Nice review Dr Mechanic Toyota Crown unyama mwingi sana, gari inakupa kila kitu starehe, usalama, teknolojia, heshima na performance kama ile GRS204 3.5L 2GR-FSE inakimbia balaa kama umeme yaani 0-180km/h ndani ya sekunde 14.43 🙌🏻
Hapo sasa pakusimama nakusalimiya majirini nimependa sana.mimi navyopenda misifa yani hata barabarani gari naitembeza naweza sahau nikaanza kusimama kusalimia traffic Mademu sasa ndio naweza kufa haswa
Hii ndo review namba moja kuwahi kufanyika Africa masharik na kati👏👏👏👏👏
Inshaaaalah my to you CROWN ATHLETIC 👑
Very nice review- Executive sedan from toyota top notch performance
Nnayo hii gari ni noumaaaa, inakimbia, ni comfortable, ni kubwa na pia inavitu vingi
Unanishauri ni nunue?
Hii gar jmn n kwamba lugha haibadilishiķ. Ama
Unajua kazi yako sana kusema ukweli😂🎉
Kazi safi sana Mr. KENNY I bought a car from your information and this gadem car never disappoint me for all time....big up sana mzee baba.
Sema kaka unajua sanaa saanaaaa
Nimependa sana review yako kwenye hii gari umeitendea haki
Wonderful car review, big up Dr. Mechanics! 💯👏👏👏
Big up kwa production team👏
Wonderful 🎉🎉🎉
Review safi sana
Umekula apple bila kukosha boss
Cool content mzee
mwanang fany review, Nissan t32 2015, nnachuma inakuja just tujiandae mapema
Nice
Nice review Dr Mechanic Toyota Crown unyama mwingi sana, gari inakupa kila kitu starehe, usalama, teknolojia, heshima na performance kama ile GRS204 3.5L 2GR-FSE inakimbia balaa kama umeme yaani 0-180km/h ndani ya sekunde 14.43 🙌🏻
Crown 👑 hujawah kufelii
Bro naomba review ya Audi A4 2010
Nakutafuta kaka unishauri ninataka crown
This is nice review
Unyama sana
Benz ya Japan iyo
Safi sanaa kenny
The show is dope🔥🔥🔥
Wew ni genius
Nice review....... Keep it up
Pamoja mzee baba one love
Nimebarikiwa na hii review haya tukutane mwakan nikiwa ndan ya GRS200
Mwaka ndo huu na ndo unayoyoma ivooo😂 vipi ulifanikiwa??
Sasav nimeamua kuhamia juu
CROWN MAJESTA REVIEW PLEASE DOCTOR
🔥🔥
Good job bro
Ila crown zinatabia ya kupoteza kumbukumbu ukipaki kwa mda mrefu sana
Oil ya gear box kwa toyota crown grs 200,the best ni ipi?
WS
Amen Dr
Amen
Hivi crown inakula kilometers ngap kwa lita
12km/l
Gari hainywi togwa sio!? 😂😂
Bro ni beyi gani mimi na uhakika wa pesa ya mafuta ila pesa ya kununuwa hilo taji ndio sina uhakika😀
Crown ni 16 m up to 22 m....hazina bei ..lkn ukienda kichwa×2 unapigwa bei, lkn ni gari nzuri sana mno, hazisumbui kabisa yani...ile ni km ndege boss.
Nimemiliki Crown for 2 years, kitu pekee nimewah badilisha ni bush, shockups tu mpk nimeuza juzi, Garage sahau
Mafuta vp boss
@@brivany9810kawaida 10l/1km
@@brivany9810brother hakuna gari inayotumia uji 😂
Gear box ni gear ngapi??
6
bei gan mkuu
Gadau, wanasema gearbox za Toyota cami zinasumbua ni kweli?
Hapo sasa pakusimama nakusalimiya majirini nimependa sana.mimi navyopenda misifa yani hata barabarani gari naitembeza naweza sahau nikaanza kusimama kusalimia traffic
Mademu sasa ndio naweza kufa haswa
😂😂😂😂😂
Ety hamna gari inayokunywa supu😂
kuhusu mizigo ktk buti tuache tuu...chombo lzm ile mzigo
😂😂😂😂😂😂😂
Kwel bhana 😅
Hii review itafanya bei ya hii gari ipande tena maana wabongo na watoza ushuru wao.
Mnyama,crown
Hasa kweny cvt,
Dr me nnayo moja sasa imeanza ukisafiri zaidi ya klm 300 inakula Oil.
Fanya review ya forester
Inakuja soon
@@kennygadau1774na Nissan Fuga mkuu
Nakipat
How are you going to grow your channel if you're speaking to one audience?
May be he should add subtitles
Bro Japanese Benz ni Mark X sio 👑
Huna unachokijua wewe
Crown 👑 hujawah kufelii