Zimetoka series Kama hizi mfano Temptation Island na Too Hot To Handle . Lakini mchezo huu unadhaminiwa na Freemasons nembo yao hiyo " ALL SEEING EYE "
@@BONGOINMOTION Atakayeniuliza labda awe zezeta Hilo wanaita the eye of Horus ambalo siku hizi linaitwa evil eye ama all seeing eye . Alafu sio kila kitu kimeandikwa mfano leo twatumia utandawazi nipe andiko kwenye Bible ama quran limetaja internet??
@@albertpike5893 Jambo la kuelewa ,,,wewe waache na mambo yao ,,,,,,kinacho tuponza ss waafrika ni kitu kidogo tu,,kuacha tamaduni zetu na kupapamkia tamaduni za watu,,,tumekuwa tukijifunza mambo mengi kutoka nje ndio maana hata ya hovyo unakuta watu wanajifunza,,,,hizi alama ni sawa na matusi ikiwa na maana ya kwamba tusi ni matumizi mabaya ya lugha kwa lengo la kuwaumiza watu,,alama hizo zinatumika ili kuwaumiza baadhi ya watu kisaikolojia,,,
@@prophetislael5265 Sasa nimetambua kuwa hata hujui kinachoendelea duniani. Unaiangalia dunia kwa macho haya haya ambayo karibu kila mtu anayo. Jiulize tu waliweka jicho la nini kama halina maana yoyote kwao? Kama hujui uliza badala ya kubisha bila kuwa unajua.
Unajua nini unajua kwanini sisi tukienda big brother tunashinda sisi tunaswag pale tukiwa mjengoni atuna uwak wala ushamba wenzetu wakina okonko obiyo wanasifa nyingi wakiona mademu kelele nyingi yowe mwingi sasa apo ndipo wanatuchokaga Mr swahili Nations. welcome Tanzania we a have a lot of tourism. Swag lee
Kaka yaani kabisa umemsahau Legend Mwisho Mwampamba aliyepata kushiriki mara mbili haya MASHINDANO
Hajui kitu huyo
Halafu hyo nembo yao ya jicho ni ishara ya Freemasonry. Namimi nipate like zangu jamani.
😂😂😂😂😂
mimi kama mwanachama wa freemason. nakataa hiyo ishara ya jicho sio ishara ya chama chetu
@@musamowino3674 😂😂😂😂
hiyo ni ishala ya illuminate, freemasony nembo zao lazima ziwe na kfaa cha ujenzi kam lula, bikali au fuvu
Hilo jicho lina maana kubwa hasa ukizingatia shindano hilo limejaa uchafu wa Kila aina vitengo vya ushoga usagaji na ngono hadharani
Natamani sana kushiliki mashindano ya BIG BROTHER
Ikitokea nikapata nafasi hakika sitafanya uzembe nitahakikisha nanyakua taji la ushindi 🇹🇿
Tumuombe Allah mwisho mwema , shetani kaapa kuupoteza umma ,,na hivi sasa yupo kzn
Natamani kwenda kushiliki nikipata nafasi ,Nependa Sana maisha wanayoishi Big brother
Nice video but hujaeleza hasa vigezo gani vinavypelekea washiliki kuwa disqualified na kuaga shindano
Wa Kwanza leo
Tausi umetisha.Like nyingi kwako
Shetani yupo kazini
Okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay okay
Rwanda
Safi sana jastin
Mbona Inaendelea big brother Naigeria
Zimetoka series Kama hizi mfano Temptation Island na Too Hot To Handle . Lakini mchezo huu unadhaminiwa na Freemasons nembo yao hiyo " ALL SEEING EYE "
Bro ukisema kila alama ni freemason ipo siku utaambiwa maandiko wako ni alama zao sijui utaachakuandika!!
@@BONGOINMOTION
Atakayeniuliza labda awe zezeta Hilo wanaita the eye of Horus ambalo siku hizi linaitwa evil eye ama all seeing eye . Alafu sio kila kitu kimeandikwa mfano leo twatumia utandawazi nipe andiko kwenye Bible ama quran limetaja internet??
