MWAMBA HUYU HAPA TOYOTA ALTEZZA, REVIEW BY DR. MECHANICS (Gari lako)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2023
- Endelea kutufwatilia RocTv kwa Habari mbalimbali na matukio, ya kuburudisha na kukuza uzoefu wako ndani ya Roctv! 📺 Jiunge nasi sasa kwa video zenye kuvutia! 🤩 pia unaweza kuungana nasi kupitia kurasa setu za mitandao ya kijamii #live #roctv #subscribenow
- Facebook: / roctvtz
-Instagram: / roctvtz
- Twitter: / roctvtz
Still, I like Subaru Legacy more.
Next week tuletee Mark II Grand GX100 kaka
Thx sana nashukuru sana maana nilikuwa naambiwa Altezza ni Gari inayosumbuwa sana kumbe ndivyo ilivyo ubarikiwe mm mguu wangu Kununu Altezza
Kaka iko poa sana tuletee na explanation ya min cooper
Nishushie review ya Toyota mark 2 grande GX 110
Hiyo engine ya 3s GE unaweza funga kwenye Noar SR40 ?
Kaka kwa nin usifanye review ya Nissan x trail
Nikipata review ya subaru legacy 2.0L ntashukuru saana
Patiently waiting on Subaru legacy review 😅
Masomo mazur tunaomba uielezee amin cooper pia bro
Kaka tufanyie review ya Toyota kluger 2015
Next week utukumbuke na sisi wenye PAJERO MINI.
Tunaiendesha tuu lkn hatuijui kiundani😊
Naomba review ya toyota supra
Alteza gar
Daaah keny eehh yan tangu nimelijua hili chimbo la review huku kila saa huwa nachungulia
Ni unyama
Tupe ya crester GX100
Tumefikiwa 😂
Min cooper bro uilezee