Home sweet home🥰🤗🤗🤗miss home chake chake tibirinz podeani mgwiye💃💃💃 kijani kibichi mmewangu alipokuja kutembea ukweni anshangaaa tu kijani kitupu na juz nimeonanna na jama wa kipakistan ananiuliz namwmambia kwetu pemba kanipongeza anataman aende tena matembez mandhar mazur na watu wakarimu hajawah kupata kuona ALLAH BLESS OUR PEMBA ISLAND🤲🤲🤲
Dana Dana, ni kweli Pemba iko nyuma sana,lakini mimi nafikiri ni mikakati ya watawala kuwaweka katika hali hiyo ili watimize mipango yao. Wataalam wa Pemba wamekimbia kwao sio kwa hiyari bali mateso waliyoyapata huko nyuma. Juu ya hayo,iwapo mipango mizuri ya kimaendeleo yatawekwa,na wa Pemba wakaamua basi mabadiliko ya jamii hayatachukua muda yatabadilika.
@@veronicanditeze425 Hakuna anaetarajia kujengewa nyumba bure,tunategemea miradi muhimu kama bandari,barabara,huduma bora za afya na elimu.Leo ukiumwa maradhi mazito lazima ukimbilie muhimbili. We Pemba hawakueka pesa mbele na ndio maana mgeni akenda kijijini,hapo kuwa wanakijiji hawana hali nzuri,lakini mgeni lazima apate angalau chai ya rangi na kipande cha muhogo wa kuchemsha.
Ami hatuikimbii ni mfumo tu wa maisha jinsi ulivotengenezwa ni hii serekali yetu. Ila wallahi twaapa Pemba nkwetu na twaipenda. Mara kwa Mara twaja tukitia macho nuru
Hao popo mbona wanafanana na wale wanaopatikana Mafia ktk kisiwa kidogo cha CHOLE.Majina yao pia yanafanana,then wapo wengi sana hata kupita hao walopo hapo.
Are u kidding us man? piteni vijijini muangalie maisha ya watu yakoje, nendeni micheweni watu wanakata mawe utasema juju wa ma juju..mara wamezuiwa kuchimba mara hivi na haaana income alternative, xungumkeni pemba muoneshe maisha ya watu sio kuandika vichwa vya habari ukiingia kuna rikodi ya popo..what could those things help poor people....jiwe laki thananini na ukalikipiye benki utasema diamonds..
Nalipenda sana jina Pemba namshukuru Allah kunifanya nizaliwe Pemba so Pemba is very beautiful place in east Africa
Pemba yetuu, hakika najivunia
Allah atupe kheri yake na idumu daima Pemba yetu
Home sweet home🥰🤗🤗🤗miss home chake chake tibirinz podeani mgwiye💃💃💃 kijani kibichi mmewangu alipokuja kutembea ukweni anshangaaa tu kijani kitupu na juz nimeonanna na jama wa kipakistan ananiuliz namwmambia kwetu pemba kanipongeza anataman aende tena matembez mandhar mazur na watu wakarimu hajawah kupata kuona
ALLAH BLESS OUR PEMBA ISLAND🤲🤲🤲
Pemba safi hata maadili ya ki zanzibari sasa yapo Pemba, Mola tuzidishiekheri na imani inayoondoka, Alwa bless Zanzibar Aamin!
Tecno F123 mashaalla
Allah ayihifadhi Pemba yetu isijekuingiwa na maovu kwakila wanapo ingia watalii
Al Fatah tv online mnafanya vizuri video zenu zina viwango vzr kongole kwenu
hongera sana alfatah kwa kuipasha pemba na vivutio vyake ni jambo la faraja sana mimi binafsi nilipokua mdogo nmesha.wahi kula popo wetu wapemba
Wawoo editing nzuri Sana big up
#فتبارک الله احسن الخالقین#Ametukuka Mwenyezimungu Mbora Wa kuumba#
alfatah hongeren chin ya uongoz wa sh.Rashid Salim...kwa kutupa elimu hii...mumeimprove sana
Nikweli nilibahatika kufika Kijiji cha MAKOMBENI Pemba,na niliwaona POPO wengi mno,tunajivunia neema hiyo alhamdulillah
Asanteni sana picha na mandhari yote kwenye hii video ni nzuri na ya kuvutia sana.
