MTANGA NA BAMBO ,MDOLI WA DUKANI UTACHEKA UFE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2022
  • VUNJAMBAVU MTANGA NA BAMBO MDOLI WA DUKANI #mtanga #bamboo #mdoli
  • ตลก

ความคิดเห็น • 600

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaaaa bambo maaanyoko kweli eti midoli mingine inafanana na wadaiwa wa watu 😂😂😂

  • @saidhamoud7683
    @saidhamoud7683 2 ปีที่แล้ว +20

    Ma legend wa comedy big up sana MTANGA MTANGIL#Mtanga mwenzangu

  • @aloycembener6530
    @aloycembener6530 2 ปีที่แล้ว +17

    Midoli mingine yafanana na wadaiwa wa watuu😂😂😂🔥🔥

    • @EstherMuze-ms3tl
      @EstherMuze-ms3tl 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ujakosea mi nimecheka mpaka nikaishia nguvu 😸😸😸😸😸

  • @masalumanoni4012
    @masalumanoni4012 2 ปีที่แล้ว +21

    Mtanga kama sokomoko na iyo kofia😂😂

  • @ericsumali7756
    @ericsumali7756 2 ปีที่แล้ว +10

    Mtanga anajuwa kabisa 💖❤️💖🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 2 ปีที่แล้ว +20

    Dada huu nao mdoli😀😀😀😀unafanana na wadaiwa wa watu🙌🙌😀😀😀😀

    • @miriamkwembe
      @miriamkwembe ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂 hazimo

  • @jumandagara1755
    @jumandagara1755 2 ปีที่แล้ว +5

    Msituni Classic Wear,,,, hongera xnaaaa,,,,inaonyesha mna Pamba kali

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbavu zangu..good job..mmenifanya nianze ck vizuri big up sana

  • @zedzoomextra
    @zedzoomextra 2 ปีที่แล้ว +19

    Umenifulaisha sanaaaaa mtaanga vs mambo thank you 🙏🙏🙏🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Kazi Nzuriiii Sanaaaa💕💕💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว +24

    🇨🇦Mmmhh 🤔 Eti midoli ingine inafanana na wadaiwa wa watu…🤣😂
    Nimecheka pekee yangu hadi mbavu hoiii…

  • @patrickhassan194
    @patrickhassan194 2 ปีที่แล้ว +25

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂jina lake sio Mtanga ako ka Ngoma nzito bwana😅😅😄nawa penda tangu ningali high school Congo🇨🇩 mpaka leo south africa🇿🇦
    Kingwendu,ka Mtanga,Bambo na Mzee wa kwetu Bubembe marehemu Majuto
    You guys are my bestest favorites
    Nita wapenda milele,Mungu awa jahlie maisha marefu zaidi🫂💕🇨🇩🇨🇩🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @deborahsifa653
    @deborahsifa653 2 ปีที่แล้ว +10

    Wazee wangu Miaka Mingi sana 💪💪 kazeni kamba Bado tunawapenda

  • @EmanuelMongitech
    @EmanuelMongitech 2 ปีที่แล้ว +18

    Nimecheka sana, big up mtanga 🤣🤣

  • @frankalexmwacha6921
    @frankalexmwacha6921 2 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations bro mtanga

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 2 ปีที่แล้ว +43

    🕺Nimependa sana muonekana na style ya mavazi yenu wazee wetu; tumewazoea kwenye mavazi ya uswahilini, ama kweli mmekuja ki DIGITAL ✌🏾

  • @saniijnr5036
    @saniijnr5036 ปีที่แล้ว +2

    Big up to those two gentle men🤣🤣 nice one love u from Kenya

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 ปีที่แล้ว +10

    Wazee wetu tunawapenda Sana

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +8

    Pensi elfu 50 kwani ina Bluetooth na Twitter 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 2 ปีที่แล้ว +34

    Raha ya kucheka sana upaliwe mwisho ukohoe utulie, mnatupa raha sana sisi tunaowafatilia.Tupeni midoli zaidi...

  • @ismailkushinda8830
    @ismailkushinda8830 2 ปีที่แล้ว +7

    Nmefulai sana braza mtanga. Nakubal kazi yako

  • @officialmwabambatv1350
    @officialmwabambatv1350 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakubali Sana nimecheka balaa 🤣 yahani Amna shida

  • @king-size8114
    @king-size8114 2 ปีที่แล้ว +8

    Uyu naye mdoli nimecheka sana jamani kraaah😁💕

  • @user-rp1jm4ix9g
    @user-rp1jm4ix9g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Love to see my fellow kenyans here,,,ila mdoliii😂😂😂😂

  • @jessebulali5147
    @jessebulali5147 12 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂kali sana

  • @conradjunior5940
    @conradjunior5940 2 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe na nyie wenyewe huwa mnacheka Behind the scene 😀

  • @peterfujokalogi7821
    @peterfujokalogi7821 2 ปีที่แล้ว +5

    Nawakubali sanaaaa

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 ปีที่แล้ว +4

    Comedy ni fani si mchezo kama mimi ninge cheka sana.... 🤣

  • @gildojosemaneno9390
    @gildojosemaneno9390 2 ปีที่แล้ว +12

    Gosto muito vosso trabalho

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 2 ปีที่แล้ว +2

    Ngoja kwanza nipakue chemba!! Wasikivu mikono juuu na like million

  • @evancemnyiliki4132
    @evancemnyiliki4132 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubaliiii xan mafather🤗🤗🤗

  • @frankyohana208
    @frankyohana208 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimecheka kweli Eti we Mtanga nimekugundua ntakupiga bonge la bao..""

