Cook with Wema Sepetu S02E03 Kajala Masanja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii shorturl.ae/XTizL
    Connect with me;
    Instagram - @wemasepetu
    Twitter - @wema_sepetu
    Facebook - @wsepetu
    Click here goo.gl/0pN4kS to Download Wema App on Playstore
    Click here apple.co/2PQK3vR to Download Wema App on Appstore
    #CookWithWemaSepetu #Wemasepetu #Bestizzo

ความคิดเห็น • 410

  • @arafataman8891
    @arafataman8891 4 ปีที่แล้ว +172

    wow abari njema kweli nafurai kuona mumerudi kuelewana
    kama wewe ni mrundi🇧🇮 gonga like🇧🇮

    • @ruttenange9213
      @ruttenange9213 4 ปีที่แล้ว

      Home sweet home🇧🇮🇧🇮

  • @reginawanjirushee9164
    @reginawanjirushee9164 4 ปีที่แล้ว +20

    From 254 niko hapa after kuona wana date na harmonize

  • @abdallahshabani5382
    @abdallahshabani5382 4 ปีที่แล้ว +7

    Sijawahi kucomment chochote kile bt nimegundua wema ni mtu mwema sana na mwenye upendo sana yaani mungu akuongoze vyema hivyohvyo kipenz

  • @praxedadominic5193
    @praxedadominic5193 4 ปีที่แล้ว +161

    Wema unaroho safi 😭😭unamoyo wa upendo na kusamehe kwanzia leo mimi ni shabiki yako ❤️❤️❤️

    • @catherinesule8505
      @catherinesule8505 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @babymai7211
      @babymai7211 4 ปีที่แล้ว +1

      Roho safi

    • @halimasulaiman3229
      @halimasulaiman3229 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wema mimi nampenda sana anaroho mzuri sana

    • @meggiexcilla4425
      @meggiexcilla4425 2 ปีที่แล้ว +1

      🥰🥰🥰

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya ปีที่แล้ว

      Wema Hana ubaya anatenda mema wanamripa mabaya na hawsemi vibaya Hana kegeri ndo maana ata reo hachuji tnampenda sana asjari ata waseme amezeeka tunampenda❤

  • @kimsnoxy4015
    @kimsnoxy4015 4 ปีที่แล้ว +13

    I love wema sepetu from the deep of my heart my lovely super star anafanya poa sana kila iitwapo leo

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +353

    Nani anaangalia hii video huku akisomA comments kama mm😍😍😍

  • @aminajames8898
    @aminajames8898 4 ปีที่แล้ว +19

    Jamanii wema na kajalaa sooo nice,wema nakupendaaaaa❤️😇

  • @mgenimzee4565
    @mgenimzee4565 4 ปีที่แล้ว +17

    Jamani huyu kajala ua nampendaga ❤ ako simple

  • @deega1234
    @deega1234 4 ปีที่แล้ว +46

    I genuinely feel Wema is a good person.

    • @billyhanc6046
      @billyhanc6046 4 ปีที่แล้ว

      Yeah for real!!

    • @marycharles3840
      @marycharles3840 4 ปีที่แล้ว +3

      She is buh they are using her kindness kumfanya daraja

    • @shayonapatel1408
      @shayonapatel1408 4 ปีที่แล้ว +1

      I used to like her but i think she has a facade!

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 3 ปีที่แล้ว

      @@shayonapatel1408
      For the cameras yeah, it's the only thing.

    • @myartchronicles8918
      @myartchronicles8918 3 ปีที่แล้ว +1

      She is! I always heard bad things about her but one time she came to my workplace for a certain service and I was the one who served her. She was soft spoken, down to earth, Yaani hajickii Hata kidogo; she was so humble! She greeted everyone and even had a little chat with me. I was left in awe! Never judge people you don’t know. I learned a lesson that day!

