Kila nikihisikiya hihi naisi kama mpya tu masikioni mwangu Hongera sana bro mungu akulinde na akupe hujuzi mkubwa uzidi kufanya goma kali zahidi ❤🙏🏿🙏🏿💪🫶🤗❤️
Naitwa Oredi Jay. Naishi hapa kansas city, Missouri. Nipenda sana mziki wako. Endelea ndugu. Ningetamani sana ku manage mziki wako na kusaidia kuhupaza kanzi nyingine hapa Marekani na nje pia. Hila, sijipanga sawa kihichumi na kimda. Keep it up and don't give it up.
Brother, good job. Wimbo huu Nishausikiliza mara 9. Wabembe wakiacha uchawi wao wakuuwa watu inchi yetu itaendelea ata fz itaendelea wakini uchawi wao wameuweka kuwatu kuliko kuweka kufitu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwili tabia mbaya ya wabondo inasumbua ata kufanya maendeleo kwetu tunaanza kujenga inje ya ichi yetu uruma sanaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!.
Wimbo huu nimesha usikiliza mara 29 lakini bado sijauchoka, maana umebeba ujumbe mzito sana njuu ya jamii yetu au njuu ya kabila letu sisi umenifanya nimkumbuke baba yangu. Umenigusa Sanaa tu. Keep up good work 👏
Wimbo huu umenigusa sana Kwa mambo ninayo yapitia dah kweli Wambembe sio watu wazuri 😭😭😭😭 Huu wimbo nitaupenda zaidi ya miaka yote ambayo nitafanya hapa Duniani
Mziki nzuri sana ndugu. Endelee sana na Usikate tamaa ndugu. Mziki umetufunza sana. Tumsaidie kupromote mziki huu kwenye baadhi ya platform kama, tiktok na kadhalika....
Hivi wasani wakibembe wakiwa wanahachiya ngoma kama hizi, hivi kweli nitasikilizaga ngoma zingine kweli?❤
Huhu wimbo kila nikihusikia nikama mpya tu kwa maskiyo yangu ❤❤❤❤❤
Dhaaa your legend broh auto music yahani bila AMISI HASSANI TIGO ningezidi kupitwa na ngoma kalii kama hiii
Ngoma nzuli saana iyo nikiwa niko naisikia uwa natafakari mbali saana
Message sent and delivered 👍
Kumbe lugha yetu ya kibembe ina leta nyimbo nzuri kiasi hichi alafu Rythme kali mno @Auto big up brother
Huu wimbo ni wetu sisi ambao tumehachwa na wazazi na kupitiya situation Kama wimbo unavyo sema
Kweli man hii ngoma inagusa sna bro kali mno bro anajuwa sna tuuuu🙏🙏🙏🙏🙏❤️
huu wimbo umebeba reality ya wabembe siyo siri. fav song 🥰
❤❤❤❤ tulio achwa na wazazi wimbo uhu unatufariji 😢😢😢na kutuliza sana 😢😢
Kweli kbsa😢😢👏🏿
Ebembe to the world hii ngoma sijawai kuhichoka hata kidogo
Nasikitika sana brather ngoma nzuri ❤😢
Na kukubali sana bro Wangu acha mungu akubari kwenye kazi yako❤🎉
Real kabisa kaka Mwenyez Mungu akubariki sana
Kila nikihisikiya hihi naisi kama mpya tu masikioni mwangu Hongera sana bro mungu akulinde na akupe hujuzi mkubwa uzidi kufanya goma kali zahidi ❤🙏🏿🙏🏿💪🫶🤗❤️
Amazing song my brother, umepatia brother, tupeleke kibembe Dunia. Am proud to be m'bembe
Woow, ujumbe mzuri sana brother 🙌🏽🙌🏽🙌🏽💯💯
Nakupongeza sana Big Brother
Hii ngoma ni kama ume niimbia mimi yani😢
A boy from 👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wimbo bora kwa wakati sahiii🔥
What a shame to us Babembe 😭😭😭
Wimbo mnzuri sana kaka yangu tena unaelemisha kabisaa, Hongera sana. Nilikuwa naomba ya simu yako kama hautojali hili niongee na wewe.
