Duuuu hata kama ndo kupenda haimaanishi ndo ufanye mpaka vitu vya ovyo kiasi hiki Wanaume tujitahidi Sana kuwaheshim wanawake hata kama wanatupenda haimaanishi ndo tuwanyanyase kiasi hiki daa😭😭
Vay hamna tena ikitokea kiuhalisia vay ucje subutu dada angu ila movie tu nakupgia salute we wapekee sana cjaona wa kukufananisha nawe unaweza dada hongela kwa kipaj ulicho kua nacho ❤❤❤❤❤
Kwenye kuigiza kuna makosa yanaonekana kabisaa ndio maana wengi wanasema wabongo hawajui kuigiza ila tangia niwafuatilie nyie sijawah kuona makosa yenu , good mnafanya kaz nzuri sana✌🏾✌🏾
Kicheche ni vizuri Ku cheza filamu lakini epusha muke wako Nami chezo kama izi n'a wanaume wengine mahana kesho uta Liya juwa kama mke wa mutu ni eshima yako
Nimejifunza pakubwa sana,hata Kama unapitia changamoto kwenye mahusiano usitumie waganga Kama mtu akihitaji kukupenda atakupenda tu waganga siyo watu wa kuwategemea sana
Hii inatufundisha tusiamin waganga sana kwenye mishe zako mueke allah mbele Kwa Kila kitu.thanks guyz nawapenda Kwa kazi yenu nzuri.endeleeni kutupa mafunzo🙏🙏🙏💓💓
Sema vijana wenze2 wa hii miaka wanazngua bhana yan kisha kuihtaj kuw handsome ndyo mtt wa kiume unafikia ha2a ya kujjchubua uchoko huo na akamu pia mtt wa kiume hasiw uzur pia mtt wa kiume havai heren wala kujichubua bhana
Kufanikiwa kupata ela kwenye ushirikina ni kumuua mtoto wako wau mama ako au mume wako au mke wako ila bila ya ivo kimbia Kwa mganga anakutengenezea matatizo mengine kwenye maisha badala ya kupata ela
Mnajua hadi kero wakuu nataman hii vdeo ipande 1 on trend, the way vai anachange kila muda kwa kuumia then anafurah muda huo huo n kama KANYE WEST waoh vzr sana
Ila Vai anajua kuigiza uhalisia ongera kwake 👌👌🥰🥰😘mungu amzidishie palipo pungufu
Upo sahihi, huyu mdada anajua kweli.
Cjui machozi huwa yanatoka wapi maan kila muda tu
Yaan cjui ata machoz yanatoka wapi
Inatoka kila j ngani you?🌹🌹🌹mnajua San ,Mr Handsome nisehem ya kutufunza
Mamb
Nimelike wote like yangu pia wakenya mwasemaje😂😂😂
th-cam.com/video/3orD8C1sOiM/w-d-xo.html
TITLE SIJUWI LAKINI NISIKIA NI OMIY
😅
Hii imeenda nmekuwa naingoja sana. Tumeipokea kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Tunawapenda sana ❤❤❤
hasantegaman😅😅😅😅😅😅😅😅
Leo vai wamekukula tako daah pole sana umelia kwauchungu sana
Mpaka loho imeniuma
Dhaaaaa😢😢😢😢😢😢😢
Nimependa snaa
Muganga doko nakukubal sana 💯
Kwahy marinda hayapo tenaaaaa,,,,mbwa marindaaaa
Duuuu hata kama ndo kupenda haimaanishi ndo ufanye mpaka vitu vya ovyo kiasi hiki
Wanaume tujitahidi Sana kuwaheshim wanawake hata kama wanatupenda haimaanishi ndo tuwanyanyase kiasi hiki daa😭😭
Ndo hivyo kuna watu wanapenda kutumia madhaifu ya mwingine kumuumiza
Uko sahihi
Kabisa
Mda mwingine ushamba wa wanaume ndo huwafanya wanaume wawageuze wanawake wawapendao kua kama watumwa
Never and ever akwende tu weeeeh hapana
@@DaudAshery-ie2pf 😢
Japo ni movie but I feel your pain vai😢😢😢
asma comedy ya kipuuzi sana wanatoa movi nyingi zinaishia njiani ,,wanakera snaaaa
Haaaaa Kumamake mganga mfiraji huyu 😃😂😂😂
From Kenya video was elite 😂😂😂
😢😢vai nakuonea huruma San daaaaah😢ila napend kaz zak nakpnd vai ❤❤na Mr.hendsome
Daaaah abadepa ndo mganga😂😂😂😂😂😂
