MAPYA! MJANE ALIYEBOMOLEWA NYUMBA TAMBAZA, FAMILIA YAIBUKA KUMJIBU "HUYU MAMA HAJIELEWI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 67

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mushazulumiwaa

  • @joyceryoba4813
    @joyceryoba4813 2 หลายเดือนก่อน +2

    SASa ndo aseme asisaidiwe na mtu yeyote??? Roho mbaya tu Sasa unaswali nini? Mmesha mtimua acha watu wenye roho nzuri wamsaidie ww endelea kugombania ardhi

  • @denismaringo2729
    @denismaringo2729 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa kule nyuma kushoto kila saa linapenga mak....afya ni muhimu sana. Unawaji mikono na kuepuka kushikana mikono bila sababu.

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kesi kama hii ilishatokea sehemu na alitatulika kirahisi.Huyu mama amekaa hapo Kwa miaka mingi kumbuka aliolewa na imam ambaye amesomesha watu wengi.Hilo eneo Lina thamani kubwa munaweza kuliuza na yeye kumpatia pesa aende kujenga sehemu nyingine kama mumetoa maeneo mengi hamuwezi kushindwa kumpa eneo linguine.

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe unazungumzia iman ya mtu binafsi sio kisheria!kumpa au kutompa kama hana ni ubinaadam tu sio lazma apewe!sawa na wewe mtu kajenga nyumba yake umeambiwa ukae tu bure baadae mwenyewe anataka kuuza na wewe utake shea,hiyo ni haki yako!?wee unaona kabisa mama anaongea mkavu kabisa na nyumba yake inabomolewa hata presha hana!

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 2 หลายเดือนก่อน

      @@musamsangi1610 Hata kama alikaa kwa miaka 100 mahakama haiwezi kumpa uhalali wa eneo hilo kwa sababu si haki yake!yeye alipewa akae tuu bure haja milikishwa chochote!huku kwetu kuna jamaa alipewa akae kwenye nyumba ambayo lina kiwanja kikubwa kama shamba ili awe analiangalia!sisi tangu tupo wadogo tulikuwa hatumjui hata mmiliki wake,sasa yule jamaa alipo ona hamna hata muhusika kuja kukagua eneo lake kwa miaka mingi akaamua kuliuza kwa mtu mwingine na kuhama ilo eneo!wenyewe walivyo pata taarifa wakamtafuta na kumkamata hadi sasa jamaa yupo Segerea!kwaiyo cha mtu mavi mjomba kusaidiwa hakukupi haki ya umiliki!!

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo maandishi ni ya kisasa yangekua yameandikwa kwa mkono sawa​@@musamsangi1610

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Tamaa na njaa tu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@musamsangi1610Ipo mikataba ya 1958 sembuse huo ndugu yangu hiyo ni copy watakua wamepata Serekalini .

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน

    Subhanalllah😢

  • @afiyaat6588
    @afiyaat6588 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mama amekaa hapo tangu 1964 kawazaa watoto wake hapo hiyo dhulma

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyumba co yake uyo mama Mumewe alikua imam tu akapewa iyo nyumba aishi tu story tunaijua Na ayo maeneo yao kina Tambaza

    • @SafiaMohd-zi4sf
      @SafiaMohd-zi4sf 2 หลายเดือนก่อน +1

      We unauhakika gani kama sio yake kuna makaratasi ya mwaka 80 yanakaa mapya hvy na Kama kuna makubaliano lazima sign zinakuwa zote mbili sign waoneshe na hiyo sign ya marhum sheikh mohd ally abeid haikuwa ya kiswahili wala ya kidole hapo tu ndipo allah amewaekea fumbo hao wakina msakala na hili litawageukia biidhinillah

    • @SafiaMohd-zi4sf
      @SafiaMohd-zi4sf 2 หลายเดือนก่อน +1

      Na amekaa hapo tangu 64 na aliwaachia huko walipopewa mumewe alivyokuwa imamu ndio wakahamia hapo 64 sawa swali kama anasema alikuwa amebeba mimba ya sheikh je mtoto wake wa mwanzo kazaa mwaka gani?? Na je wao walimkuta akiwa wapi na kashazaa watoto wangapi?? Maana huyo anaeongea kumbuka ni mjukuu hawezi kushindana stry na mwenyewe aliokuwa mumewe jmn hii kitu inataka akili na sio nguvu wasitumie nguvu sana kujikandamiza wenyewe

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 2 หลายเดือนก่อน

      Allahu ya'lam​@@SafiaMohd-zi4sf

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 2 หลายเดือนก่อน

      Kukaa sio tatizo kabisa jee umekaa hapo ni kwako ama ni mwenzako hata ukakaa mda wa miaaka mingapi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 หลายเดือนก่อน

    Libibi halina aibu,kumbe liliiba mume wa mtu tena likiwa house girl.Ulichomfanyia huyo mama mwenye nyumba,ndo kimekutokea piano Ondokaaa.

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 2 หลายเดือนก่อน +2

    Musimseme marehem jamani

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน

    Jamanni mambo yaurisi nitabu kweli

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน +3

    Km mmezoea kutoa why musimsaidie na why huyo mwingine km mnaroho sawa mnasema huyo mama asisaidiwe mnaonekana nanyi vibaka fulani

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 หลายเดือนก่อน +2

      Waliotoa Hizo Niwazee Wao. Kwahali Yawatu Wasaaa Naroho Zetu Zilivyo Hakuna Wakutoa Sehemu Watu Waishi. MOLA Awarahamu Wazee Wetu Waliotoa Mali Kwaajili Yafaida Kwa Wengine.

