SHEIKH KISHKI AVUNJA UKIMYA ATOA MSIMAMO KINACHOEDELEA PALESTINE-ISRAEL, NAOMBA SERIKALI ITOE TAMKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2023
  • • SHEIKH KISHKI AVUNJA U... #KHIDMATV #sheikhnurdeenkishki #mhadhiriwakimataifa #mayahudi #israel #palestine #amani #utulivu #gaza #baloziwapalestine #sheikhkishki #baloziwaamani

ความคิดเห็น • 641

  • @ayshasalim6247
    @ayshasalim6247 8 หลายเดือนก่อน +4

    Shekhe na kupenda kwa ajili ya Allh ishaallh mkono kwa mkono mgu kwa mgu mpaka pepon❤

  • @user-mz5js9kv8i
    @user-mz5js9kv8i 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyez mungu akufanyie wepes uendeelee kutukumbusha daima

  • @ButrosAron-qh5jd
    @ButrosAron-qh5jd 8 หลายเดือนก่อน +3

    masha allah allah akuzidishee wambiye waeleze

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 8 หลายเดือนก่อน +5

    Allah tulindie mashekhe wetu wape umri mrefu

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 8 หลายเดือนก่อน +12

    Sheikh pekee wkitanzania wa kwanza kutoa wito kwa serikali kuhusu mauaji yanayoendelea palestina...ALLAH akujaalie umri mrefu SHEIKH KISHK,,,,Ameen

    • @thamani5842
      @thamani5842 8 หลายเดือนก่อน

      Amiin

    • @gaspermodise9644
      @gaspermodise9644 8 หลายเดือนก่อน

      amana

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 8 หลายเดือนก่อน

      Namshangaa huyu anayesema ardhi ya wayahudi ni Palestine

    • @laylayl5166
      @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน

      Amiin yaarab

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah sheikh Mola akuajalie afya na mwisho mwema Kwa kweli umeongea mambo yalio wazi yenye yanaji jionyesha Kwa muda huu

  • @user-gb8oh7wz9j
    @user-gb8oh7wz9j 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ya rabi wape ushindi Palestine walinde na vita mbaya Allah wanakufa bila haki na hakika wanagombania haki yao....ikiwa islaely wanauwa wapelestine kila leo na UN wapo kimya leo hii wanaogombania haki yao wamekuwa ndio wagaidi wakubwa......Naongea kwa uchungu😢😢 kutoka Sauth Africa

  • @user-kh7bt1zc6i
    @user-kh7bt1zc6i 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuombea mmwenyezi mungu akulinde sn Amina

  • @user-qn3md7gx8b
    @user-qn3md7gx8b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yaa raab wape Imani na subra ndugu zetu wapalastin wape ushindi na nusra kwa watoto wa mama wazee wasio hatiya

  • @user-zn9zl4kh1w
    @user-zn9zl4kh1w 8 หลายเดือนก่อน +19

    Sisi hatufurahii vita tunaombea aman pande zote mbili Israel na Palestine. Waelewane

    • @rajogemzanaki3030
      @rajogemzanaki3030 8 หลายเดือนก่อน

      Nikweli wao wanashabikia ulipaji kisasi

    • @shakila3982
      @shakila3982 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@rajogemzanaki3030wayaundi hawaezi pata amani hata tukiomba, walishalaaniwa

  • @raymrash
    @raymrash 8 หลายเดือนก่อน +14

    Neno la Mungu la kweli haliwezi kutengeneza uadui kati ya mtu na mtu! Unaposema adui yako ni Myahudi ni kujenga chuki isiyo ya msingi! Adui halisi wa mwanadamu yeyote ni mwili, Dunia na shetani.
    Mwili ni adui Kwa sababu unashawishi kutenda dhambi ili kumwasi Mungu, Dunia na shetani wote hushawishi mwanadamu atende dhambi. Kuna kila sababu ya kuona thamani katika kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu. Imetupasa tupendane bila kujali kabila, dini, rangi hata utaifa!
    Mungu ni pendo.!

