MTANZANIA ALIYETUPWA BAHARINI SIKU TATU BILA MSAADA NA WAGIRIKI/WALIANZA KUNIPENDA/WALIKUFA WOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ค. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 826

  • @favorite9134
    @favorite9134 2 ปีที่แล้ว +248

    Nomaa sana hii emb tulioipenda hii story tujuane apa kwa like 👍

    • @lazamwa1
      @lazamwa1 2 ปีที่แล้ว +3

      mshamba tu huyu, hata kiingereza cha kuunga unga, habadiriki na kujiongeza. sasa anataka sisi tufanyeje kama alitoswa??

    • @johnmwakibete4925
      @johnmwakibete4925 2 ปีที่แล้ว +1

      We

    • @angeljimmy7581
      @angeljimmy7581 2 ปีที่แล้ว +1

      Duh

    • @salmakambi5338
      @salmakambi5338 2 ปีที่แล้ว

      Balaa kubwa

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว

      @@lazamwa1 😃😂unavituko

  • @melkiorymariki5644
    @melkiorymariki5644 2 ปีที่แล้ว +14

    Manunguniko sio mazuri hongera sana. Kwa kushuka, na ukajuwa jaribu, lako ukamtanguliza MUNGU. Hongera MUNGU akusaidie kwa kila jambo

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @melangongo2829
    @melangongo2829 2 ปีที่แล้ว +30

    Mungu wangu kweli Mungu amekupenda usimusaau miracle wow.Amen

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 4 หลายเดือนก่อน +4

    Allahu akbaru. Huyu jmaaa ni fundi san katik kucmulia kwanz ana speed nlkin n fasaha mno. Kisa ch kuelezwa miez mi 3 mfululizi yy amkielez n kwadakik kadhaaa Masha Allah. N pole san brother. Muabudu Allah popote ulipo

    • @BonitatemBonitate
      @BonitatemBonitate 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan hapo kwenye kuadisia ametisha sana yupo spidi na akosei,hachoshi kumsikiliza

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 2 ปีที่แล้ว +6

    Waa wastahili Kumtumikia Mungu .aliyekuokoa.. Yaani watu wabaya wapo na Wema wako... shetan yuko na Mungu yupo.. shetan aliingia meli ya kwanza shetan aliitumia ila Meli ya pili Mungu Baba akawaingia na wakakuokoa... Mungu mbele, Uvumilivu na bidii plus nia...pole sana Brother

  • @bamsimba7835
    @bamsimba7835 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifunza kumtanguluza mungu,kujaribu ndiyo kujua mengi kama Kaka yangu na uvumilivu kwa kila jambo na ubunifu ktk kila likukutapo jambo. Mfano alipokwa baharini na mapipa yake mm3 alibuni kjifunga pua na mdomo na kichwa kukabiliana na baridi. Hongera sana kaka

    • @bamsimba7835
      @bamsimba7835 2 ปีที่แล้ว

      Asante sana kwa kupenda koment yangu

    • @stellarodgers5742
      @stellarodgers5742 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli aise mungu ni kila kitu

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว +16

    Hii ndo maana halisi ya maisha ni kujitoa muhanga
    Big up man you inspired me 🤝

    • @khamisjuma8501
      @khamisjuma8501 2 ปีที่แล้ว

      Mimi niko marekani kwa Meli nduguzagu
      .wa Tanzania life good 👍

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 2 ปีที่แล้ว +26

    Wataliano ni watu wenye imani sanaa juu ya ukrito wao nawasifu sana viva italia

    • @mgishananai5097
      @mgishananai5097 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana broo

    • @maureenmgeni
      @maureenmgeni 2 หลายเดือนก่อน

      Usiache kumtumikia Mungu kwa maisha yako yaliyobakia

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu ni mwema kaulinda uhai wako ili wasiojua kama Mungu yupo wajue ila wanaume kutoboa maisha mwapamban kwakuuza roho ila mkifanikiwa mwasahauu jinsi mulivyopatatab

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole Sana Kaka yangu.Mungu Ana kupenda sana.Umshukuru siku zote

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 2 หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah kweli kl mtu hufa na siku zake Allah akuzidishie umri na maisha marefu

  • @oigogilberts2306
    @oigogilberts2306 2 ปีที่แล้ว +13

    This story have seriously moved me, I have shed tears and also prayers for Victor and his family. The lovely two daughters. I have also prayers for the captain of the sheep that saved him, may God remember the good they did to save such a life. God may remember their families and cause good things to come their way, if any is in danger may they be freed from the same because their ancestors saved life that is touching a lot of lives today. There’s a lot to learn from this story. Thank Mchaga OG God bless you and the rest of wasafi media

