Mambo yanayoweza kusababisha gari kula mafuta mengi licha ya kuwa na cc ndogo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2021
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our TH-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg
Kyando Naomba Namba zako
Karibu Tena Kwa mafundisho
Asante sana bro, nimeipenda iyo
fundi jibu swali ndipo ueleze maelezo ni mengi kama mwanasiasa
Tunashukru Sana kwa Elimu Kama hizi maana tunakosea bila kujua
Maelezo mengi mkuuu
Wote wababaishaji tu...jamaa haelezei chochote anaongelea vitu vingi mno na kujichanganya
Natamani mtangazaji achukue mud mfupi na injinia awe na mud mpana kufafanua mada
Fundi kwanini ukiwasha gari mafuta yanapugua kidogo?. Gari yangu ni silinda 6 ni ya petroli.kwanza sipandi gari bila kukagua nje, pili maji,oil ,tatu nikingia ndani ya gari Nasali ,nafunga mkanda ndipo niwashe gari. Asante kwa mafunzo.
Mtangazaji amuulize mtaaiam, maswali mafupi ya uchochezi/uchokonozi, kuchokonoa habari, maneno mengi ambayo ndio utaalam wenyewe amwachie mtaalam,
Gar Ina mambo mengi ambayo usababisha kura mafuta kwaiyo inategemea ni kipi kibovu mafundi wAnaerewa ir
Huyu fundi anajua, natamani ningepata contact zake...
Mtangazaji ana kierehere kama yeye ndo fundi
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaaa anakiherehere sna🤣🤣
Je Kuna uhusiano Kat gearbox kua mbovu na ulaji wa mafuta?
Ndio
Mnafanya vizuri sana kutuletea elimu lakini huyu anae andaa hizi video ndio anaharibu yaani hicho kipeperushi cha usafiriwako kila dakika kina onekana mbele ya picha mpaka vitu vingine havionekani tafadhali sana jirekebisheni kwenye hili hii video imekua mbaya kwasababu ya hicho kitu kimoja tuu
Au kama wanao andaa kipindi hawana weledi fukuzieni mbali yaani mpaka kipindi kina kosa ladha bhana
Mtangazaji muachie fundi mbona unaongea sana
Plag zikiungua je, hazisababishi mafuta kutumika zaidi?!
Nimekusoma kwenye plug
Kuweka N ndio inaongoza, Darasa zuri naa liwe endelevu,Madereva wengi hawataki kusoma.