Ahsanteni sana kwa makala haya yenye kuvutia.
Dana Dana, ni kweli Pemba iko nyuma sana,lakini mimi nafikiri ni mikakati ya watawala kuwaweka katika hali hiyo ili watimize mipango yao.
Wataalam wa Pemba wamekimbia kwao sio kwa hiyari bali mateso waliyoyapata huko nyuma.
Juu ya hayo,iwapo mipango mizuri ya kimaendeleo yatawekwa,na wa Pemba wakaamua basi mabadiliko ya jamii hayatachukua muda yatabadilika.
Serikali iwajengee nyumba? Mnapesa ila mnaikimbia pemba
@@veronicanditeze425
Hakuna anaetarajia kujengewa nyumba bure,tunategemea miradi muhimu kama bandari,barabara,huduma bora za afya na elimu.Leo ukiumwa maradhi mazito lazima ukimbilie muhimbili.
We Pemba hawakueka pesa mbele na ndio maana mgeni akenda kijijini,hapo kuwa wanakijiji hawana hali nzuri,lakini mgeni lazima apate angalau chai ya rangi na kipande cha muhogo wa kuchemsha.
Hongera mzee Ali Hamad umemuelezea vzuri popo.hongera sana
woooow beautiful Place for me
nimeshakula sana hao wadudu
Home sweet home; Mashallah. Al Fatah for a good article. Please give us more attractive articles to broadcast our Island.
Unajua sana kutangaza broo...Allaah awafikishe mbali na tv yenu..isipokua mtangaze habari zenye kumpendeza allaah baasi.
Najivunia Pemba yetu
Maashaallah ewe mola izidishie nuru al_ fatah
Ameen
Salha Khamis Amin kwa sote
Hongera mzee uko vizuri sana!
Safi sn kazi mzuri sana mashallah
Masha'allah Allah izid nime penda huyu baba anajua kufahamisha uzur
Pemba peremba ukijanajoho utarud nakilemba wale Wamtambwe wenzang tujuane
I love Pemba my homeland 💖🌺
❤️
Tutunze rasilimali zetu kwani ndio hazina yetu wana Tz na Africa kwa pamoja
pemba yetu kijani kibichi ni ishara ya neema lkn cctunamkosea Allah sana ndio mana akatubadilishia tunatakiwa tuache tofauti zetu tumeejee Mola wetu
tumrejee Mola wetu
Nani tunawashinda kwa mabaya acha kutunyanyapaa wewe km sio utu wa watu wa PBA hiki kisiwa kingesha potea.Asalaam aleykum
kisiwa cha kwetu Pemba ...wale wa konde tujuwani basi
الله يبارك جزيرة الخضراء و اهلها
mambo ni fireeeeeeeeee
Allah ailinde pemba
Amin yaa 🙏
Dah ! sijui wanahisabiwa vip.
Huyo ni marehemu kwa sasa
Mashaallah neema izo
Shukran AlFatah
Mkoa wa tanga wilaya ya muheza katika hospitol ya augastino Teure wapo popo kamawote tena wakubwa zaid
Popo oye pemba oyeeeee
Naiyona pemba yetu ya kijani kibichi
mi sione cha maana hapa
Jamani nataka mke huko Pemba
Ally Madunda komaa ww mtu hatafuti mke kwenye mitandao kwani hukujui pemba ukaja mwenyewe
Mungu yupo nitatembelea nami huko
Niko pande za huku bara, Manyara..ningependa siku moja nitembelee eneo hilo. Hahahaaaa yaan ni pazuri kwelikweli..wowwwww.
Welcome
@@mundhirslim5574 powaaaaaaaaa good.
Sweet Island
Nice Island....
Pemba pereeemba ukienda utakupendaaaaaa
Really
Na unguja pia wapo
Tunajidaii kuipenda kumbeee munainkimbiaaaa kwann tupunguze unafk
Ami hatuikimbii ni mfumo tu wa maisha jinsi ulivotengenezwa ni hii serekali yetu. Ila wallahi twaapa Pemba nkwetu na twaipenda.