  • @Bwaimasson
    @Bwaimasson ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂 how many buying this raba 😂😂😂😂😂

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว +2

    Mtanga Na Bambo❤❤❤❤😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥💓💓💓💓

  • @omydirector1494
    @omydirector1494 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimeipenda Sana hii comedy advertising 🤣😂🤣

    • @kenyamoja755
      @kenyamoja755 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @cloudinhoabdi5740
    @cloudinhoabdi5740 ปีที่แล้ว +2

    Really a nice comedy. Big up Mtanga and Bambo. Watching from Kenya

  • @nyambogosunday9030
    @nyambogosunday9030 2 ปีที่แล้ว

    Nakupend San bambo na mtanga ....wachekeshaji bila hat kuongea yn muonekano tyu wananifurahisha sanaa

  • @kitimwango9286
    @kitimwango9286 2 ปีที่แล้ว +7

    Mumeweza na mdoli from Mombasa Tudor.

  • @suleimantsanje2939
    @suleimantsanje2939 ปีที่แล้ว +2

    big love from Kenya 🇰🇪 very funny people

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie jamaaa wakali Sanaa,,,salute kwa burudan ya afya

  • @saidihabibu7244
    @saidihabibu7244 2 ปีที่แล้ว +10

    Bambo wewe unachekesha Sana nimecheka hadi mwisho

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali saana hii nimependa

  • @user-wr6lc3jz6g
    @user-wr6lc3jz6g 2 ปีที่แล้ว +4

    Sijachelewa😂😂😂❤👍👏

  • @bongue6003
    @bongue6003 2 ปีที่แล้ว +1

    Waze wa kazi Noma sana fresh

  • @elishathecomedy1221
    @elishathecomedy1221 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mpo vizuri

  • @muniromar4927
    @muniromar4927 2 ปีที่แล้ว +3

    TH-cam wanalipa watanzania tutawa support wakongwe tumewamis !! Idea nzuri nimeipenda

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sanam Ya mtanga ujengwe kwenye hilo duka Yaani nimechekaaa

  • @CREATIVEISAAC
    @CREATIVEISAAC 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 umemvumilia Sana kakuona mnyonge🤣🤣🤣🔥🔥🙏

  • @josephattwipa470
    @josephattwipa470 2 ปีที่แล้ว +6

    You made my day

  • @petermim
    @petermim 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😃😄aiseeee Eti we mtanga ntakupiga mbaoo sasaivi

  • @mkatavitv1014
    @mkatavitv1014 2 ปีที่แล้ว +10

    Nyie weu Sana asee😁😁😁🤣🤣

    • @thobiasandrew8375
      @thobiasandrew8375 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/UXUku35JJL0/w-d-xo.html

  • @charlesrachier5444
    @charlesrachier5444 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana comedy 😅 🤣

  • @majesticnaturesafari118
    @majesticnaturesafari118 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaa nimeipenda hii

  • @aliymajala5678
    @aliymajala5678 7 วันที่ผ่านมา

    😀😀😀 mwamba sana

  • @hamisishabani8864
    @hamisishabani8864 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona mdoli kama una nyama za mtu😂😂😂😂mdoli una sehemu za moyo🤣🤣🤣🤣

  • @abuudingo3843
    @abuudingo3843 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbavu zangu kabla ya kuangalia nimeanza kucheka dah mnafurahisha sana

  • @emmanuelissack9402
    @emmanuelissack9402 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha hahahaha hahaha mtanga umetisha

  • @samatarabdullahi8083
    @samatarabdullahi8083 2 ปีที่แล้ว +2

    😃😃😃I nearly died laughing..,Haha ! Mchezo mtaam.Ati napakua chemba. 😁😁👊

  • @alonisimte7848
    @alonisimte7848 2 ปีที่แล้ว

    Very goog mtanga kubar xana

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😃😄😁😆😅🤣😂 et huu mdori naudai

  • @ismailkushinda8830
    @ismailkushinda8830 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaha etii midoli mingine inafanana na wadaiwa

  • @maombinshedson5914
    @maombinshedson5914 2 ปีที่แล้ว +8

    Hahahahahahaha mideli mwingine inafanana nawatu wanao daiwa

  • @gracelasoi3971
    @gracelasoi3971 2 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃 eti nimeletwa usiku it is very funny video

