SHEKHE ATOA WITO WANAWAKE WA KIISLAMU WAVAE NGUO FUPI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.พ. 2023

ความคิดเห็น • 81

  • @husseinabdul7948
    @husseinabdul7948 ปีที่แล้ว +6

    Subuhanallah! Kichwa cha hbr na yalioko ndani tofauti msitumie dini hvyo Allah s.w.t hapendi maana kunawatu hawana mda wa kucheki cha ndani ye kaona ujumbe kw juu na sura za watu w din kachukulia uzito huo kasha ukumu

  • @abubakaribashiru9454
    @abubakaribashiru9454 ปีที่แล้ว +13

    Kichwa cha habari kimenitisha

  • @muhidintahir3194
    @muhidintahir3194 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa mke ukiwa nyumbani mvaliye mume wako ndani ya nyumba nguo fupi nguo za starehe. Nakubali ustadh na maneno yako

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Baaraka Allahu Fiikum

  • @rahmakombo6245
    @rahmakombo6245 ปีที่แล้ว +1

    Barakallahu feek .Allah ajaalie katika hassanat zako.

  • @shamzone388
    @shamzone388 ปีที่แล้ว +4

    Je wanaume wanawatimizia wake zao mahitaji yao❓❓
    Vyakula nyumbani hawaleti kisawasawa... leo wataka tuwapakate na tuwapepee wakati wao hata mapenzi na mahaba hawayajui ...

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว

      hapo chacha wanaume wenyewe migume gume ty

    • @mohamedsuleiman2785
      @mohamedsuleiman2785 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kutokan n hali y maisha mahitahj hayatimii ila subra ndio muhimu

  • @Habiba-tq8jm
    @Habiba-tq8jm 4 หลายเดือนก่อน

    Muache kuwekelea mashekhe wetu uongo😢😢😢

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 ปีที่แล้ว

    Mashaallah... Shukrn kwa darsa

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว

    Mashallha shukurani sana sheikhe

  • @aleemaviolet9978
    @aleemaviolet9978 ปีที่แล้ว

    MashaAllah 💖💖 good message

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +3

    Naam, dini ni bahari kubwa.

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 ปีที่แล้ว +1

    Haloooo tenaaa sio kunukanuka unukie. Umsugue mpaka kea heshma ya mume umshevu mwenyeo sio aende kwa kinyozi kinyozi uwe mwenyeo

    • @Salma-hu4ju
      @Salma-hu4ju ปีที่แล้ว

      Asante kwa elimu

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k ปีที่แล้ว

      MashaAllah, maneno yaendane na vitendo

  • @soudia9084
    @soudia9084 ปีที่แล้ว +1

    Maliza sentensi yako. Wave nguo mbele ya wanaume zao.

  • @rahmaarrington9019
    @rahmaarrington9019 ปีที่แล้ว

    Assanteee will do that!!

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 ปีที่แล้ว +2

    Hata wanaume wavae pia vizuri. Kama mume wangu. Huwa nashida nalibuka hilohilo Kama anaenda kucheza mpira. Na mnunurie za sex. ana chukua na kwenda kuziuza. Kwahiyo sio wanawake 2.hata wanaume watakiwa kuva vizuri dani. Mwanamke pia anahisia.

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว

    Mashallah 😍Jazakumullah kher 😘😀

    • @ibnuabdallathabit142
      @ibnuabdallathabit142 ปีที่แล้ว +1

      Darsa umeifahamu vizuri??

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 ปีที่แล้ว +1

      Mimi wangu huwa na mfanyia

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว

      ​@@zuhuramuhanga5400 . Me too viguo vya ushari lazima ziwepo , Tuwe malaya kwa waume zetu .

  • @ramadhaniabdallah4265
    @ramadhaniabdallah4265 ปีที่แล้ว

    Niltaka kushangaa shekhe. Kusema wanawake wavae nguo fupi kumbe nilikua cjaelewa kichwa Cha habar

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว

    Nime shtuka kwanza 😮

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 ปีที่แล้ว

    Falsafa ya maelezo ni mzuri ni fasaha lakini kichwa cha habari muandishi anamapungufu kama si radio binafsi tungesema kaajiriwa kichama zaidi kuliko kitaaluma, atawanyima wengi kusikiliza clip hii, kichwa cha habari ni hovyo kabisa

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake tufanye yote hayo uliyosema na wanaume nao uchafu hawaogi wala mswaki wanaume wa siku hizi hawana mapenzi na wake zao sasa ukiumwa ni wewe na mungu hata ulizwi na hizo nguo finish na mafuta mazuri hawanunui sasa utanukiaje ya nazi hamna dera hanunu kujipamba ni sote mke na mume na kunukia pia

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 ปีที่แล้ว +1

      Kama hafanyi hivyo ni jukumu lako kumshauri,sasa ukikaa domo zege ndiyo nini?Mpe masomo kama hadithi ipo inayoelekeza mpe asome atabadirika make wengine hawajali kwa sababu ya uchache wa elimu zetu.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว

      haha 😄🤣😂😆😅💓kunuka kunuka

    • @kiri5807
      @kiri5807 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ndio watakiwa umueke usafi mumeo . Mume ni sawa na mtoto ataka ahudumiwe .

