NYIE WAISLAM BILA MASIHI ISSA (YESU KRISTO) HUWEZI PAMBANA NA MAJINI NA UCHAWI. PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @user-eg7dw7cr7w
    @user-eg7dw7cr7w วันที่ผ่านมา

    Kwamara yakwanza nimekuelewa shehe Mungu akubarki

  • @Adoullahsal
    @Adoullahsal 2 วันที่ผ่านมา +1

    Siku nyingi mwalimu huonekani, Leo nafuraï Sana kukuona mwalimu wangu.

  • @babajaden3525
    @babajaden3525 วันที่ผ่านมา

    ❤Nimejikuta pumzi imebana kisha nikaachia maana somo ni zito kupita maelezo naomba watu waisikilize

  • @user-ch8zc3bg9b
    @user-ch8zc3bg9b 2 วันที่ผ่านมา +1

    mwalimu nabarikiwa Sana kuona umerudi hewani😊

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa Nabii

  • @user-eu8jz4jl3u
    @user-eu8jz4jl3u 3 วันที่ผ่านมา

    Karibu Kwa yesu, wew unaelekea kuijua njia iliyo sahihi

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 3 วันที่ผ่านมา

    Thanks ,ubarikiwe

  • @KelvinMlay-mi7kc
    @KelvinMlay-mi7kc 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubali

  • @user-vl5jj3oq3d
    @user-vl5jj3oq3d 4 วันที่ผ่านมา

    Karibu sana umepotea kwa muda

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 3 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabsa.

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 3 วันที่ผ่านมา

    We, ni mwongo sana,, unajiita nabii eliya! Wakati, nabii eliya ndie yohana m'batizaji zama za YESU.

    • @user13375
      @user13375 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Eliya ni yohana 😮😮😮😮😮, ndo hujuwi kabisaaaaaaa

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 3 วันที่ผ่านมา

    Da kwel kabisa mom mad fun njfkliaga San sjawai sikia shekhe kkmta mchawi
    Salm nyngi toka kahama

  • @ShamsaniOthuman-sr7kh
    @ShamsaniOthuman-sr7kh 4 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa mtumishi

  • @nashonangaya4134
    @nashonangaya4134 3 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mtupu mtumishi

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 3 วันที่ผ่านมา

    ❤️❤️❤️

  • @cravelymbilinyi1987
    @cravelymbilinyi1987 วันที่ผ่านมา +1

    Yani unaongeaga ukweli mtupu

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 3 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mtupu

  • @JohnDaniel-v5r
    @JohnDaniel-v5r 3 วันที่ผ่านมา

    Nasoma commenting

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe kumbe ni mpumbavu hivi wakati mwingine

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini unaongea ukweli, uogopi

  • @MUMBIWAGOVENOR
    @MUMBIWAGOVENOR 4 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi unaelimisha watu kweri

  • @mtanzaniahalisi9500
    @mtanzaniahalisi9500 2 วันที่ผ่านมา

    Stress ni mbaya sana

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 3 วันที่ผ่านมา

    Kata vichwa wakristo na wayahudi

  • @user-ie3lw9eb6p
    @user-ie3lw9eb6p 3 วันที่ผ่านมา

    Nguruwe inadanganya watu

  • @user-oo7yr5zq6g
    @user-oo7yr5zq6g 3 วันที่ผ่านมา

    Chiz we

  • @ofreyking5975
    @ofreyking5975 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona ulikua kmy nabii

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe sio MUISLAMU,Mzee! Acha kuwachanganya watu. Huna msimamo kwenye Dini yoyote wewe! Ukisikia UPAGANI,ndio huwa wako sasa. Ati wajiita NABII! Dah...! Hebu tuliza ball,mzee! 😡

  • @kakuzekakuze7564
    @kakuzekakuze7564 4 วันที่ผ่านมา +2

    Nikwel maana majin n malaika walioasi😅😅😅

    • @yusuphhassan9619
      @yusuphhassan9619 4 วันที่ผ่านมา

      Majini sio malaika

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 วันที่ผ่านมา

      Majini ni malaika walioasi maana Mungu hajawahi kuumba majini ​@@yusuphhassan9619

    • @user-ch8zc3bg9b
      @user-ch8zc3bg9b 2 วันที่ผ่านมา

      Majini siyo malaika kaka hao ni mapepo wamezariana na wanadamu kupitia malaika walio anguka mbinguni

    • @ommylax7231
      @ommylax7231 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-ch8zc3bg9bmbona unajiganyaga mwenyewe kwenye iyo coment yako, unaizunguka sana yaani unasema hivi:_unasema majini sio malaika harafu hapo apo unasema hivi:_Ni mapepo wamezaliana na wanadamu kupitia malaika walioanguka duniani!! Sasa hauoni hao malaika walio anguka kutoka mbinguni ndio walio Muhasi mungu na kutupwa Duniani na kuitwa mapepo ndio hao wanaitwa majini sasa

  • @kelvinkamau3174
    @kelvinkamau3174 3 วันที่ผ่านมา

    Na majini ni mandugu Zenu,72:14 Quran

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta 2 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli kabisa majini ni ndugu wa waislam kama ambavyo mapepo machafu waliokwenda mbele za Yesu na kumuita mwana wa Mungu ni ndugu wa wakristo. Hapo waonaje😂

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 2 วันที่ผ่านมา

      Mandugu ndiyo nini....?