  • @camillerose5260
    @camillerose5260 2 ปีที่แล้ว +17

    I love kajala and wema am happy they reconciled🥰

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 4 ปีที่แล้ว +18

    Wema wewe ni kazuri Sana halafu kapole umependeza Sana Tanzania sweetheart natamani ujibu hata asante roho yangu itulie nakukubali Sana wema Mungu akubariki na akupe hitaji la moyo wako

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 Wema msikie huyu jmn

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 4 ปีที่แล้ว +5

    Wema mtoto mzuri mwenye wema wako yaani una roho ya kuachilia kama Mungu wetu atakavyo Mungu akulinde na kukuongeza na rafiki yako Kajala nawapenda sana. ❤

  • @najmakhamis8052
    @najmakhamis8052 4 ปีที่แล้ว +14

    Jmni naona laaa adi nacheka pekeangu akuna kitu kizuli kama kusameheana ama unaonaje ww unae soma comment

  • @amazayinkaamazahommar7663
    @amazayinkaamazahommar7663 4 ปีที่แล้ว +6

    Imenitow machozi 😭😭warundi mpo wapi kama mimi? 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 4 ปีที่แล้ว +12

    Wow this is what we are all happy about...!!! haya mabifu ya ujinja hayapendezi ila sasa tunafurahia na kupendezwa sana kwa hawa wote wawili...wema uko sawa kabisa baby... Endelea hivyo, Hivyo tu Naye Mungu Azidi kukubariki....Piga Kelele kwa Wema akee .... weweeee!!!

  • @ruthkasogota5840
    @ruthkasogota5840 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema kuona ndugu wakimaliza tofauti zao

  • @MaryamPatrickMrema
    @MaryamPatrickMrema ปีที่แล้ว +3

    Nampenda Sana wema ana upendo❤

  • @billyhanc6046
    @billyhanc6046 4 ปีที่แล้ว +12

    Yes madam upo just like ur name dia so good so humble ❤️❤️❤️❤️ wish you more money more life inshaallah!

  • @piedpiper121
    @piedpiper121 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa convesation apo fresh keep in touch you guys

  • @kiya0910
    @kiya0910 ปีที่แล้ว +1

    Wooooh ❤🎉kajala na wema

  • @nasmahatibu9584
    @nasmahatibu9584 4 ปีที่แล้ว +75

    Yaan jaman cjawah muona mtu mkarimu km wema mngu akuzidishie mpnz

    • @jesustheoneandonly
      @jesustheoneandonly 4 ปีที่แล้ว

      Karma inaonyeshwa Dstv, jumamos na jumapili kuanziaa saa 3

    • @zuhuragwanko5373
      @zuhuragwanko5373 4 ปีที่แล้ว

      Always 🥰🔐

    • @jokhammbarouk6556
      @jokhammbarouk6556 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli kujishusha ndo kilakitu

    • @officialminaj1482
      @officialminaj1482 3 ปีที่แล้ว

      Lakin ukimsikilkza vizuri kunasehem anamchomolea betri😂🌝😁

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dad wema..tuna ombe uturetey na lulu Erizabeti na jakerin ORop

  • @sf9476
    @sf9476 4 ปีที่แล้ว +23

    Wallah madam wema iyo nguo umependeza San ten San nitumie nao my nipo bujumbura

  • @pascalsamwel3038
    @pascalsamwel3038 4 ปีที่แล้ว +5

    Jmn kajala ni mpole San Yan anaonekan tyu ♥️♥️

  • @ndekazuberi8129
    @ndekazuberi8129 4 ปีที่แล้ว +56

    Ila mama Paula bado anakuonea aibu jamani ....hata kukuangali usoni anaona jau ...Kama aamini vile uko pamoja mnaongea.Nafurahi kuwaona mko pamoja.😘

  • @elizabethbeja6550
    @elizabethbeja6550 4 ปีที่แล้ว +21

    Wow i just love that statement...one of the most important people of her life😍😍😍...love ur friendship soo genuine

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +10

    Mimi apa nilipo naangalia na machozi ya furaha yanitiririka,marafiki wakielewana ndo upendo unazidi,Wema umefanya jambo zuri sana!

