Hujagusia baadhi ya vitu kama transmission options kama vile auto au CVT, je kuna all wheel drive au ni FWD pekee. Suala la spare na body parts je? Maana ist imeshika sana soko, sababu kubwa ni upatikanaji wa urahisi wa spare na body parts katika suala la maintainance. Maana unapomshauri mtu anunue gari flani mazingatio makubwa ni sehemu kuu 2: 1. Effectiveness katika running cost 2. Effectiveness katika maintainance cost Sasa hiyo umeizungumzia katika running cost ila maintainance hujagusa. Na hii inakuja mtu ananunua garo flani the. Anaishia kulipaki. Jaribu kuwa na video ambazo ni exhaustive
Kk mi nakufatilia sana, Ila sometimes unazingua bei ya ist bongo ni kuanzia 11M na kuendelea Ila usiseme kuanzia 17 sio kweli labda kama hao watu wako ROSTAM wanauza hivyo... Ni comment tu
Nakubal sana Mazda versa kulko ist inashep mbaya
Hujagusia baadhi ya vitu kama transmission options kama vile auto au CVT, je kuna all wheel drive au ni FWD pekee. Suala la spare na body parts je? Maana ist imeshika sana soko, sababu kubwa ni upatikanaji wa urahisi wa spare na body parts katika suala la maintainance. Maana unapomshauri mtu anunue gari flani mazingatio makubwa ni sehemu kuu 2:
1. Effectiveness katika running cost
2. Effectiveness katika maintainance cost
Sasa hiyo umeizungumzia katika running cost ila maintainance hujagusa. Na hii inakuja mtu ananunua garo flani the. Anaishia kulipaki.
Jaribu kuwa na video ambazo ni exhaustive
Spare jamani zipo😮😮
Umetisha kinoma 👍
Tunaomba Review ya Toyota Noah Townace,Road toure na upaji wake wa mafuta
Spare zipo ?
Hiyo gali sio nzuri kwa usalama kwanza hai fungi milango
Haifungi au hukumbuki kuifunga?
@@003morgan8😂😂😂😂😂😂 duh
Kuna gari ambayo haifungj milango
Mwaka 2040 itakuw inauzw laki mbili wal cn hrk nay
Naongana na ww mkuuu
Unahakika ya kuishi mbka 2040 sema mungu akinijahalia uhai
#Samahani lkn!
😂
Hivi za umeme ndio hamna bongo?
Naomba kufahamu neno Valve Matic inafanyaje kazi uzuri na ubaya wake
Wakwanza leo🎉
Ujazungumzia upatikanaji wa spare na je inavumilia mazingira yetu tz
Kawani znz na tz c nchi mo1 Au??
Shape ya IST siielewi kabisa heri nivute premio
Msaada TOYOTA RUMION
Kk mi nakufatilia sana, Ila sometimes unazingua bei ya ist bongo ni kuanzia 11M na kuendelea Ila usiseme kuanzia 17 sio kweli labda kama hao watu wako ROSTAM wanauza hivyo... Ni comment tu
Bei ni 17 mpaka 18
@@Hauleshabby njoo kwangu kk.. Km0 ist kwa 11M uwakika
izo za 11 ni mchakachuo
@@Hauleshabby zero miles au??
@@christonchristian7448 km zozote zile
Like zenu nimekuwa wakwanza 😂😂
Kaka #SnashTz tupe review ya Bugatti Centodieci gari aliyoendesha CR7 juzi inayo gharimu zaidi ya 20 Billion+ za kitanzania 🙏🙏🙏
Alafu iweje
hii ndo channel ya maana. ichambue terios kid tafadhari
Tupe darasa kwann nisan dualis zinawaka moto
Vp Mazda upatikanaji wa spea
mr facts vp mafuta inakula sana au kawaida
14km per litre
Miongoni mwa kampuni ninayo ikubali ni MAZDA
Kuna Hii Inaitwa. MAZDA ... DEMIO
ni bei chee kuliko Gari zote
Japan To TZ ni 8M tu kila tu
Eeh mwanangu yaan Bei chee
Sasa muungano una maana gan Kama kuvusha gari kutoka zenji kuja huku Ni mehera mingi😂
Hatutaki muungano
Duh yani gari ya kisenge hivyo nitoe million 17😂😂 bora rav4
unaweka 1m uchukue ata dualis tu dooh
Bei yake haizidi 13M..ni kazuri kws kuanzia maisha
Sisi wazee wa miondoko mikali, tunaomba utuletee video kuhusu VW POLO GTI
Tatizo zinakataka axle ya nyuma ukiweka mzigo mkubwa
sa kwann uweke mzigo mkubwa akat
Sasa unaweka mzigo mkubwa kwenye kagari kadogo wa nini, hamna pick up?
Snash unatunyoosha
Toyota IST gali hii Mimi huwa siipendi vile ilivyo basitu
Ww iyo gar huez fananisha na ist kivyovyote vile ist ni gar ngumu kupta maelekezo iyo mazda yako zpo garage kbao watu walisha ziacha
Snash unatunyoosha