Cook with Wema Sepetu S02E02 Juma Lokole

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii shorturl.ae/XTizL
    Connect with me;
    Instagram - @wemasepetu
    Twitter - @wema_sepetu
    Facebook - @wsepetu
    Click here goo.gl/0pN4kS to Download Wema App on Playstore
    Click here apple.co/2PQK3vR to Download Wema App on Appstore
    #CookWithWemaSepetu #Wemasepetu #Bestizzo

ความคิดเห็น • 311

  • @hamzahdaimond7848
    @hamzahdaimond7848 3 ปีที่แล้ว +90

    Kama unapenda aje amwite chibu dangotee kwenye hichi kipindi gonga like

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 ปีที่แล้ว +44

    Juma chukoo 😂😂😂achanuksi y kuwatenganisha watu kilazima🇰🇪🇰🇪💃💃 love u ❤️❤️wema

    • @hamisibanda6233
      @hamisibanda6233 3 ปีที่แล้ว +4

      Mpe vitu ndo utajuwa

    • @janethndial5759
      @janethndial5759 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😉😜Juma atar sana

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว +5

    Kapungua sana Wema hadi naona kama sio yule tumebadilishiwa😊

  • @mariacassian7892
    @mariacassian7892 3 ปีที่แล้ว +14

    Wema kuwa na mwili huohuo usiongezeke tena mwaaaaa

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 3 ปีที่แล้ว +51

    Wema kipenzi chetu umependeza sana babie.... Kipindi chako kinavutia sana! Tunakupenda na tutaendekea kujivunia kazi zako... Piga kelele kwa Wema aakeeel.. Mungu azidi kukuongezea Baraka... Wenye wanasema umekonda Pia wao wakakonde ila haikusumbui.... Wewe piga kazi... CONGRATULATIONS to you my Love, Nakupenda sana!! 😘😘❣️❣️❣️❣️

    • @rashidhemed5738
      @rashidhemed5738 3 ปีที่แล้ว +1

      Mie nampenda sn lkn alivokonda kama kitoto cha njiwa sijapenda

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

      @@rashidhemed5738 Kakonda sana yani hadi nikimuangalia napata kama wasiwasi.Heri hata angeongezeka kidogo labda nhee

  • @flexinemussa3470
    @flexinemussa3470 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaan mm kutoka moyoni simpendi juma lokole

  • @dianamsangawale9925
    @dianamsangawale9925 3 ปีที่แล้ว +40

    Nakupenda mpaka I can't breath Wema akee!

    • @mwanahawaomarimashaka197
      @mwanahawaomarimashaka197 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwahiyo umekufa

    • @zkiduku4068
      @zkiduku4068 3 ปีที่แล้ว

      @@mwanahawaomarimashaka197 😂😂😂

    • @mwanahawaomarimashaka197
      @mwanahawaomarimashaka197 3 ปีที่แล้ว +1

      @@zkiduku4068 🤣🤣amba anisinya ..heti hawezi pumua

    • @hassanmapenzi6188
      @hassanmapenzi6188 3 ปีที่แล้ว +3

      Si mnisaidie kusubscribe kwa Chanel yangu ya hassan mapenzi kwa Ku bonyeza picha iliyo kushoto jameni kwa mengi mazuri

    • @dianamsangawale9925
      @dianamsangawale9925 3 ปีที่แล้ว

      @@hassanmapenzi6188 okay

  • @officialprincebaro6983
    @officialprincebaro6983 3 ปีที่แล้ว +1

    Juma kweli mswahili
    Piga kazi mzee baba ndo ulivyo jipanga kuishi mjini hivyo

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 3 ปีที่แล้ว +5

    Waislam hao, proud to be sinners, have you asked yourselves, what would be my last day..??

  • @nicasinigo2528
    @nicasinigo2528 3 ปีที่แล้ว +11

    love you so much wema....leo umetugusa patamu kelele moja kwa lokoleee

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +20

    Love you Wema jomon 😘

  • @mariesewakalunga4314
    @mariesewakalunga4314 3 ปีที่แล้ว +2

    Oooh my wema nashuru Sana kupitiya kipindi Chalo nawafaamu wasanii wengi wa Tanzania.nakupenda Sana Sana.ijapokuwa umbali wangu ila ninaonaga Niko tuu karibu na wewe piya na Tanzania kupitiya iki kipindi.toka DRC GOMA nakutakiya heri ya mwaka mupya my Queen.ndoto yangu kubwa kwa mwaka uhu 2021 nikuone kwa masho yangu piya nikuguse niamini kweli ni wewe.nimejifunza mengi kutoka kwako

