SHEIKH MWAIPOPO AWAUMBUA MATAPELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @mrishoyahaya2693
    @mrishoyahaya2693 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwaipopo asante. Umelifichuwa lakuandaa watoto kisha mnawaita masharifu. Asante sana. Wanasunna aliliona hilo zamani wakalisema. Kwamba Hao watoto ni gemu tuuu. Sasa Leo Nyinyi kwa Nyinyi mwaekana wazi

  • @husseinkakanga4082
    @husseinkakanga4082 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akulinde

  • @babauna3458
    @babauna3458 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde ya rabbi, sema kweli manake utapeli umezidi kwenye mitandao, Allah akuhifadhi mwalimu wetu mwaipopo

  • @skitunahimana192
    @skitunahimana192 3 ปีที่แล้ว +2

    Musimutukane Sheikh MWIPOPO siyo mnafiki wala siyo muongo DR mwizi.alicho tufanyiya sisi watu wambali ALLAH amunusuru umauti usije kumkuta hajatulipa hela yetu.

  • @suhel5209
    @suhel5209 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anisamehe kwa maoni yangu,Daktari sule namtilia shaka sana kwa utenda kazi wake.

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @alimkali7329
    @alimkali7329 3 ปีที่แล้ว +2

    Mke wangu alikuwa na shida ya dawa fulani.
    .tukampigia doctor Sule, akasema atatupa dawa tukamtumia elfu 10 za kenya....hatukupata dawa alituhangaisha na kutuhadaa...messages zote ninazo chatting zangu na doctor Sule...ana tuahidi na dawa haleti...sisi na mke wangu tulimuachia Mungu...ila alituudhi sana

  • @saay4273
    @saay4273 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi na akuepushe na madhwalimu

  • @aliujendo
    @aliujendo 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo sawa sheikhe wala co husda wahadhiri tumqofu Allah duniya tuna pita hata kama ukijenga nyumba kwa utapeli huo hauwezi ukasimama tumqofu Allah Allah

  • @pacifiquemukanya1009
    @pacifiquemukanya1009 3 ปีที่แล้ว

    Alllah akulipe sheigh mwaipopo

  • @saidisalum2051
    @saidisalum2051 3 ปีที่แล้ว +2

    DOKTA SURE NI MWIZI WA MDA MREFU SANA KAMA MLIKUA HAMJUI

  • @sophiasophia4668
    @sophiasophia4668 3 ปีที่แล้ว

    Tunajua unamanisha dr sulle

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 3 ปีที่แล้ว

    Duh! Tumeshafikia huku. Subhanallah

  • @muridimukomwa9315
    @muridimukomwa9315 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah sheikh Mwaipopo mungu akungoze

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa anaeleweka hata Zanzibar aliyapeli akasema anakipindi Chanel ten hongera umejisafisha

  • @skitunahimana192
    @skitunahimana192 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna chaungo wala unafiki.uyo ni ukweli ni ukweli.sisi uku ulaya tunapigwa nabaridi kwakutafuta rizki yeye anashimama kwenye mimbali aliyo yishimama MTUME wa uma .kwakutuibiya .mimi nilinyamanza najua nimimi mwenyewe kumbe ndo byashara.ALLAH amunusuru

    • @nkurunzizaabdul-aziz7211
      @nkurunzizaabdul-aziz7211 3 ปีที่แล้ว

      Pole Sana sasa dawa ulipewa zikakataa kukuponya ima na dawa haukupewa bada ya kuzilipia

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว

    @Mashauri Dautz....wewe mbona unauliza swali la ajabu? Hujui Kiswahili?

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 ปีที่แล้ว

    Mm nasema Sule afanye Toba vingnevyo atapata balaa kubwaaa!
    sana
    Mwaipopo ww nakufananisha na Swahaba wa Mtume
    Sayyinidah Omari

  • @hamimhamis7722
    @hamimhamis7722 3 ปีที่แล้ว

    asalaam areykum. uko sahihi ktk hilo ila ulipaswa kumufuata kw hekima

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว +1

    Na sasahivi maradhi yamekuwa yakiwaandama watu..naobinaadamu wasio na Imaan hutumia maradhi wenzao kama fimbo..mungu atawalaani wallahy wanakula dhulma.

