Du kule kwetu Moro ukimuuluza mtu yeyote nini maana ya kipusa Atakwambia ni aina ya ndizi tamu sana..na ni nzuri kintazanmo..pia kuinunua ni bei kwa tanzania ukiliganisha na ndizi nyengine
ushawah isikiliza nyimbo ya alikiba vizur mpaka unasema kipusa ni mwanamke mrembo! "wananiita kipusa oh pasua kichwa" iyo colas kaimba kiba kwaiyo unamaanixha kiba mwanamke mrembo.na mondi pia kaimba "xilagi vipusa" usitupotoxhe mwulizen kiba anajua maana
kipusa ni kitu kitukinachopatikana Kwa nadra sana. kitu kipo lakini kina adimika( kinapotea) = pembe ya kifaru fasaha( vipusa old Swahili wanawake warembo = kipusa mwanamke mmoja mrembo. inategemeya wewe mzungumzaji uko upande gani \|||waniita kipusa [naadimika kwenye muonekano wa watu=kipusa. halisi ni pembe ya kifaru = unaonaje upatikanaji wake= nafikiri ni Kwa. shida sana. |{asili haipotei]
hahahahahaha hehehehehehehe kipusa yededeeeeee kipusa ni pilipiliiiii nizile ndege zilizokwama Canada hahahahahaha mecheka mpaka nalia wallah losti ya utumbo hahahahahaha
Kipusa au vipusa means.ni Msichana mwenye uzuri msafi mrembo.....kwa mfano :wamepita vipusa wawili hapa umewaona?Hii ni lugha ya mtaani ambayo hutumika. .......
Kipusa ni kitu ambacho kilikuwepo mda fulani baadae kikatoweka mfano saiv maharage yapo mengi tu madukani kama itafika kipindi yatakuwa shida kupatikana ndio unaweza sema maharage saivi kipusa
ila we Kaka nakupendaga Sana😂😂😂😂 big 👆
This made my night😀😀😀😀😀😀watching from Dubai
funny videos safiii
Hahhah idrisa unaweza kaka 😀😀😀😀😀😀😀😀
Kipusa ni neno sanifu la Kiswahili ambalo ni kitawe na maana zake ni mbili. 1. Mwanamke mrembo 2. Pembe ya faru.
Yaani imenibidi nisabusklaibu tu kwenye hii channel...Love all the way from Toronto
😂😂😂😂😂😂we jamaa ni chiz sana daaah😁😁😁
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nilijikaza nisicheke loh!!!!!!!!!!!!! nimeshindwa mkuu
Mbavu zangu bro umezikausha😂😂😂😂😂😂
jaman wee uko juu ndio mana nakupenda sana ww tuu wallah.......kazi yako iko juuu
So marvelous and handsome u hit it
So good Mr
Hahahahahahaaaa....Kipusa mamaaaaaaa..MAjibu ya watoto sasa...Mbavu zangu jamani Idris
hahaha umetisha kaka
Damn U Gucci blood,Hola Idris,
Show dem what wagwaan,Me gv Yoo respect,
Mama angu ajarudii Niko darasa LA kwanza😀😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂
Much love from Oman we ❤u idris
❤️🖤
Nimekubali. Idrisa kazabuti kipindi kikopoa, hila atamimi sipendi kipusa
Mbavu zangu jamaniii 😃😃😃😃😃 na hao mnaowahoji kaaaaaa
umefanya nchekee nikaliia 😂😅😁😅😂😄kipusa jamani
I like it
Eu gostei muito essa video
Nakukubali
😂😂😂😂😂 sawa
Nakupendaaa sanaaaa
Daaah wewe jamaa ni fundi 😂😂😂😂
yani nimecheka😃😃😃😃😃
hahahahaha Dull nimekusoma mtu wangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ww jamaa unautani wa ngumiii sana,,,,😂😂😂😂😂😂
Eti ndege zilizokwama canada uyu jamaa dah
hatari
Savage level 🤣🤣🤣🤣
Wakenya mliojikuta hapa hi😂😂😂
Mmenifanya Ni burst kwa kicheko usiku wa manane.asee acheni bangi idriss Na mwenzio.@kipusa Ni ndizi roast Na utumbo😅
daaaaah c kwaayo majbu jaman mmeyabadlsha auuu OMG I can't blv it
❤️❤️😂😂😂😂😂
aisee umenifanya ni subscribe chanel yako,idris umeonekana wa muyimu, oyooooo waliyo kubali kipusa wakowapi! walike
Du kule kwetu Moro ukimuuluza mtu yeyote nini maana ya kipusa Atakwambia ni aina ya ndizi tamu sana..na ni nzuri kintazanmo..pia kuinunua ni bei kwa tanzania ukiliganisha na ndizi nyengine
Dah wabongo buana| |Kipusaaaaa!! msosi..