  • @kimsnoxy4015
    @kimsnoxy4015 3 ปีที่แล้ว +5

    Tupo pambe sannaaa show yetu inabamba sio poa!!! I love you wema sepetu

  • @mwanaidimresh1628
    @mwanaidimresh1628 3 ปีที่แล้ว +238

    Kama unamkubali wema gonga like twende sawa

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +10

    Sepenga ur so cute jua lenda na ukali wake

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 3 ปีที่แล้ว +15

    Wema ki body mashaallah!!!!

  • @fatmazinga5310
    @fatmazinga5310 3 ปีที่แล้ว +53

    Wema mm wa kwanza kuangali please nijibu sms yangu I love you so much my dear sis

  • @adijaadija9923
    @adijaadija9923 3 ปีที่แล้ว +5

    Lokole kama lokole ila ni kichefu chefu🥰🥰🥰🥰🇧🇮🇧🇮

  • @mariyammaria3366
    @mariyammaria3366 3 ปีที่แล้ว +4

    Yani mi nampenda sana madam namkubali 💓🔥

  • @josephlyatuu3520
    @josephlyatuu3520 3 ปีที่แล้ว

    Wema kiasi gani umetumia kutengeneza jiko kama hilo... zuri sana

  • @sadakhamis6684
    @sadakhamis6684 3 ปีที่แล้ว +10

    💯❤❤❤❤❤wema wake✅🔥

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 3 ปีที่แล้ว +8

    Je t'aime beaucap wema sepetu❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว +2

    Wema umejipunguza mno hadi tunaogopa kukupoteza, Mungu akuepushe na maralia hizo za dar

    • @nanaaissa8102
      @nanaaissa8102 3 ปีที่แล้ว

      ☹️😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹mama nakufaa

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 3 ปีที่แล้ว +5

    Madam juma😂😂❤️❤️❤️❤️nawapenda

  • @salmakz6094
    @salmakz6094 3 ปีที่แล้ว +10

    Now i always start cooking with « LET’S COOK WITH... *insert my name* ... » 😂😂 wema u destroy us! Btw much love from 🇧🇪

  • @khadijaamani9807
    @khadijaamani9807 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha'Allah Wema Ady Raha

  • @tonycharlie5073
    @tonycharlie5073 3 ปีที่แล้ว +4

    I love you Wema keep it up

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 3 ปีที่แล้ว +1

    unanivunja mbavu wema unampa makavu juma lokole🤣

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 3 ปีที่แล้ว +6

    Et hata Mimi na wewe hatumjui... Mamae!!😂

  • @asiagabriel9240
    @asiagabriel9240 3 ปีที่แล้ว +8

    Kelel ya kwanza kwa lokoleee ake

  • @janethndial5759
    @janethndial5759 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka jaman

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana wema kipindi ongeza muda.

  • @anifakaitailima634
    @anifakaitailima634 3 ปีที่แล้ว +5

    Wema your really perfect , mimi nakupenda wewe ni mtoto wa kike unae jitambua unapambana na adui zako kwa kuwaonesha hauna mda nao big up dear wema .nimimi bi kaitairima wa tarime.

  • @munirayakoub3682
    @munirayakoub3682 3 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizur baby wema mungu akusimamiye katika yako maisha

  • @creopalmer8345
    @creopalmer8345 3 ปีที่แล้ว +5

    She lost so much weight beyond recognition

    • @tiamo726
      @tiamo726 3 ปีที่แล้ว

      Muachw wema alikuwa hivi

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 ปีที่แล้ว +5

    Watu wangu💕

  • @shenkitv8670
    @shenkitv8670 3 ปีที่แล้ว +7

    Wema akee😘😘

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 3 ปีที่แล้ว +5

    Juma 🔥🔥😂🤣🤣

  • @muddyissah278
    @muddyissah278 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimesubisicraibuuu kwa kuwa nakupenda wema Toka zamani sanaaaaa
    Natamani hata ungekuwa mbunge wa Jimbo langu

