU NI BWANA

  • @nyunhamkuki4011
    @nyunhamkuki4011 5 ปีที่แล้ว

    Heri kukumbushwa kumrudia Mungu kuliko kujifanya kuwa uko na Mungu na kumbe ni ujinga mtupu.

  • @florrakaneza4388
    @florrakaneza4388 6 ปีที่แล้ว +6

    Ukweri kama mimi na jua Yesu ndio njia

  • @elinathanmpigiye6298
    @elinathanmpigiye6298 6 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli wa hamza utazihilika na pia namshukuru Mungu wa baba yetu kumupa elimu ya kuwaelimieha waisilamu.

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 ปีที่แล้ว

    Weweje sokigeugeu uislam din ya Majin din ya washirikina din ya wauaji dinyakugombea maslai din yakuombea Majin shafii hunalolote

  • @joshuatanzanite5871
    @joshuatanzanite5871 2 ปีที่แล้ว

    Mlisema wote ni waislamu saiz mnawakataa hawa wabishi wanaokataa na kukubariii

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 6 ปีที่แล้ว +4

    Elimu ndogo shafii na wezio mtakuwa vipofu hadi lini

    • @Amishjuma
      @Amishjuma 6 ปีที่แล้ว

      Joseph Kiswili Ww wajua kipofu? ww mkristo ww ndio kipofu unamuabudu mtu ilhali kuna aliyekuumba.

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 ปีที่แล้ว

    Sheitwan ana watumishi wake kila upande

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    yani maswali ya chekechea quran haijasema yesu ni mungu Kama waijua Quran 5:116 Quran 4:171 Quran 5:72-75.

  • @fathiasaed4738
    @fathiasaed4738 5 ปีที่แล้ว

    In the name of Jesus Christ

  • @hamisishabani8451
    @hamisishabani8451 3 ปีที่แล้ว

    Guyo hamza apigwe lisasi afe

  • @mucaatycaiser6801
    @mucaatycaiser6801 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika murtadi ndiye kafiri muhovu zaidi na hukumu yake ni kumuhua tu

  • @tommariam4393
    @tommariam4393 6 ปีที่แล้ว +11

    Jamani masheikh na wanazuoni bado mnamlea lea huyo kafiri Asi aliposema yy ni nabii Eliyas ilikuwa imetosha kuachana nae.. lkn asitumie aya za Quran atafute kitabu chake aitumie na kuhubiria.

    • @kisaleking154
      @kisaleking154 6 ปีที่แล้ว

      Yesu wa bibilia na issa wa Quran ni wawili tofauti piteni ktk maandiko mtagunduwa

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว

      Wewe fala tu

  • @mwasitijumaarafa9805
    @mwasitijumaarafa9805 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nige kuwa karibu na hamuza hapo nige muvuwa vazi hilo lakisimal mujiga huyo sindo aliye kuwa ana tafusiti kisa cha yusu huyo hamuza ww unakitu unataka mugu akupe hamuza ww

  • @mwanahamisyahya9354
    @mwanahamisyahya9354 5 ปีที่แล้ว

    Hamza kamila inaiyogopa shafii ww simnafiki nimeipenda buleee

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 ปีที่แล้ว

    Poleni sana waislam

    • @nsjjsjdjjdjd841
      @nsjjsjdjjdjd841 6 ปีที่แล้ว

      Jonathan Masu Nanyie poleni

    • @madammaggie7779
      @madammaggie7779 6 ปีที่แล้ว

      wenye macho nawaone Na wenye masikio wasikie. God show as holy way

  • @zenaabdala2776
    @zenaabdala2776 5 ปีที่แล้ว +2

    avue hyo kanzu anadhalilisha uisilam

  • @shadrackmusyoka3350
    @shadrackmusyoka3350 6 ปีที่แล้ว

    kwa kweli watu wengi watateketea kwa kukosa hekima but MWENYEZI MUNGU atawafungua macho ya kirohoo ndugu zetu waislam kwasababu 90 percent yao wameposha na walimu watangulizi

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallah thumma wallah huyu Mimi ningekuwepo hapa huyu ningempa hata sumu

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Huruhusiwi kuua kwenye uislam hhhh

  • @israelimjema5001
    @israelimjema5001 5 ปีที่แล้ว

    Waislamu kama unaamini yesu alitenda miujiza akaondoka akaja muhamadi naye alitenda miujiza gani

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 4 ปีที่แล้ว

    Swadakta she shaafiii

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

    mwenyekiti mjanjamjanja ila kajitahdi kiaina ku balance

  • @mwenemaseko4921
    @mwenemaseko4921 5 ปีที่แล้ว +1

    KUMBE WAISLAM MNAKUBALI KWAMBA YESU ATARUUDI,QUARAN INANIFANYA NIZIDI KUMWAMINI YESU NA KUWA NIPO UPANDE SAHIHI.