Hahahahahah Koi Mzungu unazingua Man
daaaah chiz kweli wew
😁😁😁😁😁😁 poziii kwa poziii
jamani nmecheka mpaka basi...idris we nouma
😂😂😂😂😂
We mchizi kwa kweli 😀😀😀😀😀😀😀
Msanii smart kuliko wote Tanzania. Wengine hadi waji geuze wanawake, mibangi, unga, mchanga
😃😃😃😃
kipusa kwetu ni kitu kama thahabu au kito cha thamani
😂😂😂😂kipusaaaa
😂😂😂😂😂😂😂
Tanzania ya viwanda
1.Tatu Mzuka
2.Biko
3.PremierBet
4.MeridianBet
5.SportPesa
6.GSB
7.PrincesBet
8.MkekaBet
9.Supa Bets
10.Bet Now
11.Bet Ham
12.Throne Bet
13.M-Bet
🤓🤓🤓🤓🤓
🏃🏻🤓🏃🏻🏃🏻
*_Kipusa ni Alikibaaaaaaaaaaaa_*
daaaa nimecheka mm eti mwambie dada wa kazi akipika tena kipusa mi siriii
😂
hahahahahaahhaa yaaan hao wanaojibu maswali wanafurahisha
hahaa Aise unatishaa kipusa idris unatisha
Wacha niku follow Twitter
Hahahaaa uwiiii mbavu zangu, kipusa ni mwanamke mrembo bhana
ushawah isikiliza nyimbo ya alikiba vizur mpaka unasema kipusa ni mwanamke mrembo! "wananiita kipusa oh pasua kichwa" iyo colas kaimba kiba kwaiyo unamaanixha kiba mwanamke mrembo.na mondi pia kaimba "xilagi vipusa" usitupotoxhe mwulizen kiba anajua maana
Mimi nlikua sijui maana yake sema idrisa jamani
@ happy ndo maana yake hyo
hahahahaaaaa
😅😅😅😅😅😅
😃😃😃
Haaahaaaa mtoto kasema mama ake hajarudi
Kipusa sio habari Hila kwa uelewa Wangu kipusa ni kengere
kipusa ni kitu kitukinachopatikana Kwa nadra sana. kitu kipo lakini kina adimika( kinapotea) = pembe ya kifaru fasaha( vipusa old Swahili wanawake warembo = kipusa mwanamke mmoja mrembo. inategemeya wewe mzungumzaji uko upande gani \|||waniita kipusa [naadimika kwenye muonekano wa watu=kipusa. halisi ni pembe ya kifaru = unaonaje upatikanaji wake= nafikiri ni Kwa. shida sana. |{asili haipotei]
😋😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
kipusa ni maandazi yalivunda 😂😂😂😂
Nimeagiza mbavu mpya kutoka india😁😂😢
hahaha
Adinani masamaki 😂😂😂😂niagizie nami😃😃😃😃
tena sana mpnz mimi china😂😂😂😂😂
hahahahahaha hehehehehehehe kipusa yededeeeeee kipusa ni pilipiliiiii nizile ndege zilizokwama Canada hahahahahaha mecheka mpaka nalia wallah losti ya utumbo hahahahahaha
😀😀😀
😀😀😀😀😀😀
Niceeeee
hhhhhhhh hhhhhhhh my night was fun
Aiseee watu wa ufahamu wa wetu wetu na lugha yetu kumbe bado uko hivi... waulize maana ya pembe 🐂🐰.. utasikia pembe la n'gombe
Uuuuu
Yani idris umenifanya nisabscrais chanel yako maana nimecheka sana,kipusa woyooooooooo
Mi pia
😁😁😁😁
Suti zako kali sana mkuu
Hahahaha Miss Agatha Kipusa ni mtu anaetafutwa na Polisi na donge nono kutolewa huyo ni kipusa
😅😅😅😅 we Idris mbona mchokoz hivo
hahahahaha matataaaaaaaaaa
Kipusa, ina maana nyingi mbili ninzojua Mimi ni kwanza ni pembe ya kifaru na maana ya pili ni mtu mwenye sura nzuri anaye pendeza kwa kila namna.
nipo darasa la 1
Kipusa au vipusa means.ni Msichana mwenye uzuri msafi mrembo.....kwa mfano :wamepita vipusa wawili hapa umewaona?Hii ni lugha ya mtaani ambayo hutumika. .......
mond hoyooo Halagi vipusaa@idrissultan
imekaa poa aisee
😂😂😂
Nyote mmefeli sasa mm nategua kitendawili (kipusa ) ni boss au tajir au mtu mwenye pesa nying io ndio maan halisi ya kipusa
Kipusa Ni Mwanamke Ambae Anamchuna sn mwanaume wake kwa jina maalufu Cjui (kudanga )
Inafurahisha ila furahi zaid hapa LIKE PAGE HII
NA ANZA KUJIINGIZIA FEDHA
20,000 KWA SIKU. KARIBU BONYEZA LINK HII
goo.gl
Mbavu zangu mimiiiii
Ndio uchekeshaji gani kwanza nasikia jina lako lipo kwa mkuu umetajwa kweny list
Hahahahahaaa kipusa hatareeee
hahahah! xo poa asipike tena kipusa
mama yangu hajarud, hahaaaa
duuuuuuh kipusa makoch??????? bangi hzooo
mama angu ajarudiii
Kipusa ni kitu ambacho kilikuwepo mda fulani baadae kikatoweka mfano saiv maharage yapo mengi tu madukani kama itafika kipindi yatakuwa shida kupatikana ndio unaweza sema maharage saivi kipusa
ndo nyimbo wanazotuimbia wengine wetu hazijulikani, na vifata upepo vinaimba tu havijuwi vinatukanwa.
we mwenye wa kwanza
Hahahahahahhhh
hahhhh hao vilaza wa TM D umewatoa wapi wanapindisha ukweli....
Kipusa ni kitu ambacho kilikuwepo then kitawa shida kupatikana ndio kipusa#Zanzibar Swahili
hahahahaha
Kipusa ni maboss walio shindikana hata ushuru hawalipi