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @bilalbaker9238
    @bilalbaker9238 2 ปีที่แล้ว +26

    Self determination, confidence and believe in power of Allah, today I have learned

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @maumaulid1452
    @maumaulid1452 2 ปีที่แล้ว +15

    Hawa ndiyo wanajeshi bila ya kozi

  • @kagiranezabosco1110
    @kagiranezabosco1110 2 ปีที่แล้ว +5

    Mkasa wakokari baba shukuru mungu, nakuombea maisha marefe,

  • @shamsamohammed2261
    @shamsamohammed2261 2 ปีที่แล้ว +8

    Daah ! Huyo mwenzenu wa Tanga anaitwa nani ninamjomba wang niliskia pia alitoswa lakini hatuna uhakika huu na yakaribia miaka kumi nakitu hatuna hata salamu zake

  • @ibrahimhemedi9079
    @ibrahimhemedi9079 2 ปีที่แล้ว +6

    Tukutuku mazee redio ya mbao Mbili sabasaba big up one love BC 90s TZ panga panga vichaa Atari lakini salama about life.

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 ปีที่แล้ว +10

    Story nzuri pole sana, Mwenyezi Mungu amekunusuru, unaweza kuandika kitabu. Never give up

    • @johnmrema8731
      @johnmrema8731 2 ปีที่แล้ว

      Hongera sana mjomba. Umeipata historia ya maiaha yako. Sasa mche na kumtukuza sana Mungu aliyekunusuru.Achana kabisa na mambo ya dunia.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana na hongera kwakua na imani yakumtegemea Mungu, pia kujishusha kwako kwakujishirikusha kuwasaidia kazi, wewe ni jembe

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu ni mwema.wacha niseme east or west,home is always the best.tuache kukimbilia nchi za mbali mbila kibali,au njoa nzuri.yatakayo kupata mbele huwezi yajua.tujivunie nchi zetu.pia katika nchi zetu tukitia bidii tunaweza kuwa matajiri with full freedom.

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 ปีที่แล้ว +36

    Mwaka 1997 nikiwa form 1 Makongo Secondary Mwandishi wa ITV alitoa Machozi akimsikiliza niliumia Sana Machozi yalinitoka naomba ITV waludie kipindi

    • @user-zg5lg3yq9c
      @user-zg5lg3yq9c 2 หลายเดือนก่อน

      Upate kulia tena😂😂

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 ปีที่แล้ว +10

    Anaongea vizuri na haraka safi sana

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 2 ปีที่แล้ว +27

    Stori ya kitambo Sana, namsifu kwa kumtanguliza mungu ktk kila jambo

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 2 ปีที่แล้ว +14

    Siku tatu baharini, sifa zote zirudi kwa Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu?

    • @emilywanjala9161
      @emilywanjala9161 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @mohamedkitalima7546
      @mohamedkitalima7546 2 ปีที่แล้ว +1

      Na ndio maana yeye akutamka mungu mwana wala mungu mama yeye kataja Mungu tu angetegemea hao mungu watu akuna dua ingekubaliwa

    • @mariammbughi2702
      @mariammbughi2702 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

  • @vincentmiruka664
    @vincentmiruka664 2 ปีที่แล้ว +10

    I advise this Bro to make a movie out of his real story and make millions

    • @ashaibrahim8354
      @ashaibrahim8354 2 ปีที่แล้ว

      i think that is the best way compared to make music

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @rahmaawadh1695
    @rahmaawadh1695 ปีที่แล้ว +5

    Namkumbuka Shomari kwa mara ya kwanza ilirushwa habari yake ITV ...Nakumbuka baada ya kupata huu mtihani alirudi na kusaidiwa na Marehemu mzee Mengi alikuaga biashara yake posta mpya,Sikumbuki alikua akiuza nn lkn tupo wanafunzi tukipita tunaenda kumsalimia ni mcheshi sana alikuaga🤣🤣🤣

  • @mickbarymarytz9873
    @mickbarymarytz9873 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana bro,kwa kupitia magumu Mungu ni mwemaa🙏🙏

