Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 480

  • @bensonmartin3495
    @bensonmartin3495 ปีที่แล้ว +32

    Tuliorudia hii interview 2023 gonga like hapa tujuane

  • @theclassicone7470
    @theclassicone7470 4 ปีที่แล้ว +52

    Kwa mara ya 10 naangalia hii Interview, my best interview of all the time

  • @chiefgustavo587
    @chiefgustavo587 4 ปีที่แล้ว +167

    This is moree than Interview,,, sijui kwa nini mnataka motivational speakers kutoka nje ambao wanaaoongea tu hawajapitia chochote kilee.
    Yaani Idris kwa changamoto ulizopitia na hapo ulipo fikaa unasahili Tuzo na pongezi nyingi saana .Hongeraaa kwa kwa hi exclusive ..
    #Yahstonetown #SisSlamaa nice Job

    • @florakilasi8027
      @florakilasi8027 4 ปีที่แล้ว +3

      Upo sawa sana,nimejifunza sana na nimependa mno...tuna kila sababu ya kujali tulivyonavyo...na kuvipa nafasi!

    • @jameselias5277
      @jameselias5277 4 ปีที่แล้ว +1

      @@florakilasi8027 kwel

    • @eliabeliud490
      @eliabeliud490 4 ปีที่แล้ว +1

      Nime download naitajiiii kuisikiliza Mara kwa Mara koz imenifundisha sanaaaaa sanaaaaa daaa

  • @peetahluzwilo6560
    @peetahluzwilo6560 4 ปีที่แล้ว +33

    Historia ya idriss yafaa kuwa kitabu, ni Zaid ya motivational note, inaumiza Kuna muda unatoa chozi, mwisho wa siku Mungu wa wote Mungu ni wa Second chance... fantastic interview

  • @geofreykagaruki1999
    @geofreykagaruki1999 4 ปีที่แล้ว +39

    Kumbe Ruge kaplay part kwenye maisha ya watu wengi eeh day RIP bro you where really an icon na motivator na minua watu

  • @diocreshezron4087
    @diocreshezron4087 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza mengi kutoka kwa Iddris among of my role model

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 4 ปีที่แล้ว +2

    Idriss hii nizaidi ya shule kwauliyopitia naukainuka wewe ndio wale watu wakisema getromen ndio wewe sasa ml 600 inapotea yani ile vuup alafu unapata tena nguvu yakuinuka aiiiiseee hakuna mfano wake wengi wetu tungekimbia nchi kabisa au kujikatisha uhai unaweza kusema kama uchawi hivi IDRIS RESPECT BRO MUNGU AKUBARIKI SANA KING

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +56

    Daaah! Usiamini mtu yoyote kwenye haya maisha 🙌🏽🙌🏽 ila kuanguka ndo kufanikiwa

  • @idrissambazumitima7866
    @idrissambazumitima7866 3 ปีที่แล้ว +7

    wangapi wanatazama hiii interview mwaka huuu mimi ni mrundi kusema kweli napenda sana kufuatilia kipindi hiki na niko inspired na salama kwa sababu na mimi ni mtangazaji kutoka Burundi

  • @Basil411
    @Basil411 4 ปีที่แล้ว +36

    We need interviews like this one, Idris r the MEN....

  • @husnastylist5134
    @husnastylist5134 4 ปีที่แล้ว +23

    Wallahi mwanadamu akiwa hana madeni ni raha ajabu....mungu atusahalishie sote

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 4 ปีที่แล้ว +29

    Kuna Mzee mmoja alikua akishika nafasi kubwa Sana serikalini ila siku amelala hospital alisema saidia Na usahau maana hakukua Na mtu yoyote toka familia yake, ni Mimi Na baba yangu tu ambae zamani hiyo hawakua Na ukaribu ila ukaribu ulitokana Na wazazi wao. Ni Leo hii tena nasikia neno hili saidia Na usahau.

