MUME WANGU (PART 01)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ธ.ค. 2022
  • #mtotoasma #clamvevo #bhailam
  • ตลก

ความคิดเห็น • 594

  • @Alkibosstz
    @Alkibosstz ปีที่แล้ว +168

    Kwamara ya kwanza najifunza mambo mengi sana kutokana naiyi video 📹 kwa kweli mungu awabariki 10 like kama unakubali watafika mbali 🔥🔥🙌🔥❤

    • @robinsonombeo2789
      @robinsonombeo2789 ปีที่แล้ว

      Jaaaaamaaniiii

    • @mkongolivinus
      @mkongolivinus ปีที่แล้ว

      Nimependa swaga za uyo mlembo ♥╣[-_-]╠♥"kiukwel Dada unafaa kuwa mke,mwema kwenye ndoa,nakukubali mlembo,

    • @williamorwaru1136
      @williamorwaru1136 ปีที่แล้ว

      May they climb the rada mungu awabaiki

    • @user-lc6ss5ix7d
      @user-lc6ss5ix7d 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@mkongolivinus 🎉😢😊❤

  • @gidenprotz
    @gidenprotz ปีที่แล้ว +88

    Wapili nipeni like zangu apa kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @abdallahomary1423
    @abdallahomary1423 ปีที่แล้ว +6

    Wanaoirudia kama mimi kutoka Zanzibar gonga like hapa. Salute kwenu

  • @mchambuzitv
    @mchambuzitv ปีที่แล้ว +43

    MALAYA NDOIGE LEO KATISHA 🔥🔥🔥

  • @JosephSifuna-re1vu
    @JosephSifuna-re1vu หลายเดือนก่อน +1

    Nmejifunza mambo mengi na ambayo n ya msingi ktka maisha yangu kwa hao wachumba wawili, Mungu awabariki sana tena awazidishie hekima

  • @hukusweden08
    @hukusweden08 ปีที่แล้ว +27

    Watoto wadogo mmenifanya nilie.. machozi yana tiri rika.. dadadeki.. Nimekubali.. story kama hizi ndo zenyewe.. ,🙌🏾🙌🏾💥💥💥

  • @juzelujo2169
    @juzelujo2169 ปีที่แล้ว +30

    Director mzuri kakutana na waigizaji wazuri....great job

  • @leycan6986
    @leycan6986 ปีที่แล้ว +19

    Vai nakubali Sana unaigiza vizur good job

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 ปีที่แล้ว +32

    35 gonga like kama umemuelewa mwanamke anaepotezea wanafki

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 ปีที่แล้ว +26

    Vai na Bailam mmeigiza vizuri sana. Nimeirudia kuitazama mara nne. Ningetamani mtoe hata movie ya masaa 2. You are very talented

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili ปีที่แล้ว +13

    From Congo Lubumbashi totomboli bendele 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 ปีที่แล้ว +14

    Munaongea ukweli kabisa. Huu mwanamke ni jasiri kabisa.
    Na ameookoa ndoa yake kwa ujasiri wake na hekima yake. Hongera sana Bariam na kundi lako.

  • @mrben227
    @mrben227 ปีที่แล้ว +58

    This is not comedy, this is serious message.
    Congratulations 👏 all characters you did it,you kill it 👏

    • @hamisibalale7648
      @hamisibalale7648 ปีที่แล้ว

      Nkweli.ata.mm.nawaombea.wafike.mbali.kwa.mafunzo.wanayo.tufundisha

    • @angelakitimu272
      @angelakitimu272 ปีที่แล้ว

      Aaah weeeee!!!!! Ningepita tu hapo nikasalimia ili ajue nimemwona hata nisingepigana !! Ngumu kumeza hii duuh

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว +20

    Yaah aweza kubadilishwa kihuvyo pongezi sana tena sana kwa hili funzo mwanaume habadilishwi kwa magovi kupigana Bali sokolojia yatosha we unadhani huyo jamaa nikipi kimeingia kwa moyo wake ❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 ปีที่แล้ว +5

    Hii inafundisha sana hii pacha ya vaileth na bailham noma sana

  • @fatumaomary9635
    @fatumaomary9635 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda sana mdada unamaneno mazuri sana kwa ao mashoga wambeaa🥰🥰