  • @Ubuntu.............
    @Ubuntu............. 2 ปีที่แล้ว +4

    Acheni Mungu aitwe Mungu

  • @gomesamakota3294
    @gomesamakota3294 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaah uyu jamaa namfahamu vizuri tuu!! Abaitwa SHOMARI ALMALUFU SHOMARI PIMBI

    • @erickalex6413
      @erickalex6413 2 ปีที่แล้ว

      Huyu wanamwita baharia namfaham vyema

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 2 ปีที่แล้ว +17

    MWANANGU ULIKUWA NA IMANI SANA NA MUNGU NA MUNGU NDIYO ANATAKA HIVYO , UTAMKE KWA IMANI MBELE ZAKE

    • @brilluckychannel831
      @brilluckychannel831 2 ปีที่แล้ว

      wahuni huwa wanaimani ya kweli mambo yakiwaendea tofauti😅😅😅

  • @sharifahayata234
    @sharifahayata234 2 ปีที่แล้ว +5

    Umenikumbusha marehemu mtoto wangu Joe Kibira, alizamia na kiasi ya kukamatwa ilikuwa ngumu sana, mungu akubariki

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 2 ปีที่แล้ว +12

    Sasa huyu ndie baharia hawo wengine niwa uwongo 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 หลายเดือนก่อน

    Bahalia mume wa angali nakusalimia sna sasa Huwa unaniadithia ninajua n uongo kumbe ni kweli pole sna nimewamss sna ❤🇹🇿

  • @ameniameni617
    @ameniameni617 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Kaka usimwache Mungu anakupenda Sana binadamu tunapitia mengi

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 ปีที่แล้ว +5

    Umepona kwa kumuamini Mungu

  • @kelvinmasika6482
    @kelvinmasika6482 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimempenda sana huyu jamaa, safi sana, nimezitafuta meli zote ni kweli kabisa kama anavyosema, hii sio story ya uongo

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว +2

      Sijafaham kaka umesema ni kweli hlf umesema story ya uongo kivipi?

    • @benjaminmollel3005
      @benjaminmollel3005 2 ปีที่แล้ว +2

      @@nooor1120 amesema hii sio story ya uongo.

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @khadijalewish4514
    @khadijalewish4514 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mungu tu, , heri umtegemee kwa yote

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 2 ปีที่แล้ว +39

    The interviewer did not interrupt,he simply let the story flow

    • @msellah1717
      @msellah1717 2 ปีที่แล้ว +3

      Hes good

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @evodiacosma4708
    @evodiacosma4708 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sanaa brother japo ulipitia pagumu ila mungu hukumsahau bigup kwa ujasili iliokuwa nao baharin

    • @latifamudy3153
      @latifamudy3153 2 ปีที่แล้ว

      Kama umeliza sana nimekupenda mkweli sana mpka umekunywa mkojo mguu tusaidie wanao pale tunapoonyesh nguv mbel yako

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 15 วันที่ผ่านมา

    Mi namshukuru na kumtukuza Mungu kwa yote yaliyompata nasema Mungu ni mkuu.

  • @shekhomarbinally5357
    @shekhomarbinally5357 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu Akuwepesie Brother

  • @damewambuiofficial3276
    @damewambuiofficial3276 2 ปีที่แล้ว +17

    What an experience of life.....sound like a movie😳

    • @sadockadams9597
      @sadockadams9597 2 ปีที่แล้ว

      X CX

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 2 ปีที่แล้ว +8

    He believed in God, his faith saved him🙏

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9Mq/w-d-xo.html

  • @shukridjibril6848
    @shukridjibril6848 2 ปีที่แล้ว +1

    Story safi Sana MTU wangu. I'm waiting from Paris 🇫🇷🇧🇮🇹🇿

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka pole Sana kwa mkasa uliokufika yote ndio safari ktk maisha pia ni funzo kwa kizazi chetu

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 2 ปีที่แล้ว +16

    Nimesikiliza kwa makini mungu ni mwema

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @sadasalum8778
    @sadasalum8778 2 ปีที่แล้ว +2

    Dduh mshkr mungu sana maana mm nayaogopa sana maji yani apo mm ningeshafariki kabla ata ya kutupwa kwny hayo maji

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana bro mshkuru mungu sanaa waombee dua haowaliokuokoa god bless you

  • @scottuk4683
    @scottuk4683 2 ปีที่แล้ว +11

    Kwa hakika ametakasika Allah m'bora wa mipango yote.