Congratulations guys,nice work my Allah bless you all,,,,,,,
Vai unajua kuigiza kulia
Mapenzi kama n haya acha nikae bila mwanaume weee subutu kwa mpalange sina wazimu
Duuh huyo bint Kaz anayo mpaka namuonea huruma jamani 😱
Vay hamna tena ikitokea kiuhalisia vay ucje subutu dada angu ila movie tu nakupgia salute we wapekee sana cjaona wa kukufananisha nawe unaweza dada hongela kwa kipaj ulicho kua nacho ❤❤❤❤❤
Naomba like 1000k
Umepatq😂😊
😂😂😂😂😂zanini sasa
Hii series ni nzuri lkiini inahamasisha mapenzi ya kinyume na maumbile
Kwenye kuigiza kuna makosa yanaonekana kabisaa ndio maana wengi wanasema wabongo hawajui kuigiza ila tangia niwafuatilie nyie sijawah kuona makosa yenu , good mnafanya kaz nzuri sana✌🏾✌🏾
Kumbe nyuma panauma nyie 😮😊😂😂❤❤❤❤❤
Utasema kweli hungela my kwakipaji chako
Mr handsome 🤣
ndio mana mm nampenda sana vai kabla sija lala lazima niagalie video zake mashalla mungu akuek
Kicheche ni vizuri Ku cheza filamu lakini epusha muke wako Nami chezo kama izi n'a wanaume wengine mahana kesho uta Liya juwa kama mke wa mutu ni eshima yako
Vai unaweza Hadi unaweza Tena big up
Kawina uskunal mganga ana ugwadu wake anakudanganya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mdada vai jaman atakuwa fire sana kwenye michezo mana anajua sana kuigiza
Hongera sana madam nakupenda sana
Nimejifunza pakubwa sana,hata Kama unapitia changamoto kwenye mahusiano usitumie waganga Kama mtu akihitaji kukupenda atakupenda tu waganga siyo watu wa kuwategemea sana
Hawawana lolote km wanavyo jiita mbwa kweli wako hivyo coz wana tangaza ushoga tu
Vai ww sijaona mfano wako yaan kazi zote ulizoshiriki sijaona ulipo enda tofauti yaaan ww ni umewiva kweli hongera sana.
Huyu #Vai apewe TUZO jamani daghhhhh Anajuwa mpaka Anajuwa tena
#HONGERA👏👏
Wenye mioyo dhaifu yakupenda ikama vai tunatabu sana
Duuuh Jamaniiiii Mganga nawewe unataka kumtatua Tena Marinda hatariii. Mapenzi shikamoo🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
😁😁😁😁😁😁😁😁umenichekesha nimecheka kwa nguv sana kama vzr
Vai you the best actress, as well Queen. May Allah bless you all for the good work you doing
Hata kama nakupenda vipi siwezi huo ujinga
Mimi ndo wa kwnza nipe like yangu
😢😢😢vai you nailed it....much love from Mombasa Kenya
Muendelezo lini jamn maana natamani kujuaa♥️♥️♥️♥️🤣🤣🤣
Eish CAWINA Kenya tunasema ,"KITAKURAMBA"
Jmn naomben niambienj ako ka wimbo kanaitwaje olz
Good actor. Love from Kenya 🇰🇪
At kisa handsome nyoooo handsome yanyoko😅😅😅😅😅😅😅😅 siwez hata ulemizimu yawakwenu mbwa shayaaa
Huyo jamaa anatumia mikorogo sana
Kam unamkubari vai gonga lik ap bora nibaki na strees
Unajua hiyo wimbo u share
Chakula bure ni hatariiii kupenda you😅😅😅😅😅 mapenz kichaaa
Nampenda huyo demu white tollu kwan hanamishushuo kuntu.❤❤❤❤🔥🔥
Sema mmezingua ayo Mambo ya kinyume na maumbile
Ni machozi ya furaha tu😂😂🙌
Doko nakubali kazi nzuri kwanyi wote
Hapo umekosea director ungemweka mganga kicheche inge noga
Uyu Vai anajuwa sana kuigiza jaman
Ko vai Jamaa amekula Kipira walahi toba Mtoto huyu 😂
Daaah movie nzur cn Bravo Asma comedian
Vai una act real na huyo jamaa ni handsome kweli
Kenya iko trending namba 23 je Tz ningapi jamaa ...