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 3 ปีที่แล้ว +4

    Wema ukimuita Chibu mtatrend mwezi mzima

    • @sheilaabdulrahman2113
      @sheilaabdulrahman2113 3 ปีที่แล้ว

      Anaogopa akija chibu lazma amnyandue aondoki vile vile yulee

  • @mishikitendo4983
    @mishikitendo4983 3 ปีที่แล้ว +5

    Wema akeee

  • @aminihaminih7846
    @aminihaminih7846 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂kwato za mmbu duuh senge kweli juma

  • @vumiliasanga3128
    @vumiliasanga3128 3 ปีที่แล้ว +2

    nampenda huyu dada mpaka naumwa😘😘😘

  • @teddlyimo6020
    @teddlyimo6020 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda wema

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani juma kivuruge sana

  • @edissa9958
    @edissa9958 3 ปีที่แล้ว +8

    ❤️💖💖💖💖

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 3 ปีที่แล้ว

    Wema nakupenda hdi raha

  • @bonifasimashimba8576
    @bonifasimashimba8576 3 ปีที่แล้ว +2

    Umbea suna Kama vipi raiki hapa

  • @HabibaSaidi-gi2gz
    @HabibaSaidi-gi2gz ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana

  • @mishymorgani5966
    @mishymorgani5966 3 ปีที่แล้ว +3

    Tunamtaka Aristoteee!!mzee wavikak😂😂

  • @abdulishaban7795
    @abdulishaban7795 3 ปีที่แล้ว +3

    Wema umekonda jmn daaah

  • @mishymorgani5966
    @mishymorgani5966 3 ปีที่แล้ว +2

    Kamwili kazuriii mamy!!!😍

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 ปีที่แล้ว +3

    Penda Sana madame

  • @JudithKigalu-ue3in
    @JudithKigalu-ue3in ปีที่แล้ว

    Just woooww

  • @zainbomary3970
    @zainbomary3970 3 ปีที่แล้ว +4

    Hi mamy 😘 uko na kpz changu Juma Lokole..Lokole kama lokole mpe hi

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 ปีที่แล้ว +1

    Wema Mzuri sana,bora nikuoe mimi

  • @emelmarry8354
    @emelmarry8354 3 ปีที่แล้ว +2

    Love u wema

  • @ramadhanseleman4276
    @ramadhanseleman4276 3 ปีที่แล้ว +6

    Wema plz pika na jacob steven (Jb)

  • @joynjiru3572
    @joynjiru3572 3 ปีที่แล้ว +5

    Tunakutabua tu Kwa sauti yako nyororo Ila mwebaba kabisa

  • @fettyulomiamina9071
    @fettyulomiamina9071 ปีที่แล้ว

    Juma asant mpnz

  • @veronicagershomu484
    @veronicagershomu484 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwato za mbu juma punga sana

  • @mishicram391
    @mishicram391 3 ปีที่แล้ว +1

    Kanazidi kupendeza mashallah

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 3 ปีที่แล้ว

    Salàm alekum mashallaah wema napenda sàna Niko lako mm Amina kutoa Kenya salàm zangu Kwa juma

  • @limagorsadles4365
    @limagorsadles4365 3 ปีที่แล้ว +13

    wema I realy love u iam from burundi ningependa kuuliza kwanini hamuweki full video?

    • @rachaelwayua270
      @rachaelwayua270 3 ปีที่แล้ว +1

      Akii wangepata views mingi sana

    • @zedekchamagogo1223
      @zedekchamagogo1223 3 ปีที่แล้ว

      Wajinga kweli wanaweka video fup

    • @hildascorner2327
      @hildascorner2327 3 ปีที่แล้ว +6

      Full video ipo kwenye app yake, huku wanaweka tu teaser kuhamasisha tu...its a business my dear..you install the app and pay 2000 a day...

    • @hassanmapenzi6188
      @hassanmapenzi6188 3 ปีที่แล้ว +1

      Si mnisaidie Ku subscribe kwa Chanel yangu kwa Ku bonyeza picha yangu kwa mengi mazuri

  • @ashurapandu7671
    @ashurapandu7671 3 ปีที่แล้ว

    Jamny juma lokole nampenda sana bora engekuepo na dyda ingekua rahaa

  • @billylovebilly6301
    @billylovebilly6301 3 ปีที่แล้ว

    😄😄😃😃juma lokole we kiboko kabisa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Leo leo leo juma hoyoooo

  • @godsonminazi9204
    @godsonminazi9204 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo lako wema hatuoni matokeo ya mwisho Wa mapishi yenu,,,,hebu rusha kipindi ambacho mapishi yamekamilikana sisi tujifunze maandalize hatua hadi kitu halis chenyewe