    • @user-ry1pe3tu5s
      @user-ry1pe3tu5s 8 หลายเดือนก่อน

      SASA wewe unaona vizuri kila siku wapalestina kuuliwa na mayahudi kuzichukuwa kwa nguvu ardhi za wapalestina? Wacha kulipendelea taifa ovu LA kiesrael, ,,solution MUISRAEL ni LAZIMA AONNDOKE KATIKA ardhi za wapalestina, ,,hapa hapana chuki kinachojadiliwa ni HAKI

    • @ayshasalim6247
      @ayshasalim6247 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kama haujuw maadiko kausho

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 7 หลายเดือนก่อน

      Kakojoe ulale akili yko yakitoto huwez kuelew mambo ya wakubwa

    • @user-tk6lc8zv9c
      @user-tk6lc8zv9c 7 หลายเดือนก่อน

      Wenye chuki mungu wao anaitwa shetani na ndiye hupiganisha watu. Wanajidamganya wanamfuata Mungu lakini uongo.

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 7 หลายเดือนก่อน

      We hujui kitu kaa kimya kenge ww Mayahudi ni watu waliolaaniwa kwa kumpinga Mungu na kuua mitume na manabii mbali mbali tunaposema mayahud ni maadui wa dini ya Mungu ww unatetea nn kenge ww?? ivi unaelewa Mayahud hawakutambui ww??

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 8 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH akupe mwisho mwema shehe Kishki.Hatujawasahau ndugu zetu katika duwa

  • @HosianaBuuta
    @HosianaBuuta 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muhikumu awe ni Mungu, sisi tumwombe Mwenyeenzi mungu

  • @Uwezo.Tz507
    @Uwezo.Tz507 8 หลายเดือนก่อน +2

    Inshallah Mungu akulipe kwa habari njema shekhe Kishki

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah…Mungu akuhifadhi ya Sheikh. Amin

  • @user-sb2sb8ri6t
    @user-sb2sb8ri6t 8 หลายเดือนก่อน +8

    Wakristo sie twafundishwa upendo na tunawaombea amani ndugu zetu wapate amani sie kwetu tumechanganyika Wakristo na waislamu kila mtu anaadabu na ibada ya mwenzake

    • @shakila3982
      @shakila3982 8 หลายเดือนก่อน

      Apate amani myaundi? Unamaanisha unamuombea myaundi kwa yote aliomfanyia yesu? That is why kifo cha yesu ni maigizo, hakuna amani kwa mtu aliyelaaniwa hata uombe Mungu miaka yako wote,

    • @user-sb2sb8ri6t
      @user-sb2sb8ri6t 8 หลายเดือนก่อน

      @@shakila3982 Amini unacho amini huwezi nitoa kwenye imagine yangu kamwe

  • @upendomosha1952
    @upendomosha1952 8 หลายเดือนก่อน +5

    Siyo kweli waislam ndyo mnaongoza kuwachukia wakristo kituambacho siyo sawa Mbele za Mungu ili umsaidie mtu aweze kukuelewa upaswi kutanguliza chuki na hasira.😢😢

    • @allymohamed5328
      @allymohamed5328 8 หลายเดือนก่อน +2

      Waislam hawawezi kuwachukia wakirsto na wakirsto na waislam hakuna tatizo, tatizo ni wayahudi wanao waua waislam palestina

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 8 หลายเดือนก่อน

      Ndugu yangu usifuate wahadhiri wale wanalingania dini sawa ila pia wanakosa hekima badhi ya wakati ndio unahisi wana chuki lkn sio hivyo.

  • @mohamednooreymoi-st9wq
    @mohamednooreymoi-st9wq 8 หลายเดือนก่อน +1

    mashaAllah sh Nurdin kishki.Mungu Atuongoze InshaAllah

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yaaa Allah muifadhi Sheikh Bourdin kishik kwa kutulimisha nakutufunua Ila Sheikh wakrsto wakatolika ndio nitasema wanaukubali Wi islamu ina wengine ni wapizani awatutaki Nina mana yakusema ivyo yamesha tokeya Sana uku kwetu Burundi ukifika sehemu umeva Abaya wana kulani eti kwa jina la yesu shetani

    • @Keyjop
      @Keyjop 8 หลายเดือนก่อน

      😆

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akupe pumzi ndefu sheikh kishki

  • @Najmasweet
    @Najmasweet 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yarabbi wanusuru woto walio fikwa na mazito inshallah

  • @maryammeem1132
    @maryammeem1132 8 หลายเดือนก่อน

    N yiye.furahiyeni gisi munabyo juwa .iposiku Allah atajibu... Imana imbere Imana niyo yogukora inyishu inshaallah abarimungorane Musilimu Na Mutsilimani Allah azidi kunusulu viumbe byadunia inshaallah

  • @omanmct135
    @omanmct135 8 หลายเดือนก่อน +5

    Waslam tunaonewa sana

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kweli ndugu, soma usisikilize tu

    • @jacobmahona187
      @jacobmahona187 8 หลายเดือนก่อน

      Mnaonewa Nini Mungu wenu Yuko wapi?

