Hiyo si ndoa mateso. Unakabwa mpaka Unataka kufa umeng’angania tu Mungu, Mungu. Mungu wenyewe mtu swa na ww haezi kukusaidia mana hakujisaidia mwenyewe wanaadamu walimtundika.
Mmmmmh From the bottom of My heart hiii yaleoo Nimeipenda mnooooo ukweli kabisaa shetani papo kwa papo anakujibu Ila inakuwa Ni kwa muda2 but in real ukivumilia kwa Mungu Aliye Hai ukijapata jibu linakuwa la Milele haijalishii Ni mangap unapitia tusiache kumuomba Mungu wa Mbinguni Aliye Hai
Daaah nashukuru lakin mtupe muendelezo jaman mm nimeipenda vai uko vizuri saana mungu akusaidie wasanii wakubwa bongo move wakuchukue nasisi tukuone katika tamthilia mpya
Vai umetuonesha ubora....one love guys...kama huna kinyongo na vai gonga likes apaa
Sasa niulize ukiwa wa kwanza NDIO nn ukipata like zitakupeleka wapi wasifuni wacheza video ilii wapate morali wa kucheze mzuri zaidi
Ni wanakera balaa mno
Kumbe naww upo kama mm hata sielew wanaotaka kuwa wa kwanza na kupewa like mmh
Am no 1 mnipe like zangu
ila nyiye watu wa kuomba like mna kela bhana
Atanas akiwa na Vai safi sana
Wakwaza Leo nahomba like zangu 💜
Uzipeleke wapi 🤣🤣🤣
Kwa mama yako
@@vaines1336 😂😂😂😂😂
Matusi tena
Yeye do alitaka ajibiwe kama ni mekoseya nahomba msamahani
Jamani toeni hata kafilamu maana mnaweza sana
I love the song ' Funua neema yako' by Rehema Simfukwe.. kama unajua huo wimbo weka likes tukisonga
Na huyu rafiki angu anne akujue
Hiyo si ndoa mateso. Unakabwa mpaka Unataka kufa umeng’angania tu Mungu, Mungu. Mungu wenyewe mtu swa na ww haezi kukusaidia mana hakujisaidia mwenyewe wanaadamu walimtundika.
Kumbe we mdada unajua na kuimba naona sauti iko fresh kabisa
Nimechelewa but nimependa show keep it up
Ndoige kaokoka 😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣majabu ndoige Kawa mwanga
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Oyaaah!!!! Vai kumbe uko vizuri yah
🔥🔥🔥🔥 part 2 naisubiri kwa hamu kubwa. Marafiki sio watu wazuri roga shoga angu roga roga🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Nakweli kaamua kuroga
Tatizo ni kwamba hakuna mwendelezo
Vai mtegemehe mwenyezi mungu Allah yupo ajawai kukosea mtu yeyote Sali Sana matatizo Yatakwisha incha Allah
Movie nzuri iendelee ❤👌inamafunzo
Nampenda sana queen jama ni
6:20~7:00 🙌🙌🎶🎶🎶
Sauti Makini
Ibada makini Unaweza Mama Anza kuimba gospel music
Mh Leo mme fanya kazi nzuri🙏🙏
Heri avumiliaye katika Yesu kristo baada ya mateso nifuraha tele 🙌♥️🇨🇩
Amen 🙏🙏 Kwa Yesu Raha tele
Kwa Yesu ni Raha tele kabisa🙌
🙏🙏
Yesu ni mungu au nabii asimame kwa mungu
Kwa yesu Kuna raha hiaiaoo
Nauliza tuu jamani hicho kikombe munatumia tena au munatupa
Uyu latifa nampeda tu anaigiza vizuri like kutoka keny🇰🇪
Haya zai kazi iyoo😂😂kamchome mungu akoo je utawezaaàa????😂😂😂😂😂
Latifa acha kuvua chupi mbele za watu wenye wamependa nilicho mwambia latifa tukutane kwa likes apo hata kumi sio mbaya
I Like This Girl Vai
❤❤❤❤
Hongela kwa kazi nzuri sana
Usikate tamaa vairette jibu ipo kwa Mungu, 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Idea nzuri sana shikiria imani yako hvyohvyo Vaileth
Nimeipenda hongera mtunzi
Ila queen anaonekana mpole Ila kumbe ndio balaa,😂😂😂😂Logaaaaaaaa.