  • @cutesuu7255
    @cutesuu7255 ปีที่แล้ว +14

    Queen eti umefanya mazoezi kwaajili yakupigana😂😂😂🤣🤣

  • @burhanngomile6216
    @burhanngomile6216 ปีที่แล้ว +12

    Ww dada unajua kuigiza salutes 💖💖💖

  • @johnmushi8739
    @johnmushi8739 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la ujumbe jamn, yan leo mmeburudisha huku mkitoa elimu kwa jamii, ndoa nying zinavunjika kwa wanawake kokosa maarifa, mwanamke mpumbav huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyew

  • @AbdusidMohammed-hi5ib
    @AbdusidMohammed-hi5ib 5 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wengi uwa tunapenda mwanamke mwenye uwelewa kama wa uyu dada Mimi mdanga Yangu waga wananambia tulale ad asubuh uwa nakataa sana

  • @saumunurdin1280
    @saumunurdin1280 ปีที่แล้ว +11

    Hii ni bonge moja la fundisho tumejifunza 👏👏👏👏

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว

    Hii sasa ndo Sanaa, hiki ndo kioo cha jamii. Ni zaidi ya Shehe au Mchungaji mnavyoponya ndoa za watu. Hongereni

  • @beckermbagala8
    @beckermbagala8 ปีที่แล้ว +13

    UYU DEM YUKO NA TALENT.... PLEASE MLINDENI UYU🙏🙏🙏

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 ปีที่แล้ว +2

    We we we hii ni kali ya kufunga mwaka inafundisha na kuelimisha ckutegemea kktana na madin kama haya 👏👏👏utafka mbali

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 ปีที่แล้ว +4

    Pongezi kwenu mnajua Sana kuigiza wallah levo zenu inatakiwa mpate movie ya masaa mawili ili tuenjoy watazamaji wenu aisee mko good Sana

  • @HeroJoseph-nm8pv
    @HeroJoseph-nm8pv ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢 nimeipenda message ya huu mai ambae amemtupia huyo binti mtana na mumbea kam nini ishalla Mungu ndie jibu ,kisasi ha kijengi bali kinabomoa na kureta bifu isio iisha🙏🙏

  • @anethsamuel2713
    @anethsamuel2713 ปีที่แล้ว

    Mnaigiza tu dy maan unachek kumfumania mmeo yakikukuta kiuharisia hutatoa jino lako lakicheko ata moja umfume alaf usem nakupenda kun wanaum wengn hat umwambie nakupenda kweny maish yak hawez kulizik namwanamk mmj kbsaa yaan kam mim nitakufa nawivuu tu jamn moyo wang moyo wang mimi jamn nitakufa nawivuuu

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 ปีที่แล้ว +2

    huyu dada yupo serioz kinoma
    nmkubali ,,,akiigz nmkubal mbaya

  • @Cherissa_
    @Cherissa_ ปีที่แล้ว +9

    Mupewe support ya kutosha kbx respect 🇧🇮🇧🇮

  • @taysonmgalama3558
    @taysonmgalama3558 ปีที่แล้ว +6

    Jamni Ila huyu mwana mke vai...Mungu anakuona mamaaaa daaa..Yan anavaa uusika kabisaaaaaaa daaaa...😊😊😊

  • @ibrahimismail-he2rc
    @ibrahimismail-he2rc ปีที่แล้ว

    Aiseeee nimefulahia movie hii fundisho kubwa nzur Sana kweli unaona tatizo bado unachekelea lkn atar

  • @najhawilliam9281
    @najhawilliam9281 ปีที่แล้ว

    Wallah me mvivu kucoment...Ila we mdada mwenye Mume unatisha

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 ปีที่แล้ว +8

    Huy mwana muke anajua kuceza🤣🤣🙏🙏🙏🐘🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮

  • @hellenjuma5534
    @hellenjuma5534 ปีที่แล้ว

    Dah vai unamoyo dada mpk choz limenitoka mungu akusimamie uwe hivo na kwenye ndoa yako utafika mbali 🥲