instagram.com/automusic_balance?igsh=dWc0bHBxNWpyMmE0& nicheki hapo
Ngoma ikopoa sana 🎉🎉😢
Sijachoka kusikiliza uhu wimbo na kila nikisikiliza mpaka nilie 😭😭 good job brother
Naitwa Oredi Jay. Naishi hapa kansas city, Missouri. Nipenda sana mziki wako. Endelea ndugu. Ningetamani sana ku manage mziki wako na kusaidia kuhupaza kanzi nyingine hapa Marekani na nje pia. Hila, sijipanga sawa kihichumi na kimda. Keep it up and don't give it up.
Thanks my brother piya mungu akubariki karibu in BOX insta instagram.com/automusic_balance?igsh=dWc0bHBxNWpyMmE0&
Huo wimbo ni wakimataifa mwaka Nzima ndo wimbo wa kwanza na wa mwisho ni huu akuna mwingine hongera sana bro kwa ujumbe mkubwa
Kaka japokuwa sikujuwi Ila unaweza saana. Everything you said is true 🙏🏾💔
UMEIMBA UKWELI HASA KATIKA MAISHA YA UKOO WETU, MDOMO MUNGU FUNDI KWELI KAKUPA KIPAJI CHA KUIELIMISHA MILA,DESTURI NA TAMADUNI ZA KIAFRIKA DRC 🇨🇩
yaani huu wimbo umenigusa sana hongera tena kijana wangu 👏👏👏💪💪🎉🎉🎉
Nyimbo nzuri sana ndo nimeiona leo najuta kwann sikuijuwa miezi mbili nyuma keep up brother 🙏
Mwanangu mungu akuweke hiyo nyimbo imenigusa sana
Daaa ihi ngoma kali sana yaan leo march 20 toka ausubuhii mpak usiku nipo naye yaani ngoma mtu ahikifu daaaa Big up sana bro
Yani sisi apana mungu akubariki sana kaka wimbo wako una nifundisha kitu ❤️🔥🔥
Brother 🤔 hapa umegusa mioyo ya wengi hakika, ubarikiwe kwa kweli 🙏
Un message fort💪💪💪❤.
Big up à vous cher Auto Music.
Wewe niatari mwanangu ❤❤❤❤❤❤❤
Mimi kama swagger boy aise ihii ni it ya new hear🎉🎉🎉
Uh!!! nyimbo hii imenigusa sana asante kwa nyimbo nzuri 😢💔.
Wimbo unastahili kupewa Single Award ❤🎉
Courage mbondo
Kweli kaka ujumbe mzuri sana
Vizur sana ubatikiwe umetuletea ujumbe mzuri sana
Inasikitisha aisee😢keep brother ❤❤
Mungu akutangulie kwakila jambo kakaangu ❤❤
Good sound bro🎉🎉🎉 unajua music 🎶 100%
Congratulations my big brother you did it and you did it well
Kaka auto hiyo wimbo Hina ni kumbusha mbali saaaana kaka
Yes. Nimekubali zangu❤
Brother, good job. Wimbo huu Nishausikiliza mara 9. Wabembe wakiacha uchawi wao wakuuwa watu inchi yetu itaendelea ata fz itaendelea wakini uchawi wao wameuweka kuwatu kuliko kuweka kufitu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Big up saana kijana, ulicho kifanya tumekikubali saaana. Pambana tena uzudi kutupa vitu kama hivi.
Nzuri kabisa.hongera bro
Kwili tabia mbaya ya wabondo inasumbua ata kufanya maendeleo kwetu tunaanza kujenga inje ya ichi yetu uruma sanaaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!.
