Wanasema Suprise zinaongeza mapenzi.. Ila usisahau kua pia Suprise zinaua au kusababisha majanga makubwa sana... Sikiliza hii simulizi utaelewa kilichomkuta MKE MWEMA kisa suprize...
😭😭 mwen pesa anatafut umasikin na mk bol na masikini anatafuta pesa na mwanamke mzuli na mweupe iko saw kk kile kiungo kimoj cha lukia ndo kilikua akimpend sahily kw kua kamdangany
Masikini rukiya anesitahiki Allah 💖🌹kamupa aneesitahiki katika maisha yake Alipanglo MUNGU binadamu huwazi kulipawa mim pia nimejafuzambo usidhalau usiye mjuwa 🤷♂️
Anko hata mm pia imenitoa machozi Ila nimepata funzo nitawafunza hata wanangu pia Mungu awabariki Sana Wana familia YA simulizi mix Kwa mafunzo mnayonipatia najifunza vitu vingi Sana kutoka kwenu mubarikiwe
Subuhana Allah MUNGU mwema kwekilajambo Yani kufanya tooba ujiombeya duwa kaakufa😳😳 mbona jakipa mitihani mala mbili huyu akikuwa mbinafusi katika maisha
PRIDE GOES BEFORE DESTRUCTION, A HAUGHTY SPIRIT BEFORE FALL. BETTER TO BE LOWLY IN SPIRIT ALONG WITH OPPRESSED THAN TO SHARE PLUNDER WITH THE PROUD. GUESS I CAN SAY DON'T JUDGE A BOOK BY IT'S COVER...👏👏🔥🔥🤗 IMPRESSIVE ANKO JAY. GREAT STORY.
Good asante kwasimulizi nzuri nimejifunza mengi
Wallah Kaka unaweza upewe eshima na ulinzi waku tosha napenda story zako❤️❤️🥰
Mchagua jembe sio mkulima,,,, thanks for the wonderful and amazing story.
Hata mim pia imeniumiza lakni nimeipenda pia kwa sababu ya Rukia na moyo wake Love you Rukia 💜💜💜💜
Najima kujishauwaa kotee hukooo jaman umeolewaa na kapuku Haha tena mhuni pole dada umeachaa kazi kisa unaolewa na mkurungezii kumbe mhuni
Daaah simuliz nzuri xaan bt pia ina majonz anko j ww ni 🔥🔥🔥
Woooiye usiwai dharau mtu yoyote
Usio mjua be blessed
Jamani duuh rukia pole sana ila sahri ana kupenda sana mumeo ina huzunisha mwishoni
Mashallah story nzuri sana ndio maana napenda story zako
Nilichelewa kidogo Asante sana Kwa simulizi nzuri na yenye mafuzo
Jomoni simulizi mix nawapenda bure Asante kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo
😭😭 mwen pesa anatafut umasikin na mk bol na masikini anatafuta pesa na mwanamke mzuli na mweupe iko saw kk kile kiungo kimoj cha lukia ndo kilikua akimpend sahily kw kua kamdangany
Asante sana kwa kutufurahisha anko j simulizi nzuri nimejifunza kitu hapa usidharau mtu kwa muonekano wake❤❤❤❤
Nimeipenda sana hiyo simurizi maana ina mafunzo mengi sana tuu thanks anko j I love you
Daa hiyi simulizi nimahubiri tosha kabisa kwakweli nimejivuza kitu kizuli Sana nitawafundisha Ata wanangu mungu akubaliki kaka
Masikini rukiya anesitahiki Allah 💖🌹kamupa aneesitahiki katika maisha yake Alipanglo MUNGU binadamu huwazi kulipawa mim pia nimejafuzambo usidhalau usiye mjuwa 🤷♂️
Teclar unakuwadia mwezako aolewee na Alex iliupate pesa?Alex kumbee boss wake sahir🙆🏽♀️😜😜😜😜
Tamaa mbaya na siku zote mpende mtu kwa sababu ya utu wake not kitu thanks anko jay kwa mafunzo
Najima pole mwaya wewe kaa kwenu nakujishauwaa kwako
Hata mm pia imeniliza lkn pia Ina mafunzo mazuri sana. Asanteni wahucka wote kwa burudani
Shukrani xana kwa simulizi nzuri nimejifunza mengi kupitia simulizi hi mungu awabariki xana na awape maixha marefu axanteni xana....