@@albertpike5893
Jambo la kuelewa ,,,wewe waache na mambo yao ,,,,,,kinacho tuponza ss waafrika ni kitu kidogo tu,,kuacha tamaduni zetu na kupapamkia tamaduni za watu,,,tumekuwa tukijifunza mambo mengi kutoka nje ndio maana hata ya hovyo unakuta watu wanajifunza,,,,hizi alama ni sawa na matusi ikiwa na maana ya kwamba tusi ni matumizi mabaya ya lugha kwa lengo la kuwaumiza watu,,alama hizo zinatumika ili kuwaumiza baadhi ya watu kisaikolojia,,,
@@BONGOINMOTION
Kuna mahali nimesema kila alama Ni freemason??
Safi Sana haujawa mchoyo kabisa kwa wenye ndoto za kumilik Chanel zao
Hv mwisho nwampamba hakuwahi kushinda huku
Alishika nafasi ya pili
@@joshacky5820 anhaa asante kwa kunifahamisha ckuwa najua
Siku 100🙄 hapana
Sasa huyu Idirisa mil500 kazipeleka wapi🙆
NIMEIPENDA HII, JAPO SIWEZI FANYA HIVI
Duuuuuh.... Umemtema Mwisho Mwampamba... au ulikua hujazaliwa enzi zile
Uyu alikuw bado ajazaliwa uyo ndio alikuwa wakwaza kutok tanzania
atamjulia wap uyo zombi,
@@jayp5871 😂😂😂jaman
@@bellogregory7175 😂 atar enzi za mwampamba kupta na ray c
😁😁😁😁daaadeki
Nipo nasikiliza tu
Dah natamani nikashiriki na mimi ni miongoni mwa ndoto zangu hii kitu na ikiwekwa tena nitaenda na nitarudi na ushindi kwaajili ya nchi yangu
Tamani kutafuta ela za halali, zitakua na baraka mbele ya Mwenyezi Mungu
Fanya kazi Kaka hela za hivyo zna shida.
yaani ukafanye ufuska eti unaleta ushindi ?
acha kuhadaliwa na maisha ya dunia hii ni starehe ya muda mufupi
Mbona ishaanza zaman
Ipo DSTv channel ya big brother
Ahujatowa historia ambayo inausu big brother
Tunaitaji kujuwa siri ya ndani
shindano la kishetani tu upuuzi mtupu kabisa mi siwezi hata kuangalia …
Ni mashindano ya kushajihisha ushoga na ukahaba, vipi watu wa jinsia tafauti watachangia kila kitu
Kama ww ni kahaba ni kahaba tu
@@winnieedson4631 ni kweli ila mazingira yanahamasisha. Moto hukolea kwa kumiminiwa mafuta
Natamani kushiliki ila sijui kingeleza utanisaidiaje
Swadakta kwanini hasiwaweke wazungu wenzao
🎉🎉
Sasa twende kazi
Sawa
Big brother mzanzi mwaka jana mshindi ni Mphowabadimo, Big brother Naija bado ipo, tatizo ni ma sponsors wa Big brother Africa
saivi ipo big brother titans ya wanaigeria na wasouth imesha fika katikati mbona hujaiongelea iyo
Nebo ya jicho cha kishetani hii ni ushenzi na ufreemason
Ningependakushirikijaman😁😁😁😁😁
Mbona hamjipya bro
Brother you forgot the pne and only Mwisho Mwampamba
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
Kunajam alikuwa anaitwa mrisho mwampamba uyo ndio alikuwa kwaza kutoka tanzania
Naam mwisho mwampamba alitisha sana
Richard alishinda
2007 na sio 2004 Bro!