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @vipenziwaallah5814
    @vipenziwaallah5814 3 ปีที่แล้ว +2

    KABLA YA KUINGIA KUTAFUTA VIEWS TH-cam, ULIMFATA UKAMUONA UKAMWAMBIA AJIREKEBISHE? AU NDIO ULIMPIGIA SIMU HAKUJA UKAINGIA TH-cam?

  • @khalidmohamed454
    @khalidmohamed454 3 ปีที่แล้ว +1

    subhallah

  • @khalidmohamed454
    @khalidmohamed454 3 ปีที่แล้ว

    Wallah ni hatari sana tena sanaaa

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh Mwaipopo nakuomba uutunze ushahidi ulionao kwa wahadhiri wenzako. Huyo tapeli anaweza kuwalipa vibaka wakuibie simu yako.

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 3 ปีที่แล้ว

    Innallillah wainnailaih rajiun

  • @furahandabadugitse2659
    @furahandabadugitse2659 3 ปีที่แล้ว

    Zidi kuwachana allah akulinde

  • @newchanel6154
    @newchanel6154 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kikubwa mgao haujaenda sawa

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 3 ปีที่แล้ว +1

    Unajinadi ushahidi upo kwny simu,
    *Je, wakikuibia hiyo simu? si utakua umepoteza ushahidi?*
    Au MTU akikuingizia virus kwa njia ya Bluetooth wakaharibu hayo mafail?
    Ukiwa na ushahidi *uweke kwny e-mail* pia usitaje mahali ulipouweka

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila Mimi ningependa hayo Mambo mungeyafanyia uchunguzi na mungemuitwa pembeni mukamuhoji kwanini anafanya hivyo .

    • @abdulrahmankafuku3449
      @abdulrahmankafuku3449 3 ปีที่แล้ว

      Ameitwa hataki, anawatukana wahadhiri, hii ni fupi IPO nyingine imetaja kila kitu you tube itafute

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 3 ปีที่แล้ว

      ameitwa na viongoz anachımba mkwara
      sasa watafanya nn!

    • @saumuseif9189
      @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว

      Duuh mtihan

    • @Big_father098
      @Big_father098 3 ปีที่แล้ว

      Hainaa haja ya uchunguzii sule ni tapeli wa siku nyingi na nimtu wa maslahi siku nyingi

  • @swalehmgomba100
    @swalehmgomba100 3 ปีที่แล้ว +1

    Nae pia ndio Walewale kuna na muda alikua Zanzibar huyo Mwaipop Magogoni nae pia alikua na watapeli wamama anajifanya anasomea watu anatoa majini Mungu hamfichi mnafk sasa nimeanza kuumbuana wenyewe sasa

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 3 ปีที่แล้ว

    Hutaki kumtaja jina wakati ushamtaja katika clip zako za nyuma, kwani doctor sulle mwenyewe mbona halitolei ufafanuzi hili au halioni??? Tunahitaji kauli kutoka upande wa pili

  • @manafeassamo7216
    @manafeassamo7216 3 ปีที่แล้ว +1

    Ata kwetu mozambique ametapeli huyo sule mocimboa dapraia

  • @peterremy8013
    @peterremy8013 3 ปีที่แล้ว

    Napita tu kwa jirani kumbe kumeoza hivyo . Ila nimekuelewA mwaipopo kwa kusema kweli

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 3 ปีที่แล้ว

      Huko kwenu ndo kunanuka kabisa wachungaji wanashikana uchawi hata sisi tunafatilia na wanapingana hata Aina za maombi wengine wanatoa Siri kua mafuta Yale mnayokanya Ni ya binadamu so tabia za watu sio ndo dini

  • @skitunahimana192
    @skitunahimana192 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni ukweli usiyo pingika anaco kizungumza CHEIKH MWAIPOPO.s ema mnafiki ni huyo huyo dr sule anaibiya watu kwakuzingishiya WISLAM .yeye ndo mnafiki tena mnafiki tena mnafiki

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    WEWE UNASEMA UKWELI BHANA HUYO ANAYETISHIA KWENDA MAHAKAMANI TENA MAHAKAMA ZA KIDUNIA . MUHUNI TU