Música em dialeto Bembe Congo com grande significado. Parabéns brow
Tu as mon soutien depuis Bujumbura na kumbuk Daddy my here , ta chanson me donne du frison 😢
Merci 🙏
Wimbo huu nimesha usikiliza mara 29 lakini bado sijauchoka, maana umebeba ujumbe mzito sana njuu ya jamii yetu au njuu ya kabila letu sisi umenifanya nimkumbuke baba yangu. Umenigusa Sanaa tu. Keep up good work 👏
🎉🎉🎉🎉bro una wezaa sann❤❤
Upew maua yako 🎉🎉❤❤ 🎊 my favorite song ❤
Hongera sana kijana wetu mwana wetu
For the first time nasikiliza wimbo wako 🥰 🥰 hacha upewe mauwa yako🌹🌹🌹 umenifanya nimkumbuke marehem Baba yangu😭😭😭 @Auto Music 🎶
Asante
I'm glad to be a part of this
Wimbo wenye message nzuri sana
Big up Sana kipaji chetu kwa wimbo Mzuri uhu una mafunzo Mengi ❤
Mmunga ML TV na team yake nzima inavutiwa sana na wimbo huu.
Kwahiyo hachatuseme ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hit song ya kibembe. Big up sana kaka kazi nzuri sana from 🇲🇿
Wimbo mzuri sana una ujumbe mkubwa sana
Walio penda huu mziki kupitiya Move ya Bongwa tujuwane jaman❤
Good job my brother 🙌🙌🙌🙏🙏
Big up sana bro. Akim Ayamba from Bukavu DRC 🔥
wibo bora alafu unafunza sana auto aunampinzani kaka 🎉🎉🎉🎉
Kazi kubwa brother 🙏
Nakupa mahuwa yako❤❤
Huyu ndio msani pekee mliye naye wabembe King 👑
M'y big brother, unaweza san🎉🎉🎉
Wimbo huu umenigusa sana Kwa mambo ninayo yapitia dah kweli Wambembe sio watu wazuri 😭😭😭😭
Huu wimbo nitaupenda zaidi ya miaka yote ambayo nitafanya hapa Duniani
Wimbo una ujumbe mzito san ten san t Mung akubarik kwakaz Nzur
Kali sana hii bro
Nipenda sana message ndani ya hii nyinbo ❤god bless you brother 🙏🏾🙏🏾😇
Kazi Kubwa Snaa Bro Big Up Sana
Nimekubali kazi yako bro,Hii Ngoma himegusa hisia watu wengi sn ,be blessed sir ❤❤😂❤😂
*Greatest song of All time for us babembe Babondo in the whole world*
Upewe maua yangu brought auto ❤❤❤
Madogo hapa US wanaimba lakini watambuwe upo mkali ❤ kaka Yao
Kali ya mwaka 🎉🎉❤❤❤
Mziki nzuri sana ndugu. Endelee sana na Usikate tamaa ndugu. Mziki umetufunza sana. Tumsaidie kupromote mziki huu kwenye baadhi ya platform kama, tiktok na kadhalika....
❤❤❤ niko nawe pamoja my brother
Huu ndo wimbo bora wa mwaka
Hongera mwamba
inaitwa funga mwaka ❤❤❤❤❤😊
Tokoos frere ❤😂😅😅😊😊
Hiyo ndo nyimbo bora ya mwaka na hapa marekani toka wahanze kuimba ❤
siotu ya mwaka toka wabebe wahanza hiba iyi ndo wibo bora🎉🎉🎉
Safi kijana wangu ❤
Keep up with good work 🎉
Hongera sana kijana wetu
power tv sweden hapa kazi njema
Safi kaka
Duuuhhh🎉🎉🎉🎉 hunawez san brothe
Ongera mnooh my brother ❤
Hapo Sawa kabisa ❤❤❤❤❤
😢😢😢 sisi wabembe tuna wivu sana na hilo jambo linaturudisha nyuma sana
Keep it up good music great sound ❤❤
Congratulations brother, nice song
God bless you my brother
Kazi nzuri ndugu yangu.
❤❤❤❤ wewe ndo king
IYO NGOMA KALI SANA ❤❤❤❤
Good job bro ❤