  • @japhetlameck547
    @japhetlameck547 4 ปีที่แล้ว

    Naswali ya swahaba hayajajibiwa. Shafii porojotupu ndo kaobgea.

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 ปีที่แล้ว

    We unajua hamza hamnazo ww unasema Mwalim wako kweli unaakili kweli

  • @AbdulRahman-wx6iv
    @AbdulRahman-wx6iv 5 ปีที่แล้ว +1

    Hao wakina Hamza msiwape kiki Kama washaritadi waacheni elimu yao yenyewe ndogo..

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Story haina ballance? Story ya upande moja haitakiwi irushwe ni makosa!!! Mbona Hamza na wenzake hawajaongea?

  • @erastomajaliwa7629
    @erastomajaliwa7629 6 ปีที่แล้ว

    Hizo nikelele tu ila ujumbe ndo huo usipo mkili kwamoyo na ulimi bwana mbingu siyako ujumbe umeshafika acheni ujanja ujanja wakuongeya Hamza pigakazi haupo mbali na ufalume wa mbinguni

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 2 ปีที่แล้ว

    Hii mjadala mkali sana

  • @lawjoseph6590
    @lawjoseph6590 4 ปีที่แล้ว

    Yesu haliondoka hakawambia ninawachia roo mutakatifu swani nimutume naomba jibu waisilamu

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว

      Slimtabiri Muhammad saw bada ya yy kuondoka isa ni na bee si mmungu atakuja kupinga hilo kumuota yy mungu mmngu hazaliwi na isa ni kizazi cha ibrahim na ibrahim alimuabudu mmungu na yu kuanzisha mji wa Mecca kua mji wadini yy sliamrishwa aende huko na kujenga alcabah kiblah kwa dunia nzima imsujudie mmungummoja tu

  • @mwilemwile7267
    @mwilemwile7267 5 ปีที่แล้ว

    shida ni nn ndugu ukimwamin mtume Muhammad ni sawa na ukiamin yesu is oky

  • @adammasunga6382
    @adammasunga6382 5 ปีที่แล้ว

    Qruhan huwezi kuitumia zaidi ya biblia ndiyo mwongozo mkuu wa imani ya wakristo na si qruhan badili useni wako

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 5 ปีที่แล้ว

    Hata hilo jina la hamza naona kama mnalidhalilisha mtafutieni jina jingine lakini sio hamza huyo ni mkristo

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Hamza anatafsir Quruani kwa mtazamo wake tuu siyo kama kitabu kinavyosema ,yaan ametawaliwa na fikra za watu wa magharibi Duhh subbhana Allah maan mpka kajiita mtume

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 ปีที่แล้ว

    yani hawa jamaa wazito kiakili Umezaliwa kwenye umma wa Muhammad kisha umkatae Muhammad umpende yesu huu msiba.

  • @mfaumejuma2838
    @mfaumejuma2838 5 ปีที่แล้ว

    Inna Lilah wa Inna ilaihi rajiun kwa Mana hiyo we mwanafunzi was Hamza unasadiki kwamba issa bin Mariam ni mungu?

  • @luluamin1388
    @luluamin1388 6 ปีที่แล้ว +4

    Huyu MTU Kama nabii Tito nae pia awekwe ndani. Apimwe Na akili

    • @iddshabalehe7131
      @iddshabalehe7131 5 ปีที่แล้ว

      kwani wale wanaowapima mkojooo wapooo

  • @sakinajunudan9115
    @sakinajunudan9115 6 ปีที่แล้ว

    sio Qur'an tu hajui hajui hadi bibilia

  • @aliyahmedahmed3722
    @aliyahmedahmed3722 5 ปีที่แล้ว

    Sijafahamu huo mjadala ni kati ta Waislam na Nanii?

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 6 ปีที่แล้ว

    Mungu anasema kutatokea watu watauza aya zake kwa thamani ndogo tu ya pesa