Just imagine pastors wote wangeweka nguvu kufundisha kumjua na kumtafuta Mungu kama hivi. I believe kila mtu atasimama katika zamu yake na kutumika, na taifa litabadilika kabisa. Tutaacha kuabudia mali, tutakua tunamtafuta Mungu tu. Be Blessed Pastor
Naamini sijachelewa Kwa Mungu hamna umbali ,na Kwa kusikia kwangu kupitia mtumishi wake wa Mungu Mukabwa atanisikia ,najiungamanisha moyo wangu na Imani yako Kwa Mungu wako masomo unayonifundisha yatazaa matunda hai.
Emeeeeeeen mungu akuzunguke na wingu lake ubarikiwe sana umenijaza. Imani mahubiri yako. Niya kiroho na hekima nakusukiza sana TH-cam unanibadilisha mungu wa Amani awe pamoja nawe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗mm nko Kenya mombasa
Pastor hata useme kupendelea mafundisho ya mtu fulani lakini mimi nimekamatwa na mafundisho yako ukisaidiwa unavyosaidiwa na Roho mtakatifu. Watching from Nairobi Kenya
Tunamshukuru Mungu ajili ya ufunuo mkubwa kwa Mtumishi wa Mungu, Tuendelee kumwombea aendelee kumtii Roho mtakatifu na kunyenyekea Ili azidi kulifaa kanisa la Muñgu, hakija ana Neno yaani "Rhema"
M naishi daa, ila namuomba Mungu anipe kibali nifike kwake butimba mwanza nikakutane naye macho kwa macho maana amenifundisha vitu vizito sana, Mungu ambariki sanaaa, 😊
A great insight, and a sober word... Thanks mchungaji. I just bumped into this, and am glad of the deposit, God has put in you... God bless you and God bless his work....
Following from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Shalom shalom shalom 🎉
Shalom shalom shalom 🎉
Amen 🙏 🙏 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
wonderful scripture...love the spirit
Just imagine pastors wote wangeweka nguvu kufundisha kumjua na kumtafuta Mungu kama hivi. I believe kila mtu atasimama katika zamu yake na kutumika, na taifa litabadilika kabisa. Tutaacha kuabudia mali, tutakua tunamtafuta Mungu tu. Be Blessed Pastor
Since I knew this man, my life has never been the same.
Same to me here ,my life changed
Me too
Tangu nianze kushikiliza this man of God my life has changed.may God add him more power he is a good teacher of the word of God.Abarkiwe.
Naamini sijachelewa Kwa Mungu hamna umbali ,na Kwa kusikia kwangu kupitia mtumishi wake wa Mungu Mukabwa atanisikia ,najiungamanisha moyo wangu na Imani yako Kwa Mungu wako masomo unayonifundisha yatazaa matunda hai.
Amen
Amen kwakweri hyu bba mungu amwinue anatumia neno la mungu kusaidia maisha yetu
MWENYEZI MUNGU akubariki kwa mafundisho ❤❤❤❤❤
Emeeeeeeen mungu akuzunguke na wingu lake ubarikiwe sana umenijaza. Imani mahubiri yako. Niya kiroho na hekima nakusukiza sana TH-cam unanibadilisha mungu wa Amani awe pamoja nawe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💗mm nko Kenya mombasa
Mafundisho yako pasita yananitia nguvu sana Tena zaidi,kweli huyu Mungu ni nimkuu
Hii mahubiri nimeupokea katika jina la yesu
Amina mtumishi nakuelewa sana mungu akuinue viwango
Maneno unayo fundisha yananiinuwa kiimani barikiwa sana mtumishi wa Mungu Past George
Amen..... Sijui nilichelewa wapi kukufuatilia mtumishi, barikiwa sana
Amen Asante Yesu
Asante kwa neno, unanibariki sana! Amen 🙏🙏
# Kenya
Najifunza vitu kwako Mungu akubariki
Amene ubarikiwe sanaa
Ameeen I receive my new season in jesus Name
Ahsante sana mtumishi kwa hili somo umenipeleka mbali sana’ utukufu na sifa nivyako muumba wa mbingu na nchi
God bless you servant of God.
Yesu nipee Roho ya ufahamu wa majira yangu
Baba hapa Pana message yangu kumbe
Ameni
Mchungaji kwa kweli neno lililo ndani Yako unanienua, unanibariki,unachochea Imani yangu mungu akusidishie uzidi kuwa bariki wengi
Kwakweli MUNGU ANAKUTUMIA VYEMA asaante baba nakuelewa Ameeni.
Mungu akubark baba hakik nimejfunza mengi ktok kwaki
Mungu aendelee kukutumia mtumishi wa Mungu. Umekuwa msaada wa wengi
Asante baba
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤
Baba badirisha majira yangu adui asiyaherewe katika jina la Yesu naomba na kuamini,Amina.
Ameeen!nabarikiwa sana na mahubiri ya huyu Baba!