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 8 หลายเดือนก่อน

      Dini yenu mnaabudu majini kwamini mungu asitumie watu wake kuwanyoosha!

  • @deejaydante6732
    @deejaydante6732 3 หลายเดือนก่อน

    Tuzidishe dua Allah azidi kuinusuru ardhi takatifu ya Palestine dhidi ya Mazayuni wa kizungu..

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wakristo adui wao na shetani yani waislamu wao adui wao ni myahudi izlaeli ni taifa teule la mungu wapelestina na waizraeli wote ni watu wa mungu kwanini mnaweleana uadui na wote mmeumbwa na mungu moja adui ni shetani tu kwa mwanadamu

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 7 หลายเดือนก่อน

    Basi watu wote wanaoamini ukristo ni maadui wakubwa wa uislamu ,maana Imani yetu chanzo chake ni Wayahudi,Yesu alikuwa Myahudi

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wayahudi hata kama sio wakristo sawa nani kamchokoza mwenzie

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 8 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea ukweli shehe mm mkristo na nakataa umwagaji wa Damu nchini palestrina

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki Wayahudi❤ tunawaombea sana.

  • @user-wc5sj2oc6v
    @user-wc5sj2oc6v 8 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah.Alla akuhifadhi

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesoma comments wengi hawajui dini nausawa.upuzi na kulaumu hawajui history.kishki ndio kiboko yenu Allah atamlinda amueke maisha marefu na mtume ni muhammad wa mwisho mutake musitake musojua kujisafisha

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 8 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona ee hawajijui hawana hoja wao lawama Allah awaongoe

  • @omanmct135
    @omanmct135 8 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallllah

  • @user-kd4uc5yp8b
    @user-kd4uc5yp8b 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ shekhe durdeen maashaallah.

  • @user-xh6mt8xj9d
    @user-xh6mt8xj9d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah Akubarik na atakunusuru kwa kila lenye kuleta hasadi juu yako inshallaha

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna ukweli apa..wayahudi niwantu waakili sana

  • @basrobulle9094
    @basrobulle9094 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Mashaallah❤❤❤❤❤❤

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi mungu isimamishe imara dini ya haki yaarab islaam

    • @Daudshatta-zu4kq
      @Daudshatta-zu4kq 8 หลายเดือนก่อน

      Dini yakwel ni upendo alio uacha yesu siyo kujidai eti uisilamu ni dini ya mungu

  • @PogbaHassan
    @PogbaHassan 3 หลายเดือนก่อน

    Allahu Akbar

  • @user-dq9yd7hx3y
    @user-dq9yd7hx3y 8 หลายเดือนก่อน +4

    Waislamu wao wameshikilia nusra tu bila kujua nan anae pewa nusra sifa zao zikoje hao wapewa nusra wazee ebu acheni bidaa Allah awape nusra

  • @user-lg1pc3gy6w
    @user-lg1pc3gy6w 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mayahud na wakristo wote nimakufar na nimaadui sema ukwel ufungwe uuliwe sema huwez una mashule nk bora unyamaze bora uskilze ata gwajima kuliko mijuha hii

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 8 หลายเดือนก่อน

    Free palestina

  • @evaristoaidan2690
    @evaristoaidan2690 8 หลายเดือนก่อน

    Achana na dini wayahudi ni nomaaa.... Niliwahi kufanya kazi na hao miesi3 tuuu duuuh over 30 years... Wasumbufuuu... Wabaguzi. CII

  • @user-sg1ip7mk9y
    @user-sg1ip7mk9y 8 หลายเดือนก่อน

    Mashsallah

  • @maryammeem1132
    @maryammeem1132 8 หลายเดือนก่อน

    Sahihi Yaaa Sheikh wetou

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @user-dq9yd7hx3y
    @user-dq9yd7hx3y 8 หลายเดือนก่อน +5

    Waislamu dunia mzima tuache uzushi tutasaidiwa na Allah lkn tumezidisha bidaa dini ya mtume huikuti msikitini ukiingia unakutana na din ya mazoea hakuna nusra ya wazushi

    • @user-pc8wo1hh9l
      @user-pc8wo1hh9l 8 หลายเดือนก่อน

      wewe peke yako mzushi. Usilaumu wenzako.