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @sophiabryson2735
    @sophiabryson2735 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwingi warehema 💖

  • @labancherop2343
    @labancherop2343 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu yangu.mungu alikuokoa.ulipitia hali ngumu ngumu ngumu.mimi ni mkenya ilhali mimi nafaya kazi nchini Qatar.pokea salamu zangu brother.Stowaway ni hatari sana

  • @miriammsuya4454
    @miriammsuya4454 2 ปีที่แล้ว +6

    dah Mungu alikutaka uendelee kuishi

  • @kelvinmasika6482
    @kelvinmasika6482 2 ปีที่แล้ว +40

    Discovery wamtafute huyu jamaa kapitia mengi sana. Kwanza kwa aliyopitia yamekuwa positive in terms na muonekano wake, anaonekana bado kijana sana angali ni dhahiri ni mtu mzima, hii ni dalili ya afya njema, pili anatukumbusha vijana wa sasa kuwa maisha sio rahisi, ukisikia mtu yuko nje na nini sio rahisi, tupambane tujenge nchi yetu, tatu kanifundisha sana ustahimilivu, kwa aliyopitia ingekuwa ni mimi sidhani kama ningekuwa hapa, the fact ya kuweka wazo kuwa kuna watu wanasurvive na boti za mbao bagamoyo na yeye akafanya hivyo pacific ambapo kuna baridi kali bila shati, hakika angekuwa mzungua au mtu mwenye exposure story yake ingekuwa dunia nzima. Nne pia kanifundisha katika wabaya pia kuna wazuri hilo tusiwe tunalisahau na kuona eti kila mzungu au mtu wa aina flani ni mbaya kwasababu, kwanza alitoswa na wagiriki ambao ni wazungu lakini waitaliano ambao pia niwazungu wakamuokoa na wakatoa taarifa wagiriki wale wakamatwe, ili haki ipatikane... Mwisho kabisa munisamehe, ametukumbusha kuwa sisi wenyewe hatupendani bali tunapenda maslahi yetu tokea enzi hizo, hivi inakuwaje afisa usalama unaletewa ndugu yako ambaye ni kama amefufuka kwa hali aliyopitia ila wewe badala ya kumkaribisha nyumbani unatengeneza mazingira ya kupata hela na kuwapa hali ngumu waliomuokoa. I WONDER BAADA YA HAPA KAMA WALIMUOKOA MTU MWINGINE. Maana ukiangalia ile meli ilitengenezwa 1992 so wakati jamaa anaokolewa ilikuwa in mwaka mmoja so inawezekana ndo ilikuwa mara yao ya kwanza kuokoa, je swali ni kwamba kama figisu walizokutana nazo baada ya kuokoa vile je waliokoa watu wengine tena wakikutana nao au waliwachukulia ni mzigo????
    All in all nimeguswa sana na hili and I hope WASAFI mtaanzisha hizi series na kama ikiweziekana kuwe na window ya kuwasaidia wababa zetu hawa waliyoyapitia haya katika kutupambania.
    Asante,
    Kelvin

    • @kelvinmasika6482
      @kelvinmasika6482 2 ปีที่แล้ว

      Nilimaanisha afisa uhamihaji kama alivyosema na sio usalama... CORECTION

    • @POPkateshian
      @POPkateshian 2 ปีที่แล้ว +1

      Naunga mkono hojazako

    • @hazaaahmadhazaa2770
      @hazaaahmadhazaa2770 2 ปีที่แล้ว

      bahari waliyotoswa itakuwa atlantic sio pacific!

    • @lizp6826
      @lizp6826 2 ปีที่แล้ว

      Ujumbe mzuri sana @kelvin masika umeandika kwa hisia..safi sana inasikitisha afisa uhamiaji alichofanya baada ya jamaa kupitia ktk balaa kubwa sana kwa mwanadamu yeyote yule

    • @sululuzungu9587
      @sululuzungu9587 2 ปีที่แล้ว

      True story kabisa tunachukulia poa xn vijana wa kisasaiv hatupo Sirias ila ukichek km hawa mabro kk wametesek xn alf ss asaiv tunatak mtelemko ndomana tunaingia kweny stareh za kishoga mm asaiv nipo south frica mwak wa sita nnamatambala yngu ila nikiadisia wa2 nilowakuta au nikichek km iv uyo bro mm najiona mchumba kwake mana kanizid aya mambo aloyapitia yy lkn tisa kumi tuwe na subr na tumuombe mungu kwa kila jmbo nasio2 utake vitu kwa pupa mwishowe uwe shoga 🙏🙏

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh,jaman polee saana,,Mungu Awarehemu wenzako walotangulia mbele za Haki.

