Mtoto jojo (SIO HABARI episode 2)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2017
- Hamisa Mobetto amejifungua na baba wa mtoto hajatangazwa ni nani, Tinted imezuiwa na changamoto za watu weusi zinaibuka, Bomba la mafuta limezinduliwa sasa muongozo wa mafuta ya aina gani yatapitishwa, ishara za hongo kwa matrafiki na foleni ya Wolper.
Nakuku Bali sana bro mungu akusaidie kwa kazi zako
Idris holaaaa nlikua nakuchukulia poa ujue ila asee we nowma
Dah!! Bro idriss bhana...😂😂
I really love ur daily shows. They ar fantastic indeed. Wish to be connected with u
Sulitan nakupenda bureee aki 254
proposal hadi zinakata kona kusema yeye ndo ....sio habar jmn😂😂😂😂
Idris keep it up jamani. Umeanza lini, ndio naiona leo👌👌👌👌👌👌👌. You will go far
Great. Bro.. I see the bright future... Sema Ongeza muda
Hahahaaa Uwiiii Idris ww mambo cyo kiboko
Eee yuko vizuri , nakajiweka waz kabsa kupitia S I O habali hakuna majungu kabisa alaf komed yake katoka kivyake maana watu watuzoesha VINAVYO FANANA
Hahaha idri I just love you making me lugh like crezy.
Aki I love this man woiyeee🙌🙌🙌🙌🙌
Msafiiiiiiiiiii 😁😁😁😁😁😁 Idriss mungu anakuonaaa
Huhuuuu Kali sana ukiwa na strec angalia hii
sawa Kaka 😅😅😆😆😂😂😂gud work...comedy,,,to laugh and stay positive is gud thing only if u chuz that life type of...😂😂😂😀😅😅😆
Ubunifu mzuri, umenifurahisha saana aisee unavituko sana
ujinga tu,,kazi hamna
duu idrs nakupendaga sana
Nlkuaga ata sikuelew 😂😂😂😂sahv najua mwenye
😂😂😂kweli ldri ww u make my dai