Hongereni watoto wetu kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwa kwetu nyuma kimaendeleo kulitufanya kutokufanya vitu vizuri nakuua vipaji vyetu lakini Leo nehema imetushukia endeleeni kufanya ivyo Mungu awape maharifa zaidi mfike mbali amina.
Imeguswa sana na kipande alichoimba huyo dogo,kwamba hivi nilivyo Leo sitabaki kuwa wa chini baba atanipandisha viwango vyajuujuu duuuuh mbarikiwe nyote wimbo unabariki
Mwimbo zuri sana mungu awabariki
4:34 👉❤️👈hubarikiwe 🥰🙏sana kbs💪
Amen sana Mungu awabariki sana 🎉 🇨🇩
Kazi Nzuri mungu awabariki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
By YAKOBELLA_ØG_Tz
Here from tiktok boy trending eating githeri ❤May God bless you ❤
Hongera sana UHU wimbo ume nikumbusha mbali sana yani sijui niseme nini
Ameni naipenda sana ii nyimbo 😍😍😍😍😍
Tamaa sikatii maana najua mungu wangu yupo 🙏
Wow mubarikiwe sana 🥰
Hallelujah, MUNGU awabariki kwa kazi njema!!!🥹🥰🫰🏽
Kama itawezekana huu wimbo ufanyiwe lyrics ❤
mwimbo mzuri sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu atanipandisha viwango vya juu juu tu Sana ..👋👋🔥 guys baraka tele na tele
Kazi nzuri sana nakubali serious gospel mpo vizuri
Wimbo UHU umenibariki vyakutosha jamani
❤❤❤MUNGU awape viwango vya juu ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
From tiktok and am liking it already
Hongereni watoto wetu kwa kazi nzuri mnazozifanya kuwa kwetu nyuma kimaendeleo kulitufanya kutokufanya vitu vizuri nakuua vipaji vyetu lakini Leo nehema imetushukia endeleeni kufanya ivyo Mungu awape maharifa zaidi mfike mbali amina.
Woow, Mungu awabariki sana. Kweli msaada wetu ukatika Bwana. What a great melody 🙌🙌
Mmmmmmmm
Haki Bwana awainuwe zaidi jwa huduma hiiii
Jameni ule wimbo uko hewani 🔥🔥
Amen 🙏🏾
Mubarikiwe sana
Wow nabarikiwa sana nanyimbo nzuri.❤️❤️
Mungu wambinguni awabariki sana, wimbo ni mzuri sana na unagusa moyoni, unafariji na unatupa matumaini yakusubiri yale tuyaombayo kwa Mungu.
Mungu azidi kuwabariki jamani mnajuwa sana.
Mungu abarikiwe, continue following him youngsters, your good future is guaranteed
I love the song.....nmeamka kusikiliza nahisi kutiwa moyo...Mungu azidi kuwabariki
All the way from TIKTOK ❣️❣️❣️
Hii ngoma inanihuwaga sana kweli
Mbarikiwe sana watoto wa Mungu.
Amen amen na mimi nasubiri mda wa bwana, mubarikiwe sana wapendwa katika katika kristo
Masaada wangu n we Mungu na nlivyoleo sitabaki kuwa wa chini Mungu atanipandisha viwango vya juu juu nasubiri ipo siku yangu💕💕💕so much love this song
Imeguswa sana na kipande alichoimba huyo dogo,kwamba hivi nilivyo Leo sitabaki kuwa wa chini baba atanipandisha viwango vyajuujuu duuuuh mbarikiwe nyote wimbo unabariki
Kweli jamani mbarikiwe sana nimwimbo mzuri unagusa Moyo sana mungu amizidishiye tu
Yani sijui niseme nini uhu wimbo unanibariki. Sana,
Nimeipenda san kweli
Hongereni sana wimbo iko vizuri sana 🥰 mubarikiwe nyote 🙏🏾
The young boy for me,hivi nilivyo Mimi sitabaki kama nilivyo,bwana atanipandisha viwango vya juu jui
Chris Bill k fapapa nimeona hii kitu 👂🎤 imekaa vzr kifalsafa Zaid 🙏🙏📖📖📖📖
Mubarikiwe nikisikia wimbo huu unanikosha❤❤❤
KUMBE mnajuha Mashabiki wenu wana taka Nini mbarikiwe sana serious Gospel.