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน

      @@nurdinmfamau3493 Kabisa wazee walitoa buree wakampa imam asipate shida .

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eti waarabu haohao😮

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 2 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa si mkabomoe msikiti mbn mmeacha msikiti mnamuonea mama wa watu kam mmetoa swadaqa yann muwe na roho mbya

    • @user13375
      @user13375 2 หลายเดือนก่อน +1

      Waislam bwana kazi Sana 😮😮😮😮

    • @user13375
      @user13375 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bomowni na ikulu😮😮😮

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@user13375 kumbuka hadi nabii Tito nae mkristu

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user13375huwezi elewa we si uko kyambankumbe Nani asie mjua Tambaza sasa kua walitoa eneo la magogoni .

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 2 หลายเดือนก่อน

      Sio haki yake 😂

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 หลายเดือนก่อน

    Ila binaadamu kwahiyo kumuachia huyo mama akae astirike mmeona dhambi lkn muwape maimamu wa msikiti wakae mana wao ndio wema zaid, roho mby tuu

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn hajaonewa kumbe masndishi yanajieleza

    • @ziddyziddy2524
      @ziddyziddy2524 2 หลายเดือนก่อน

      Kujitilisha huruma tuu kwa watanzania ili waonekane wabaya

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona wasema asisaidiwe kwanini?

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vyote tutaviacha😢

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mama nyumba co yake Nyumba ya kina Tambaza uyo mama Mumewe alikua imam tu akapewa iyo nyumba aishi tu

    • @hafsamohamed6035
      @hafsamohamed6035 2 หลายเดือนก่อน

      Fatilia vzry acha kukurupuka wewee na story za juu juu

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 หลายเดือนก่อน

    Vyote tutaviyacha apaapa duniyani hatwendi nakitu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daa angejua angejiandaa maana miaka mingi. Ilamsaidieni hata vyumba2 mumtili ilitu ulafikiwa baba yake nanyie mumstili. Ndiyo uwislam. Nasio kuumbuana mpaka mamboya unzinzi mnayawekaazalani vibaya hivyo nanyiemta umbuliwa

    • @hafsamohamed6035
      @hafsamohamed6035 2 หลายเดือนก่อน

      Suala la kumuambia mwenzako amezini kwanza sio zury . Ili useme hv inkutaka wewee unaesem hv utoe ushahid wa uzinifu wake la wakishindwa huyu mma akafungue kesi ya madai ya udhalilishwaji wake yeye na hao watoto waliosemewa ni haramu

  • @Mamshika
    @Mamshika 2 หลายเดือนก่อน

    Ila waislamu hawaishiwigi migogoro tatizo ubinafs ni mwingi kwao

    • @FatmaHalfan-w3l
      @FatmaHalfan-w3l 2 หลายเดือนก่อน

      Ww kichwa kibovu kabisa Sasa hapo uislam umeingiaje

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 หลายเดือนก่อน

    Daah mimi nilipanga enzi hizo shida ni nini sasa

  • @RamiaMavengu
    @RamiaMavengu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa pesa pesa wewe upo wapi umetuachia kisichoeleweka

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hooooo Kumbe Warabu wanataka kudhulumu So Bandari na Mbuga zetu Watatuacha salama Sikia Mzee anasema Waharabu wanataka kudhurumu Duuuu

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 หลายเดือนก่อน +2

      Bandari Inakujaje.

    • @RukaiyaAbdallah-uu5oy
      @RukaiyaAbdallah-uu5oy 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unateseka ukiwa wap

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 หลายเดือนก่อน +1

      We fala bandari na hii kesi wapi na wapi

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 2 หลายเดือนก่อน

      Kachambe

    • @zully756
      @zully756 2 หลายเดือนก่อน

      Wamisionari je?

  • @TBCLINICKYELA
    @TBCLINICKYELA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu wa Tambaza ikiwa mmoja wenu atasoma hili basi ajue, si vizuri kusema aibu za marehem kama alivyofanya huyu mzungumzaji, vipi kama marehem alikuwa ni mwenye kutubia kwa kiasi cha maisha yake kilichobakia. Mcheni Allah, marehem hana hatia na hiki kinachoendelea.

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน

      @@TBCLINICKYELA yule mzungumzaji alikuwa anataka kuhalalisha huo ubomoaji lakini yule shekh Kwa wanaomfahamu alikuwa ni mtu wa taqwa sana na ndio maana aliweza kuishi pale miaka mingi na hakukaa Kwa Bahati ila kama wazee wao hao vijana walivyotoa maeneo makubwa Bure Kwa serikali walimpa huyo shekh eneo dogo la kuishi bureeee bila shida tatizo wamesubiri walivyoona wazee wameshatangulia mbele za haki.

    • @TBCLINICKYELA
      @TBCLINICKYELA 2 หลายเดือนก่อน

      @@musamsangi1610 Allah anajua zaidi kuhusu hayo mengine, ila sijapenda swala la kutoa aibu za wengine.

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@musamsangi1610hata mm naanza kupata mashaka,kama walikuwa na maeneo makubwa kiasi hicho na kuweza kutoa serikalini washindwe kumpa shepherd eneo la kuishi

    • @hafsamohamed6035
      @hafsamohamed6035 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@musamsangi1610tatizo tamaaa tu ndo zinazowaponza hao ni wajukuuu . Tu .

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 หลายเดือนก่อน

    Eti waarabu haohao😮