  • @joezeno8
    @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

    Namfahamu huyo Doctor 😂😂😂😂

  • @newchanel6154
    @newchanel6154 3 ปีที่แล้ว

    Ila hapa sio sehem ya kusemea hayo.kama kina sule matapeli hata wewe utakuwa tapel ila umezidiwa umeamua kutoa siri

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว +1

    Alafu mnamsema na kumtukana mzee yusuph kwa kurudi kwenye taarab kama mambo yenyewe ndiyo haya bado safari ya kutangaza dini kwa mashekh wetu bado sana...bora anaeimba taarab maana anakula jasho lake japo mungu hapendi kuliko anaetapeli jasho la wenzie kwa kimvuli cha ushekhe..shem on them

    • @Jasiminimansour6689
      @Jasiminimansour6689 3 ปีที่แล้ว

      Dada kila mwanaadamu nimkosefu mkamilifu ni Mungu tu ndo mana tukaambiwa tukumbushane sisi hatuna ukamilifu,, ukamilifu ni wa Mungu tu,, cha msingi ww ktk maisha yako fuata uislamu tu usimfuate muislamu,, kwasababu muislamu kuna siku huenda atakosea hata kama nishekhe,, kwaiyo usitetee upande wa mzee yussuf, kama kakosea ataambiwa ukweli tu,, na shekhe skikosea nae ataambiwa tu kwaiyo isiwe hoja ya kumtetea mzee yussuf wote hawa ni watu hakuna malaika hapa anaeksea aambiwe

    • @Jasiminimansour6689
      @Jasiminimansour6689 3 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo usiwatie makosani mashekhe wote,, mana umesema kama hali ndio hii mashekhe wetu kutangaza dini bado Sana hapana, akikosea mmoja hawajakosea wotee,, Mzee Yususuf kama nikupotea kapotea atasemwa na huyu nae kama kakosea kakosea tu, atasemwa vilevile

    • @husseinmukwambo9001
      @husseinmukwambo9001 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭😭 Sheikh mwaipopo nakuombea Allah akuhifadhi na madhwalimu hao shukran kwa kutuamsha usingizini

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 3 ปีที่แล้ว

      Mzee si aliwaona akaona bora kule kuliko kuibia watu

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 3 ปีที่แล้ว

    Sule ni tapeli tunamjuwa

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว

    Dokta sulle Huyo

  • @newchanel6154
    @newchanel6154 3 ปีที่แล้ว

    Tukisha jua ukweli tuta msaidiaj huyo shekhe? Vipi ungetumiwa wewe ungefanyaje shekhe?

  • @maalimjuma10
    @maalimjuma10 3 ปีที่แล้ว +1

    Ninyi nyote ni Matapeli tu, siyo Sulle peke yake, na Mashaikh wakiwaonya munaona kuwa wanaleta mgawanyiko na hawataki Umoja..!!!

    • @abdulkareemseif1892
      @abdulkareemseif1892 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo wahaziri wengi hawa maarufu ambao watu wanawapenda ni wapiga dili ika kina qassim mafuta akisema haya wamuona ni mtu wa kugawa

  • @thedon4221
    @thedon4221 3 ปีที่แล้ว +1

    Wahadhir mmejaa husda na unafki 2 akuna ukwel wowote ule unao uwongea shekhe

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      Wew kaa kimia, acha Sheikh Mwaipopo aongee ukweli, huyo Doctor namfahamu kabisa 😂😂😂 matapeli lazima kuaweka wazi

    • @thedon4221
      @thedon4221 3 ปีที่แล้ว +1

      @@joezeno8 huna lolote ww mwenyew mnafiki mkubwa na tumeshafaham ww ndie unae iyendesha hii chanel lazima umtete mnafki mwenzio

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@thedon4221 hapana, Masheikh wengi wanakuwa waganga gafla, nina wasiwasi nao

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@thedon4221 basata walishawahi kusema hayo kwamba Masheikh wengi wanakuwa matapeli, yaani kila kitu ni dalili ya Majini 😂😂

    • @thedon4221
      @thedon4221 3 ปีที่แล้ว

      @@joezeno8 akil zakuambiwa chamganya nazako ww acha uboya