Asante sana kwa simulinzi nzuri yakuvutia
Ivyo ivyo tu maisha yaende bora Sahiri wakoumemkumbatia
Wao🎉
Gosh 🤦 mijitoto km najma waeza ipalaana bila kufikiria wallah.. Big love for you Anko jay
🤣🤣nimecheka
Maisha mema rukia barikiwa dada kwa utu uko nao
Asante Sana kwa simulizi nzuri Sana Ina mafunzo mazuri Sana nimejifunza, Mungu akubarikie kwa mafunzo mazuri na mzidishe kutujuza mengi zaidi❤
P
Broo m binafs sijawahi jutia kusikiliza kaz zako, kila nayo gusa, 🔥🔥🔥 nakukubali san Anko jj 🙏🏻
Simulizi tamu n yenye mafunzo 🥰nimeipenda mno👌,thanks anko j
Kweli hata mimi naamini wapo watoto wa kike hawafwati hela kwa boy child ila upendo na respect. Kama mimi hapa tu
Hii ndio simulizi yangu pendwa ila love u rukia😘😘😘
Daah hi smiliz ina mafunzo mazito sana kweli usimdharau mtu usiye mjua mpende mtu wa aina yoyote
Ila kabla hujafa hujaumbwa
Dah pole Rukia ila yote ni mipango ya mungu
Wao nzuli❤️😘💕😊😜
Pole sana rukia mungu akuponye
Ninzuri sana usimdharau usiemjua
I love this story ❤️Sahir jamani
Anko hata mm pia imenitoa machozi Ila nimepata funzo nitawafunza hata wanangu pia Mungu awabariki Sana Wana familia YA simulizi mix Kwa mafunzo mnayonipatia najifunza vitu vingi Sana kutoka kwenu mubarikiwe
Anko jey Asante a sana huo mwanaume Ako sawa namungu awalinde waishi kwa amani na uyo dada
Asante sana simulizi mix tunapata mafunzo , usidharau mtu kwa mtazamo wake❤️❤️
Ila da alie tunga hii simulizi katisha sana anastahili tuzoo
Ila zile za kutisha hazipoo
VIP. Mumbi Wa Naivasha ako Ndani, Unko Jay Na jaribu kusikiza simulizi zako zote bro
Kabisaaa tabia zenu zimelingana
Asante sana Kwa simulizi nzur Yenye mafunzo
Sauti tamu jamn napenda sana simulizi zako Kwa kwel najifunza kitu
Dah! Rukia dah nikweli
Kabla hufa hujaumbwa
Ushahuri mzito sana 🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰🥰
Waoo nzul sana
Asante sana kwa simulizi zuri mwenyezi mungu awabariki kwa kazi zuri
Asante Mungu 🙏
Oooh maskini jamani dah!
Aiseee sijawah ila Leo achen tu jaman
Anko jay utabaki kuwa juu
Wivu nikitu kibaya sana,naasiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu ndivyoo ilivyo mtokea najuma
Asante sana
Nikwel
Pole.Anko😊
Inauma alakini ni tamu kweli
Nice ❤❤❤❤❤
Mm sijapenda mwisho wasimulizi hii kukatwamuguu mungu ❤😢😅
Asante sana bro
I like the story
Anko Jay mbona unatutisha tena ulisema Mapenzi yanaumiza asikudanganye Mtu. Kisa cha mapenzi tunaamini lazima kiwe na maumivu!!
Sijawahi comment ila leo...hiii...simulizi...imenibamba...mubarikiwe sana kwa simulizi zenu zenye mafunzo ndani yake?🙏
Daaa atali
Nice
Nagma afe tu
Na hiyo roho mbaya yake!
😂😂😂aombwi elaa jamn
Najima kazi unayoo unataka mkurungezi akuoe kwa sitahilii hiyoo ya kufokea wanaume🤐🤐🤐🤐
Congratulations ank jay
Thank you 😊
Nimefurahia mwishoni kwa vile Rukia alipata haki yake.Najima kwaheri huko uendako tuonane.nashukuru simulizi mix.
Asate sana simlizi fupi by ako j
Nmepanda sana
Asante kwa simulizi nzuri from UK 🇬🇧
Inasikitisha kwakweli
Darau si njema
😭😭😭🥰🥰
Usimdhalau usiye mjua Rahma utajiju
Simulizi tamu kweli na yenye mafunzo
Subuhana Allah MUNGU mwema kwekilajambo Yani kufanya tooba ujiombeya duwa kaakufa😳😳 mbona jakipa mitihani mala mbili huyu akikuwa mbinafusi katika maisha
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Wa pili smix kongole n anko j
PRIDE GOES BEFORE DESTRUCTION, A HAUGHTY SPIRIT BEFORE FALL. BETTER TO BE LOWLY IN SPIRIT ALONG WITH OPPRESSED THAN TO SHARE PLUNDER WITH THE PROUD. GUESS I CAN SAY DON'T JUDGE A BOOK BY IT'S COVER...👏👏🔥🔥🤗 IMPRESSIVE ANKO JAY. GREAT STORY.
You bet😊
46:54
E
Ea0
Applllllaallàll0w
Majivuno hayafai
😊😊😊
May spirit of Sahir locate me in Jesus name 🤣🤣🤣😅
Amen, 😂😂😂😂😂😂
Amina kubwa
Ameeeeen 😂😂😂😂
Amakweri rukia aki wakae kwaamani na baraka za mungu
😭😭😭😭 daaah pole sana rucia
Wow
Sweet
Asante Anko J blessings
kilicho mpata rukia imeniumiza sana
❤️❤️❤️
Shukran sana kwa Simulizi yenye mafunzo
❤❤❤
❤❤❤