UKIMJUWA MUNGU JINSI ALIVYO KWA ASILIMIA 100 - MCH DAVID MBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Endelea Kubarikiwa kutoka katika Makataba Yetu.........Mungu akubariki.

ความคิดเห็น • 19

  • @dianarobert7953
    @dianarobert7953 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akutunze tuu pastor ndo ombi Langu kila siku.unanibariki sana kwa kila somo ninalosikiliza.

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 11 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kabisaa pst ,UBARIKIWE

  • @vicentndiholeye1067
    @vicentndiholeye1067 ปีที่แล้ว +1

    Muchigaji mungu akubaliki sana mafundishoyako yanazidi kuni fanya nijione mwwnyesamani yesu nabalikiwa sana

  • @rastarasim5810
    @rastarasim5810 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 11 หลายเดือนก่อน

    AMINA

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nakuelewa sana. "Hakika ufundishaji wako huwa unanibariki sana"

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana barikiwa sana mtumishi

  • @NaftaliZaphania-ql9wk
    @NaftaliZaphania-ql9wk ปีที่แล้ว

    really thise preachings has changed my life,how can I talk to you pastor,am in kenye but napenda mahubiri yako sana

  • @emanuelsamola1933
    @emanuelsamola1933 ปีที่แล้ว

    Mungu akubari sana pastor sisi pia tunaendelea kujifunza na kubarikiwa

  • @suitbertfrancis1961
    @suitbertfrancis1961 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Asante sana Mchungaji kwa mafundisho yako. Mimi ni mkatoliki lakini naelimika sana kwa mafundisho yako. Nabarikiwa sana kwa mafundisho yako.

    • @chrispinosmasava304
      @chrispinosmasava304 ปีที่แล้ว

      Ni vyema kufuatilia na hata kuenda kanisa ya kiroho upate kusoma bibilia,kupata mafundisho na kuelewa ili ujuwe kuomba kwa jina la Yesu na kuenenda sawa.

    • @askariwabwana6372
      @askariwabwana6372  ปีที่แล้ว

      Amen

  • @christinaanatory1962
    @christinaanatory1962 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana PR mungu akubaliki

  • @mirajishentembo4962
    @mirajishentembo4962 ปีที่แล้ว

    Wacha urongo ww kafiri

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 ปีที่แล้ว

    Amina