  • @nkaliedward8900
    @nkaliedward8900 4 ปีที่แล้ว +28

    " once you have realized you have losted ,you will look back and come for new" that is profoundly liberating = granted

    • @strong8534
      @strong8534 2 ปีที่แล้ว

      Losted doesn't exist ma brother

  • @LoveLove-zm9nb
    @LoveLove-zm9nb 4 ปีที่แล้ว +24

    There is so much strength in you Idris.. its not easy to talk about personal struggles.. I admire you for that. You are an inspiration 🤗

  • @yusufkharif2204
    @yusufkharif2204 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu idris nilikuwa nikimuona boya lakini kweli wanadami hawafai kudhania idris bro hii story yako wallahy imeni touch nanisomo kwako na kwetu but am now number one shabiki wako brudah umeongea vitu tafauti na wewe tunavokuchukulia safari njema kwa maisha yako we learn through mistakes

  • @Richard_Range
    @Richard_Range 3 ปีที่แล้ว +16

    One thing i learned in this Life, is that WHATEVER YOU GO THROUGH, IS MENT TO SHAPE YOU BETTER LATER! Speaking from His Experince and Mine Which kinda relate!
    And as they say, ITS NOT HOW YOU FALL, its HOW YOU GET UP!!!!
    Much Love Iddy

    • @simp1eone
      @simp1eone 3 ปีที่แล้ว +1

      Sir can you please teach me Swahili? Maybe via whatsapp voicenotes

    • @Richard_Range
      @Richard_Range 3 ปีที่แล้ว

      @@simp1eone welcome! I will be glad to

    • @shemahlupiga4580
      @shemahlupiga4580 ปีที่แล้ว +1

      This interview can made me more perfect in advice on the fact of life struggling

  • @VeeJayOfficial
    @VeeJayOfficial 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you so much Salama. Yani you are the best ... ever since Idris alipo toka BBA, alikwepa sana kuongelea iyo issue ya money but you made it happen, so I’m so thankful for that because I have been looking forward to hear this story for a very long time

  • @funnyvideosandvichekesho.1862
    @funnyvideosandvichekesho.1862 4 ปีที่แล้ว +9

    Afu utakuta mtu anataka inspiration speaker from outside the country dah.

  • @sherrysalim50
    @sherrysalim50 4 ปีที่แล้ว +9

    Hao ndio marafiki ukiwaamini sana lazima wakutende na kukutenda kwao ni kukurudisha nyuma hawakumbuki wema wala fadhila
    ....... yamenikuta Hayo sitamani rafiki kwa sasa ndugu wananitosha Alhamdulillah

  • @heriethndunguru4911
    @heriethndunguru4911 4 ปีที่แล้ว +28

    Aisee ktk hii dunia jiamini mwenyew na Mungu tu

  • @newbeginnings9019
    @newbeginnings9019 4 ปีที่แล้ว +3

    Wow Idris...great man and very positive.🤴🤴. Kweli nimeamini never put too much trust on friends..they will betray you more quickly for they will be easily aroused to envy...yani nakuelewa so well. Salama that's not stupidity ni kwamba watu hawana Aibu wala utu. watu ni wabinafsi na matapeli in short uyo rafiki yake alimtapeli sana mpaka akasababisha his downfall.....cause listening to the interview the guy was generous and thoughtful as he thought about uplifting his friends who helped him in his journey. Tatizo hao marafiki ni feki yani wabayasana. Yani na nimeshukuru kwamba ameweza kujikusanya nakurudi katika umaridadi wake....mungu atakusaidia siku zote endapi nia yako taangia mwanzo haikua mbaya. Sasa Idris ameweza kuja Juu naamepata mafanikio ninaamini atafika mbali na endapo ataweza kujifunza na kukumbuka kutokana na uzoefu ya mambo aliyofanya na lupita apo nyuma ataweza kuimarika ni kwamba usimuamini mtu yeyote..and salama thankyou for this interview it was very interesting na nimependa set up ya interview room yenu..it doesn't look like an interrogation centre or a cave...😁