Mganga yupo siriasi na kazi yake big up mr doko
Funua neema yako familia yangu ikujue, Mungu akubariki Sana
Jamani DOKOO Kanyoa Pala 😂😂😂😂😂😂
❤nangja iyo party 2 duu vai skutrjia utaenda na n ww jmn😂😂
Kazi nzr sana hongereni sana
Duuu mashart makali sana aisee acha nife kwa kipigo
Ashante sana kazi nzuri asma
Mmmmmh From the bottom of My heart hiii yaleoo Nimeipenda mnooooo ukweli kabisaa shetani papo kwa papo anakujibu Ila inakuwa Ni kwa muda2 but in real ukivumilia kwa Mungu Aliye Hai ukijapata jibu linakuwa la Milele haijalishii Ni mangap unapitia tusiache kumuomba Mungu wa Mbinguni Aliye Hai
Wakwanza Leo nawapenda wotee🥰🥰🥰
😂😂
Waoh kazi nzuri nasubiri part 2❤
Mtu wa kwanza ku coment
Munatuletea Kingine Kisasu ❤️
Nakupenda da vai
🤣🤣🤣🤣🤣🇫🇷🇫🇷🇫🇷nawapenda sana
Leo nimeipenda san hii comedy
🇧🇮🇧🇮naipenda iyo
wa kwanza leo naomben like zangu
Mm naomba mtoe filamu siku moja
Masharty magumu vai😮😮
Qeen climu inakualibu hebu acha mama...
Vai wewe yaani unajua na unajua tena🙏🙏
Oya Leo maraya ndoige kawa MTU WA kanissa😂
😄😄
Wou have much respect from Kenya we love you
Nakubali sana
Icho kichupi kimetoboka😂
Kumbe ata wew umeona 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
congrats 👏 sana
Ukiwa ndani ya Yesu Kristo sio vzurii kukata tama unasimama imala kabx kuna wakatii utafikaa watu watashangaaa🙏🙏
Leo nimewah nipen like zang
Vai nakubali umeweza
Vai I like the way you act.
Your just the best.?
Wte mpo vzr ila vaileth upo vzr mamaa nakukubr ile mbaya
Wa kwanza❤
Uislam pekee ndo dini ya haki
Nan kawaambia
You are the best
Nampendaga Sana huyu dada vai
Kicheche na vicheche zake,nini mwigene ameona Hiyo chupi iko na Ka shimo🫢🫢
Hivi Huyu ASMA Ndo Nani..mnajua sana
Akuna kitu kibaya kama marafik yani anaweza kukufarakanisha na Mungu milele
Waiting part 2 kachome bibilia moto😊
Okokeni plz yesu anakuja soon😏😏😏
Mambo mazuri kbs
Part iko wapi from Kenya 😅
Masharti magumu usiichome utapata razabu ya mungu
Tunasubiri part 2 plz Nawapenda nyote
MungunimojanaanaitwaALLHAynesunimtumewamungu🤗
Vai vai vai wapenda kulia mama
Watu wa MUNGU tujifunze kuhusu majalibu ndugu zangu
Mbn mm siijawah kupata like 😢
Vae Leo ameokoka 😂😂
Naminamupendakicheche'miminimwenyejiwakongo
Watching from Kenya
Kali sana from Kenya
Waoo big up
Wakwanza leo mm
Leo Vai ameokoka jamani
Vaileth nakupenda bure una kipaji sna
Twende nalo paka mwisho
Enderea hvohvo dadaangu
Makenge nyie mnatoa vitu haviishi senge sana
Asma chibaby wetu jamoni😰😰
Superbe 🙏🇨🇩
Fundisho zuri sana
Miez miwili hamjatoa part two jamani mta tuuua tunafatilia utamuuuu
Very Nice
Jamani kwani muendelezo wake vipi mbona mmetuangusha mpaka sasa
Daaah nashukuru lakin mtupe muendelezo jaman mm nimeipenda vai uko vizuri saana mungu akusaidie wasanii wakubwa bongo move wakuchukue nasisi tukuone katika tamthilia mpya
Kazi nzuri 🙏🏽
Huyu jamaa kaharibu ....Aongeze vitu
Wimbo gani huo sasa 😁
🔥♥️🔥
Vai natamani kukuona mama