  • @prolucas7460
    @prolucas7460 ปีที่แล้ว

    tangu muanze kuigiza hii mmefunza sana jamii, vitu kama hivi ndivyo watu wanavyo itaji ,mwanamke lazma utafute mbinu ya kuleta mmeo kwenye ndoa ,wala sio tu kupayuka kwa kuleta vurugu , mwanaume lazma utafute mbinu za kumzibiti na sio mitishamba la hasha, vaileti dada hongera sana kwa hali hii umeni bariki sana kwenye part yako, nakupendAGA Sana sijui kama wewe ni mke wamtu ama bado, plz naitaji kujua

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria ปีที่แล้ว +4

    Mskuma wa watu kaambulia kofi kwa vai very sad bairam akil mingi very talented et nampenda mke wangu utadhan alijua vai anamsikiliza

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 ปีที่แล้ว +16

    Aise niwachache wanawake wa namna hii hongeleni sana kwa hii kazi

  • @elishalugano5679
    @elishalugano5679 ปีที่แล้ว +5

    Mimi napenda hii kipindi sana mwendelee ivo ivo ndugu zangu na Mungu aendee kuapa elimu zaidi ya kufikiria kufanya vizuri mtakua na pata like kutoka kwangu.

  • @felixnyandindi4350
    @felixnyandindi4350 ปีที่แล้ว

    Daaaaaà safiiii Sana na nmepndaaaaa njikuta Kam n mm michepuko basiiiiiiiii

  • @juddykilungya9278
    @juddykilungya9278 ปีที่แล้ว +3

    Vai wewe ndio mwanamke wa pekee tu.hii video naicheki daily. Great 👍

  • @Award247
    @Award247 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa Ugomvi unavunja ndoa kuna njia ya ku'deal na U'Danga Kutoka North Korea 🇰🇵 from Kenya 🇰🇪

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mdada akiwa na huyu mjamaa anajuaga sana ni kama kazaliwa na content za uigizaji ❤

  • @immaculatekutto2121
    @immaculatekutto2121 ปีที่แล้ว +7

    Nshukuru mwenyezi mungu, kwa upendo Aliyetujali hakika maisha ya ndoa kuna milima na mabonde.kenye Nwasi kama uko kwa ndoa tuvumile na kusameana nkupendana tusiji tukatenda dhambi.tusilipize kisasi kuna Mwenye Ata lipiza kisasi ndiyo mungu pekee yake.ukitaka ndoa yako isimame piga magoti chini na uombe mwenyezi mungu Atajibu sala zetu Amina 🙏🙏

    • @angelakitimu272
      @angelakitimu272 ปีที่แล้ว

      Duh!!sio kwa fumanizi live hivo😑😑😑

  • @jservantofgodgosplemusic6943
    @jservantofgodgosplemusic6943 ปีที่แล้ว +4

    Aisee nimekubali sana leo..! Inapendeza kama mkianza movie Single kali kama hii ..! Aisee mtafika mbali sana maana dunia itawajua na kuwatambua ni nini MUNGU kawapa ninyi wasanii kioo cha jamii kwa ajili ya kuwafundisha watu....

  • @stivenmrekatete8381
    @stivenmrekatete8381 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada aliecheza Kama mkee dah namfwatiliaga ananibariki keakwel Anaweza anatendea haki move

  • @aminakitsao2819
    @aminakitsao2819 ปีที่แล้ว +7

    Surely hii comedy imeniliza na nimejifunza kitu.. shukran sana big love from Kenya 🇰🇪💪💪

  • @kanyamagaraabdallah8300
    @kanyamagaraabdallah8300 4 หลายเดือนก่อน

    Oui nikweri kabisa kimia ni nzuri sana!

  • @ceciliaprosper7105
    @ceciliaprosper7105 ปีที่แล้ว +8

    That emotion rollercoaster she made at last scene she killed it completely. 👍🏻👍🏻👍🏻😀😀

  • @Mwafrika
    @Mwafrika ปีที่แล้ว +5

    I just love Tanzania and her people. Majirani nawapenda sana ❤

  • @najmajoneke7413
    @najmajoneke7413 ปีที่แล้ว +1

    Uwiii uyu Mwanamke Kana Moyo wa Pekeake

  • @nasrangatanda8708
    @nasrangatanda8708 ปีที่แล้ว

    Nmejifunza jambo kupitia video hii,ila kiukweli munajuwa kuigiza nauwalisia,mungu awabiliki

