HII HAPA KAULI YA DKT. SAMIA KWA MABASI , KATIKA UZINDUZI WA TRENI YA SGR DAR - DOM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @mkude
    @mkude 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera mama Samia kazi inafanyika

  • @casmirnkombe424
    @casmirnkombe424 3 หลายเดือนก่อน +7

    nipeni like zetu🙏🙏 Mama anaupiga mwingi sana

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana rais wetu. Mitano tena ❤

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mama ungesisitiza wananchi tushirikiane kutunza reli hii juhudi kubwa serikali imefanya sasa wajibu ni wetu kutunza na kuifanya iendelee hujuma ziachwe!

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mungu
    Asante mh samia suluhu kwa kuleta suluhisho la reli inchini

  • @djfaraji
    @djfaraji 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama njoo na mbagala uzindue mabasi ili tusiwape mdomo wapinzani

  • @AhmedNgalewa
    @AhmedNgalewa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waliosema hayawi, mbona yamekuwa! Hongera sana tena mno Mama Rais. Kinyume chake, ingelikuwa hoja ya wapinzani 2025 kwamba "Magufuli kenda kuzimu na reli yake!" Hoja hii haipo tena, badala yake usemi wa "mwenye macho haambiwi ona" utawaumiza mno wapinzani ambao kama wanaitegemea Chadema basi wameshashindwa kabla ya uchaguzi

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 หลายเดือนก่อน

    Mkutano wa kampeni wa ccm au sherehe ya kitaifa ya serikali?

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hujakatazwa kwenda

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 3 หลายเดือนก่อน +2

      Utakuwa UNAWASHWA WE😂W

    • @hurumajosephat6333
      @hurumajosephat6333 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ata ccm ni watanzania ndan ya taifa

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 หลายเดือนก่อน

    Sio reli yetu, tena ....umesema waibinafsisha soon!
    Uza kila kitu kuna siku tutakupia mawe!!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Acha usen@n#..gee au unawashwa?! Wapi umesikia pameuzwa?!