Natamani sana one day nisipo shiriki mimi baasi kizazi changu badae kuna funzo kubwa sana hapa
Mambo waki dunia haya , kaa mbali
Okay,😃😃❤️❤️❤️❤️❤️❤️but niulize hiv kanumba si pia ali shiriki big brother?,,
Hakushiriki alienda kama mgeni kuwatembelea washiriki
@@zenarupia544 ,, okay,, shukran swrry
Hapanaa
Hakushirik
Shukran zenye wapenzi kwa kunijuza ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nawafanye yajinsia moja waone kama watapata mshiriki
Lesotho
Kaka Justin tunaomba kupata makala juu ya silaha za nyukria
Watanzania tumekalilisha ujinga sana kila chenye mafanikio ni FREEMASON ACHENI MAWAZO FINYU
Ss nini wanashindanishwa
We unaona dunia ni sehemu salaaama.
Kama hata hujui hilo jicho linaashiria nini bora ukae kimya
Kwakweli mtu akitajirika ni freemason
@@ellymaz2187 kwahyo namacho yako yanawakilisha nb
@@prophetislael5265 Sasa nimetambua kuwa hata hujui kinachoendelea duniani. Unaiangalia dunia kwa macho haya haya ambayo karibu kila mtu anayo.
Jiulize tu waliweka jicho la nini kama halina maana yoyote kwao? Kama hujui uliza badala ya kubisha bila kuwa unajua.
Ufrimasoni t kwenye hio story
N kigezo gan sas ambacho kitafanya uchaguliwe kujoin?
Vipi kuhusu Bwana Mwisho Mwampamba
Burundi
Thank you so much
Sasa twende kazi 🔥🔥🔥🔥
Mwisho mwa mpamba hakuwa Mtanzania kwani??
Nikipata nafasi hata Leo najiweza
afu mbn bd0 ip0 inaitwa BIG BR0THER TITANC
Ile ni Nigeria only sio nchi zote
Alifirisika kivip?
Vipi kuhusu Mwisho Mwampamba
Ili kujiunga unatakiwa kuongea lugha zipi na fomu zinapatikana wapi
Tulete story ya Biggboss ya India
Kumsahau Mwampamba umeharibu stor yote
Alikuw ajazaliwa
Kweli kabisa ameharibu story lkn Mwisho Mwampamba sialikua mshindi wa pili yule??
Mbona big brothers yaendelea tu
Ipo na inakaribia kuisha sasa
Nimazury ila ila yanaitaji uvumilivu
mbona ídrîss apo mweusi 😂😂
Kwani ivi sasa ni mweupe 😅😅😅😅
Zile ni filter tu za camera
@@vincosmeticsmarvin 😁😁 ila apo alizidi
@@starjay3052 hahahaha kaka mjini kuzuri
Poor research was done
Ndio mm ningependa kushiriki
Mbona unamsahau mwisho mwampamba mtoto ya morogoro mbona unatuchanganya nawewe hujui kitu
Kateleza asee
Hakushinda mwisho,alishika nafasi ya pili ule mwaka
Washindi watatu bwana,,mwisho mwampamba alishinda pia
Mwisho alikua mshindi wa 2
Wanashindania nini hasaaa
Lipo DStv ni faya chanel 168
198
Lema mambo
198
Dstv kuna bigbrother titans
Big brother hot chat
Big brother naija
Zote huwa znaruxhwa dstv
@@sney1023 ndio ila inayoendelea kwa sasa ni big brother titans
@@ambakisyemwakinunu2002 yeah
@@ambakisyemwakinunu2002 ile ni Nigeria tu
Umeongea utumbo na ndizi
kuna siku mtafungiwa😂
Unajua nini unajua kwanini sisi tukienda big brother tunashinda sisi tunaswag pale tukiwa mjengoni atuna uwak wala ushamba wenzetu wakina okonko obiyo wanasifa nyingi wakiona mademu kelele nyingi yowe mwingi sasa apo ndipo wanatuchokaga Mr swahili Nations. welcome Tanzania we a have a lot of tourism. Swag lee
Ushoga tuuu