  • @antoniageorge5533
    @antoniageorge5533 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan wema ana roho safi sana

  • @magejosia9026
    @magejosia9026 4 ปีที่แล้ว +6

    Kajala ana miaka 37 lkn utafkiri ana miaka 30 ure so cute love u so much kajala masanja

  • @esthermauki4790
    @esthermauki4790 4 ปีที่แล้ว +10

    Jmn nmefurai kuwaona pamoj tena,❤

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว +1

    Uyu mwanamke nampenda sana kwa maneno yabusara yy na uyu dada yake wastaarabu ❤

  • @officialdoablej6455
    @officialdoablej6455 4 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda sana kajala na wema na nimefurahi sana kuona mmemaliza tofauti zenu 😘😘😘😘😘

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 4 ปีที่แล้ว +4

    Innocent soul one one love

  • @abubakaryalmas7673
    @abubakaryalmas7673 4 ปีที่แล้ว +10

    Huwa nafurahi sana nikiona watu waliokua hawako sawa kimaelewano wakipatana inapendeza sana maana hakuna aliyekamilika na kukosea ni sifa ya mwanaadamu na mkamilifu ni Mungu pekee

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 ปีที่แล้ว +38

    Kanjala masanja ni mrembo hatari aki 😍😍😍😍

  • @halmamudy1
    @halmamudy1 4 ปีที่แล้ว +31

    Happy to see you guys again! 🥰🥰friendship goals 👍

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty4117 4 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulilah jamani ❤️❤️🤣🤣kipindi Leo naona kipo kirefu au naona vibaya

  • @glorysamwel4893
    @glorysamwel4893 4 ปีที่แล้ว +7

    Nawapenda sana nafrai kuwaona pamoja 😍

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 4 ปีที่แล้ว +4

    nawapenda mungu ajalie mufike mbali😋❤💚💜💙👌

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nimejua kusamehe nisehemu ya ibada .madame kweli umetia amri yamungu .mungu akubariki kwakutii agizo lakwe

  • @beatricemapembe2595
    @beatricemapembe2595 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila wema badilika kwa rafiki zako. Unajimwambafai sana. Kwenye maisha kukoseana ni jambo la kibinadamu.

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya ปีที่แล้ว

      Wanamkosea wenyewe hana baya wema❤

  • @kaswakija6002
    @kaswakija6002 4 ปีที่แล้ว +4

    Madam wema mpaka umeniliza si kwamapenzi hayo🥰

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว +8

    Woow am happy for them nlikuwa nagoja mkiwa pamoja kwa hamu sana woow nice nice lov uuu my wema

    • @bryanakyando565
      @bryanakyando565 4 ปีที่แล้ว

      nashida na wewe dada kama utojar plz naomba unijbu coz kuna kitu nataka nikusaidiee kama utojar

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 4 ปีที่แล้ว

      @@bryanakyando565 mie ama🙄🙄

  • @azizaosman6286
    @azizaosman6286 4 ปีที่แล้ว +13

    Nawapenda kajala na wema napenda kuwaona mpo ivyo mnafuraha mnapendana

  • @veriey_bae
    @veriey_bae 4 ปีที่แล้ว +31

    Am happy that BBF are back in de building 😍😍😍

    • @veriey_bae
      @veriey_bae 4 ปีที่แล้ว +1

      @MARIAM ABBOU don’t get twisted my dear Best buddies forever dn get used to only one word😃

    • @fatifatumashaaban6806
      @fatifatumashaaban6806 4 ปีที่แล้ว

      @MARIAM ABBOU maanake

  • @stevennyachuma2734
    @stevennyachuma2734 4 ปีที่แล้ว +1

    Wema jaman ningekuwa Star ningekua karbu naww nakupenda jaman

  • @kulfeebajuni8188
    @kulfeebajuni8188 4 ปีที่แล้ว +8

    I love it wemah that's why nkupnda always ❤💋

  • @NiyongaboGad-r7g
    @NiyongaboGad-r7g 3 หลายเดือนก่อน

    ❤wema unaupendo kabisa

  • @oliviersilwan930
    @oliviersilwan930 4 ปีที่แล้ว +9

    Nakupenda sanaaaa c* wema

  • @uwingeneyefarida1170
    @uwingeneyefarida1170 7 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Farida niko Rwanda nakupenda ❤