  • @jumasalum991
    @jumasalum991 หลายเดือนก่อน

    Yan Vai anaakili kubwa Sana unaulewa mkubwa Yan watu wangekuwa kama Vai ndo zingedum

  • @mahembajulius7036
    @mahembajulius7036 ปีที่แล้ว

    Nahisi mnajua ila nawaambia BAILAM NA VAI MNA GOOD CHEMISTRY EVER

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 9 หลายเดือนก่อน

    huyo dada mbali na uzuri wake ni hodari sana na kazi zake pia

  • @user-jl6cd4wn7s
    @user-jl6cd4wn7s 2 หลายเดือนก่อน

    Dhaaa uyu dada ajua anajua tena maneno yake ya mwisho adi nimelia❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @revocatusbenezeth2282
    @revocatusbenezeth2282 ปีที่แล้ว

    Jamani mnanichanganya sana kutoka malaya ndoige hadi mke mwenye hekima😃😃😃🙃

  • @hamadimnaeka6144
    @hamadimnaeka6144 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Dada Vaileth na Bhailam Wanajua balaaa

  • @user-hb3wy6fq7z
    @user-hb3wy6fq7z หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤️ funzo kubwa sana wallai 🎉🎉🎉

  • @aliyoussoufaichat800
    @aliyoussoufaichat800 8 หลายเดือนก่อน

    Sijui niseme je namwanga matchozi 😥😭 Ila huyu dada Nina hechima mbele zako💖
    Ni shukrani kwa video zako ambazo ninajifunza mafunzo yakukaa namume wake 😤😭😥

  • @andrewcriff7489
    @andrewcriff7489 ปีที่แล้ว +6

    Jaman achien saiv part 2 coz tam sanaa hiiiii piah mna cheza sanaaa na akiriaa za watu good job ma team

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว

    Leo narudia tena iyo nymbo jamn n saidien jina naipenda sana

  • @djbaddest1220
    @djbaddest1220 ปีที่แล้ว

    Dah mungu npatie mke kama huyu mbwa mm ntaenjoy sana 🙏

  • @eriqheartman5726
    @eriqheartman5726 ปีที่แล้ว

    Niko Burundi hizi movie comedy yan Kati kamaisha yang sijawahi kuche ka il nyie kwer big up sana nawapenda

  • @user-ti1ol3ti9j
    @user-ti1ol3ti9j หลายเดือนก่อน

    Dada nimekupenda sana subla niyarazuma kwenyedoa umenikumbusha Dada 😊😊😊

  • @levulandkimana6251
    @levulandkimana6251 9 หลายเดือนก่อน

    nikit najifunza kutoka kwako vai nakupenda sana napenda uigizaji wako unaweza🙏🙏👋👋

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Ungempenda Mkeo Usingeweza Kutongoza Tena Kwasababu Ishia Zako Zingeishia Kwa Mkeo Sasa Unampenda Mkeo Uku Unasaka Wanawake Ulete Ukimwi Nyumbani

  • @rabinzsinoya1434
    @rabinzsinoya1434 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri sana, alafu vailet kafanana na Elizabeth Mike

  • @elizabethstephen6966
    @elizabethstephen6966 ปีที่แล้ว

    Vai wewe Ni Moto mwingine ifike muda uigize fully movie na tamthilia hivi vipande Ni vifupi Sana jamen tunataka tukuone zaid

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 ปีที่แล้ว +11

    Naomba upewe award brother bailamu you are so special man, hii ni ushauri tosha ♥️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 ปีที่แล้ว +2

    Duh nowma Sanaa uyu demu anakipaji aseeeeeeee
    Yaaaàni kaecheka baylm nae kafata Kisha nimemalizia Mimi kwa kucheka alllo
    Mnajua beana

