HabariLeo wadau wamusic nampa sana hongera sana huyu kijana p.boy kwakazi ya music anayoifanya namuhombeya mungu ampe nguvu na afya njema katika vijana wanahohimba kambini kunahuyukijana p.boy, bekanize og ula ya babondo yani sikuwakihachiyaga 🥁🥁 ngoma wenyewe wawili p.boy ft bekanize og yani watahuwagasana iyongoma itakuwaga bomu lamtaha kwelikweli yani
Watu wangu Mkiwa kwenye usawa wenu nawakubaliza sana. Camp akuna mpinzani wenu kabisa tena mungu azidi kuwa bariki muwezi kufikia malengo yenu Asante sana
Huyu director anaitwa nani Tafadhali
NAkubali 100% kuwa wewe ndo baba lao camp utakae chukia atajijuwa bwana🗣️🗣️🌷🌷❤️❤️❤️❤️❤️🤗
Bonge la ngoma atar sana 🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri 🔥
Nawakubali sana 🙏🙏
Watching from Us 🇺🇸 dollar 💵 Big talent #P Boy
ndio kabisa dunia tunapita good song guys keep it up
Kazi kizazi kazini
Team striker ✍️✍️✍️✍️🎷🎷 tokos
Sitaki kusifia sana nionekane mnafki! Kazi nzuri popote inapenya trending na vws ni kitu kingne tu! Nakubaliana nanyie 100%
Naikubali sana
Stricker boy Go ahead bro.
Hacha kaz iendelee. Anayezuia atagonga mwamba na kuumia vibaya
Kweli parangote
Kazi nzuri sana hii hongereni sana kweli
This is very creative and smooth 🙈🙏🏼🙏🏼
Hongereni kwa kazi tamu
Ime kamilika kazi ya kaka p boy is kid boy from chatu music
Nakubali sana bro idunia watu awajuw Kama Kuna kifo nass tusio nakitu mwilin tutaisha
Ongera sana vijana wangu wa kazi nilazima mupate zawadi yangu
Umetisha san mwamba
Konk kinoma
🌴🌴🌴 ubunifu full rojo
Vizuri sana
Kituu, Moja kati ya kazi nzuri mwisho ni mwaka huu 💥💥💥💥💥💥 Kituuuu
Gara be home niwajibu kusapot mziki wa nyumbani
Yes we can do it right ✅ Hongereni sana 🙏 kwa hii moja yaani imekamilika kila idara
Good
Sawa❤❤❤❤❤
BIG TALENT MY BROTHER
kali sana 💙💙
Daaaa mpaka huruma kweli
Aaaaaaaaa nime kusubiriiii kweli
Wanandoto Production
Dunia piboy🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Pole sana
Sijawai ku comment huku ila kwa ngoma hii , it's my favorite song, Big up kaka
Thank you so much
Wadunge paka mwisho
Ongereni mazee
Dunia mapito
Nice song 🇨🇩
Auna mpizani kaka,,, wengin watopolo tu ,,,, na mafunza kibaoo
Ipo saaaafi tumeipokea vizuri mno
Ongern bf
Good song Dunia
Respect 👌👌👌
Mko vizuri wakuuuuuuuuuuu🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎🌎Dunia🌍🌍🌍🌍
Wadunge 🌟🌟🌟💪💪💪👏👏👏👏👏🙏🤜🤛👊
Best n Moto
Hongera
Nakukubali saana bro
Mumeuwa bro
Unyama sana 👏
Nawakubali sana
nice song brothers
Aisee watu na vipaji vyao
Mwaka umeisha kama hivi👆👆
Nc
Umeuwaaaa🙏🙏🙏🙏
HabariLeo wadau wamusic nampa sana hongera sana huyu kijana p.boy kwakazi ya music anayoifanya namuhombeya mungu ampe nguvu na afya njema katika vijana wanahohimba kambini kunahuyukijana p.boy, bekanize og ula ya babondo yani sikuwakihachiyaga 🥁🥁 ngoma wenyewe wawili p.boy ft bekanize og yani watahuwagasana iyongoma itakuwaga bomu lamtaha kwelikweli yani
I see you every day from America Texas bro p boy strikes 🙏
Thank you so much
Keep it up brothers 🙏🏼🙏🏼
Kazi nzuri kaka
Kazi Ya Mikono Yangu, Directed By Me
Jambo
Big OG🔥🔥🔥
Good sana kijana, keep up the good work 👍
Pongezi kwenu🔥🔥🤛
Aisey kitukikali ichoo
Sana
Hongereni sana
Ndo mfanye jitiada mpate hiyo 1k ya subscribers.
Kazi nzuri nawapenda sana
Nice
Hongera Sana kaka,pamoja na vijana , story nzr pia imekaa
Big talent brother Mungu awe nanyi msiache mnacho fanya
Watu wangu
Mkiwa kwenye usawa wenu nawakubaliza sana. Camp akuna mpinzani wenu kabisa tena mungu azidi kuwa bariki muwezi kufikia malengo yenu Asante sana
Asante sana ndugu yangu
Yani team hii imekua tishio
Umeuwa hii boss
QUDRATY binafs nawakubal
Wow nice bro
I like this song very much💃😍
I like that bro 😎
Watu wangu nawapenda sana ❤❤💯🙈
Thinx dada
@@FighterOG1 akuna shida kaka angu 🥰
💯% Good Job boys well done, munatutowa haya vijana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
My favorite song
Congratulations team, impressive song
Congrats mzee baba😒❤️
Asante sana ndugu yangu
Dunia tunapita👌 keep it up guys
Mungu akutangulie na watangulie daima
Asante brother wangu wa faida
Wasiyo kupenda kaziwanayo nakukubali sana tu🎩👍👍👍👍👍
Wadunge
Asante sana my brother
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
*Mnaweza Sana Brother wangu Twende kazi*
😢😢😢ina uzunisha kweli tena ina funza
Asante
Kwa nyimbo hii hakika hongera yenu munaweza sana 💪🤝
Kali
haki ya mungu hii ni 🔥
good aidia mdogo wangu P BOY
Dogo eeh hii ngoma imebamba kinyama, big up sana aise.
Sikuwahii kuona video zuri kamahii jamani Hogera sana vipanji vyetu
Asant kaka wakizaz kipya
U still to be king 🤴 of camp 🏕 🔥🔥👏👏❤❤
Big talent🔥
Utamu wa wimbo mpaka basi💪💪💪
Teamwork indeed 🔥