UTACHEKA VITUKO VYA RC MAKONGORO, AGUSIA UONGOZI WA JPM "SIJAAMBULIA KITU, ILA MAMA KANIPA HESHIMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2022
  • RC MAKONGORO, AGUSIA UONGOZI WA JPM "SIJAAMBULIA KITU, ILA MAMA KANIPA HESHIMA", WAT

ความคิดเห็น • 124

  • @mcback4384
    @mcback4384 ปีที่แล้ว +10

    Jamani si Magufuli ndio alikutoa kijijini akakuingiza kwenye ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM? Huoni kama alikufanyia favor? Hivi kuna Rais amemuheshimisha Baba yako kama Magufuli? Miradi yote mikubwa aliipa jina la Nyerere mpaka mbuga ya wanyama Selous kaibadilisha inaitwa Nyerere, duh tenda wema nenda zako kwa kweli na usifanye kitu ili upewe shukrani, binadamu kiumbe cha ajabu kweli!

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 ปีที่แล้ว +1

      Binadamu ni wa hovyo sana. Tunasahau mapema sana. Anajuwa Huyu mama kukaa kazi ni lazima umusifie kijinga.

    • @Nufaila442
      @Nufaila442 ปีที่แล้ว

      Kumuezi Baba wa taifa ni Samia na Jk na Ben na Mwiny ndio walimunzi kwa kuangalia famila yake .. kuita majina vitu bila familia kufurahi ndio kuenzi huko??

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +4

    RC Makongoro oyee yuko makini sana na hiyo ni team work building

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 ปีที่แล้ว +5

    Huyu comedian wa kulipwa
    Safi sana mzee lazima watu tucheke ndiyo afya njema 😂😂🤣🤣🤣🤣✅😂😂😂🤣🤣

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 ปีที่แล้ว +5

    Namkubali sana makongoro ndio maana mkoa wake unaongoza kwenye mambo mengi sana piga kazi

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 ปีที่แล้ว +14

    Hayati Magufuli na Hayati Nyerere, walikuwa wakiteuwa viongozi Kwa ujuzi na record zawo, na sio Kwa kuwa wewe ni mtoto wa fulani ama Kwa kujuwana. Wote walikuwa wakiteuwa kwa ujuzi na sio kwasababu wewe ni mtoto wa fulani. . Samia anateuwa Kwa kutumia majina na kujuwana, hata kama HUNA ujuzi. Ndiyo maana tunaona viongozi wa hovyo serikalini na mambo yanaendelea vibaya, wananchi kuteseka Kwa huduma mbovu zaidi ya kuchekesha watu wenye njaa na waliokata tamaa.

  • @six0586
    @six0586 ปีที่แล้ว +3

    Fanya kinachokuhusu huo nibunafiki mtupu usiguse kabisa kwa uncle magu

  • @iddyngaiwa
    @iddyngaiwa ปีที่แล้ว +2

    RC pamoja na utani wake wote ila nihatali sana ktk kazi yupo vizuri makongoro oyeeeee taa taaataaa

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 ปีที่แล้ว +3

    👍Hongera Mama Samia rais wetu kumkumbuka mtoto wa Baba wa Taifa letu

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 ปีที่แล้ว

      Hata kama mulevi. Kuna Watanzania wangampi hawana Kazi? Aache kusifia ujinga, ni kodi zetu ndizo zinazomulipa mushahara. Kapewa kazi na kulipwa na kodi zetu.

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 ปีที่แล้ว +1

    RC yuko vizuri sana

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Mkuu umenifundisha Yupo Mungu Atakunyanyua ipo siku tu ikifika
    Kuna jama moja Baba yake alikuwa na Mali nyingi sana baba hakujali familia yake . Yule jamaa alienda kwa mjomba wake kijijini Akakuta Mjomba ni mkulima naye akajiunga na Ukulima sasa Baba anamtegemea kwani utajiri wake ni mkubwa mara 70 ya ule wa Baba yake ... IPOSIKU UTAINUKA MUHIMU SUBIRA KUJITUMA NA KUOMBA MUNGU

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana baba wewe👍👍👍❤❤❤❤❤❤❤❤❤umesema kweli

