Limeniathiri huba la fulani. Sabah salum (taarab

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @ahmedougedo5326
    @ahmedougedo5326 ปีที่แล้ว +27

    Inshaallah naomba MUNGU nipate mke anipende nami nimpende kisha usiku tukae wote kitandani tuisikilize hii nyimbo ili tuzidi kupendana zaidi inshaallah

    • @zengeummu9575
      @zengeummu9575 9 หลายเดือนก่อน +4

      Inshaaa Allah Allah atakujalia mwenye khery na weye

    • @ahmedougedo5326
      @ahmedougedo5326 9 หลายเดือนก่อน +3

      @@zengeummu9575 amiin

    • @mwajabushomari3872
      @mwajabushomari3872 5 หลายเดือนก่อน

      In Sha Allah

    • @SadouxMsafiri
      @SadouxMsafiri 5 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah

    • @AbdullatifKandwa
      @AbdullatifKandwa 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amin inshallah

  • @saadsiham677
    @saadsiham677 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sha Allah nyimbo mzuri msma etu sabah salum.mungu akueke❤❤❤

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaniiiiii asante tulio zama kwenye ili dimbwi la huba na wanaotupenda tujuane. Mapenzi ni matam tu ikiwa utampenda anae kupenda.... Hakika raha kupendwa ❤❤

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +8

    Macho kitizama nadhar ya shan,huwa nna hema mapigo ya ndan
    Mwili watetema nafungwa lisan,hushindwa kusema yalofuwadin
    Yaa Rabbi salama Mola niahumi niahuni

  • @suhaybabeid3115
    @suhaybabeid3115 4 ปีที่แล้ว +10

    Cjaona mwengin zaidi yako sabah salum your taraab is so cute😍😍

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 3 ปีที่แล้ว +3

    Raha duniani huba la Mohammed wangu 😍😍😍😍😍

  • @halimakindamba4883
    @halimakindamba4883 3 ปีที่แล้ว +2

    Limeniathirii Huna Lakee jamaniii Mashallah Sabah Manenoo Perfect kabisaaa I am Soo in love jamanii

  • @nassirsafari2338
    @nassirsafari2338 3 ปีที่แล้ว +4

    Sauti mashallah +254 tunakupenda sana...

  • @azlambarouk9039
    @azlambarouk9039 4 ปีที่แล้ว +3

    Raha duniani huba la fulani la fulani aaaa jamani hii nyimbo nzur hongera 😍😍😍

  • @salimseif
    @salimseif 9 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah sabah salum utaniua kwa maneno yako matam dadaangu ❤

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว +3

    Kesho tukiwa hai nauzima takua mapema tuskize hzo nyimbooo usiku mwemaa ndugu zanguu kaka zangu dada zangu good night 😴😴😴😴🙏

  • @mesaidisuleimaninyemia6333
    @mesaidisuleimaninyemia6333 ปีที่แล้ว +7

    Jamani hii nyimbo itaniacha nitafute mume niolewe

  • @abdulazizally-mw5uf
    @abdulazizally-mw5uf หลายเดือนก่อน

    Sabaha napenda sana nyimbo zako

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว

    Yoooooommmmyyy 🤩😘❤❤❤❤❤❤❤💞🥰😘💯🤣😂🤲ukwl kabisaa wasema somo yngu

  • @B_C_Bellah
    @B_C_Bellah 8 หลายเดือนก่อน +5

    Huu wimbo itanifanya nitafute ndoa kilazimaaaaa

    • @Mrs.Mumewangu
      @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna ndoa ya lazima vinginevyo hautapa hio raha wafikiria utapata.. Take your sweet time to get the right one ndio utaona raha

    • @missdee9501
      @missdee9501 2 หลายเดือนก่อน

      Umesema ukweli watu wasiharakishe​@@Mrs.Mumewangu

  • @issamusa4658
    @issamusa4658 6 ปีที่แล้ว +35

    Sabah dadang umetesa vya kutosha .rejea kwa Allah sasa

    • @hawaisabella5354
      @hawaisabella5354 5 ปีที่แล้ว

      Love u Sabah....😍

    • @selaboy
      @selaboy 5 ปีที่แล้ว +1

      Love you Muchacho

    • @lukmamy6655
      @lukmamy6655 5 ปีที่แล้ว +2

      Wewe usharudi kwa Allah??

    • @lailahasan2200
      @lailahasan2200 4 ปีที่แล้ว +4

      Kabisa, umenena, Allah ATUONGOZE hakika na atupe mwisho mwema Inshaallah

    • @amneothman2301
      @amneothman2301 3 ปีที่แล้ว

      @@lailahasan2200 Amiin

  • @batulialmas3795
    @batulialmas3795 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nyimbo haipatikan Google jaman

  • @khamismohamed1378
    @khamismohamed1378 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah ngoma haishi tuamu

  • @aminamohamed7002
    @aminamohamed7002 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Raha sana nyimbo zako zinahamasa

  • @abdulrashidi9110
    @abdulrashidi9110 5 ปีที่แล้ว +8

    maashaallah #always old is gold

  • @Naahayoub
    @Naahayoub 29 วันที่ผ่านมา +1

    nipate mume anioe sasa jamn😢😢😢

    • @moha004
      @moha004 10 วันที่ผ่านมา

      Wasema umekugusa pia ww wimbo

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว

    Majina ya sabaah ha aww wajali kusemaa ukwl🤣🤣🤣🤣🙏👍👌💞❤❤❤❤💗

  • @nahidsaid6050
    @nahidsaid6050 3 ปีที่แล้ว +7

    Yani haya maneno ni mazima sisi wengine tumetoka znz mpaka tupo UK kwa kuaathiriwa yani machozi mpaka basi kwa sababu ukiathiriwa na huba la fulani huwa unataka usimuone kila ukimuona huwa kama napata fedheha