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +30

    Wema hiyo nguo yako imekupendeza hatari kipenzi 😍😍😍😍😍

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 ปีที่แล้ว

    Yani hawa nawapenda, yani kilibakia tu kidogo na mimi nilie tena nidai kua nawapenda nyie binty❤❤ Mungu awabariki awatunze awajalie nawapenda muno🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏

  • @hassanthiago4527
    @hassanthiago4527 4 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah mependeza sana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda Weema jmn hadi naisi kero..Anaroho ya pekee huyu dada..Mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏

  • @fiffy3817
    @fiffy3817 4 ปีที่แล้ว +11

    That's a very beautiful kitchen

  • @ruthrosy1914
    @ruthrosy1914 4 ปีที่แล้ว +4

    Who is watching from Germany or.......
    Where are you from let mw know

  • @aminamuslih8296
    @aminamuslih8296 4 ปีที่แล้ว +28

    Me nakupenda wema but dat style of being mwembamba me sinaipenda coz inakufanya kama mzee ivii

  • @alexkamau6501
    @alexkamau6501 4 ปีที่แล้ว +7

    Hi. .....wema am ur fun from Kenya ..I would love to subscribe to ur app but the charges are in tz shillings....we need you do something ....u got some hot tea . ..much more baby gal😍😍❤️❤️

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 ปีที่แล้ว +37

    I was wanting for this Expond I love them best friends ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍👍👍👍

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 4 ปีที่แล้ว

      Ungekua unaweka English subtitles kwa ajili ya fans wako ambao hawaelewi kiswahili nimepitia comments wanacomplain

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪👌👌👌

  • @pesamingi275
    @pesamingi275 3 ปีที่แล้ว +1

    5:47 that eye amempa wema makes me question her sio kwa ubaya but Wema should not trust her again forgiveness it’s okay but asiwe karibu tena sanaaa

  • @JojojoJojojo-wx1vi
    @JojojoJojojo-wx1vi 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda wema❤

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda cn ❤❤

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 4 ปีที่แล้ว +9

    I love you madam Wema Sepetu & madam Kajala Masanja👏

  • @AminaBakar-r6f
    @AminaBakar-r6f ปีที่แล้ว

    Safi jamani wema nakupenda sana mungu mjaalie wema mtoto

  • @alicenjokishow6463
    @alicenjokishow6463 2 ปีที่แล้ว +1

    Kenya 🇸🇸 Tupo ndani

  • @shamilasadiki5611
    @shamilasadiki5611 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupnd sana Dada wema mung akuzidishie maisha maref ameen

  • @violajoseph9732
    @violajoseph9732 4 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda❤❤❤❤

  • @rayfaakim1920
    @rayfaakim1920 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamaniii kunatu wachawiii etii wame dislike 😏😏😏 jamaniii rombaya 2
    Nawapenda Sana'a wema na kajala mungu awasimamie msije gombana tena wallah

  • @kiki16805
    @kiki16805 4 ปีที่แล้ว +12

    This is what God wants we forgive and forget love you all🥰

  • @ZawadiEmanuel
    @ZawadiEmanuel 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman nakupend sana dada uko pouw

  • @mishicram391
    @mishicram391 4 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda wote jamn

  • @gladysbatundi1706
    @gladysbatundi1706 4 หลายเดือนก่อน

    Wema nakupenda sana jmn naomba nikuon

  • @doreenchuwa3630
    @doreenchuwa3630 4 ปีที่แล้ว +17

    Naupenda huu urafikii jamanii, I’m glad they back together

  • @theresiasanka4400
    @theresiasanka4400 4 ปีที่แล้ว

    Msigombane tena. Mungu awape Upendo wa dhati.

  • @suzanajohn7636
    @suzanajohn7636 4 ปีที่แล้ว +5

    Nawapenda sana 💕❤

  • @pendomakala8266
    @pendomakala8266 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamn wema wigi ilo sjalielewa my love😆

    • @sadasaid4408
      @sadasaid4408 4 ปีที่แล้ว

      Yani lamtisha kidogo au vipi mwenzangu hata mimi silielewi

  • @ruthrosy1914
    @ruthrosy1914 4 ปีที่แล้ว +5

    Pls keep growing
    Dont give up
    I love you cooking Style

  • @KikubaRamadhani
    @KikubaRamadhani 10 หลายเดือนก่อน

    Nice ❤❤❤❤❤

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 4 ปีที่แล้ว

    Wema mimi kwa ushauli wangu fanya juu chini uludishe mwili wako nakupenda sana wema

  • @sarafinakadege3269
    @sarafinakadege3269 4 ปีที่แล้ว

    Wema love you sana wee dada,mualike na hassan mwakinyo pa1 na twaha kiduku

  • @annetcatherine4671
    @annetcatherine4671 4 ปีที่แล้ว +2

    I love you wema, I beg you visit doctor ssali in Uganda he's a doctor for women. I assure you, we shall have laughter. My dear whenever I watch any of your show, I feel pain of what you're going through. I love you baby.

  • @JosephatLwambano-qu2ct
    @JosephatLwambano-qu2ct ปีที่แล้ว

    👊 ipo poa sana

  • @najmaharoub280
    @najmaharoub280 4 ปีที่แล้ว

    Wow wema nngekua nipo huko na mm ni ngekuja kupika vyangu napenda kupika sanaa

  • @Mkenyahalisi-z8r
    @Mkenyahalisi-z8r ปีที่แล้ว

    Kajala She's a very beautiful Woman same as wema sepetu my love ❤❤❤❤

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 4 ปีที่แล้ว

    Akiamungu nimefurahi sana sana hongera sana nawapenda sana🙌🙌🙌🙌

  • @beibydory9824
    @beibydory9824 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Kama kajala hajiamini kwenye mapishi..🏃🏃🏃

  • @khalidsalum1740
    @khalidsalum1740 4 ปีที่แล้ว

    Wema nii wemaa kweliii napendaa unayo hurumaa niii mtu wa kujariii mnoooo

  • @munyanaveve6047
    @munyanaveve6047 2 ปีที่แล้ว

    Good to see you

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 4 ปีที่แล้ว +2

    great of Wema ......

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว +1

    Wema nataka nipike nawewe from Europe Finland 🇫🇮

  • @rusiamlondani2277
    @rusiamlondani2277 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana 😍😍😍😘😘😘💯💯❤❤❤❤

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 4 ปีที่แล้ว

    Alikuibia bwana wako mkigombana kwa kweli wema wewe unaroho ya kusamehe mungu akubariki

  • @bfffriends6713
    @bfffriends6713 3 ปีที่แล้ว

    Mwema kama jina yako ubarikiwe wemasepetu ❤️❤️❤️🙏

  • @saidasalehe296
    @saidasalehe296 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda Sana dada zangu

  • @heriethjosephat4787
    @heriethjosephat4787 4 ปีที่แล้ว +2

    May Allah bless u uwe na moyo huohuo😍😍😍

  • @leilamdoe9178
    @leilamdoe9178 4 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍Wema kama wema zidisha wema kama jina lako

  • @sikudhaninkwelele1669
    @sikudhaninkwelele1669 4 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuwatunza wema unaroho ya kipekee sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Waooooo vizur kusameheana sio mtu anashikilia neno hadi anakufa nalo

  • @mwatumudogo3948
    @mwatumudogo3948 4 ปีที่แล้ว

    Jamaniiiiii watu sote tungekua na roho ya wemaaa... 😍😍😍😍😍Nimefurahi kuwaona pamoja.....

    • @marryoscar745
      @marryoscar745 4 ปีที่แล้ว

      Ningekuwa na roho Kama ya Wema ningefurahi sana maana mm ninaroho ya kisasi hatari

    • @mwatumudogo3948
      @mwatumudogo3948 4 ปีที่แล้ว

      @@marryoscar745 haha hata mimi Nina roho ngumu

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 ปีที่แล้ว

    Dada wema na mmnikalibishe nije kupika jaman❤️❤️