Mara kwa Mara twaja tukitia macho nuru
Dola tano ni kidogo angalau mfanye dola kumi
MashAllah home sweet home
Saidi Yathrib hao popo hadi Mafia wapo wengi tu sio pemba pekee
Pemba ndio wamezidi
Love my pemba
Mashaallah..eh kumbe popo wanaliwa ?toba sikuwahi kujua
Shamsa Haji nmmi ndo kwanza leo
Shamsa Haji tena niwatamu kushinda kuku
@@danadana6450 kwa kweli najiskia siwezi kula hao lol
Watam hatar karibu kisiwani
Waroho tu hao watu,wanatafuta Ebola bila kujuwa.
Home sweet home love you Pemba
Gooood
الحمد لله
Mash Allah sweat Home sweat
sasa popo watasaidiya nini..watu wana maisha magumu..njaaa ndiyo tunaongoza duniani
Maachallah maachallah pemba nakupenda sana
Mungu wamajabu
Naipend pemba pureeeee
Popo mtam 😁natamani nimuonje sijawahi kumla nilikua sijui kama analiwa.😘
Karib pemba
ALLAH katujaaliya neema lakini pemba tuko nyuma kimaisha hawataki tuendelee kimaisha
Ndio manayake ila allah atatunyanyua tu na ipo sku tutaushangaza ulimwengu
Ebana! Kumbe hao jamaa wanaliwa?!
Mtangazaji ni mtu mwenye uzoefu mkubwa wa kazi yake. Mie nimepata kupanuwa maarifa yangu kuhusu hawa popo wa pekee wanaopatikana Pemba
maskini Pemba imebakiwa na popo tu sasa. ndio kivutio chenyewe
Home stweety home 😍
Dola tano ni kidogo angalau mungefanya 15 dola
Fakhariyetu ni taohidi na sio popo Wala kama wa jozani
Thts ma home
PEMBE LILIWALO NDIO WORLD RECORD...na haitovunjwa till doom day
Pemba Home sweet home ❤️❤️
Maashallah
Huku kumejaaliwa hakuna utekaji wala mtekwaji.wala hakuna watu wasio julikana.
Allah azidi kuwajaalia
Tuseme Ameen inshaallah 🙏
Zanzibar au Unguja
Hao popo mbona wanafanana na wale wanaopatikana Mafia ktk kisiwa kidogo cha CHOLE.Majina yao pia yanafanana,then wapo wengi sana hata kupita hao walopo hapo.
pemba nyumbani
Mashallah
Muwaongo siewapemba hamujui idadi ya popo
Ndugu yangu mbona kichwa kizito unaambiwa idadi ya hao wanatunzwa
Rikodi ya njaa!!au lioi jengine?
Nyumbaniii
Popo Unguja wapo mbona
Khamis Machano jmni sikasema nyumbani tu
Micheweni hio nilifika hapo hhh
Maa shaa Allah
Pemba inamchango mkubw ktk taifa lkn imeekwa nyuma kimaendeleo ni mtazamo tu
Hakika pemba kila kisiwa kila neema yake ya kuitilia fedha serekali
Majacr wate wa pemba wanafuga majini.
Acha propaganda zakijinga izo kaka badlika
Wee huijui pemba. Unaitetea nini.?
Unachuki na wapemba ww nini imekuuma pemba kusifiwa
Yye mwenywe jin
Are u kidding us man? piteni vijijini muangalie maisha ya watu yakoje, nendeni micheweni watu wanakata mawe utasema juju wa ma juju..mara wamezuiwa kuchimba mara hivi na haaana income alternative, xungumkeni pemba muoneshe maisha ya watu sio kuandika vichwa vya habari ukiingia kuna rikodi ya popo..what could those things help poor people....jiwe laki thananini na ukalikipiye benki utasema diamonds..
I miss home
kwani Pemba sio Zanzibar?
Sio
Jibu zur 😂
تحتي لكم اهل الجزيرة الخضراء
هكذا سميت بمبا بالجزيرة الخضراء
Mashallah
Mashallah
Tena wapemba mwende kwenu muhame unguja
Mashallah
Mashaallah
Mudy elneny
Mudy elneny