Professor Anna Tibaijuka akielezea kupanua ndio kuongeza matamanio na mboga za milioni 10, Kwanini Diamond anazima taa na Kufutwa kwa road license kunamaanisha nini
#IdrissaS. Hapa sasa umeanza #Comedy mzeBaba.. tutakufatilia zaidi kuliko ulivokua kule eti #StandUp, kwasasa nakuona mbali kama #TrevorNoah wa #DailyNews
Idris naomba urudishe hii show.
Wengi tuliipenda. Wapi likes za walokuwa wanafurahia kaa mimi???
Kidogo
Show ilikuw bomba sana😅😅😅
kweli kabisa bunge letu ni tamthiliya tosha😂😂😂😂😂😂
OMG Idris ( episode 1 )ur the best
hahaha...hahaha..Idrissa noma sanaaa umenifanya niongeze siku..hahah hahaha
Dah! Bro umeongea maneno ambayo yamenfanya nifurahi na nilie maana unatuchekesha lakini unasema kweli kabisa...Great
huyu kaka nampenda Sana yan Dah hahahah
Idrisa,
uzuri wako unafurahisha na wakati huo huo UNAELIMISHA!! Big Up
Good
Hongera sana
Finally we have our Trevor Noah in Tz Keep up the good work and don't listen to the haters keep moving forward God Bless
Umetisha chaliii😂😂,salute sana
Good job
Hahahaaa
Nasema hviii
We jamaa nomaa
Hongera brother good idea keep it up homie
Tumemisss hii showwwwww
Gud boy napenda unachokifanya
Hahahahhaaa nc brother
no wonder magufuli hates his guts...this guy is good
Keep it up brodah ndo maana nakukubali wish to meet u i wish my dream come true
💖
You are so smart idris.
Keep it up you are the best.
idrid unaweza saana brother big up kwako
Idirisi I love this story big up men
Hahaha wanimaliza Idris
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dah! we jamaa uko vizuri mkuu
Hhhhh luv u and luv it
move on sultan
I love the style....!
Your seying good men
Hapa ,,ndo palkua ,,kwako,,,,,bro come back,,,,,
,,in 2020,,,,!
Hahahaha nilikuwa nasubiri kwa hamu uiweke TH-cam bigup brother.
Brother daa wew Gens sana
Big up bro wenyeeee choyo n wivu ziwarudie wenyew heheeee
😂😂😂kupanua maendeleo!!asantee thanaa
Make it big bro!
representing 254✌✌
This guy is just "good" waiting for episode 2
Susan Ruo #keep on waiting
big up saaana brother
Ha ha ha, Wema...., mbona umekatiza song...?
nacheka sana.idris you're so funny
dah bunge la comed
Ahahahahaha we ni unastoppable kaka idrs salute sanaaa nakubali sanaaaa
Good show brother
Nakupenda Sana Idris salute🙋
big up idriss kazi nzuri sana yani hahaha you kill me 😂😂😂😂
yo crazy Dris....but this is good stuff....keep it up!
daaaaahhh!!
Idris u are super talented go brother
Sarcastic boy___I like that
Kipindi SAA ngapi hiki nakipenda sana
Idris nomaaaah🔥🔥🔥🔥
Ummulkheir Zubeir
ntafte 0623964258 whasap
U r class sussi,
Daah Idris I Appreciate Yu More Broh Pale MwxhoN Qweenye Budget Ya Fedha UmeOngea Point Kubwa Xana An
dah. nakupendaga sana we mkaka
😂😂😂wema
Nimecheka mpaka tumbo linauma😂😂😂😂😂😂
Safiiii Sanaaaa,
Upo vizuri kweli tumwachie Mungu
Idrisa we ni mkali ulitakiwa uwe mwandishi wa abari brother
Nkubal raha sana idris
we mshenz kweli Idrissa
Good job!!
Hahahaha so fun
Sultan we wakisenge an ahahahahahaaa
best comedy show in TZ, safi bro...
VitukoVyaKibongo idrisss ni noumaaaaa
Mbavu zangu mieeeeee
Idris sultan ngombea tu ubunge uko vizuri sana
Sina mashaka kabisa na CREATIVITY YAKO kichwa chako mtaji sana level za Kevin Haart upo juu
Idrissa it so good😂😂😂🤣🤣
😂😂😂nimeceka hadi naumwa
idris u made ma day keep it up buddie
Kupanua kumenoga
akikupa mia mbili tano hrf unampa 1000 mnakuwa mnasaidiana chenji hahahaha
Fact broooo
umetisha kaka Uko vzr
Aiseee ww hataree
#IdrissaS. Hapa sasa umeanza #Comedy mzeBaba.. tutakufatilia zaidi kuliko ulivokua kule eti #StandUp, kwasasa nakuona mbali kama #TrevorNoah wa #DailyNews
Ramsey #Daily_Show
Hahahaaa nice talk
Umenishinda tabia
Daaaa cjawai Kuchek hiv we idris co mtu wamchez mchezo
We jamaa mim nakukubali sana
Damn are you so talented
Hahahaha...my ribs
Idris uko juu Kumbe wee c kidogo
Good job bro not just fun but also wisdom and knowledge big up napenda kazi yako
😂😂😂chz wew
Ni kweli kabisa👌🏾👌🏾
Abdusalam Abdusa
Idrisi wewe no nomaa sana
Ww..unanifuraisha sanaaa!
marichui😂😂😂
bigup broooo
Una akili sana broo...hongera sana
Noma sana
God bless you
Kenyans watching hoyeeee
big up idris
Busara Titu
Am from kenya men you really very
Keep entertaining Tanzania
Wewe Idrisa
Big up
noma brother piga kazi
Big up sanaaaaa
nice one mzee.
idrisa 😂😂fanya hii show irudi tn💕🌹
idris, nakuomba saaana rudiana na wema, unanuwa wengi wanna furahi kuona mume achana, wengi wana wivu, ulisha muzoweya Sanaa unaweza kumusaidiya
I love you idris
Kadri unavyo panua ndivo watu wanavyo tamani 😂😂😂