  • @AminaYussuf-m8e
    @AminaYussuf-m8e 8 หลายเดือนก่อน

    Umenikumbusha long time habibty

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi kwa mara ingine jamani hapa. I miss my husband... Tuko mbali mbali kwa sasa💔

  • @fatumayusuf3675
    @fatumayusuf3675 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Mashallah Habibty

    • @aminabakari7997
      @aminabakari7997 5 ปีที่แล้ว

      Nakubali sana nyimbo zako big up

    • @ibrahimsalum8768
      @ibrahimsalum8768 5 ปีที่แล้ว

      Love u much much 😙😙😗😗😍😍😘😭😭😭

  • @bintykigan7014
    @bintykigan7014 6 ปีที่แล้ว +7

    Nice mashaa Allah

    • @mahabubusaidi1105
      @mahabubusaidi1105 5 ปีที่แล้ว +1

      Daah hapa nimekamatwa ka hii tarab achatu

  • @hassankitwango487
    @hassankitwango487 2 หลายเดือนก่อน

    Daah that was so feeling💯

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +4

    Moyoni wa khashiin,na katika langu hili langu hili
    Raha duniani huba la Fulani la fulaniii,kwa raha duniani huba la Fulani la Fulani

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 4 ปีที่แล้ว +5

    Limeniathiri huba la Fulani, Sauti hariri nyororo hewan
    Kashindwa kanar sauti laini,hamu imekithiri haina mwishoni
    Siwez subir! Siwez subir sina afueni afueniiihh

  • @tamimasharif4106
    @tamimasharif4106 6 ปีที่แล้ว +6

    yani Sabah salum mashallah

  • @nailanajim4221
    @nailanajim4221 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mama wtu wabaha ur de best haki

  • @abuuswabr1781
    @abuuswabr1781 ปีที่แล้ว

    Ma shaa ALLAH 💫❣❣

  • @hassanrashid224
    @hassanrashid224 6 ปีที่แล้ว +6

    Mimi ni victim no 1

  • @shakilaabdallah7772
    @shakilaabdallah7772 4 ปีที่แล้ว

    raha duniani huba la furani 😘😘😘

  • @saraahs6884
    @saraahs6884 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatujali kusemaa ukwl

  • @ranqueen4483
    @ranqueen4483 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallaah mashallaah

  • @biubwasaid9992
    @biubwasaid9992 3 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazitoooooo

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 ปีที่แล้ว +2

    we mkaliiiiiiiiii

  • @yassirhassanali9526
    @yassirhassanali9526 5 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah mamaa sabah

  • @hassankirumbi5353
    @hassankirumbi5353 8 หลายเดือนก่อน

    Masha allah masha allah

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ fahmi wngu

  • @hadiaismail3583
    @hadiaismail3583 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabicaaa😘

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 ปีที่แล้ว

    sabah salum atalii sana momy

  • @salmamohamed-tc6vn
    @salmamohamed-tc6vn 11 หลายเดือนก่อน

    Nice voice amazing

  • @yusrahamad7195
    @yusrahamad7195 2 ปีที่แล้ว +1

    Pambeeee

  • @ilhamazizi7584
    @ilhamazizi7584 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @zaricholo2643
    @zaricholo2643 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwela tena nimethirik na huba la fulan

  • @hamyb1434
    @hamyb1434 15 วันที่ผ่านมา

    🥰🥰🥰🥰

  • @issamashurinyo9609
    @issamashurinyo9609 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani napenda izomelod kama za kihinde eti heh

  • @SalmaJuma-tr3dd
    @SalmaJuma-tr3dd 5 หลายเดือนก่อน

    Wawo

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 ปีที่แล้ว +1

    wew ukua wala uto kua

    • @ummusalmamluku9225
      @ummusalmamluku9225 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli,limeniadhiri hubalafulani*sabaha weweunakonga nyoyozawatu@wallwah siwezisuburi,siwezi,sinaafueni!!hubalafulani❤️

  • @georgetubei
    @georgetubei 4 ปีที่แล้ว

    mungu baba!!!

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 ปีที่แล้ว +1

    we unajua xana aloo shidaaaaa

  • @dollamsomi1964
    @dollamsomi1964 2 ปีที่แล้ว

    Acheni tuuuu

  • @patrickmsuguri
    @patrickmsuguri ปีที่แล้ว

    2023🥰🥰❣️

  • @othmanbakar3911
    @othmanbakar3911 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah maashallh

  • @elizabethfreedom1484
    @elizabethfreedom1484 5 ปีที่แล้ว

    una baya sabah salum muchacho

  • @salmayusuph3653
    @salmayusuph3653 3 ปีที่แล้ว

    Limeniathir huba la Fulani siwez subir Sina afueni

  • @nicodemastambo847
    @nicodemastambo847 3 ปีที่แล้ว

    Limeniathiriiiii

  • @masudyrashid8156
    @masudyrashid8156 3 ปีที่แล้ว

    Tubu tawbatan nasuha

  • @snashiralmuaqly8874
    @snashiralmuaqly8874 4 ปีที่แล้ว

    Hapa mm cjw hata nicmj kwa maumivu

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    😣😣😣😭😭

  • @khamismussa3070
    @khamismussa3070 4 หลายเดือนก่อน +1

    2024🦻🦻❤❤

  • @abubakaryjohn5118
    @abubakaryjohn5118 5 ปีที่แล้ว +2

    ajatokea kama wewe bado xana

  • @yusufally6853
    @yusufally6853 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah