INSTAGRAM ILIVYOSABABISHA KIF0 CHA MWANAMUZIKI HUYU NDANI YA MASAA 16

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 61

  • @totooz5853
    @totooz5853 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza..ambiwa tafuta pesa ila usipige nazo pisha.. hya ndo majibu ssa

  • @Honest_Man
    @Honest_Man ปีที่แล้ว +5

    Blame it on gun laws,poverty and ego etc...these boys never learn..so sad!

  • @mathiaslaurent756
    @mathiaslaurent756 ปีที่แล้ว +5

    Pamoja na yote police wa marekani huwa wanafanya kazi vizuri sana, yani lazima wamkamate mhusika hata kama itachukua muda gani!? Sema marekani imelaanika vitoto vya miaka 18 vinaua kama hivyo.

  • @maryannkariuki1795
    @maryannkariuki1795 ปีที่แล้ว +23

    Wa Kwanza kaka shedi please show some love sasa twende kazi ☺️

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 ปีที่แล้ว +3

    Nilichojifunza kwenye vifo vya kuvamiwa na kupigwa risasi hapa,Star yoyote atakiwi kuonesha location ya sehemu walipo maana makundi au magenge ya kijmbazi uwa yako on mda wotee,ukionesha location umekwisha

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 ปีที่แล้ว +2

    Shed We Mnyama Sana Nakubali Baba♥️ Nasubiri Takeoff

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 ปีที่แล้ว +2

    Marekani sio inchi salama kweli

  • @hermanfrank6727
    @hermanfrank6727 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza kitu kupitia tukio hili

  • @muhsenali123
    @muhsenali123 ปีที่แล้ว

    nashukuru bro nime jifundisha na nimefuta post zanguzote hakinime batwana uwoga

  • @jacksonmedard6182
    @jacksonmedard6182 ปีที่แล้ว +1

    Nakupongeza kwa kufatilia brother

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 ปีที่แล้ว +1

    Wakati ww unafanya mzaha na sifa wenzako wanachukua point za kukumaliza watu wapo kazini na ww bila kujua kosea wapatie wao

  • @abasskambi6239
    @abasskambi6239 ปีที่แล้ว +1

    Sasha twende KAZI💪💯✔️

  • @kvoicetv
    @kvoicetv ปีที่แล้ว +3

    Together my Big brother 🤝

  • @VeejayUpdates
    @VeejayUpdates ปีที่แล้ว +4

    Sauti kaka sauti😢😍😍

  • @expert5898
    @expert5898 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana Bongo fasta

  • @malikimohammed8918
    @malikimohammed8918 ปีที่แล้ว +1

    Kazi safi

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 ปีที่แล้ว

    Wasanii wetu ndio mjifunze Kwa wenzenu,Kila mnachokifanya mnakiweka mtandaoni

  • @abduldjay3034
    @abduldjay3034 ปีที่แล้ว +1

    Dar R.I.P Pop smoke

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wetu wa bongo wajifunze kitu hapo

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +1

    Pop Smoke-Dior

  • @glorytogod2806
    @glorytogod2806 ปีที่แล้ว

    Twende kazi

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha kaka from Zanzibar

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 ปีที่แล้ว +3

    Majigambo sio Mazuri

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 ปีที่แล้ว

      Uislam.umekataza.k8utangaza.neema.zinaHasadiwa.ndyi.matok8eohayo

  • @fredricklucian7155
    @fredricklucian7155 ปีที่แล้ว

    God 🙏

  • @filbertmuro3233
    @filbertmuro3233 ปีที่แล้ว

    inasikitisha broh tuletee iyo story ya takeoff

  • @mrcarry5393
    @mrcarry5393 ปีที่แล้ว

    daaaah 😭😭

  • @ntanga9318
    @ntanga9318 ปีที่แล้ว +1

    Duh jaman

  • @husbaroonlinetv8813
    @husbaroonlinetv8813 ปีที่แล้ว +1

    Sio poa aisee

  • @jeshiichazz9915
    @jeshiichazz9915 ปีที่แล้ว +3

    Kaka lete story kuhusu story za magenge ya kuharifu ya marekani kaka

  • @danieldavid4733
    @danieldavid4733 ปีที่แล้ว

    Detective

  • @ashuramohamed2251
    @ashuramohamed2251 ปีที่แล้ว +1

    Pop smoke

  • @jenniferinnocent94
    @jenniferinnocent94 ปีที่แล้ว +1

    Kuna vingi vya kujifunz has kuhus mitandao

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 ปีที่แล้ว

    Walifungwa Moana mingapi..ndio stori

  • @elvisbahati243
    @elvisbahati243 ปีที่แล้ว

    👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾

  • @antirusia6942
    @antirusia6942 ปีที่แล้ว

    Kaka unahakili sana

  • @hilarymtepa9811
    @hilarymtepa9811 ปีที่แล้ว

    Wazungu wametuharibia ndugu zetu.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Hatar. Tupunguze ushamba namajigambo

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 ปีที่แล้ว

    SASA TWENDE KAZIIII

  • @amidaamissi9206
    @amidaamissi9206 ปีที่แล้ว

    Tuley ya take off

  • @rashidisalumu3095
    @rashidisalumu3095 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu

  • @daudimbeyale2999
    @daudimbeyale2999 ปีที่แล้ว

    sasa kwanini tusiendelee na take off kuliko kuchukua muda mrefu kumzungumzia pop smoke

  • @henryj3304
    @henryj3304 ปีที่แล้ว

    Kuna Kitu cha kujifunza hapa

  • @protasmtechula9705
    @protasmtechula9705 ปีที่แล้ว

    Bongo Amani Sana hatuuani

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 ปีที่แล้ว

    kaka twende kaz tupe madini

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว

    Panya load walio soma....Bongo wakalale

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 ปีที่แล้ว

    Illuminati tu hakuna lolote

  • @joyk3075
    @joyk3075 ปีที่แล้ว

    This is why 2pac is not coming back soon

  • @abuumaisara8340
    @abuumaisara8340 ปีที่แล้ว

    Bado ya xxxatation

  • @gallodecor2773
    @gallodecor2773 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P Takeoff imeniuma sanaaa sababu yeye ndio my favorite 🎶❤️🎶

    • @mnyilingatv
      @mnyilingatv ปีที่แล้ว

      Jamaa akiungana na offset na na mwenzao QAVO wana jua sana syo kidogo

    • @gallodecor2773
      @gallodecor2773 ปีที่แล้ว +1

      @@mnyilingatv kwel lakon pengo lake ngum kufichika

    • @mnyilingatv
      @mnyilingatv ปีที่แล้ว

      @@gallodecor2773 ndo ivo mwamba kasha tuacha

  • @johnbeukes7498
    @johnbeukes7498 ปีที่แล้ว +1

    R.i.p pop smoke

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 ปีที่แล้ว

    Dooh kudadenya

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว

    Waimbaji bongo fleva a.k.a. Kipofu kaons jogoo (hivyo hadi farasi ni mdogo kuliko jogoo)mpoo?
    Nyie ndo mwaiga hadi kukataa wazazi wenu! Lisa EMINEM kafanya! Na wadada kutembea “madishi” nje eti kuiga wanna Hollywood! Hadi wanaume kuvaa kishoga!