  • @witnesskihiyo5208
    @witnesskihiyo5208 4 ปีที่แล้ว +9

    He's a very strong person and underrated congrats Idris

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +4

    Nimesikitika,nikacheka,na nikajifunza ,shukran sana salama kwa kutuletea idhris

  • @marymichelle6280
    @marymichelle6280 4 ปีที่แล้ว +30

    Among of the best interview I have watched!! Imenifundisha, imenioniumiza na imenichekesha. Lesson learned!! Thank you Salama!! And thanks Idris for being open. Umetufunza wengi.

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 4 ปีที่แล้ว +4

    Amazing sana kwa kweli. Nimesoma kitu kikubwa kutoka kwa Idrisa.
    Thanks Salama J.

  • @Zawadi-1
    @Zawadi-1 4 ปีที่แล้ว +17

    Wow, umefanya vema Idris, umeni inspire kiukweli, namimi napitia the same thing japo tofauti kiasi.Ila nimejifunza kitu.

    • @Souza_G_94
      @Souza_G_94 4 ปีที่แล้ว

      Poleeeee pia my dear trust on the process you will walk through t out...

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Mimi ningekufa kwa pressure, hongera sana Idriss kwakuvuka hayo mapito.

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 4 ปีที่แล้ว +3

    Aise hii interview imenipa shule kubwa ambayo kwenye maisha yangu sijawahi kupata shule kama hii, mungu akubariki sana salama j

  • @innocentnovart5990
    @innocentnovart5990 4 ปีที่แล้ว +7

    Bless you Ma'am for what you are doing...this is so priceless. And kwa bro Idris, thank you for the honesty and the life lessons....I am taking notes Sir.

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 4 ปีที่แล้ว +2

    Honey Salama hii ya Idris nimeiona leo ndo nimemaliza baada ya kula daku. Babe Dubai summer imeanza tuombeane sahali inshaaAllah. Love u right, left and centre 😘😍😘

  • @alexshallom3094
    @alexshallom3094 4 ปีที่แล้ว +97

    Ubora wa Mtangazaji Na KIPINDI unafanya muhojiwaji afunguke vingi

  • @patriciomanuelmwadi525
    @patriciomanuelmwadi525 2 ปีที่แล้ว

    Hichi kipindi au hii program ninzur kina faaa sanakufuatilia salama my sister hongera sana brow pole sana kwa uliyo yapitia kwamana misukosuko kamahiyo mtu mwenye roho nyepesi angewza atakupatwa na magojwa sugu kwajir ya mawazo kamabinadam, ila histor yako ina azet flani kwenye maisha, ila nakubali apo kwenye fani ya sister suzi nae duh!

  • @Mooncake_tz
    @Mooncake_tz 4 ปีที่แล้ว +12

    This is one of the most inspirational interview..i hope we viewers learned a thing or two.

  • @aboually7656
    @aboually7656 2 ปีที่แล้ว +2

    Salama is so lovely for sure... Eti shushia na cheers.. I really liked that comfort

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 ปีที่แล้ว +6

    Nilichojifunza biashara inakutaka wewe kuliko mtu yeyote yule...kama huwez kuisimamia biashara yako funga biashara hiyo👐👐🔥

    • @sadadullah3830
      @sadadullah3830 4 ปีที่แล้ว +1

      Nice and real

    • @zaylaizer6542
      @zaylaizer6542 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @paskaldominic5725
      @paskaldominic5725 ปีที่แล้ว

      Hujawahi shika hela...so tulia kwanza uzipate zipotee then ujue namna ya kukusanya taratibu...you will never start from the crush but you will start in experience