    • @BALLTONE
      @BALLTONE 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo jamaa kaongea ukweli muhelewe hachakupinga usijilazimishe kupenda kitu ulichokikuta hpo unawaza kuoa mke wapili kinywani mwako umejawa na Matusi jeuri ubishi kiburi je unafikili Dini unaweza ingia mbinguni ukiwa mchafu Mungu anapenda mtakatifu tuh sio muislamu wala mk😮

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tumuombe Allah musaada kwa kuwasadia ndugu zetu wa Palestina kushinda vita hivi innshAllah Allah awaletee usadizi wa Malaika kwenye Madigan hayo.

    • @mrchicago2467
      @mrchicago2467 8 หลายเดือนก่อน

      aiseee waisiramu mmezidi na nyie ndo mtaleta vita tanzania ila nawapa pole huo ujinga nenda muuongelee palestina

  • @user-pw7sn9ye4z
    @user-pw7sn9ye4z 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awarehe mashehe zetu wasemao kweli wenyekumcha Allah,

  • @hummy2020
    @hummy2020 8 หลายเดือนก่อน

    Takbiiir

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 8 หลายเดือนก่อน +4

    Palestine yarabi inusuru na mauwaji yasiendelee

  • @user-ee6vu8rd6k
    @user-ee6vu8rd6k 8 หลายเดือนก่อน

    Allahum amiin

  • @iroohassan8361
    @iroohassan8361 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asallamu allaykumu ndugu napat a taabu sana kuona Hawa mabwana wanauwa watoto wamama wazee bila huruma kabisa keel ni magaidi wao

  • @user-hd2nq2kt5o
    @user-hd2nq2kt5o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @mrchicago2467
    @mrchicago2467 8 หลายเดือนก่อน +2

    kuma la mama sisi watanzania hatuna ujinga wa kivita nenda uwasaidie wew sisi wengine tunataka kuishi miaka mingi

    • @JafariAbdallah-ot9gp
      @JafariAbdallah-ot9gp 8 หลายเดือนก่อน

      We endelea kuishi miaka mingi usitutukanie she wetu wew ulotoka mkunduni shoga wew!

    • @mrchicago2467
      @mrchicago2467 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@JafariAbdallah-ot9gp mlete mama ako nisipo mtoa malinda ndo uamin ndo uongee makundi gan unafiki tu ety sheh makundi ya kigaid mnajiita din upumbavu tu wajinga wasio elewa ndo wanawasapoti

  • @user-dw6dh2wn8g
    @user-dw6dh2wn8g 8 หลายเดือนก่อน +5

    Shekhe unapswa kulaani vita na kuwaombea amani wote wawili,

    • @user-pc8wo1hh9l
      @user-pc8wo1hh9l 8 หลายเดือนก่อน

      Hujafahamu Maneno ya Shekhe. Sikiliza tena. Amka bwana acha kulala

    • @asagospelmusician8859
      @asagospelmusician8859 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa habari ya Palestina tunapaswa kumlejea Mungu tu, vinginevyo tutajikuta tukitenda dhambi wenyewe ya kutoa hukumu kazi ambayo Mungu pekee ndiye anaestahili kuifanya.
      Kulingana mzozo wenyewe, historia inaonyesha wazi kabisa anaeanzaga kumchokoza mwingine hua ni Mpalestina, hata leo kinachoendelea wote tunajua, ni baada ya kikosi cha kipalestina kuvamia Israeli na kufanya mauaji zaidi ya watu 1300, hapo hakuna shekhe wala mchungaji aliesimama na kulaani, lakini eti kwa sababu leo mpalestina ameonekana kuumizwa sana, ndo tumtangaze myahudi kama adui wa aislamu wote dunia nzima, hii si sawa, ikubukwe kua vita ni dhidi ya Israeli na Paletina, wala si Israeli na Waislam, cha msingi tuendelee kumuomba Mungu aingilie kati, ili kupata suluhu ya kudumu kati yao