  • @bensonntipilit6013
    @bensonntipilit6013 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole San ndug kwel mungu nimkubwa aimidiwe milele

  • @dannyblossproduction52
    @dannyblossproduction52 2 ปีที่แล้ว +7

    Damn,,uyu jamaa Mungu ndo kamuokowa

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 2 ปีที่แล้ว +5

    Chaly Hawa wa bongo wanabonga speedy sana next time raiya Kama usiwape naFasi ya kwenda speedy kihivyo

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 2 ปีที่แล้ว

      Tunampata sana pole ndugu
      Akiongea pole pole atamaliza mb’huyu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +2

      Jifunze kiswahili huweze kusikiliza vizur

    • @Swahili14
      @Swahili14 2 ปีที่แล้ว +1

      TANZANIANS speak faster you can't grasp damn word KENYAN 🤣

    • @suzanfelix8065
      @suzanfelix8065 2 ปีที่แล้ว

      @@daslamonline4665 🤣🤣🤣🤣

  • @beatricemgina1850
    @beatricemgina1850 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiki kisa kinanikumbusha kitabu kimoja kinaitwa SAFARI YA CHINGA

  • @shimuldar1355
    @shimuldar1355 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu mkubwa mwamba yupo hai

  • @abdullahabdull3172
    @abdullahabdull3172 2 ปีที่แล้ว +4

    I was beach too at Durban in 93 I never meet him.but the guy lost one of him is called Yahaya aka Tony,.stowaway is dangerous life ever.

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 ปีที่แล้ว +1

    Wasafi Tv .....kuna mshkaji kama mtapata muda mtafuteni ana simulizi nyingi mno za kibaharia ...........waweza nicheki

  • @joshuatz4616
    @joshuatz4616 2 ปีที่แล้ว +3

    Wagiriki Wana roho mbaya sana hao wapuuzi

  • @manyuhandumbaro9618
    @manyuhandumbaro9618 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole thana real sailor #IN GOD WE TRUST FATHER

    • @manyotaskipper5765
      @manyotaskipper5765 2 ปีที่แล้ว

      He is not a sailor He was a stowaway (Stillwater) on board stowaway it’s a ENEMY due to pirates problems that why as per Shipping Merchants Kabla meli haijaondokq lqzma USEARCH KUWATAFUTA STOLOWAY

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 2 ปีที่แล้ว +22

    Damn Nice story to inspire ❤️May Almighty Help All the Hustlers

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 ปีที่แล้ว +11

    Duh anaongea haraka ucpokuwa makin unaachwa njian unabaki kushangaa tyu

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana ndugu.utafanikiwa ktk maisha

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii story nakumbuka miaka ile ya 1997 au 98 ITV inaonyeshwa live pale mnazi mmoja linafungwa likitambaa yaani zile TV za sinema ndipo nilipoiyona hii story ya huyu jamaa nilikuwa mdogo kama miaka 7 hivi

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama hii kali Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ukiamin Mungu akuachi ata kidogo nimelia kwa furaha alivyomuamin Mungu na Mungu akumuacha

  • @nginirasaire5876
    @nginirasaire5876 2 ปีที่แล้ว +2

    Umemuonea mwanao kumpa jina la meli katili iliyokutosa 😂😂

  • @skymuka3481
    @skymuka3481 หลายเดือนก่อน

    Kaka pole sana ,tengeneza senema ya historia ya kweli reality utapata pesa

  • @RamlahNassoro
    @RamlahNassoro หลายเดือนก่อน

    Allaah akupe umri mrefu wenye kheri ndani yake

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 2 ปีที่แล้ว +10

    Bonge la movie ila kama nilishakusikia mahali,, Huwa napenda sana kusikiliza testimonials za watanzania waliozamia meli au nchi za nje zinanipa mafunzo mengi sana, nina ndugu zangu pia waliozamia ulaya ila ni kujitoa muhanga kichizi bora wanaozamia South Africa

    • @bnsofficial255
      @bnsofficial255 2 ปีที่แล้ว

      Wajina😨

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama hii kali Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @khanjanki8207
    @khanjanki8207 2 ปีที่แล้ว

    May god bless Victor for this pain, amen

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 ปีที่แล้ว

    Dah nzuri hiii storiiiiii, nineipenda sanaaa hiiii

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 2 ปีที่แล้ว +1

    Haisahauliki kutoka kwenye mdomo wa chewa Allah akulinde

  • @richthedon3792
    @richthedon3792 2 ปีที่แล้ว +2

    We ulipona coz ulikuwa unjituma kazi mungu aliona hiyo

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka jasiri na Imani yako imekusaidia umetembea na mungu

  • @kelvinmasika6482
    @kelvinmasika6482 2 ปีที่แล้ว +11

    WASAFI ITENI HII SERIES "I SHOULDINT BE ALIVE"

    • @sharifumniachi1864
      @sharifumniachi1864 2 ปีที่แล้ว

      hii stor ni marudio tu ukiitaka kwa uzuri search bondeni episode 28 mpaka 31 utamsikia huyu shom boy kwa uzuri kabisa na wengine utawaona

  • @wandelugenzi5926
    @wandelugenzi5926 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu mungu ni mwema

  • @user-oi5tw8zi2f
    @user-oi5tw8zi2f หลายเดือนก่อน +1

    Ninakuomba umuimbie Mungu maana alikuokoa Ili ufanye kazi yake nimejikuta nikilia

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 2 ปีที่แล้ว +27

    Tulio kuja hapa baada ya kutoka Instagram tujuane🤗

  • @vinnexachacham2942
    @vinnexachacham2942 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana.
    Ndo maana namchukia mtu mweupe hadi kufa.
    Awe Muzungu, mwarabu au mchina sio rafiki tena na mwafrica.
    Kwanza maadui wakubwa wa Africa.
    Wewe unadhani angekuwa mtu mweupe mwenzao wangemtoza!

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 2 ปีที่แล้ว

    Allah ndo kila ki2 salut xn bro kwa story yko na upambanaji wako nipo south frica ulipona sio ukasepa zako daaa nikija tz itabid nikutafut bro big up xn kw upambanaj wko tumepitia meng ila ili lako limenigusa xn bro hp ndo namini pesa inahitaj mshikamano wa kias cha juu ili tutimize ndoto ze2 uvumilivu tuache sanaa ya kupat fast tupg kz vijana

  • @abdallahkapute9125
    @abdallahkapute9125 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana Mungu ataishi maisha marefu.

  • @zabronmadano9053
    @zabronmadano9053 2 ปีที่แล้ว +4

    Very impressive story

  • @jamalhussein1278
    @jamalhussein1278 2 ปีที่แล้ว

    stori nzuri sana yenye kusisimua sana. Maisha ya kutafuta fedha yana mitihani mingi sana.

  • @youngpreachermusic6229
    @youngpreachermusic6229 2 ปีที่แล้ว

    story amazing sana...mungu yupo bana...watching from KENYA🙏

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama hii kali Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mungu tuu na Atabak kuwa Mungu kwake yote yanawezekan

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuh jamani Dunia hii kuna watu wanapitia magumuu

  • @bilalbaker9238
    @bilalbaker9238 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana. Naamini kama msingekubali kujitosa basi hata hii story tusingesikia. mgiriki ange shoot

  • @lucygodfrey4871
    @lucygodfrey4871 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ni mwema sana 🙏

  • @the_real_henry_filbert8445
    @the_real_henry_filbert8445 2 ปีที่แล้ว +6

    God is good

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Tazama hii kali Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @user-vp7xl3km1h
    @user-vp7xl3km1h 2 หลายเดือนก่อน +1

    R I p kwa mabaharia wote waliotoswa na meli adi kufariki dunia

  • @juniorborbo
    @juniorborbo 2 ปีที่แล้ว +3

    WooooW What a story very interested and informative .

    • @bigdreams819
      @bigdreams819 2 ปีที่แล้ว

      Filmu ya stora away hii hapa tazama th-cam.com/video/iNKzRH7iM9M/w-d-xo.html

  • @saleheuliza5119
    @saleheuliza5119 2 ปีที่แล้ว +1

    Msc God bless

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole saaana kaka , maisha ni vita .

  • @tuyisengeariane838
    @tuyisengeariane838 2 ปีที่แล้ว +1

    God is able 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @shauriedward5256
    @shauriedward5256 2 ปีที่แล้ว +2

    Du jamaa namjua vizuri ni mtu wa kupambana Sana Ila tulipotezana tangu miaka ya 1997

  • @protasmichael2660
    @protasmichael2660 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni Mwema

  • @celineaziri9773
    @celineaziri9773 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu Ulimuona Mungu kwaukweli,usiwahi kusahau matendo yake juu ya uhai wako kamwe🤔🙏