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว +1

      @@kiri5807 wacha weee 😄🤣😂😆😄sasa c aende kwa mama yake kma ni mtoto

    • @safiyatheonlything7848
      @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว

      ​@@ramadhanilukambuzi9760 arafu siyo wanaume wote wachafu mm wa kwangu mashallha yani ata usiku mkilala anakukumbusha kupiga mswaki yani akiingia chooni utasubili mpaka namwambia ww utakuwa na jini mahaba🤣msafi mno yani mafuta mazuri kama yote

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว

    Utafahamika vibaya kwa kauli yako Kheikh ! Utapoteza UMMA

    • @husseinabdul7948
      @husseinabdul7948 ปีที่แล้ว

      Kwery maana kichwa cha hbr na yalo ndani tofauti hisitake uzama bidha yako kupitia dini utapotosha umma mkubwa itaonekana mama w kislam wameruhusiwa vimini

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว

    SHEIKH NAONA UPO KTK HALI INGINE ULIVYO..WSLA SIO KATIKA MAFUNDISHO,TABA YA RABBI 🥶

  • @zahariawaziri6794
    @zahariawaziri6794 ปีที่แล้ว

    Da mbona mnakosea mashehe jamn waandish wa habar

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 ปีที่แล้ว

    Misleading title

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 ปีที่แล้ว

    Wewe shiekh kwahio kauli zako utapoteza umaa chunga sana onaongea kishenzi ni kama hauna akili

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +3

    Ok sawa wanawake jee nyie wanaume mnazo hizo tabia mnawapakata wakiumwa au nyie tuu😅 hata kumsifu mkeo hamna tabia hio kwanza fanyeni nyie hayo otomatic na mke atafanya km hamna nyie msitegemee kufanyiwa mana hio nguo fupi ataipata wapi km hujampa jee unahudumia ili ufanyiwe, akiumwa hospitali tuu hamuwapeleki mnawambia nenda hospitali utamaduni haupo ni moja moja tuu 🤣

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 ปีที่แล้ว

      Achakusema hivyo wewe labda mumeo ndio hakusifu wala kukupeleka hoc

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว +1

      wanapenda kufanyiwa wao ty hawa viumbe hawabebeki kabisa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 ปีที่แล้ว

      @@yunusramadhan2546 hao wanaume wenyewe wakuwafanya wanawake wafanye hayo wanapatikana nchi gani

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +2

      @@yunusramadhan2546 mimi wangu anafanya tena anajua wajib wake ila ukweli usemwe asilimia kubwa ya wanaume hawajui wajib wao na hawatunzi wake tunaishi kwenye jamii na asilimia kubwa hawatunzi wake wala kubwa kula baas na kuzalisha mengine no

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 ปีที่แล้ว +2

      @@heyumi2340 hawapo kwa kujitetea mahodari mke atauza maandazi pesa zake hatumii mwenyewe awape watoto pesa za skuli na asaidie kijio mume hatimizi wajib wake atafkiria kumpakata mume na hana utulivu wa nafsi anawaza kesho pesa ya kumpa mtoto buku. Kubalini msikatae kukamata majukumu yenu mia kwa mia asilimia kubwa hakuna

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 ปีที่แล้ว

    🤣🤣

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 ปีที่แล้ว

    Baba umesema ukwel apo kwel wapo wanawake km haoo

  • @ashambaraka8769
    @ashambaraka8769 ปีที่แล้ว

    Sio lazima tuoee 😂😂

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 ปีที่แล้ว

      Kwa sasa mnaweza kuolewa kama sio lazima kuoa

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 ปีที่แล้ว

    Mtoa mada mbona umekuwa mpotoshaji!

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว

    Mtihani lakini na wanaume wetu siku hizi hata uyafanye yote hayo hawatosheki

    • @cossanwambura1614
      @cossanwambura1614 ปีที่แล้ว

      Mbona anatakiwa aoe watano sasa atoshekeje??

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว

      Kuna methali ya Kizungu inasema,half in knowledge is poissonuos,kujua kitu sentensi m8ja ukasema unajua huo ni UPOTEFU,ktk nyumba kuna watu aina nyingi,hali inajuzu kwa kuwa yupo ndani avae uchi? Kuna watoto japi miaka 7,kuna Wakwe,,Mawifi au Shemeji,au mgeni karibu au mbali! Vp hapo skae Uchi? Kuwa uchi ni baina WEE NA MUMEI TU..MSIPOTOSHE DINI

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k ปีที่แล้ว

      Ukiona hatosheki ridhia aongeze wake kama inavyosema dini

  • @raiyana9376
    @raiyana9376 ปีที่แล้ว

    Mtakuja kutuuwa kwa vichwa vya habari bhan

  • @coyancodavao4004
    @coyancodavao4004 ปีที่แล้ว

    Mussaaaaa

  • @Awatee
    @Awatee ปีที่แล้ว +1

    🤣👌

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe km cc tulio wajane jee pia niharamu kujipamba et jmn

    • @saidinkhomee8139
      @saidinkhomee8139 ปีที่แล้ว

      Mzm uko wap

    • @user-rb8ir9co9k
      @user-rb8ir9co9k ปีที่แล้ว

      Ndio ni haramu mpaka pale mtakapo olewa

    • @hamidakhatib9777
      @hamidakhatib9777 ปีที่แล้ว

      @@user-rb8ir9co9k heee mtihan san Maan haujui lini tutapata iyo ndoa lkn Insha Allah Allah atatufanyia wepec

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 ปีที่แล้ว

      @@hamidakhatib9777 unajipamba mwenyewe kujifurahisha bora wanaume wasikuone na mapambo unajipamba ndani ya nyymba yako ukitoka nje unajistiri usionyeshe mapambo yako

    • @hamidakhatib9777
      @hamidakhatib9777 ปีที่แล้ว

      @@AminaAhmed999 aa bor t nisijipambe Maan umo ndani cn wa kumpambia labda nisubir uyo mume t