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 ปีที่แล้ว +5

    Best interview of the year
    Siichoki nairudia mara 3 sasa

  • @kidadakidawa1588
    @kidadakidawa1588 4 ปีที่แล้ว +9

    Duh🙄Mwanaume na nusu,nimepoteza ml moja tu kwenye kilimo cha nyanya nahisi kunyemelewa na kisukari,Speaking of 600 ml hata kaburi langu lingekuwa limeshatitia.Mungu nijaalie moyo km wa Idris mimi🙏🏽

  • @bigboyben6932
    @bigboyben6932 4 ปีที่แล้ว +17

    Big up Ecejay!Heshima kwako bro Idris,you’re the man.
    Daammn this LIFE 🙌🏿

  • @zaidalnoamani5364
    @zaidalnoamani5364 4 ปีที่แล้ว +24

    Story nzuri pamo mafundisho mengi nakupenda salama 😍😍😍

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndio maana nasemaga hii ni my favorite show....alipo salama mambo yapo vizur sanaa ❤🥰

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 ปีที่แล้ว +3

    Doooooohh this man kapitia hard time but he stand strong, yo billionaire. Yo inspiration.... Salama yo best tv presenter

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +2

    Da Salama nice interview,Idris umetupa moyo,katika maisha kuna kupanda na kushuka.

  • @cornelmichaelz
    @cornelmichaelz 4 ปีที่แล้ว +23

    sure l was taking this man for granted but today l learned a lesson ,And it is the best interview.

    • @lovelife99999
      @lovelife99999 4 ปีที่แล้ว +1

      Mi nilinamchulia poa kukuliko, dah respect!

    • @jacksonchami9959
      @jacksonchami9959 3 ปีที่แล้ว

      You should know they make up some of those stories to make it interesting....am sure it didn't happen as he narrates it.

  • @misshappinessnovy8083
    @misshappinessnovy8083 4 ปีที่แล้ว +11

    Love the session ,Salama Na I.Sultan . Learnt alot from it

  • @queenshio8300
    @queenshio8300 4 ปีที่แล้ว +32

    This is more than a motivating story 🙌

  • @vickiemagige3256
    @vickiemagige3256 4 ปีที่แล้ว +34

    This is more than interview..., Mwenye timamu kapata kitu apaaa..., Uyu jamaa hajawah kubore keep it up broo

    • @florarose1626
      @florarose1626 4 ปีที่แล้ว

      Vickie Magige nakwambia ambaye haja jifunza hapa sijuwi anawaza nini 😅😍

  • @evaipyana9706
    @evaipyana9706 2 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda hii interview kama navompenda Mwanangu,Roho yangu Lee

  • @chengobabahk3901
    @chengobabahk3901 ปีที่แล้ว +3

    Hii interview niliipenda sana.Bigup Salama

  • @annmwita2962
    @annmwita2962 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaman what happened hadi nikamiss this interview...one of the best interview ever...lesson learnt🙏🏼🙏🏼🙌🏽🙌🏽

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว +3

    bonge LA kipindi salama umetisha sana idrisi.

  • @bablematz1309
    @bablematz1309 4 ปีที่แล้ว +9

    Nzuri... Inahamasisha kuto kukata tamaa... 🔥

  • @difficultkidima9035
    @difficultkidima9035 4 ปีที่แล้ว +4

    Salama u'r the best presenter and ths interview ni lesson for many ppl ukianguka inuka start afresh

  • @maconceptkijonjo8796
    @maconceptkijonjo8796 4 ปีที่แล้ว +22

    Aiseee hongera sana sister Salaam Allah akubless saana pia hongera Idriis kufight hadi leo umekua somo kwa wengnine

  • @keyla3641
    @keyla3641 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama love u guineas but idris u make me cry but what u went through makes u a truly man big up bro