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 ปีที่แล้ว +3

    Amina ya magufuli imeshiba sana hongeleni sana🙏

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni kiongozi Bora sana

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 ปีที่แล้ว +5

    Serikali ya MCHONGOO!! Kwani wengine hapo subilieni parapanda Italia tu kwani magufuli nani alitegemea kifo chake akiwa MADARAKANI

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

    Anavyofanya hajuuuuuwi kumbe protocol zote za uongozi anazijua completely 🤓🤓🤓🤓🤓😄🤣❤️❤️❤️❤️❤️nakupenda sana broo

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 ปีที่แล้ว +12

    Mnaosema vibaya fuatilieni takwimu za mikoa inayofanya vizuri TAMISEMI...Manyara na Wiraya kama Mbulu, karatu na Zingine zinafanya vizuri chini ya uongozi wake...Sio kila waandishi wa habari unatakiwa uume meno una wa confort kwanza watu unaowaongoza alafu ukiwapa maagizo watakuelewa sisi ambao tuliwahi kua waarimu hiyo ni njia mojawapo ya kufundisha watu.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      Uko sahihi, NAKUBALI

    • @godcompeter9844
      @godcompeter9844 ปีที่แล้ว

      Kwanza awamjui jamaa anaakili balaa kwanza alikuwa campaign manager wa Magufuli kumbukeni Kama aliweza kumpatia mtu Uraisi mnamchukulia POA eee

    • @alfredcharles8029
      @alfredcharles8029 ปีที่แล้ว

      👍Safiii..🤝

  • @masakamgalla9273
    @masakamgalla9273 ปีที่แล้ว +8

    Anachekesha ila ana kitu anamaanisha cha uchochezi chini ya kapeti

  • @albassammusaalbassam7487
    @albassammusaalbassam7487 ปีที่แล้ว +2

    Huyu akiwa raisi atapendwa na vijana Sana maana story
    Zake za kisela tu

  • @veeJesus
    @veeJesus ปีที่แล้ว +4

    Anachekesha kama tu babaake mzee Nyerere nae alikua na vituko sana

  • @davidmarik4633
    @davidmarik4633 ปีที่แล้ว +4

    Akaja kaka yangu mpendwa sahvi yupo kenya😆😆😆😆

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว +2

    Kama wadogo zangu hamuelwi awamu hii imemdemote Charles Makongoro Nyerere. Kutoka mjumbe wa kamati kuu ya chama tawala (CC) ya CCM kwenda kuwa RC ni demotion.. Ukweli moyoni mwake Makongoro anaujua hawezi waambia kizazi kisicho na maalifa.

  • @ibel4lf
    @ibel4lf ปีที่แล้ว +1

    Makongoro ulihojiwa na Clouds ukasema JPM kakuweka NEC anadhani ni kwa vile tu ww ni mtoto wa raisi huna la ziada 🤔 mtandao haudanganyi bro

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +7

    Mmmh.... Acha hizo..
    ulikuwa mjumbe wa NEC wakati wa JPM.. yaani hapo Mama kakushusha kwa mpango mkakati..
    Kuna watu duniani bhana..
    1. Hawajui kuwa hawajui
    2. Hawajui kuwa wanajua
    3. Wanajua kuwa hawajui
    4. Wanajua kuwa wanajua
    Makongoro ..acha komedi...Sifa zote Mungu pekee... Yeye ndiye humpa cheo Kila amtakae... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 ปีที่แล้ว

      Kamshusha kivip?sasa wewe unajua kuliko yeye

  • @tmasingida2392
    @tmasingida2392 ปีที่แล้ว +2

    Mako mcheshi sana, ila ana karama ya uongozi na amelelewa kimaadili.

  • @johnchale1073
    @johnchale1073 ปีที่แล้ว +2

    MBWEMBWE Kama baba yake Julius kambalage NYERERE😂😂

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV ปีที่แล้ว +13

    Sasa makongoro uyu kila anapozungumz nilazma aanze kutoa hzi sifa za kijinga .... Inamaana gani kwa taifa !? Inawezkn ina maana kwk binafsi lakn kama alijua kua hawez kwann alikubali nafasi hiyo ...kuna vijana wengi wanataka nafasi hzo kwann wasipewe ... Ebu acheni kuona kama uongozi bado ni kitu mnaweza Risishana kwamba Nyerere hakukupa nafasi Mwinyi mkapa kikwete wala Magufuli sasa Samia kama kakupa inamaana Gani kuuelezea Umma!?? Acha upuuzi we mzee

    • @gracegrace6200
      @gracegrace6200 ปีที่แล้ว

      Ndio chaguo la Samia. Anateuwa Kwa kuwa wewe ni mtoto wa fulani hata kama hufai. Matokeo yake watu wanafanya makosa anashindwa kuchukuwa hatua.

