Habari naenjoy uchambuzi wako ningependa Nissan x trail old model ifate pia kuelezewa nitafurahi sana coz kwa used car Tanzania ni gari unapata kijana kwa bei mdogo so kabla yakuikimbilia tungejua ipoje hasa
Thanks for this review..... Between IST and this RUMION ...which one should I pick because am spoilt for choice of my next car next month Thank you once again..... 🇺🇬 Ugandan representing
Nilichoipenda kwa ndani ni kivuli. Ina kivuli cha kutosha. Tofauti na ist na porte design yake inafanya mwanga mwingi sana unaingia ndani ya gari kiasi kwamba kipindi cha kiangazi inakuwa ni kero jua linakera kama unasafiri mikoa yenye jua kali
Naomba uchambuzi wa Toyota SUV nzuri kwaajili ya njia ya vumbi, iwe affordable, fuel economy na yenye spare parts Tanzania yote. Nafanya kazi na wakulima hivyo naomba mwongozo wa gati nzuri kwaajili ya barabara za kijijini. Asante!
Ninayo hiii gari ni nzuri mno nasafiri sana sana but mwendo wake iko stable sana barabarani nimeiwekea spacer milimita 3 na rim size 17
Binafsi naipenda sana Toyota rumion ngoja nijikusanye
He's back 👏
Kitambooo sana mzee wangu tulikuwa tumekumc sana mzee wa ndinga kali
I like your reviews as always. Keep up the good work.
Nimefurahi sn umerudi...
Nakukubali sn...
Pia nimegundua wengi pia wanakukubali sn...
Upo vizuri mzee... Unastahili zaidi ya hapo.
Brother tunashukuru umerud jinsi unavyo toa car description unamfanya hata asiye na ndnga avutiwe thanks brother
Bro nakufatilia San napenda unavyo chambua,,nilikuwa naomb utuletee uchambuzi wa NISSAN X TRAIL❣️❣️
Habari naenjoy uchambuzi wako ningependa Nissan x trail old model ifate pia kuelezewa nitafurahi sana coz kwa used car Tanzania ni gari unapata kijana kwa bei mdogo so kabla yakuikimbilia tungejua ipoje hasa
Kaz nzuri bro... Bro tunaomba video ya Toyota Spacio
Homeboy tusaidie wanao . Tunaomba ureview Toyota ractis.. Zipo nyingi huku mtaani ..
Waoooow inabidi nikutafutee uniuziee hii gari naipenda sanaaaa sanaaa
Reviews ya Premio please and if is good kwa kuanzia na pia for safari ndefu
Mm naomba ufanye review ya Toyota crown.
Thanks for this review.....
Between IST and this RUMION ...which one should I pick because am spoilt for choice of my next car next month
Thank you once again.....
🇺🇬 Ugandan representing
Go for the Rumion, IST in Uganda is more expensive yet the car feels so tiny with low clearance
@@jambrose thank you soo much
@@makobahumphrey5685 welcome, I myself am waiting for UBL number plate so i get my Rumion
Naomba kujua ubora new model Suzuki swift
from kenya,i love your reviews,keep up,leta zingine mingi
Asante sana brooo
Hatimae ume rud mchambuz wang bora kabisa
Natamani sana uielezee crown athlete
Inakuja haruni
It has been a while home boy, PREMIO review will be highly appreciated
Nashukuru Kwa ushauri wako mzuri bigup
Alinanine Madata ma meeeeeeeeeen, looh hatimae sasa nadhani hutapotea tena brother
Nimekubali Sana bro umeilezea vyema Sana
Ni vizuri ungekuwa unafanya test ya taa za ndan, ﹰAﹰC , redio n.k
great job Kaka rate up umekuwu mwalim Wang mzur kuhus magar appreciate San Kaka✌️✌️
Pamoja nduguyangu umenifungua asante
Vipi kuhusu upande wa barabara inahimili zile barabara korofi?I mean za kokoto na vumbi na za mashimo mengi?
