HANIPHA (BINTI WA KAZI), HOUSE GIRL.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2022
- Hanipha.. anasimulia changamoto alizokutana nazo akiwa dada wa kazi hasa jinsi watoto wa kiume wa boss wake walivyokua wanataka kujifunzia kufanya mapenzi kwa na kuishia kugombana wenyewe kwa wenyewe na mengine mengi tu... sikiliza hii simulizi fupi nzuri sana...
Jaman wana anko jay uyo dada mbna kama ana tamaaa
Enywe kilamtu katika maisha ratiba yake MUNGU ndie mpangaji
Dah nimepata mambo yakujifunza Kwa uyo mdada anipha
♥️♥️♥️ waaaoo simulinzi inamafunzo nimeipenda
Funzo zuri mke usiache kuplay part yako na mume siku zote ni km mtoto na tusidharau our house helpers
Ongera hanipha... Ila ulikuwa na bahati ya kuzaliwa.
Leo nimekuwa top 10 naomba like
Hongera kwa kupambana vema. Ni kweli maisha yetu ni mapambano mpaka kaburini. Hakun ambaye amefika. Asante kwa fundisho tupambane mpaka tone la mwisho.
Safi xna hongera yko ucl jy
Nimejifunza mengi sana asante Anko jay
Saa zengine cc wanawake tunajichimbia Kaburi wenyewe..mume WA mtu usithubutu kumfanyia mazuri kupita kiasi ataingia box tu..tuwe Makini sana..mume WA mtu Sumi jemeni.
Mume wa mtu ni kama tunavyotembea na kifo kwenye kisogo.
Broo tuk pamoja kila hatua unayo piga anko JJ 👍
Broo nakukubali Sana
Hongela sana hanipha utafanikiwa asateni sana simlizi fupi by ako j
MashaAllah nzuri mnoo
Mwenye makosa ni mama mwenyenyumba unalalaje mda ambao mumeo anatakiwa kwenda kazini na nguo kufua ujui
😊
Ujui maisha mungu amekupangia nimependa mno msimamo anawo ila anatafuta maisha
Yes sumulizi zuri Sana tamu ikmapenza ❤️❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘😊😊😊😊😊
Going
Tamu sana nimejifunza mwamuke ni kujiamini
Safii sn anko
Daah ila awa maboss
Sasa uyo sio mfanyakazi ni kahaba
🤣🤣🤣🤣🙏
Me siwez kbs huo ni wizi wa mabwana .za watu
Tena sana
Nimependa sana
Story ❤️❤️❤️❤️ taaam dah nimependa.
Nzuri sana aisee
Nimeipenda kweli simulizi
INTERESTING 🔥🔥ANKO JAY
Pesa sabuni ya roho jamani🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante simulizi mix kwa simulizi kwa nzuri
Xx mp de
Mp
wadada wakazi hawa mhh
Jina langu limefikiwa😍😍🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hi somo 😍
Hebu muige Sky. Unavyo pumzika pumzika unachosha
Hajui kwamba tunatumia mb😂😂😂
Bahati ilioje jamaniii, ongera sana hanipha
hongera
Imenifunza mengi sana i hivi congruants
I have learned much from hanipha God bless you
Ndio naangalia maslai bwana 😀😀😀😀😀😀
Ila anko J unajuaga kuisuuza nafsi yangu mwanzo mwisho umeongea sauti ambayo sio yako hapo mwishoni Wakati unahitimisha ndio ukatuaga na sauti yako kiukweli huwa nasikiliza simulizi hata ikiwa mbaya kisa tu umesimulia wewe alafu hata sijui Kwanini Kuna simulizi zako mbili hujazimaliza🙄
Inafundisha sana na inatakiwa kwa kila mwanadam kujiamini ili ufanikiwe katika maisha
Kazi nzuri mtunzi
Mlete mxungu,,, story nxur san
Kutokana na simuliz hii nimeji funza kitu ninzuri sana
Pamoja sana ANKO J
Wow. nimeipenda
Nzuri nimeipenda
🎉🎉
Nzur Sana
Km inawezekana nwanbie atumalizie utamu tuzidi kujifuza kwapamoja na jee ukionana nayule wamwazo itakuwaje tipo pamoja
❤❤❤❤ jamani wakwanza huyooo
Uyo wa jina kamalaya,😃🤣🤣🤣🤣
Mwenzangu,yupo kimaslahi zaid!
Aisee hii kali
Kizizi girl
Story ni nzuri sana ila imeishia vibaya mtafute hanipha atupe muendelezo
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbwa wewe malaya ten wangekuwaa kabisa mwanamke mzima unafanya mambo yakijinga
Nime wahi leo
Wow so amazing story dadangu
Good
Waoooh nimeipnd mnooo🔥🔥🔥❤️💚💚
Story nzuri na tamu sana
Hongela kwa kz mzuri
Mmh mtihan jamn wa wadad wa kaz htr
Jaman hatari
Niece
🙏🤝
Wow amazing sana
❤❤
I like it♥️❤️❣️
Simulizi Nzuri sana
Mbon imemalizia vibay
vizur
jamn wajina umenifraisha yani kunamengine unanilenga lenga mimi jmn
Nice thanks
Waoooh amazing ❤❤❤
Jmn mbna doctor malya sione part 2 🙄
Mbona ilishatoka
Simulizi mix munatufurahishaaa
Haya sasa boss na mfanyakaz nani atapata zaid
Umenifunza mengi sana acollj
Ase aka kadadad kalikuwa kamarya lakini pia kamenifunza kitu ujasir ndo kila kitu kwenye maisha str tumu atar wapendwa tujifunze kutokukata tamaa mapema
Ila hanifha hongr mpenzi ulijitahid Sana mpaka kumtia kiganjani mzungu
Ila ank j hapo umefeli unasema alikuwa na muda hajawasha sm huko muda wako bich alaf ukkaja ukasema eti alikuwa anamuda kazima sm then kaifungua ndo kaanza kuangalia mtu anaetakiwa kugombea nafas yaa urais wa udada wa kazi
Simulizi nzuri ladha tu
Hanipha , yes ,no,🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆
Wow I like it ❤
❤❤❤❤
Asante Ankle angalau hii hujatuacha solemba
Ila hanipha alikuwa na haraka huyu mtoto
Ninaowapa like muniludishie🙏
Waaau amazing 🔥🔥🔥😍❤
A
❤️❤️❤️
NZuri Sana
Mke kujiamini👏
Nimempenda french💖
Wapili leo❤❤
Maisha Aya
tayari
❤❤❤🎉🎉
Lakin me nimepitia kazi lkn me kushulikia watto ni sawa lkn kupeleka maji ya bos bafun chai yenyewe kbla hajaamka nweka mezani bora tu asinione naweza maliza mwez sjamuona bos wa kiume 😁
🔥🔥
Simulizi Tamu
Simlizi umeipenda kama mm nimependa story iyo tam.
❤❤❤❤❤❤
𝐖𝐚𝐚𝐨𝐨𝐰 𝐢𝐦𝐞𝐧𝐢𝐣𝐞𝐧𝐠𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚𝐚𝐚🥰🥰🥰💃💃💃
Nice
❤❤❤❤❤❤❤
Very stor ❤
Hongera da anifa
Waooo sorry nzur inafunza lakn
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Waaoo amazing 👏😍
Awesome and encouraging story
Kiukwel Mimi ningebakia na baba
Hahahahaha
😘😘😘😘😋
Hakiyamungu wallahi nimeipenda sanaaaaa l like that
Woyooooo
L
😦😁