    • @JafariAbdallah-ot9gp
      @JafariAbdallah-ot9gp 8 หลายเดือนก่อน

      Hujamuelewa shee sikiliza tena mpaka mwisho

  • @user-xh9su4qc6d
    @user-xh9su4qc6d 8 หลายเดือนก่อน

    Allah azidi Kuku hifadhi sheikhe wetu mpendwa na akuzidi shie juhudi na akujalie mwisho mwema

  • @emmaculatewambua-ou9nu
    @emmaculatewambua-ou9nu 8 หลายเดือนก่อน +1

    InshaAllah Allah takabal dua

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 8 หลายเดือนก่อน

    Sheik Nurdin kiski Ma sha Allah

  • @benedictkiteji3627
    @benedictkiteji3627 8 หลายเดือนก่อน +3

    Alianza kumshambulia mwenzie ndie mchokozi nagaidi

    • @mohamedrashid8615
      @mohamedrashid8615 8 หลายเดือนก่อน

      Mwenye alianza ni aliyekaribisha na amekua akimpiga Palestine tangu kitambo Hilo hujui wajua hii ya sai soma historia ujue

    • @animalchannel296
      @animalchannel296 8 หลายเดือนก่อน

      soma history ase

  • @HappnessJoseph-vj7ed
    @HappnessJoseph-vj7ed 8 หลายเดือนก่อน

    mashaallah;

  • @tatuathmani883
    @tatuathmani883 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atupe mwisho mwema

  • @OleMasaule-ri6rp
    @OleMasaule-ri6rp 8 หลายเดือนก่อน +2

    acha uwongo shehe because wakiristo ni dini pekee namba moja duniani yenye amani

  • @hildanjeri2248
    @hildanjeri2248 8 หลายเดือนก่อน +5

    Am christian but nakubali mafundisho yako

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 8 หลายเดือนก่อน +2

      Bro don't be tempted na unafiki wao hao jamaa waislamu bro hawajawahi, na hawatokuja kuwah kuwapenda wakristo ,hapo ukiwaona hvyo wanatafuta huruma ya kuungwa mkono ,
      Juz tu apa Pakistan 🇵🇰 hawa mbwakoko waislamu wamechoma makanisa mengi sana na hukusikia wakristo wakilia lia , hawa jamaa ni wakorofi in nature hawawez kuishi na jamii yotote ile bila chokochoko , yn ktk hili la Gaza wacha wapambane na hali yao wasituusishe sis upumbavu wao kwan wao ndio walienda wachokoza mbwa hawa

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 8 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@jamesmbata8542Kama wewe ni Mkristo na akili yako ndo hiii, Bora ungekaa kimya

    • @shakila3982
      @shakila3982 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@jamesmbata8542wewe ndio mwenye chuki, unatafuta upendo wakati mlishiriki kikamilifu kuwakoloni watu Africa pasina haki, kuwaua mababu zetu, kuwateka na hata wengine kuwatupa, sasa unajiona wewe ukona upendo kuliko muislamu? Yanayoendelea Libya mbona walikuwa sawa, walipoingia wakristo wenu nini kilifanyika? Vita zote duniani vinasambabishwa na mkristo, alafu unajiona ukona upendo kuliko muislamu

    • @shakila3982
      @shakila3982 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@prosperjohn2047sasa kwani wewe ukona akili gani?

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 8 หลายเดือนก่อน

      @@shakila3982 Akili ya kusikiliza kuliko hii ya kwako ya kujiita Mkristo, lakini hujui hata vitabu vyasemaje,

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 8 หลายเดือนก่อน +4

    AMOSI 1:6-12 someni hapo mtaona nini Neno la MUNGU linasemaje

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 8 หลายเดือนก่อน

      Hapo ndo utajua yanayo tokea si ya kustaajabisha maana biblia imeweka bayana GAZA itaharibiwa

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona huongelei vita vya sudan , Congo au damu ya wapalestina ndo ya dhamani sana acha unafiki wewe

  • @FeisalSeif
    @FeisalSeif 8 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKBAR

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 8 หลายเดือนก่อน

    Ya Allah

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 8 หลายเดือนก่อน

    Amiina Amiina yarrab lalamiin .....