  • @king-size8114
    @king-size8114 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanga bwana👍😁

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว

    Waaaaaaaooooo mtangaaa karud afadhal

  • @abdallaabedi2354
    @abdallaabedi2354 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha huu mdoli naudai😂😂😂😂😂

  • @alexmkunda6022
    @alexmkunda6022 ปีที่แล้ว

    Umetisha mtanga

  • @sabatomaswaga3554
    @sabatomaswaga3554 2 ปีที่แล้ว

    Me mdolii bhanaa nmeletwa jana usiku bhanaa mtanga mtalamu mwenyew AKA fundiiii wa vichekeshooo😃😃😃😃😄

  • @essaumumo9676
    @essaumumo9676 ปีที่แล้ว

    Big up mtanga wafanya poa xana boutique iko poa

  • @dullygooners974
    @dullygooners974 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanga hapo kama njomba mchumali

  • @bensonrweikiza4117
    @bensonrweikiza4117 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀👊👊👊 Nakubali kazi nzurii

  • @bakariyusuph
    @bakariyusuph 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtanga Mtanga Mtangaaaaaaaaaa Umeuwaaaaa🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟

  • @AllenKinigu
    @AllenKinigu 19 วันที่ผ่านมา

    Ngoja nipakue chemba sas😂😂😂

  • @rodgersfondo4095
    @rodgersfondo4095 2 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂😂bambo anauliza mdoli eti oyaaa! How many buying is this rubber? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 2 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣midoli mingine inafanana na wadaiwa

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 2 ปีที่แล้ว +1

    Mjitahidi sasa mpunguze urefu wa video

  • @oldtv6981
    @oldtv6981 2 ปีที่แล้ว +1

    11:00 🤣🤣🤣eti mimdoli nililetwa ucku🤣🤣🤣

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 2 ปีที่แล้ว

    Daah aiseee Sasa Mr bambo unatisha na mtanga ety kananidai kale

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 ปีที่แล้ว +7

    Midoli mengine inafanana n wadaiwa😂😂😂😂

  • @michaelkunzi2656
    @michaelkunzi2656 ปีที่แล้ว

    You are always the best...# Bambo &Mtanga

  • @bilo1106
    @bilo1106 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nataman kutuma audio munisikie ninavyo cheka maana nikimuona mtanga mm tayar hoi wallahi...

  • @ENOCKKASEKWA-qf3rw
    @ENOCKKASEKWA-qf3rw 5 หลายเดือนก่อน

    Hii kali 🙌🙌

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 ปีที่แล้ว

    Bei ni kubwa sanaaaaa mnauza bei mno

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +3

    Mdoli una gadeni love 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @adellebarakamfitiye658
    @adellebarakamfitiye658 หลายเดือนก่อน

    Hawajama nomaaa sanaaa😂😂

  • @mohamedbile1147
    @mohamedbile1147 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha hahaha hahaha kali saaaaaan please part 2

  • @samwelluhwago705
    @samwelluhwago705 2 ปีที่แล้ว

    Saf kazi nzur

  • @aliymajala5678
    @aliymajala5678 7 วันที่ผ่านมา

    Dah jamani 😀😀😀😀

  • @rashidimbui6474
    @rashidimbui6474 2 ปีที่แล้ว

    Mtanga umetisha

  • @officialfredoo3549
    @officialfredoo3549 2 ปีที่แล้ว

    Mmetangaza Duka kwa ku2chekesha sanaa

  • @armyonekenya1993
    @armyonekenya1993 ปีที่แล้ว +1

    This one made my day🤣🤣🤣🤣

  • @sabathonyamsusa6413
    @sabathonyamsusa6413 2 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri sana mtanga

  • @alimungamunga2277
    @alimungamunga2277 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahaha mtanga

  • @budapest8596
    @budapest8596 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtanga ni mdaiwa sugu siku zote.🤣🤣🤣

  • @nizeyimanaomeri5667
    @nizeyimanaomeri5667 2 ปีที่แล้ว

    Nimepeda sana

  • @Nayfat-us6cj
    @Nayfat-us6cj 18 วันที่ผ่านมา

    Pua zake sasa😂😂😂

  • @king-size8114
    @king-size8114 2 ปีที่แล้ว +3

    Good work 👍😁 bado mkoa imara katika kuhakikisha comedy ina endelea kufika mbl

  • @chanikaexerciseclub
    @chanikaexerciseclub 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani bambo na mtanga tangu muanze kuchekesaha apa duniyani leo ndio nimecheka

    • @moudboss846
      @moudboss846 ปีที่แล้ว

      Yani ata Mimi 😂😂😂 nimecheka Leo

  • @michaelkunzi2656
    @michaelkunzi2656 ปีที่แล้ว

    Shortly they are the best comedians....

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 2 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅😅😅😅Mtanga kasimama kama helufi I mbavu zangu.

  • @Onesmoboyz
    @Onesmoboyz ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mtangaaaaaaa kanaswaaa