  • @hashimshariff3566
    @hashimshariff3566 4 ปีที่แล้ว +6

    Big up bro.... never give in life koz God is always there 4 u.... big up idris

  • @quadir08
    @quadir08 4 ปีที่แล้ว +7

    I m so much inspired by this.. a lot of life lessons and experiences

  • @simplylightness
    @simplylightness 4 ปีที่แล้ว +4

    Nainjoy sana kumsikilizaga idriss

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Idris inasikitisha lakini ndio moja ya njia ya kufika M.mungu akubariki

  • @Mariam.kassiva
    @Mariam.kassiva 4 ปีที่แล้ว +18

    I get you on trust. I have come to learn, don't even give a minute to your enemies. Keep your guard on friends, close friends

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 3 ปีที่แล้ว +1

    The best interview ever, sijui kwann nimechelewa kuiangalia

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 4 ปีที่แล้ว +8

    Sauti ipo sooooo clear. Awesome!!!

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 4 ปีที่แล้ว +7

    Welcome back our favourite show napenda mlivyo stick kwa muda wa kipindi

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 4 ปีที่แล้ว +2

    🍁Tis man is Genius💥🔥 that's why I decided to repeat this interview. Unajua kutoka kuwa hauna kitu na ukafanikiwa and then ukafilisika na madeni juu, ukarudi kupambana na ukawa zaidi ya pale ulipokuwa ki mafanikio ni somo kubwa sana sana🍁

  • @ikupakyalaalimwenr8156
    @ikupakyalaalimwenr8156 4 ปีที่แล้ว +30

    Jamanii from million mia 6 to zero kuna cha kujifunza hapa, kwamba Mungu akiamua kuchukua chake anachukua

    • @iamzillahx6901
      @iamzillahx6901 4 ปีที่แล้ว +1

      Not 6mill it was 600mill

    • @ikupakyalaalimwenr8156
      @ikupakyalaalimwenr8156 4 ปีที่แล้ว +3

      @@iamzillahx6901 yah nimeandika million mia 6😂😂😂

    • @krauseboss3240
      @krauseboss3240 4 ปีที่แล้ว +1

      Ikupakyala Alimwenr du pesa kama hizo unafaa kununua kwanza nyumba

    • @beatricekingsley5062
      @beatricekingsley5062 4 ปีที่แล้ว

      Duuh me roho ingeniuma million mia 6 zote

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 ปีที่แล้ว +2

    Hii Interview ndo salama ndio kasema masikini mara nyiiiiiiiiingi Zaid!!!!!!
    Hongereni sana 🤝 wote mmetisha

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaji Bora Afrika kwangu ni SJ, nakupenda Sana.

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 4 ปีที่แล้ว +1

    Oh wow pole sana marafiki wakaribu ndo wanamalizaga watu😥😥mi last year october mtu alinipiga dola elfu 25 +5mln polisi walikula na hawakunisaidia lolote but after the problem wow wow nimekuwa mtu mwingine

  • @thewhitecoathub
    @thewhitecoathub 4 ปีที่แล้ว +4

    Wooow,
    Aiseee hii ni bonge moja la interview🙌,
    Nimejifunzaa so many things.

  • @nelsonmwombeki5243
    @nelsonmwombeki5243 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mwamba lazima uanguke kwanza ndo usimame imara, big up sana.

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 4 ปีที่แล้ว +1

    salama jabir wewe ni creative saana,hongera ,hujawahi niboaaa

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 4 ปีที่แล้ว

    Watu wote wanalaumu marafiki
    Ooh ndugu
    Hakuna wakumu amin kwenye haya maisha
    Yani haya maisha hayana Formula mtu yoyote anaweza kukutenda ni ivoo tu

  • @japhasonkiwope641
    @japhasonkiwope641 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubora wa mtangazaji unanogesha sana kipindi,,,idris is the best

  • @vailethalabama8255
    @vailethalabama8255 4 ปีที่แล้ว +6

    Salama jabir@ecejay the best presenter😘😍

  • @nessmwambogolo2545
    @nessmwambogolo2545 4 ปีที่แล้ว +7

    Salama nakupenda Sana ❤️ ila zaidi nakupendaga kwenye ile staili ya Kwanza yaani kunyoa viduku nakupendaga bureeeee 💪💪