  • @AliKhamiss-rq2vw
    @AliKhamiss-rq2vw 8 หลายเดือนก่อน

    Nathan kunawengine hamjamfaham vzur sheikh nurdin yy lengo nikutetea uislam nawasio waislam kuhusu owonevu naukatili ju yakutowa roho zawa2 zczo kuwa nahatiya na anathinitisha kwa maneno matkuf ya kuran maneno ya Allah alivyotufahamisha ktka kuran just yy ananukuu2 anafikisha ujumbe kwaiyo tumuelewe vengine

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu alisurubiwa kisa kujiita mwana wa Mungu kitu ambacho mpaka leo hii waislam hamtaki kutambua kwamba yeye ni Mwana wa Mungu kweli na sifa yake aliwapenda wote hadi adui zake ni mwanadamu gani ana roho ya hivyo isipokuwa Mungu tu maana Mungu hata ukufuru vipi mbele yake atakubaliki mfano uwanyeshea mvua wema na wabaya hitimisho waislam hawana roho ya upendo kwa adui zao kwahiyo Yesu hawezi kuwa nabii wao uislam ulienezwa kwa upanga duniani yaani Jihad,ambacho Yesu aliwaambia mitume wake kwamba wakiienda kuhubiri injili watu wasipowakaribisha waanue jamvi wajikung'ute mavumbi wasonge mbele lakini mfano uislam katika nchi za africa maeneo ya morocco,libya,Tunisia maeneo yote hayo vita vilipiganwa ndipo ukasimama uislam

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u 8 หลายเดือนก่อน

    Asante Shekh Kishki kwa kutoa elimu ya Wayahudi

  • @user-zb4py9rl9c
    @user-zb4py9rl9c 3 หลายเดือนก่อน

    SAW❤😢

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kuingia Israel kuua watu na kuteka watu ule cyo ugaidi.

  • @abuwjandal1198
    @abuwjandal1198 7 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaykum, Kishki inabidi uende na wakati bana unavuta sana, sasa hivi inabidi upunguze hiso madda, unavuta sana. Zama zimebadilika.

  • @user-xs9bw6di1c
    @user-xs9bw6di1c 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu onekana

  • @zainabshariff114
    @zainabshariff114 8 หลายเดือนก่อน +1

    ya Allah wangameze mayahud

    • @thedickisonilinusi
      @thedickisonilinusi 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa taarifa yako hakuna watu mungu anawapenda Kama wayahud genius wengi duniani niwayaud jiulize ni kwann na ujijibu

  • @HosianaBuuta
    @HosianaBuuta 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu hapendezwi na damu za watu kumwagika, tiombe rehema Kwa Mungu

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 8 หลายเดือนก่อน

    Naam

  • @user-nb2tb9zk5i
    @user-nb2tb9zk5i 8 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kbs shekh inauma sana 😭😭🇪🇭maskin💔💔❣️

  • @user-xh6mt8xj9d
    @user-xh6mt8xj9d 8 หลายเดือนก่อน

    Allah atakunusuru

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi hii haifungamani na dini youote ndio maana tunadunda,wewe vaa Combat nenda Palestine kapigane

  • @user-gk1uw9sy5r
    @user-gk1uw9sy5r 8 หลายเดือนก่อน

    Kinacho leta ugomvi pale israel ni ardhi sio dini. Ila waislamu kwakua uwezo went wa kufikiri ni mdogo mnaleta udini. Myahudi anamjua mungu wa kweli hawa habari na mungu went huyo ala

  • @MkumboJaphet-yx3jp
    @MkumboJaphet-yx3jp 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa bhana...anajikutaga mtu fulani ivi kama alishawahi kukutana na MUNGU...kumbe nyuma ya pazia ni mnafiki tu

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂 dah comments zingine bhana

    • @kishkialuminium1887
      @kishkialuminium1887 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe umejuaje kama mnafiki mbona kama una Akiri au njaa inakusumbua ebu chunga domo rako ilo

  • @ashaupwessa
    @ashaupwessa 8 หลายเดือนก่อน

    😮

  • @mustaphamatelefone-lc9pr
    @mustaphamatelefone-lc9pr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bani Israel laana tullah aleikh

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 8 หลายเดือนก่อน +1

    Saudi arabia aliipiga yemen bila huruma mbona hamkuongea ila kwa sababu anayepiga. Palestine ni myahudi ndo mmeibuka kusikojulikana acheni unafiki

