GUBU LA MAMA KIJACHO (part 4 )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2023
- #Bhailam#Rachel#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Karibu kujiunga na group la What's app
BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp.com/Jqzzxa1X8Qz...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.com/@ComedyPlustz...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?... - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
MMETISHA WANANGU 🔥🔥🙌🏽
Napenda Mnavyosuportiana
Kama unamkubali Bhailam gonga like hapo
Nyieeee Haylat karudi 😊❤ Tume ku miss Mtoto mzuri 😂😂😂😂
Bhailam you're so smart Huongei Sana,,,Nawewe Rachel Umenishinda Tabia 😅😅😅
Ujauzito Raha sanaa😂😂😂😂😂😂😂, wanaume kazi mnayo
Jaman huyo mama kijacho Yan tabia zake kama dadangu mkubwa 🤣🤣🤣🤣🤣 huyu dem hatari aki
Mtoto anajua MashaAllah 😂😂😂😂😂😂
Uyo mama jijacho afai anaweza kutoa roo ya mtu
😂😂wa3 leo nipeni like hata 5
😂😂😂😂 uyu dad mjamzito ana gubu wallahi 😂😂😂😂
Haylte tumekumisi saana kabisa ❤❤❤❤❤
Waaaaaah Hilo mwanangu baillam umewase hongerah sana brother
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ntawafanyia timbwili hapa anaitwa mama kijasho hairati leo umepata kiboko yako🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌
😃😃😃😆😆kam kuna mouvie imenivunj mbavu ni hii hapa #gubu la mam kijacho#😅😅nataman isiish haki😅😅Rachel umejua kunip raha huu mwez
Yaani 😂😂😂iendelee tuu
Khayrat😂😂😂😂
Babu harusi comedy nakubali kazi yenu Dua iendelee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ety kwanini umevaa viatu vilivyofanana na mm Ila haka kadada kanajua kanajua kanajua tenaaaaa
Kaka bhailam wew kiboko jamani yaani kwa usiya huu juu yetu wew ni bingwa kabisa mungu akulinde🌹🌹
Daaaah ila da recho me nakupenda xnaaa jmn 😘😘😘😘💕
Kama unampenda bailam naomba laki zang
Wakwanza Leo naombeni like zangu 😂😂
Cool 😎
Mama kijasho nakupenda sana🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂huyu si mbwa tu kama ww 😂😂😂nampenda huyu dada
Hahaha jamani karibu mwanangu afu vichambo
Nawapenda sana sana❤
Wakwa nza jamani nip like nzangu
Bailam anapiga matonge2😂😂😂😂😂😂
Jamani huyu dada anajua kuigiza Sana MKE WA bailam
Bhailam ni mkali kabisa na mkubali 100%
Clam ame comment vzr kbs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
khairaty ❤❤❤ ingelikuw waja wazito wote n iv wa ume wangetukimbia😂😂😂bailam vuta sbra baba😊
Afadhali tuwe hivi wote, tuone jeuri zao😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 jamani mimi nikucheka tuu sinambavu mimi😂😂😂😂😂
Recho nakupenda 🤣🤣🤣🤣
Bhailam napenda kaz zako yani hii clip nataman isiishe endelea kutuletea nyingine na nyingine.
Bibiake bailam jamni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utanyea damu wewe
Khairat umerudi daa nilikuwa nakumiss mm jamani ❤
Kazi nzuri Bhailam
Kamanda anajua sana aise
Recho🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nampendaga bhailam
Eti mume wangu lete bajaji😂😂😂
recho ywajua❤🎉
Bhailam itabidi unisaidie namba zako mana nina ideas nyingi sana za kukupa...ila hongera sana kaka kwa kazi nzuri..unajua sana kaka.🎉
Hii moto 🔥 🎉❤
EP 5 tamu sana
Nice ❤❤❤
uyumama anaceza vizuli saaana 😍😍😍
Nasubiri ifuatayooooo msikawiziiii please 😂
Waaa❤❤❤❤
Achiya parti 5
😂😂😂😂unajua bro
Mwanamke Yuko too much sana 😂😂Anaongea sana😂😂
Kweli huyu muhehe😅
😂😂😂😂
Utuleteee hadi namba 100 kaka B😂😂😂
Gubu la maman kijacho limekwisha
Kazi nzuri bhailam
Yani hiyi nimeipenda sana isihishe
Nice 👌👌👌
WA KWANZA LEO KUTOKEA RDC CONGO 🇨🇩
Nzur sana
Wa kwanza Leo
Daah hiii usimalize bhailam😂😂😂 kiboko
Hahaha..... mtoto nae na mama ake 😂😂😂😂😂
Rairat wewe basi kula samaki😂😂
Kumekucha 😂😂😂 we mtoto
Team bhailam🔥🔥🔥
Recho jamni
😆😆😆😆😆😆😆😆dooh
Kila ikiwa inaisha huyo ma kijacho mtoto anakba haha
🤣🤣🤣recho kiboko umejua kuitendea kazi part yako mimba ikue tumboni ila mdomo ndio unapalilia🤣🤣🤣recho penda wewe sana❤❤❤❤sema mtoto naye simchache anavijembe sijui uyo wko recho 🙄🙄
Mbavu zangu jamani 😂😂😂😂Mapenzi
She’s cute 🥰 ❤❤ black Beauty 💕♥️♥️♥️
Kwakwel kijacho ana bubu mno Kaa ndugu WA mme
😂😂😂 reach ety sura chachu Kam ukwaju😊
Seen Rakoldo
Recho😮
Mama k😂😂
Huyu mama wa mtoto ana uzuri wake sio pw 🥰🥰
Namkubali sana aisee.. sijui ntampataje. Anaisumbua sana akili yangu
Hahahhaa
Ndo imeisha au ? leteni kipande ingine bhana
😂😂😂 yaan hii movie Kila ck inazid kuwa tamu
Na mm Leo wakwanza naomben like zenu
Naomba muendelezo
Mbona inachelewa hii muendelezo
🎉🎉❤❤❤
😂😂😂😂Nampendaa huyo dada wa mimba jmn
Angalia usije ukarithi tabia zake😂😂😂😂
@@fatmahhamisi7529 😂🤣🤣Wacha nipate mume atakomaa 😄 🤣
@@zaitunizaituni8551 Gubu Hilo 😂😂😂😂
Cha gubu😃😃
Imeenda iyo
Bhailam we kiboko
❤❤❤
Nimewahi leo
Mama kijacho anagubu sopoa
Huy dog katisha😂😂😂
Hhhhhh gubu
bahilamu mbona unafanana na hahilati,nimwanaho
Kicheche
😂😂😂😂😂
💥💥💥💥💥💥❤❤❤❤❤
Brother badilisha idea mbona kila siku inaishia mwanamke uchungu unamshika afu azai? Tumechoka hy idea naomba jitahd kubadili😂
Huy n kusudi akiona bailam anampandishia saut😀😀😀
isiishie hap jmn 😢
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
5 tunahitaj