REV. DR. ELIONA KIMARO: NIDHAMU YA MAISHA NA BARAKA YA KIVIZAZI, II

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
    'HII NI KWARESMA:SIKU YA 15
    01/ 03/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: NIDHAMU YA MAISHA & BARAKA YA KI-VIZAZI
    (GENERATIONAL BLESSINGS)
    Mwanzo 48 : 15 - 16
    Mwanzo 12 : 2
    Mithali 22 : 1
    Wafilipi 2 : 9
    Mithali 1 : 7
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    Mwanzo 48 : 15 - 16
    15 Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba zangu, Ibrahimu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo,
    16 naye Malaika aliyeniokoa na maovu yote, na awabariki vijana hawa; jina langu na litajwe juu yao, na jina la baba zangu, Ibrahimu na Isaka; na wawe wingi wa watu kati ya nchi.
    Mwanzo 12 : 2
    2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
    Mithali 22 : 1
    1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu.
    Wafilipi 2 : 9
    9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
    Mithali 1 : 7
    7 Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 15

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 7 หลายเดือนก่อน +2

    ASANTE Baba Mungu AKUBARIKI. Mungu anirehemu, jina ninaliheshimu kabisa.

  • @henrygabriel2892
    @henrygabriel2892 7 หลายเดือนก่อน

    Asante baba Mchungaji hili somo ni muhimu mno mno kwa jamii yetu

  • @angelkivuyo7088
    @angelkivuyo7088 6 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @JustoOluoch
    @JustoOluoch 4 หลายเดือนก่อน

    AMINA....

  • @marthajackson9040
    @marthajackson9040 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amina SoMo limeingia mahala pake mwenye sikio na asikie

  • @safiselemani8235
    @safiselemani8235 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Mungu akubariki sana

  • @rumb5876
    @rumb5876 7 หลายเดือนก่อน +2

    AMEEEEN🙌🏼🙏🏼 MCH

  • @claratemba44
    @claratemba44 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @elizabethmuli5911
    @elizabethmuli5911 7 หลายเดือนก่อน +2

    Consider your ways 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✋

  • @JaromeChogo-f4z
    @JaromeChogo-f4z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba mchungaji

  • @julithakenyatta914
    @julithakenyatta914 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nidhamu🙏

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @renatuskanuthy5743
    @renatuskanuthy5743 7 หลายเดือนก่อน

    Somo la awamuu hii ni la viwango vingine usipoelewa basi subiri kuhubiriwa na Yesu mwenyewe

  • @amosziro7054
    @amosziro7054 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nidhamu ni hatima

  • @Tweve-k7q
    @Tweve-k7q 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🎉🙏🙏