    • @davidereng6095
      @davidereng6095 ปีที่แล้ว

      ​@@gracegrace6200

    • @Nufaila442
      @Nufaila442 ปีที่แล้ว +1

      Hapa alikuwa anawafundisha watumishi wenzake usikate tamaa yupo Mungu atakuinua anaeleza vizuri upate kujua ....

    • @sarahkelvin4845
      @sarahkelvin4845 ปีที่แล้ว

      Mnywa pombe2 huy han lolt ndio man magufuli hakuwai kumpatia han maan ya uongoz

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 ปีที่แล้ว

      Huyu Jamaa ni msanii ukimchukia ni kwa hasara yako, yupo natural....

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 ปีที่แล้ว +2

    Makongoro hoyeeeee 👍

    • @leoniammasi6634
      @leoniammasi6634 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana Makongoro, fanya kazi kwa bidii ili tuendelee kusikiliza speech zako za kuondoa stress😂🤣

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 ปีที่แล้ว +1

    Safii sana 🤣🤣

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndiyo viongozi wetu, nchi imeoza zaidi ya mavi ya binadamu

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 ปีที่แล้ว

    💯🔥 AMINA ya MAGUFULI ipo hot sana # inatosha naamini uko upande wa JPM ila unacheza na upepo
    Safi sana blood🤝🙏🙏🙏# JPM😭

  • @sylivestermachemba5776
    @sylivestermachemba5776 ปีที่แล้ว

    Asante meladi

  • @barakasakaika6437
    @barakasakaika6437 ปีที่แล้ว +1

    Walikuacha kukuteua au kukupa kazi serikarin ili ujifunze kitu wangekuteua mapema nahis mpaka Sasa ungekuwa unaboronga ona Sasa kukuchelewesha kwao umejifunza mengi yaliyo Bora ndo maana unafanya kazi yako kwa uhakika so kubahatisha hebu wape shukurani zao hao viongozi walo tangulia mbele za haki

  • @harunakayega5531
    @harunakayega5531 ปีที่แล้ว +1

    Mzee comedy sana huyu🤣😂🤣 eti taa taaa

  • @yeremiaamasi280
    @yeremiaamasi280 ปีที่แล้ว +6

    Sifa huna za kuwa kiongozi mzee

    • @gadyetheboss8738
      @gadyetheboss8738 ปีที่แล้ว +2

      Anafikisha ujumbe kifilosofi ila kwa watoto wadogo vichwa vya panz ni ngumu kuelewa anamaanisha nin!

    • @marckbruhani3744
      @marckbruhani3744 ปีที่แล้ว

      Hana sifa huku mkoa wake na wilaya unaongoza

    • @marckbruhani3744
      @marckbruhani3744 ปีที่แล้ว

      Hana sifa huku mkoa wake na wilaya unaongoza

    • @cavoo4get649
      @cavoo4get649 ปีที่แล้ว

      Kama hana sifa kaongoze wewe pimbi 😨

    • @gadyetheboss8738
      @gadyetheboss8738 ปีที่แล้ว

      @@cavoo4get649 achana nao vibwengo hao, maisha yao wenyewe yana washinda kuyaongo kutwa kupiga vizinga kwa wenye kujitambua wew unadhan wataelewa nin? Si sawa sawa na kumpiga konz kinyago

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wengi wapya JPm ndo kawainua hawana budi kumkumbuka sana na wengine nadhani hata hawakutegemea kama wangepanda hapo halipofika bila mchango wa jpm,, maana kabla yake jpm walikuwa wanabadirishana madaraka wale wale tu jpm kaleta mambo mapya sana anamchango sana ktk ujenzi wa taifa letu namkubali pia

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 ปีที่แล้ว +3

    Inchi yenye mipango endelevu yenye kuangalia mbele juu ya uchumi. Huendeshwa kizazi kipya na kizazi cha mwanzo kuridhika kupumzika au kustaafu. Ni mbaya watu kustaafu na kurudi kazini wakati vijana wapo wenye uwezo wa hizo nafasi. Umri wenu mkale matunda yenu ya ujanani na utu uzima wenu. Jengeni inchi na kizazi kipya.