Safi sana mzee
Brother review mark 11 grand,crown na brevis
Welcome back Bro
Hend brck inafaa kuwepo hap gar nimzur inamuonekan mzuri ndani
Tupe ya Toyota Wish mzee baba
Why ckuiz hutoi clips..!! What happened to you dude
Tunaomba review ya Toyota Reize na bei yake
Unaelezea vizuri sana ila kuingia mtini na kuwaacha subscribers wondering
Nimerudi sasa
@@ndingazabongo8613 poa ebu toa review ya Nissan Xtrail T31
Ulipotelea wapi?
Bro fanya review ya toyota harrier 2004,2007 please nasubiri ili nijue nini nifanye
Bro your the best keep coming 👊
Nicely reviewed.
Broo mashabiki wako tunasubilia review ya Toyota crown
Asante sana bro. Good review
Broo umerudi kimya kimya ila nazi kubari sana reviews zako
Hio ni poa brother naomba u review Nissan note
Fanya review ya crown piaaa bro
Naomba kufaham kuhusu toyota brevis
Twataka kufahamu gari aina ya toyota spacio
Umekuwa kimya mda mrefu sana
Welcome back kaka
Review Yako nzur bro ila naomba kujua review ya Toyota raum
Good explanation mzee but m naomba nisaidie tu gari aina ya Corolla saloon ikoje mzee
Rumion in SA looks better than East Africa it looks small.
Handbrake inafaa hapo kaka. ni uhakika all time unaiona
nakuomba bro uwe unatuwekea na kiwango cha kikomo cha kilometers kwa siku
Tunaomba Allex/Runx
Alteza time ijayo tunapenda utupe maujuzi yake
Tunaomba utuelezee toyota Rush
Nmeielewa Review yko ya hii Gari ya Corolla Mzee. Nadhani hii ni Bora Kuliko IST!!!?? Ama ni VP Kaka??
Nilichoipenda kwa ndani ni kivuli. Ina kivuli cha kutosha. Tofauti na ist na porte design yake inafanya mwanga mwingi sana unaingia ndani ya gari kiasi kwamba kipindi cha kiangazi inakuwa ni kero jua linakera kama unasafiri mikoa yenye jua kali
I want this car,how can I get you?
Good bro...very kind
It been a minute bro. 🔥🔥🔥
Tuletee Toyota urban cruiser uzuri wake na ubaya wake
Br naweza kupat gr hii mkononi kwa 6M
Bro ulipotelea wapi jamani anyway naomba uchambuzi wa toyota wish
Sasa ivi bando litahisha kiroho safi🙏🙏🙏🙏
Wek namba za simu plZ
Keep up the good work.
Kaka fanya ya Nissan dulias
Twende kwa mnyama crown bro
Iko pw sana
Dah piga kaz mzee
ulipotelea wap kakaa??
Review Toyota Auris
Dahh bado muda... habari Masiku... karibu tena.
Unakuwa kimya sana tatizo
Fielder bro please fanya review
Review alphard
oah voxy
Inabei gani?!
Ameruuuudiiiii 😇✨
Engine nzuri ni ipi hapo mzee!??
Welcome again broo
Please Toyota Alphard
Naomba uchambuzi wa Toyota SUV nzuri kwaajili ya njia ya vumbi, iwe affordable, fuel economy na yenye spare parts Tanzania yote.
Nafanya kazi na wakulima hivyo naomba mwongozo wa gati nzuri kwaajili ya barabara za kijijini.
Asante!
Toyota Cami ndio Toyota ya offroad pekee ya bei ya chini kupita zote
Namba zako boss
Haifai kuwa haoo
Nsaidie toyota vanguard site7
Review na crown bro
Tuletee reviewToyota sienta
Nimefurahi broo
Fanya review ya Ractis 2nd Generation.
good
Hand break ipo pahala pake
Handbrake inafaa kua hapo
Broo elezea toyota ractis
Naitafuta hiyo
Fielder please na premio
Nampa yasimu
More videos bro
Huyu jamaa nilijuaga Corona dah upo? Umekuwa kimya sana bro
😂😂nimepona
Madata's son... Keeep up bro