  • @MichaelKilulya-sm3vn
    @MichaelKilulya-sm3vn 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo hujalijuwa sio waislam,,ongelea kikundi cha ,HAMAS ,

  • @phchouse
    @phchouse 8 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 8 หลายเดือนก่อน +10

    Shekhe hakuna mtu atakaemshinda MyahudI hapa duniani ameahidiwa na Mungu atalimiliki lango la Adui zake,Poleni sana kwa kuwa Adui aliye barikiwa na Mungu

    • @user-hj4bc5uh2x
      @user-hj4bc5uh2x 8 หลายเดือนก่อน

      We zuzu kweli

    • @emmae9837
      @emmae9837 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂unajua kwakua inaelezewa wazi kua Israel nitaifa la Mungu walichokoza saii wanajaribu kulaani lakini wamekwisha barikiwa hawalaniwi tena

    • @makamekhamis871
      @makamekhamis871 8 หลายเดือนก่อน

      Ushaambiwa Myahudi sio Mkristo. Acha kuwashwa na pili pili usoila. Acha kiherehere.

    • @SabaMandalasi
      @SabaMandalasi 8 หลายเดือนก่อน +2

      Nawewe pole kwa kumshobikia myahudi ambaye kwa iman yko Unaamini yesu kafa bac uyo adui namba moja ambaye alimuua yesu ni myahudi kwahyo pole ndugu

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 8 หลายเดือนก่อน

      Hujaitwa kumsikiliza sheikh. Kamsikilize papa.

  • @maryammeem1132
    @maryammeem1132 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu nusulu Palestines inshaaallah tunaku Omba uweke wepesi inshaallah

  • @iroohassan8361
    @iroohassan8361 8 หลายเดือนก่อน

    Kwely tumuombe Mungu

  • @omanmct135
    @omanmct135 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 8 หลายเดือนก่อน

    Huo masjid alaqsa nauvunjwe hiyo ni nchi takatifu ya Mungu anayejulikana kama JEHOVAH

  • @khayrathemedamour150
    @khayrathemedamour150 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika dini ya haki mbele ya Allah ni uislam

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 8 หลายเดือนก่อน +2

      Endelea kujidanganya,, kama ni ya haki kwa nini mnauwa kwa upanga mnalipiza kisasi.Fuatilia Saudi Arabia

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ardhi ni mali ya Mungu,wamepewa Wayahudi

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 8 หลายเดือนก่อน

      Ardh ya mungu aliepewa ardhi ni Ibrahim alaihi ssslm ambao ndio Babu yao

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 8 หลายเดือนก่อน

      Baba Wawa islm wot

  • @aziziatumanially424
    @aziziatumanially424 8 หลายเดือนก่อน +9

    Wakati damu ya watanzania wenzio inamwagika ngorongoro mbona ulikua kimya au palestrina ndio ndugu sana

    • @user-ju4mi1qx5b
      @user-ju4mi1qx5b 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa

    • @user-pc8wo1hh9l
      @user-pc8wo1hh9l 8 หลายเดือนก่อน

      Acha Kufannanisha. Vita Ya Palestina ni Vita Kubwa sana na huenda ikaathiri Uchumi wa Dunia na kuleta shida kila pahali. Na pia Hatari za Ugaidi kuenea kila pahali. Acha tabia ya ubishi na Kufananisha kipuuzi.

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey 8 หลายเดือนก่อน

      @@user-pc8wo1hh9lkama lilipangwa kutufika litatufika maana alipangalo Allah mja hawezi lipangua

    • @omanbarka1588
      @omanbarka1588 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ee Hilo nalo neno yawezelana palestina ni udini ngorongoro sio mambo ya dini hata wakifa wamasai wote sio shida Kwa Maana hawahusiki na dini

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 8 หลายเดือนก่อน

      Umeongea ukweli kabisa

  • @marthainnocent9603
    @marthainnocent9603 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa wqtu ujiona baada ya Mungu ni wao, mkae mkijua kuwa Mungu ni wa wote. Mzee beba jambia nenda kapigane hapo unapotezea watu muda wao.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 8 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo yanatakiwa umakini sana

  • @ThaniaAli-zb3lk
    @ThaniaAli-zb3lk 7 หลายเดือนก่อน

    Assalaam,alaykum. Hao washirikina ndio wepi?