  • @shijahlaurent3100
    @shijahlaurent3100 ปีที่แล้ว

    Sikujua kama mpuuzi kiasi kikubwa namna hii,na hii ndiyo ilisababisha hao wengine wasikupe hata ukuu wa wilaya mjinga mkubwa,Kwenye mambo makubwa unaleta utoto.

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 ปีที่แล้ว +1

    Kweli oyeeee 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee naye anachekesha 😀😀

  • @burudikanamaruma8950
    @burudikanamaruma8950 ปีที่แล้ว +1

    Saf mzee

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 ปีที่แล้ว +1

    Anafikisha ujumbe huku mnacheka

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 ปีที่แล้ว

    Mama Samia ametenda haki bila kwani bila hii amani tuliyonayo tumejengewa na Baba wa Taifa letu..Kama huyo JPM mbona alipitisha wabunge baki ambao hawakushinda uchaguzi kura maoni ndani ya Chama,Lakini akabakia kuwakejeli pale Musoma uwanja wa Mukendo eti wajumbe nao jamani hawakuwapa kura watoto......???? So what.

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +1

    Mh kwa mtindo huo tutaishia kubebana

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyo mama yenu si anateuwa kwa kutumia A wewe herufi yako h au z nileo wengine manaibu waziri wa aridhi

  • @unmanned2807
    @unmanned2807 ปีที่แล้ว

    Huyu bora alipwe pesa bila kazi yoyote maana anakaba nafasi ya watu.

  • @zionjoblaiz9432
    @zionjoblaiz9432 ปีที่แล้ว +1

    Sasa alitaka uambulie nini....awamu ya 5 na ya 1 ilikua yakikazi zaid. Ila usipate tabu piga kazi sasa. Acha kusifia ...piga kazi

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 ปีที่แล้ว

    Hakuna mwanadamu msafi 100% unatakiwa umpime kiongozi kwa mazuri mengi na mabaya machache unayedhani kunakiongozi mbaya hata tungekupa ww ungeoneka mbaya pia

  • @lukehaprimary2574
    @lukehaprimary2574 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee vipi

  • @selemanjulius2877
    @selemanjulius2877 ปีที่แล้ว +5

    Kwahiyo ninyi baba zenu wakiwa juu nilazima mpate madaraka?

  • @muhammedsaleh1463
    @muhammedsaleh1463 ปีที่แล้ว +2

    Mzee makongolo comed sana🤣

  • @unmanned2807
    @unmanned2807 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa ambaye hakujua majukumu yake mpaka ameingia ofisini

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana huyu kaishachoka tu kila cku anawazA kutemwa tu

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 ปีที่แล้ว

    Huyu hata Baba yake alimsumbua sana alkua mkorofi ,,aliwah kuwekwa ndan na mzee nyerere ajifunze 😅

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 ปีที่แล้ว +2

    Unafurahia kubebwa,,at ,,,hunavigezo ww

    • @khalidmnjovu4463
      @khalidmnjovu4463 ปีที่แล้ว

      Ahamilizi na mama huyu lazima apewe pumziko aka ubalozi. Ukuu wa mkoa ni nafasi kubwa sana kitaifa kumuwakilisha rais...

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba mnafiki haswa anakitu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +7

    makongoro nawe izo.stori nyengine achana Nazo.endelea kupiga Kazi.na kuendelea kuhimiza maendeleo Kwenye Mkoa wako

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว

      Historia Nisehemu Yauongozi.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      Hao ambao unaona hawana story wamepata hati chafu kwenye riport ya CAG😂😂😂😂, angalia takwimu za utendaji wa Mkoa wake. Uongoz sio kujirundikia mikazi tuuu au kuwa serious kila wakati, au kutishia tu. Inategemea na watu, na mahali pia af na nature ya mtu mwenyewe. Swali la kujiuliza ni moja TU " kazi aliyopewa imefanyika inavyostahili?"