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 ปีที่แล้ว +1

    Ni wanawake wachache sana ambao wanaweza wengi wao wangetibuana hapo hapo

  • @mumtazsaid2570
    @mumtazsaid2570 ปีที่แล้ว

    Dah!!!! Yan hii movie niliangaliag ikapote ghafla naipenda San hii movie

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว

    Jman iyo nyimbo naipenda ambayo iko back ground n saidien jina laiyonymbo

  • @pinecove4350
    @pinecove4350 ปีที่แล้ว +34

    Real comedy... I respect you all guys

  • @allyhamadi5064
    @allyhamadi5064 ปีที่แล้ว

    Ww dada una kipaji kikubwa sana mana kila unapo pangiwa ucheze unafanya vizuri

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 ปีที่แล้ว

    bairam wewe jembe nahuyo dada kiukweli anaweze sana hongereni sana

  • @kelly-drichfabrice9957
    @kelly-drichfabrice9957 ปีที่แล้ว +5

    Kazi zenu noma sana. munaongeleya maisha za kisasa na sapot sana from. Moz🇲🇿

  • @ramlasuleiman9236
    @ramlasuleiman9236 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana ..from kenya.nimejifunza kitu

  • @patientluliba
    @patientluliba หลายเดือนก่อน

    Shauri nzuri sana.

  • @BEST_AFRICAN_INFORMANT
    @BEST_AFRICAN_INFORMANT ปีที่แล้ว +16

    Oh oh I ddnt see this one coming 😹😹😹💀🔞

  • @npiperito19
    @npiperito19 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa ukitaka kuubadilisha mumeo au mkeo hiyvo yani

  • @dianajoram4640
    @dianajoram4640 ปีที่แล้ว

    Aky mko poa sana bt nimependa Huo wimbo sana nani ataniambia unaitwaj

  • @margrethgentleman1927
    @margrethgentleman1927 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni KWA video nzr yenye mafunzo

  • @arafatirakoze6135
    @arafatirakoze6135 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana. Ni wanawake wachache wana moyo kama huyo, love you vai from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah tabarakallah nime jifunza jambo kuputia hii nami in Sha Allah karibuni Allah akiniezwaha naenda kua mke watu Tanzania duh niwapongeze sana kwa kazi zenu nzuri nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @ayuyuvi42
    @ayuyuvi42 ปีที่แล้ว +4

    Wewe mwanamke sijaikuonea mwegine keep it up more love

  • @hassankalu540
    @hassankalu540 ปีที่แล้ว

    Mko juu Sana napenda Sana thamthilia zenu watching from Bahrain

  • @deegraphics-pf1pq
    @deegraphics-pf1pq ปีที่แล้ว

    sema ule mkofi ulompga mwnzko mungu anakuona

  • @ingenieurkarim3355
    @ingenieurkarim3355 ปีที่แล้ว +3

    Hakika mmetisha saana.
    Tukopamoja leo na kesho yanini milele daima. Kheshima kwenu, salut from Burundi

  • @sattoshibu1494
    @sattoshibu1494 ปีที่แล้ว +19

    Powerful message for everyone 💪💪💪💪🙏🙏

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 ปีที่แล้ว

    Sema namkubali huyo mdada anae tendwa huwa anakuwa serious

  • @alanmakiti109
    @alanmakiti109 ปีที่แล้ว +3

    Am seeing another kanumba in mbailam,,kongole sana bro

  • @officialxule2674
    @officialxule2674 ปีที่แล้ว

    Ahh hamjawah kuniangusha aiseh yan mnajua mpk mnakera tupeni rahaa

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada anajuwa adi anakela

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior ปีที่แล้ว

    BAILAM NA HUYO ALIYEIGIZA KAMA MKEO LEVEL ZENU NI ZA JUU SANA KATIKA KUIGIZA.YAANI MMEIVA JAPO KUNDI LOTE MKO VIZURI.

  • @SalumuWembo-fo5rr
    @SalumuWembo-fo5rr 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamuke mwenye akili saaaaaana ❤️❤️nafata hiyi films Tangu RD Congo 🇨🇩🇨🇩❤️

  • @kalamapendo2701
    @kalamapendo2701 ปีที่แล้ว +6

    Am Kenyan watching from Saudi Arabia 💕

  • @abeidabdullwarith8991
    @abeidabdullwarith8991 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 ปีที่แล้ว

    Hongereni kazi nzuri sana

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว +1

    Leo n mara ya tatu naomba n jue nan ameimba iyo nyimbo ya back groud apa