Wacha nikusaidie, inahusiana Kwa namna hii; Kwa upishi, utajua Kula vyakula vinavyofaa, na Kwa kiasi kinachostahiki ili upate nguvu ya kuhubiri injili ya Yesu. Hata wanafunzi wa Yesu walipotoka kuhubiri injili aliwapa mikate na samaki wakala. Jamani tuache unafiki! Kwani wanahubiri injili hawafai Kula ama kupika?
Makubwa! Ndo maana waume zenu wanatekwa nje, 7bu ya kukosa maarifa kama hayo na mengine mnayoyaona kama ni kawaida tu kumbe akitokea mwenye maarifa yake nje anamteka mtu kirahisii...pole wee!!
Christina shusho muelimishe huyo Dada mavazi mazuri. Na pia serikali iingilie kati mavazi ndio yanachochea usagaji na mashoga wote wa dar ndio rafiki zake wakubwa huyo Dada anatakiwa akanywe
Waoooh voice ya Christina so nice❤❤❤
Mlete na Bahat Bukuku kitambo atuache na Zinduna hajarudi mjini 💃💃💃
I love these two ladies so much❤
WEMA UNAISHI wapi jamani nikutembelee
Christina Shusho alibadilika, upishi inahusiana vipi na injili ya Yesu
Wacha nikusaidie, inahusiana Kwa namna hii; Kwa upishi, utajua Kula vyakula vinavyofaa, na Kwa kiasi kinachostahiki ili upate nguvu ya kuhubiri injili ya Yesu. Hata wanafunzi wa Yesu walipotoka kuhubiri injili aliwapa mikate na samaki wakala. Jamani tuache unafiki! Kwani wanahubiri injili hawafai Kula ama kupika?
Joel lwanga jamani kipenzia changu huyo kaka nyimbo zake dah!
Wema tajiri wa sauti
Super cool à vous
Christine mtu poa sana
Na Upendo nkone ❤ with wema sepetu
Rose Muhando nae kwenye cook with wema sepetu💕kama utaona hii nitafurah
Tupo pamoja
❤❤❤
💯Rose Muhando Muhimu atupikie vya Dodoma
Yes alete Muhando
Hongera sana
Upotovu ni mwingi sana ila tunausifia kwa ujinga wa mioyo na elimu ndogo ya ufalme wa Mungu tulionayo
Nawapenda
I love u so much my lovely mam shusho , soon wew ni mbunge wa jimbo flan
..... sauti......... nyololoooooooo☺️
Jamani martha mwaipaja pia ningependa kumuona hapo
Nawapenda sana
Chucho I Love u
Utakimbia na dunian sana maana utaki neno la mungu likukomboe ata wewe ujaokoka utawaambia watu wasio jitambua
Kivp
I love how they relate❤❤❤❤❤
Tunaingoja iyoooo wemaaa😍😍
Beautiful soul
Very nice interview
Wema wewe nimzuri sana ila mavazi yako hayampendezi mungu badilisha ma vazi kuanzia kichwani hadi kwenye vidole hizo kucha badilika dada
We're waiting for Rose Muhando
Ishi kama wanawake wa kisabato utapendeza sana
Anafanana na Abbychams jmn 😢
Nawapenda sana ❤❤❤😂😂
Wanaume waliopata wanawake wanaopika na kuwakaribisha kula washukuru yesu waache dharau
Siyo kupika tu,nakuwafulia boxer zao,na mengine mengi.
Sauti yako wema inaniumiza maskio bhaaanaaa
Mwanamke waking Africa miaka mitatu bila kupika really even the present cook wow is this the next stage of life 😮
Makubwa! Ndo maana waume zenu wanatekwa nje, 7bu ya kukosa maarifa kama hayo na mengine mnayoyaona kama ni kawaida tu kumbe akitokea mwenye maarifa yake nje anamteka mtu kirahisii...pole wee!!
@@rmaryp6269 ndio shukrani
🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Wa kendal attendance tu hata na mapishi
@@bintimkitosi6187 poa
Ni vile t Waweza kidg et napenda sanaa hili kipindi najua mengi about wasabi about kupika
Tunamtaka dada Rose Muhando
Wekeni bx
Sauti imekuaje eti?
🥰🥰🥰
Barikiwaa my nakupenda
Where can someone look the all Episode
Wema app
@@mercyfuraha684 thanks iko kwa play store?
Yeah
@@ireneimbuhira7759 yeah
hivi wema hafungi?
And you didn't come diamond came😢😢😢
Ichi kipind nakipend ila kinanishinda mana kingereza ni king sana ingefaa mkasema lugha yetu
Wema unaongea na kinyonge kama unasinzia
Mbona awajaja ao uliowataja
❤❤❤
Ilo gaun
❤
Wema kipenzi chetu ungejistiri japo kwa heshima ya huu mwezi
Hizo shoots sio za mwezi huu
mwezi una nini na mapishi
🔥🔥🥰🥰🥰🥰🇹🇿❤🇹🇿❤
Ntaipataa je iyi vidéo yote
i thought Wema is a muslim
Wewe wema ndio nini kutuvalia nguo hiyo yakuonesha mifupa mwezi huu mtukufu wa ramadhani
Kwani amekuvalia wewe mind your fucking business 😏😏😏😏😏😏
Mifupa tena 😳😆
Acha kuingia utube mwez mtukufu😆😁😂
Christina shusho muelimishe huyo Dada mavazi mazuri. Na pia serikali iingilie kati mavazi ndio yanachochea usagaji na mashoga wote wa dar ndio rafiki zake wakubwa huyo Dada anatakiwa akanywe
Kipofu awezaje kumwongoza kipofu mwenzake!? Yeye mwenyewe hamwakilishi Kristo kama ipasavyo!
Kwanini Wema anaongea kama ajuwi kiswahili wakati niluga yake? Kiswahili luga tamu, eti vingereza wakati aishi ulaya
😂😂😂😂😂😂c wanasema eti wakenya hua tunajifanya 😂😂😂😂
Na wewe hata kuandika rudi shule..chaa
@masalakulwa7601 Girl. Just by reading statement gives me a Kenyan accent which lowkey irks 😝
NAELEWA huelewi kiswahili chaki Tanzania 🇹🇿
What happen to you sister where's your weight my love
Yaani mwezi mtukufu bado unajiachia wazi hivyo? Kwanini huwezi kujiheshimu na kuuheshimu mwili wako? Mavazi ya stara yapo mengi tu wema kwanini lakini
❤❤❤❤
❤❤