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@TM.Sullusi mimi Sijasema Kua makongoro hafanyi Kazi.nimesema stori.nyengine apunguze hasa kama hii Kua waliopita hawakumpa cheo kwani ni lazima? kila kitu kina mda wake na ni mungu ndio.mwenye kutoa cheo hajapewa na mama mana hata uyo mama mwenyewe kapewa cheo na mungu

    • @maryamsaid3297
      @maryamsaid3297 ปีที่แล้ว

      Mbona hakuyaongea hayo wakati makufuli yupohai, sisiwanyonge tunamkubukasana

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว

      @@maryamsaid3297 enheee ni bora anyamaze tu kwani kila mtoto.wa raisi ni.lazima kupewa uongozi?

  • @unmanned2807
    @unmanned2807 ปีที่แล้ว

    Ila ulichimba dawa kichakani

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye upepo! Kama nimekuelewa elewa!!?

  • @adamwapiliadamwapili5698
    @adamwapiliadamwapili5698 ปีที่แล้ว +1

    Ni kama babaake

  • @ngwanamabande8036
    @ngwanamabande8036 ปีที่แล้ว

    Very funny

  • @ulaweboy9826
    @ulaweboy9826 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee amna kituu

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 ปีที่แล้ว

      Fuatilia utekelezaji wa maendeleo kwenye mkoa wake ndiyo utoe hiyo kauli.Usimjaji mtu kwa kuwa anapenda kufurahi.Kufurahi hakumzuii mtu kuwa bora katika kutekeleza majukumu yake.

    • @abdalaalmas2535
      @abdalaalmas2535 ปีที่แล้ว

      Wewe una nn?

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

      Yuko makini sana huyo

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 ปีที่แล้ว

    Kumbe Kenya ilikiwa hivyo sio 🤣

  • @emanuelneriwa6745
    @emanuelneriwa6745 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa muasisi Bado tunatarajii kizazii kijacho yupate raisii kutoka kizazii hikii

  • @jaredyndaga4617
    @jaredyndaga4617 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo ukisha kuwa mtoto wa kiongozi ndo lazima iwe... Mmmmmh

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 ปีที่แล้ว +4

    Ata hufai kuwa kiongozi

  • @jeniffermartin5719
    @jeniffermartin5719 ปีที่แล้ว

    Makongoro sometime huwa ananiongezea umri wa maisha

  • @mzidalifazaid4389
    @mzidalifazaid4389 ปีที่แล้ว +3

    🤣😂😅😂😂😂😂😂😂😂

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we mzeee fanya mapka mkojo toke mzee mshez wwwwww

  • @bennie7239
    @bennie7239 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee ni fala; marais ambao hawakumteua kuanzia baba ake alijua hamna kiongozi hapo. Kuna komedian na msifia anakoshiba; poor thinking of a leader..

  • @yusuphrevocatus8555
    @yusuphrevocatus8555 ปีที่แล้ว

    Matajiri hamtosheki

  • @jetkingseveryn9316
    @jetkingseveryn9316 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndo bad image ya wazazi wao anatufundisha nini ukuu wa mkoa kupewa sio razima

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 ปีที่แล้ว

      Anaongea vitu vya kawaida sana,but this man's IQ likely to be high.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 ปีที่แล้ว

    Kuchimba dawa oyee

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/X4WuktNJEl0/w-d-xo.html
    DAWA YA KUFARAKANISHA..*#*# th-cam.com/video/X4WuktNJEl0/w-d-xo.html

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 ปีที่แล้ว

    kama baba kabisa

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว

    😁

  • @samniza1763
    @samniza1763 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo kwani kuna mgao???

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +1

    😂🤣

  • @jofreymligo457
    @jofreymligo457 ปีที่แล้ว

    Mzee komendi

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 ปีที่แล้ว

    Mzee huenda ulikuwa na shida mahali ndo maana hukuchaguliwa nyakati zilizopita sasa piga kazi umepata nafasi

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/X4WuktNJEl0/w-d-xo.html
    DAWA YA KUFARAKANISHA..*#*# th-cam.com/video/X4WuktNJEl0/w-d-xo.html