KIMENUKAAAAAA.....Lissu AFANYA VURUGUUUUU!!!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @greysonmatembo2802
    @greysonmatembo2802 24 นาทีที่ผ่านมา +1

    Jani uyu mwenyekiti anawajaza sumu wananchi😂😂😂😂😅 nabidi apimwe akili😅😅

  • @QaahtaQaahta
    @QaahtaQaahta ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MUHESHIMIWA HATA RAIS WA ZANZIVAR HANA MAMLAKA TANGANYOKA. USISAHAU MWINYI NO MTANGANYIKA NA KAVIUZA VISIWA VYETU VYOTE MBONA HUSEMI. MIMI NILIKUWA NAKUSAPOTI LAKINI NAKUHISI SASA UNA UBAGUZI WA KIDINI NA KIJOGRAFI. BORA KUACHANA NA WEWE

  • @AbdallahMohammed-u2v
    @AbdallahMohammed-u2v 44 นาทีที่ผ่านมา

    Mwandawazimu kaanza wazimu wake huyu Chadema hawana kiongozi

  • @fikirinimalange8164
    @fikirinimalange8164 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    JAMANI MWENYEKITI MPYA
    KIUKWELI SIMZIMA MUMPIME AKILI SIMTU MZURI NI MUONGOOOO

    • @IsaacNyato-dt9we
      @IsaacNyato-dt9we 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wengine tunashangaa hata hao waliompa uenyekiti wa chama. Maneno yasiyo na ushahidi (ya kuzikiasikua) siyo ya kuongea kwenye mikutano ya hadhara.

  • @musakavenuke6378
    @musakavenuke6378 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huo ni uwongo mtupu hakuna bandali iliyouzwa

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    NI KWELI KABISA MTU AKIWA RAIS WA TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 HUWA WANAUONA KAMA MUNGU WAO. YANI AKUNA NCHI INAYO JAA UJINGA KAMA TANZANIA KWA KAMBO YA KUWAPAMBA VIONGOZI WAO, YANI MTU AKILA AKASHIBA UTAMSIKIA AKISEMA " ASANTE RAIS SAMIA LEO NIMESHIBA" YANI UJINGA MWINGI SANA

    • @JosephMwaitete
      @JosephMwaitete 59 นาทีที่ผ่านมา

      HATA MUDA HUU WAPO WANAOMUONA HUYU LISU KAMA MUNGU, KILA MTU ANA MTAZAMO WAKE USILAZIMISHE ATAKACHO MTU

  • @JosephMwaitete
    @JosephMwaitete 55 นาทีที่ผ่านมา

    Magufuli alisema, "masharti yaliyowekwa kwenye mkataba wa bandarini ya ovyo,ni kichaa tu atakayeyakubali," alichokikataa ni masharti ya mkataba, je bandari imbebinafsishwa kwa masharti ya awali au kuna mabadiliko?

  • @tamimsaidjushmy606
    @tamimsaidjushmy606 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Bandari haijauzwa

    • @achawanunetv1167
      @achawanunetv1167 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe uko nyuma ya wakati

    • @IsaacNyato-dt9we
      @IsaacNyato-dt9we 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@achawanunetv1167unaweza ukawa nyuma ya wakati wewe.

  • @MenadKalinga
    @MenadKalinga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bandari imeunzwa

  • @QaahtaQaahta
    @QaahtaQaahta ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KWENU WAPI? NA NYINYI MUNAWAFUKUZA WAISLAMU KARIAKOO ILI WATAWALE WAKIRISTO.
    NA MUNATULETEA MWINYI MTANGANYIKA ATUTAWALE ZANZIBAR. NA ASLIMIA NNE YA MISAADA TANGU UHURU MUNAICHKUWA NYINYI WATANGANYIKA MBONA HUSEMI?
    NA BANDARI HAIKUJENGWA NA MJARUMANO. IMEJENGWA NA WAARABU