Amen
Ubarikiwe sana mtumishi mafundisho yako yamenitoa sehemu
Nikubali Kwa mafundisho ya neno la MUNGu akubariki Kwa kazi yake
Asante kwa neno mtumishi wa Mungu Barkikiwa
Nitazama katika Bwana adui hata nikalili
Kwakweli mutumishi wa Mungu ubarikiwe, hakika nimeongezewa kiroho
Uniombe pastor juu ya. ndoa yangu mungu anfungue njia zangu .kwajina la yesu Kristo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pastor hata useme kupendelea mafundisho ya mtu fulani lakini mimi nimekamatwa na mafundisho yako ukisaidiwa unavyosaidiwa na Roho mtakatifu. Watching from Nairobi Kenya
Nabarikiwa sana na mafundisho yako.Mungu aendelee kukubariki
Mafundisho yako pastor imenibadilisha kutoka mbali sana.mungu aendele kukumbariki katika juna la yesu
Asante sana kwa kutufungua pale tulikuwa hatuwezi kuona. Amen
Hakika unafundisha vyema ubarikiwe sana
Amen pastor neno lako lanitia nguvu
🎉cHaleluya Mungu akubariki kwa somo hili la faida kubwa kwa watumishi wa Mungu
Mungu akuinue pasta🎉
Mungu akubariki sana sana. Mungu amenitendeee maaajabu baada ya kufuata mafunsisho yako. Nimezama nimemuona Mungu.
Yesu ndiye njia ya kweli
Unanibarki mtumishi mungu azidi kunipa jitihada ya kutafuta kibali cha mungu maishani mwangu amina
Mchungaji Mungu akubariki sana
Mungu akupe miaka mingi maana nabarikiwa Kwa neno
Thanx
Sanaaaa ,ana kitu kizuri cha ualimu mnoo
❤❤❤🎉🎉🎉
Ubarikiwe pasta
Mungu akutende mtumishi weniwaukweli
Toka siku ya kwanza namsikia nakufuata mafundisho yako naona mabadiliko ya kiimani kwangu kila siku. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.
Is it🇰🇪or🇹🇿mafundisho yanibariki l'm from Dar es salaam😅😅 nazidi kufuatilia masomo yenye baraka AMEEN mtumishi ubarikiwe naMUNGU
Barikiwa sana na mafundisho ya mtumishi George Barikiwa Baba
Tunamshukuru Mungu ajili ya ufunuo mkubwa kwa Mtumishi wa Mungu, Tuendelee kumwombea aendelee kumtii Roho mtakatifu na kunyenyekea Ili azidi kulifaa kanisa la Muñgu, hakija ana Neno yaani "Rhema"
Dio pst amen
Yesu nipee roho ya ufahamu wa majira yangu Amen. Pastor
A men amen❤
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
Bw akutunze kukuinua baba
MUNGU akubariki pastor
Ahsante sana
You are my pastor from today.
Mungu nisaidie
Kuishikaribu.nawewe.nifaida.barikiwa.mutumishi
Be blessed man of God your so powerful in the world of God yani nimejashwa na roho
M naishi daa, ila namuomba Mungu anipe kibali nifike kwake butimba mwanza nikakutane naye macho kwa macho maana amenifundisha vitu vizito sana, Mungu ambariki sanaaa, 😊
Napenda sana mafundisho yako mtu wamungu ubarikiye sana
A great insight, and a sober word... Thanks mchungaji. I just bumped into this, and am glad of the deposit, God has put in you... God bless you and God bless his work....
Mungu anifungue Zaid kupotia huduma hii
Saaana saaana baba ni kweli kabisa!
Mungu akuinue baba
Ameéeen !!!Past
A.mina mwalimu wa kweli
Ehe mungu wangu naomba unisaidie nisikuache
Huyu mtumishi ana neema ya kufundisha na ukaelewa ,,, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
This man is of another level...his teachings are deep and very encouraging.i wish to know which part of Kenya is he in ❤
Napenda sana mafundisho yake
Amenifundisha sana. Mungu akubariki sana azidi kukupa mafunuo.
Powerful teaching.Asante Mungu
Kweli kabisaa hey mtu anaelewa vizuri.yaani his words are simple and clear with reference from the bible
Moja ya kati ya Watu ambao Mungu anawatumia Kwa Viwango vya juu sana, na Hana mambo ya mashindano wala mutoto kubishana mitandaoni
Your righte sevant of God
NampendaYesu aliye nionyesha wewe
Ameen Glory Glory to God
YESU nijalie nemaa na Imani kwa neno lako mtumishi barikiwa Sana kwa kunifungua akili
Amina
Asante kwa mafundisho mazuri
Amen and Amen pastor George
Mtumishi wa Mungu huyu anafumdisha neno aungu jmn
Barikiwa mtumishi
Ubarikiwe Baba Mungu Akubariki sana
Ameen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Mungu akuinue zaidi
Asant mtumishi kwa neno
Mchungaji km inawezekana njoo ulishe na sehemu nyingine usiangalie zizi moja
🙏
Amen 🙏
We schooled with you in the 80s....
Powerful
Amen amen 🙏🙏mtumishi wa mungu ubarikiwe sana sana
God bless you man of God