  • @patrickmsangi5864
    @patrickmsangi5864 3 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi leo una hasira sana, umefika hatua umekengeuka Maana unaongelea vitu vitatu ila hujapata ufunuo navyo vitu hivyo. Sawa Ngoja watu wauwane ila sisi ni wale Vita vyetu si katika mwili na nyama bali katka falme na mamlaka juu ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  3 วันที่ผ่านมา

      @patrickmsangi5864 sisi waislam tunaenda kumtumia YESU kuondoa dhambi sasa nyie wakristo kaeni rohoni mumsubiri aje kuwachukua

    • @patrickmsangi5864
      @patrickmsangi5864 3 วันที่ผ่านมา

      @@nabiiilyaaseliya2551 Kivipi!? Mtumishi, Mbona unaongea kitu kisichokuwa kitu!! Je Mungu ni waamani au wakupigana? Amri ya Mungu ni Upendo nao upendo huzaa amani Nikweli kuna vita ya dhambi ila kumbuka dhambi nayo ni roho maana ni Shetani. Hapo vipi mtumishi!? Naomba number zako tuwasiliane

    • @IgnacioAndrew-rj8pd
      @IgnacioAndrew-rj8pd วันที่ผ่านมา

      ​@@nabiiilyaaseliya2551mtumishi waislamu hawamkubalii YESU kwamba alikufa na kufufuka inakaaje hapo

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk วันที่ผ่านมา

      ​​​@@nabiiilyaaseliya2551YESU KRISTO alisema aaminie na kubatizwa ataokoka na asiye amini amekwisha kuhukumiwa je nyie waislam mtakimbiliaje kwa Yesu wakati hamjamwamini? Na Tena hamuamini YESU kama alisulumbiwa? Labda yupo mwingine sio YESU KRISTO WA NAZARETH

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk วันที่ผ่านมา

      ​​@@nabiiilyaaseliya2551YESU KRISTO alisema ombeni lolote kwa jina langu je uko tayari kuugeuza msaaf? Mbona hueleweki? Msipogeuka na kuomba kwa lake YESU KRISTO hata ufie masjid utakwenda jehanam kweupeeee

  • @maspro6294
    @maspro6294 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    LINABI FEKI WEWE KAFIRI KWENYE UISLAM HAUPO KWENYE UKILISTO HAUPO KAZI YAKO KUBWAKA KAMA MBWA KOKO

  • @user-qw9ks3fg9m
    @user-qw9ks3fg9m 2 วันที่ผ่านมา

    Kafiri kafiri tu hageuki

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama wewe nijini tena lililoshindikana mwanga mkubwa kusoma kurani hujui halafu unajiita nabii fala we

  • @Erik-kj5no
    @Erik-kj5no 3 วันที่ผ่านมา

    Kama waislamu wameamlishwa kupigana mbona kwenye mafundisho yako huko nyuma uliwahi sema alshabaab wanakose kama nimekosea nisahihishe

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 3 วันที่ผ่านมา

      Njia wanazo tumia sio… elewa darasa linamuhusu Issa bin Mariam kumjua? swali; Alshababu wana mjua Issa au Yesu ni nani ndani ya Qur’an hii ndio mada ya msingi kuielewa?

    • @daudymlauletv8489
      @daudymlauletv8489 2 วันที่ผ่านมา

      Alshabab hawapigani kwa ajiri ya uisilamu hayo makundi ynaanzishwa kwa maslahi ya wamaghalibi

  • @willdomy1078
    @willdomy1078 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ya injili ya Kristo sio kuuondoa/kuukomesha uovu na dhambi duniani bali ni kuwaondoa au kuwaita watu kutoka kwenye uovu na dhambi.
    HAKUNA ANAYEWEZA KUONDOA UOVU DUNIANI. NDIO MAANA YESU ATASHUSHA MBINGU MPYA NA NCHI MPYA.

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  3 วันที่ผ่านมา +1

      @@willdomy1078 hiyo ni kwa mujibu WA ukristo wenu. Sisi waislam tunaenda kumtumia KRISTO kupambana katika ULIMWENGU WA ROHO kurudisha UTAWALA WA Mungu hapa DUNIANI nyie bakini rohoni

    • @willdomy1078
      @willdomy1078 3 วันที่ผ่านมา

      @@nabiiilyaaseliya2551 Mimi nafikiri maana ya jina "Isa" linasadifu kazi yake. Maana ya Masih Isa au Yasu ni "Mwokozi wa wanadamu na dhambi zao"
      Na ufalme atakaouleta ni Kwa ajili ya watu aliokwisha kuwaokoa.
      Na mi kwa ninavyojua Yesu hatumiwi na watu kuweka ufalme kama yatumikavyo majini, Yeye ndiye anayewatumia watu kufanya mapenzi yake.

    • @emmanuelmlekwangano9991
      @emmanuelmlekwangano9991 3 วันที่ผ่านมา

      Dhambi haishindwi kwa upanga acha Bali Kwa nguvu ya neno la injili

    • @Pablolookman
      @Pablolookman วันที่ผ่านมา

      Nabiilya kuwa istiQamaa katika dini sometime unakua mkristo mara muislam tunamsubiri ISSA aturudishie khilafa ​@@nabiiilyaaseliya2551

    • @Rashid-vm1fk
      @Rashid-vm1fk วันที่ผ่านมา

      ​@@nabiiilyaaseliya2551sisi tunabaki rohoni kwasababu alituachia Roho Mtakatifu anayetufundisha katika ulimwengu wa roho na pia mtakwendaje kumtumia ambaye hamumwamini kuwa ni Bwana na Mwokozi?

  • @rashidimahmud8605
    @rashidimahmud8605 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe unamatatizo makubwa Rudi darasani hiyo shahada tatu imethibiti wapi kama wewe sio kafiri.

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 วันที่ผ่านมา

    Stop the stupidity.Jesus was a prophet who worshipped God Eloi or Allah .Wewe vaa msalaba mkubwa wacha kuwahadaa watu na mavazi ya ki İslam.Weyw mkristo.

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni shaitan
    Mjinga mkubwa wewe