  • @salhaaa4996
    @salhaaa4996 3 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️❤️❤️😘😘🔥🔥

  • @officalhellen691
    @officalhellen691 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bureeeeee

  • @taitadollnicky273
    @taitadollnicky273 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani ni Mimi tu sijui Kama Kuna full episode! Mtu anichanue jamani

  • @judithsalufu5688
    @judithsalufu5688 3 ปีที่แล้ว +3

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ashynahcoxz5031
    @ashynahcoxz5031 3 ปีที่แล้ว +2

    Love u wema 🇰🇪💕💕

  • @mwanaidkishaka2823
    @mwanaidkishaka2823 3 ปีที่แล้ว +1

    That vibes ulioanzia😍

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว

    Mm naomba utuletee diamond

  • @judithdominic7962
    @judithdominic7962 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bure

  • @halmamudy1
    @halmamudy1 3 ปีที่แล้ว +1

    Jumalokole kafanya kipindi kinatrend👌

  • @bintiali4582
    @bintiali4582 3 ปีที่แล้ว +2

    Wapi wema akee😍😍😍

  • @ndayisabanadia1920
    @ndayisabanadia1920 3 ปีที่แล้ว +1

    Wema my love mu alike oncle shamuti🇧🇮

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 ปีที่แล้ว

    Nakupend sanaa wema jomon unakifanyia haki kipindi rokole sasa

  • @agnesmwangombe6999
    @agnesmwangombe6999 3 ปีที่แล้ว

    Wow l love it Wema kipenzi

  • @frdmedia6235
    @frdmedia6235 3 ปีที่แล้ว

    Juma nimjuwaji saaana duuh

  • @hazon015
    @hazon015 3 ปีที่แล้ว +1

    @Wema_sepetu 💪🚧

  • @brezzyvankuzeny190
    @brezzyvankuzeny190 3 ปีที่แล้ว +5

    Wema umepungua sana mwili kulikoni ni umbea tu natafuta vitamin c

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 3 ปีที่แล้ว

      Jamani mbona Ndo kashaanza kuongezeka atarudi taratibu tu na mwili wake Utakua poa

  • @assumptamwingira8788
    @assumptamwingira8788 3 ปีที่แล้ว +1

    Lovely wemaaaaaaaaaaaa

  • @hassanhasuman2253
    @hassanhasuman2253 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani wambea tukutane ukuuu madame katuamulia wiki hiiii😂😂🙌

  • @mjsaidkeya822
    @mjsaidkeya822 3 ปีที่แล้ว +2

    Piga kelele kwa wema akee, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @janethndial5759
      @janethndial5759 3 ปีที่แล้ว

      Weweeeeeeee😂😂😂😂😍😍

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว

    Huhuhuuuuu

  • @jacklineulomi7780
    @jacklineulomi7780 3 ปีที่แล้ว +1

    Et kwato za mbu haha

  • @terryadams7416
    @terryadams7416 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbna fupi hivyo??i was waiting pale kwa umbea

  • @muniramunira401
    @muniramunira401 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥

  • @khadijahbanana5602
    @khadijahbanana5602 3 ปีที่แล้ว

    Mbona chakula hakuonekani kikiwa tayari

  • @kadegashibani5934
    @kadegashibani5934 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasiku atakuchamba huyu juma nauwo wembambawako ndo utajua kachumbali ni mbaga au maharage🤣🤣🤣🤣

  • @marthamangasta2341
    @marthamangasta2341 3 ปีที่แล้ว +1

    My favorites food 😋😋😋

  • @caromsafiri2329
    @caromsafiri2329 3 ปีที่แล้ว

    Umetishaaa sana leoo

  • @fatihiyaizzadin904
    @fatihiyaizzadin904 3 ปีที่แล้ว

    Umbea nimtamu na pia ndio maisha mama

  • @maureenmmari5632
    @maureenmmari5632 3 ปีที่แล้ว +1

    My love🥰🥰

  • @alinemauwa4780
    @alinemauwa4780 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda juma kutoka burundi

  • @anithabahimana-hp8en
    @anithabahimana-hp8en ปีที่แล้ว

    Tunapenda sana kibindi lakini mbona kafupi daaa tupe vitu

  • @luvlynessy
    @luvlynessy 3 ปีที่แล้ว +7

    First 💃🏾 ...: