ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wimbo ni mkuuuuubwa kupita hizi tafsiri
Vina unahitajika studio na Jr mfanye jambo kwenye confession of a mad son
Jr junior anaipenda hip hop toka moyoni kabisa.
Jamaa huyu dizasta anacheza mechi zake peke yake🔥
Tafadhari Ndugu Mtangazaji J R junior 🎤 Mpatie Interview #DIZASTA_VINA 🇹🇿
Umetisha sana
Fanya, umchek ufanye nae interview kama ya masaa 2
D ni rapa namba moja bongo akuna legend alie wai fanya kama yeye
Hip hop kwenye ramani.mistari ya dizasta, huwa ukiichambua unapata sana vitu.
Uchambuzi wa kibabe sana jr
Dizasta vina is a lyrical genius. Vina vimepitia skonga
Mwamba ni fundi sana
DIZASTA 🔥🔥🔥🔥
Disasta vina respect sana
Dizasta ilibidi awepo ummpe hata masaa 2 then we ukisoma ye anatupa maana zaidi ingekuwa boob kubwa ❤
Msanii mwenye falsafa makini hawezi toa maana ya mziki wake, huo ni mtihani katoa, sasa kazi kwa hadhira kuitafuta maana.
Dizasta ndo jina logo ya mtaa ina shine kuta
Jamaa ni fundi xnaa,,,moto,
Nilitegemea mwaliko unautuma kumwendea akuje hapo studio
Mi naomba dizasta awe anachambua mwenyewe izi ngoma maana akili yake sio y kawaida
Jina lina sadifu yaliomo dizzasta
Mimi sipingi kazi zake
Dizasta vina, ni emcee wa kweli, sema tz vyombo vya habari nchini vinawapa, nafasi mafala inaacha kuwapa nafasi kubwa walimu kama "dizasta vina"
Ni kweli kabisa
Badman
Vina
🙌🏿
si ni ngungi kuna mda mnamwaaacha tu tu na mamistar yake Joh70
10:53 samahani Kesho sio wimbo mpya ni wa kitambo sana
Wimbo wa kitambo sema Lyrical video ndio imetoka juzi
Hiv kitambo sana inaanza miaka mingap? maana Verteller haina hata miezi 7
...✍🏻
Andaa EP Kisha kutanisha hii kichwa.. iwe ngoma hata nne tu..Weewe na d Vina...Tutapambania hiyo project
Wimbo ni mkuuuuubwa kupita hizi tafsiri
Vina unahitajika studio na Jr mfanye jambo kwenye confession of a mad son
Jr junior anaipenda hip hop toka moyoni kabisa.
Jamaa huyu dizasta anacheza mechi zake peke yake🔥
Tafadhari Ndugu Mtangazaji J R junior 🎤 Mpatie Interview #DIZASTA_VINA 🇹🇿
Umetisha sana
Fanya, umchek ufanye nae interview kama ya masaa 2
D ni rapa namba moja bongo akuna legend alie wai fanya kama yeye
Hip hop kwenye ramani.
mistari ya dizasta, huwa ukiichambua unapata sana vitu.
Uchambuzi wa kibabe sana jr
Dizasta vina is a lyrical genius. Vina vimepitia skonga
Mwamba ni fundi sana
DIZASTA 🔥🔥🔥🔥
Disasta vina respect sana
Dizasta ilibidi awepo ummpe hata masaa 2 then we ukisoma ye anatupa maana zaidi ingekuwa boob kubwa ❤
Msanii mwenye falsafa makini hawezi toa maana ya mziki wake, huo ni mtihani katoa, sasa kazi kwa hadhira kuitafuta maana.
Dizasta ndo jina logo ya mtaa ina shine kuta
Jamaa ni fundi xnaa,,,moto,
Nilitegemea mwaliko unautuma kumwendea akuje hapo studio
Mi naomba dizasta awe anachambua mwenyewe izi ngoma maana akili yake sio y kawaida
Jina lina sadifu yaliomo dizzasta
Mimi sipingi kazi zake
Dizasta vina, ni emcee wa kweli, sema tz vyombo vya habari nchini vinawapa, nafasi mafala inaacha kuwapa nafasi kubwa walimu kama "dizasta vina"
Ni kweli kabisa
Badman
Vina
🙌🏿
si ni ngungi kuna mda mnamwaaacha tu tu na mamistar yake Joh70
10:53 samahani Kesho sio wimbo mpya ni wa kitambo sana
Wimbo wa kitambo sema Lyrical video ndio imetoka juzi
Hiv kitambo sana inaanza miaka mingap? maana Verteller haina hata miezi 7
...✍🏻
Andaa EP Kisha kutanisha hii kichwa.. iwe ngoma hata nne tu..
Weewe na d Vina...
Tutapambania hiyo project
Badman