JUMBA LA KIFAHARI LA REGINALD MENGI MACHAME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi sina mengi langu ni dua tu naomba Mungu awafariji family yake kwani kupoteza mzazi ni huzuni sana ila kwa mapenzi ya Mungu basi awape moyo wa uvumilivu katika Kristo Yesu

  • @zuhuramohd6195
    @zuhuramohd6195 5 ปีที่แล้ว +2

    Duh joyce kiria njoo na huku machanee uone nyumba hii huku nahisi utasema uko nje ya Tz

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว

    Mengi kafa kimwili, mambo mengi yaliyobaki pamoja na mali, vitatesa sana nafsi zetu. Hasa ss tulionufaika na maendeleo yake. Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe Amen.

  • @supertallone4905
    @supertallone4905 5 ปีที่แล้ว +1

    Mengi n tajir wa Tz, hakua na mambo ya kujionesha..kwa tunaomfaham maisha yake wala hatushangai. Apumzike kwa amani

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 ปีที่แล้ว +10

    Hapo ndo ujue watu hawapend sifa nyumba ya kijjn alikini n Kama ulaya

  • @updfm7840
    @updfm7840 5 ปีที่แล้ว

    Rip mengi. Here in Dubai

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +1

    Wangekuta banda la mbao au la udongo, ungesikia ooh! mara hivi mara vile, ni bora kaachia wanawe sehemu nzr ya kumlilia wanapommiss!

  • @ibrahimseif7354
    @ibrahimseif7354 5 ปีที่แล้ว +1

    Haitafaa mali wala tulicho kichuma duniani ila ni matendo mema ndo yatayo tusaidia mbele za haki. R.I.P Reginald mengi

  • @ramlasameer4665
    @ramlasameer4665 5 ปีที่แล้ว +4

    Mi nilijua ulaya khaa hatar fire kama hotel

  • @zaitunizaitunihotti1469
    @zaitunizaitunihotti1469 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah na kweli la kifahar ingekuwa kina kajamba nani wapenda sifa wangeshapost sku mingi kutuonyesha

  • @magerichard1115
    @magerichard1115 5 ปีที่แล้ว +1

    uyu ni bilioneaa

  • @husseinbally1736
    @husseinbally1736 5 ปีที่แล้ว

    *r.i.p dr mengi hakika huku tuna zidi kusikia na kuona mengi*

  • @bigdajoseph3803
    @bigdajoseph3803 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashangaa wengi wao wamekazana kujenga mjini ukifika kijijini nyumba wanayoishi wazazi wake inavuja kila kona badilika sasa chukua hatua

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว +1

    ngai heee enyewe ni rich

  • @sabreenamohamed2494
    @sabreenamohamed2494 5 ปีที่แล้ว

    Daah udongo Unameza

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 5 ปีที่แล้ว

    ivi amjawai kuona majumba, ninyumba ya kawaida tu mbona iyo istoshe kwa mtu kama mengi ingetakiwa awe na kijiji,

  • @jovinemnzava5972
    @jovinemnzava5972 5 ปีที่แล้ว +2

    3

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 ปีที่แล้ว

    Kuna mpenda umbea mmoja sijamsikia yule dada wa ddizimo on line sijamwona yeye kwenye mambo mengine ya umbea Aaaaah ila kwenye swala hili kiukweli sijamwona hata akioji mtu wala kwenye msiba sijamwona Uwo ndo tunaita unafkiiiiiiiii

  • @farajimakuya549
    @farajimakuya549 5 ปีที่แล้ว +2

    Wa1 to view

  • @adammveyange9638
    @adammveyange9638 5 ปีที่แล้ว +2

    2

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 5 ปีที่แล้ว +2

    Ikumbukwe kuwa aliwahi kutajwa kuwa tajiri wa kwanza Tz ko anastahili

  • @hamongukecha8944
    @hamongukecha8944 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba ya kifahali ni kabuli tu ndg zangu

    • @joankunambi9992
      @joankunambi9992 5 ปีที่แล้ว +3

      Kaburi ni kaburi na nyumba ni nyumba!!!!

    • @manyaramrema6531
      @manyaramrema6531 5 ปีที่แล้ว +4

      Umasikini unakusumbua ww

    • @abednego3876
      @abednego3876 5 ปีที่แล้ว +1

      sasa c bora iwe ya kifahari na ni kaburi kuliko yakimasikini ya matope na mende

    • @albanbros7210
      @albanbros7210 5 ปีที่แล้ว +2

      Pamoja na umasikini wako pia utakufa tu tena unaweza jikuta motoni na umasikini wako so acha kujifariji.
      Kama kaburi ni nyumba ya kifahari nenda kaanze kukaa.

    • @clinixmoisbridge998
      @clinixmoisbridge998 5 ปีที่แล้ว

      Wewe Kaa na Umasikini wako.

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 5 ปีที่แล้ว

    3