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe subra idriss. Usimuone mtu anacheka tu

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Bro Idris kwa uliyopitia, ila hongera sana kwa ku fight na kufika hapo ulipo🙏

  • @florarose1626
    @florarose1626 4 ปีที่แล้ว +9

    😂😅😅😅 nihera tu this story is amazing 😉😍😍 Idriss we noma, and yeah fake friends still exist 😍

  • @simonsanga2129
    @simonsanga2129 4 ปีที่แล้ว +3

    Big up Salama,nimejifunza sana kwa bro Idris

  • @Fabiola_the_poetess
    @Fabiola_the_poetess 4 ปีที่แล้ว +2

    I am cutting onions, God bless you Idris.

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeilewa sana idriss Sultani
    Bonge la funzo kwangu Kama mimi

  • @Nature_adventure
    @Nature_adventure ปีที่แล้ว +1

    Tunajifunza vingi hapa. Big up Idris!

  • @esteryebete7974
    @esteryebete7974 4 ปีที่แล้ว +1

    Akii nimecheka ,nimelia mejifunza something from Idris
    Akiii salama kipindi Kiko bomba kinafundisha maisha

  • @juniperlechic7358
    @juniperlechic7358 4 ปีที่แล้ว +4

    This is epic 🙌🏽so much to learn .

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 ปีที่แล้ว +4

    Salama ana matamshi amazing sana, ki professional kabisa

  • @Duh_Daily
    @Duh_Daily 4 ปีที่แล้ว +8

    Trust is a dangerous game

  • @farajalaizer4669
    @farajalaizer4669 4 ปีที่แล้ว +11

    napenda utulivu wa Salama kwenye interview big up

  • @iankanyasa2925
    @iankanyasa2925 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmetisha Sana...so much inspiration in one video

  • @brysherbless8998
    @brysherbless8998 4 ปีที่แล้ว +9

    km bd unachek hii interview ya salamanaidris gonga like apo

  • @evaipyana9706
    @evaipyana9706 ปีที่แล้ว +1

    Hii interview naipenda sana nimeiangalia mara 13.Bonge la somo.

  • @mbwanamohamed9878
    @mbwanamohamed9878 2 หลายเดือนก่อน

    Mara ingine tena l watch this best interview

  • @gracedismas1108
    @gracedismas1108 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa pole sana idris maisha ndivyo yalivyo

  • @anthonychangah4066
    @anthonychangah4066 5 หลายเดือนก่อน

    I dont think kma ni naive i think ni stoopid along the way😂 ...Salama bana 2024! Much love from Dubai

  • @simplyuncleally4355
    @simplyuncleally4355 4 ปีที่แล้ว +17

    Lesson learned 🙏🏾

    • @florarose1626
      @florarose1626 4 ปีที่แล้ว +1

      Simply Uncle Ally yessssss

  • @DavisTibbz
    @DavisTibbz 4 ปีที่แล้ว +3

    Great interview. Alafu production iko top sana! Big up to the crew!

  • @modecreatives6
    @modecreatives6 2 ปีที่แล้ว +1

    I learned many things through this interview

  • @asadshija3245
    @asadshija3245 4 ปีที่แล้ว +16

    I wanna marry Bint Jabir for real!

  • @lilianmongi5882
    @lilianmongi5882 4 ปีที่แล้ว +4

    Exclusive interview big up Idris na Salama

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama is Hellen of tz queeen of interview anajua sana

  • @khadijamiraji1124
    @khadijamiraji1124 4 ปีที่แล้ว +3

    Sister salama nakukubali htr, na ume plan kitu kzur xana

  • @jameselias5277
    @jameselias5277 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah nimejifunza kutokata tamaa once unapopoteza...