Nyie huyu vai ni kwere hahahaha anajuwa harafu anajuwa tena dadeki
Vaii hongera unasisimua kwakweli haki
Hii inatufundisha tusiamin waganga sana kwenye mishe zako mueke allah mbele Kwa Kila kitu.thanks guyz nawapenda Kwa kazi yenu nzuri.endeleeni kutupa mafunzo🙏🙏🙏💓💓
Sema vijana wenze2 wa hii miaka wanazngua bhana yan kisha kuihtaj kuw handsome ndyo mtt wa kiume unafikia ha2a ya kujjchubua uchoko huo na akamu pia mtt wa kiume hasiw uzur pia mtt wa kiume havai heren wala kujichubua bhana
CALWINA ANAJUA SANA AISE
Kazi nzuri
Vai nakukuali unajua kiigiza
From Kansas city USA
Nyiee vai jaman nakupenda
Uigizaji mzuri kwa vai hongera kwake❤
Mganga nae anatak Tena nyumba jmn 😂😂😂 Vai si utachanika
Jamaniiiiii jamaniii shikamoo Vai 🙌 story tamu kias hiki 👌
Vai uko sawa sana part yako Mimi hupenda sana
Msihicheleweshe San nzur
Yaaan ad nimependa funzo kubwa sana
Uo uhandsome kwasababu ya cream au😮
Hata mm nashangaa sijui uhandsome gani
Naipenda kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama umeikubali tuma bendera yako hapa😂😂😂😂
🇹🇿
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤪
🇹🇿
Aki vayolet utaesana kweli asiye sikia la mguu uvunjika kuu
Keep the good job.... congratulations
duuu! kama Mimi sikubali labisa
😂😂😂 katolewa marinda 🤣🤣🤣🤣 mganga wa mchongo 🤣🤣🤣🤣
😅😅mgangaaa tako kweli kwann yeye asitolwe
Huyu mganga wa mchongo sana ndio masharti Gani hayo😂😂😂
Huyu mganga Naye anaitaji Nini jamani🤣🤣🤣
Anaitaji jicho la 3
Njia ya vumbi😂😂😂🎉
@@gracemadondola7331 🤣🤣
mganga mpuzi....
Kali sana hii😮😢 part 3 l beg😂😂😂😂
Jamn hii nyimbo mm naipenda hasaa sema cjuw inaitwaje
Hata kama ni movie inatufundisha nini , upuuzi kabisa
Mganga ameanza tamaa🤣🤣
poa sana,ila mimi naomba jina la mwana musiki wauwo wimbo wa mwichoni, tafadali
Hata km nikuingiza lakini hii move hainamaana kwa jamii unaifundisha nini.
Bado hawajamaliza kupost utaelewa2❤
Sema wewe ndio huna akili ya kujifundisha na kuielewa hii 🥺🥺
Kupenda gn huku sifanyi ujinga huwo na mungu aninusuru
😂😂😂😂 wenzie marinda hawapew hvyooo 😂ila me ningekimbia jmn 😅😅😅😅😅 bolokon kwenye kichochor
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
Vai anajua kuigiza.... This is big
Tunaomba namba 3
Jamn mganga mkavu kabisa usoni ata haya hana kha!
Mganga acha tamaa kuku wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wallah nimelia 😢😢😢 kisa unampenda mtu akufanyie ivo daah
Wanganga sikuzote ndio waaribifu sana jamani funzo Mungu anatosha kabisa maishani
Hongera ujengewe sanamu
Haiwezekan afaidi peke ake
Kufanikiwa kupata ela kwenye ushirikina ni kumuua mtoto wako wau mama ako au mume wako au mke wako ila bila ya ivo kimbia Kwa mganga anakutengenezea matatizo mengine kwenye maisha badala ya kupata ela
Mnajua hadi kero wakuu nataman hii vdeo ipande 1 on trend, the way vai anachange kila muda kwa kuumia then anafurah muda huo huo n kama KANYE WEST waoh vzr sana
Ongra sana Vai unajua kuigiz
Mahandsome wa Moto kumbe ☹️😧😧Bora ninae sura personal
Dah 😂😂 huyo mganga muhuni sana anataka na yy Mhh ila maigizo mengine sio poa..
Wapo wenye tabia hyo kbsaaa kn waganga kavu snaaaa
Napenda mwajuma 😂😂😂afu ana mdomo saana handsome alikosa nafasi kidogo amu uwe alidhani ni kicheche 😂😂😂😅😅😅