Just found it from TikTok it brought tears.. Masterpiece beautiful song 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤😊😊
Wonderful song mungu awa bariki kweli.
Amuja wai kufeli hongereni sana watu wangu
Wooow....nyote mmecheza part zenu be blessed y'all...but ukweli huyo mtota amewezaa zaidi ....nawapenda 🥰🥰
All the way from TikTok.just to show some love ❤
Actually it's seriously pure gospel song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen mungu awabariki sana ❤❤❤🙏🙏❤❤
Mmefanya Kazi nzuri Saaaana very Emotional
Keep going Guys,
You made it..
Watu wangu nawapenda sana serious Gospel.
Mungu wa mbinguni awabariki mzidi kuinuliwa katika jina la Yesu kristo 🙏
Nimebarikiwa sna na wimbo huu.
Mungu awabariki Sana Kweli 🙏🙏
Nakubali bro💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥
My favourite song, may God bless you all for this wonderful song 🔥🔥🔥🔥🥰🥰
Wimbo upo vizuri sana tena kuna ujumbe mzuri sana.
God blesse you guys
Nawapenda sana serious Gospel.
Kazi ihendelee SERIOUS GOSPEL
jamani niwaoombeeeni tu baraka tele maana wimbouu upo kwenye viwango vya juuuuuuuu
huuu wimbo umenikosha sana hakiyamungu mubarikiwe sana ndugu zangu
Awwwhh may the Lord see you all through Neema ya Mungu ikawavamie na kuwatendea mnacho hitaji
Mungu Awatangulie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu Mkubwa kweli, tumebarikiwa vyakutosha wapendwa ktk Kristo
Watching from kenya
Barikiwa
Good luck
Murampezagiye 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wimbo umenikumbusha mbali sana jameni nime penda sana.
Mungu awabariki saaaan 🔥🔥
Daaaaah Ngoma kali sana nisiwe mnafk adi inatoa machozi kbs pongezi sana bro Yani Nani awezi kuelewa hii kazi ata Asie sikia Luga anakubali kazi vizur
Nimeludia mala 10 mbalikiwe sana ❤️❤️
Mubarikiwe Sana watu wa Mungu mwimbo unabariki kwa kila Mara niki usikiliza
niraa yangu kuwasikia kwa kila mda
mana nisipo wasikia kwangu nisawa na mfu
mana akuna mfu asikiae chochote,
bila nyinyi uzima sinaaaaaahh...
Mbarikiwe Kwa ujumbe nzuri 🙏🙏♥️♥️
Nimebarikiwa sana uhu wimbo 😫🙏🙏
I like it 👌 wow good job 👏
Napend huu wimbo mung awabarik san ten san
Mbarikiwe wana wa Mungu kwakazi nzuri
Mungu awabariki sana mes frères
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe nabwana pia tutasubiri wakati Mungu.
Wimbo Mzuri kabisa
I feel this song 💞🧡💙🖤❣️💞🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Nawapenda Sana ! Mungu atusaidie tufike mbinguni!
Amen!
Mubarikiwe sasa kwa wimbo huu, nawaomba mzidi kutupa vibwagizo vizuri kama iki kwa mara nyingine.
Stay blessed more 😚❤️ u guys this is so anointed one powerfully song 👍🆗🆗
Mbawikiwe Sana wimbo unabariki
Tupo nyuma tenu My God awabariki sanaa
Nyimbo kubwa Sana hii
Huyoo kijana mdogo ameweza
Amen mubarikiwe❤🎉
Hivi nilivyo leo sitabaki kuwa wa chini Baba ata nipandisha viwango vya juu "nasubiria" 😊🥰 Mungu awabariki sana 🙌
Mbarikiwe sana wimbo umetugisa sana🙏🙏
Jamani nimependa Sana ni nzuri
Kazi kubwa sana mbarikiwe sana
Nakukumbali mtoto wangu kazi kubwa sana hii
Amina nyimbo zuri San mubarikiwe🙌
Amena 👌🏽🇦🇺🇦🇺 listening from Australia 🇦🇺
♥️♥️♥️
Ubarikiwe mungu awe nawewe thanks ❤
Powerful song amen 🙏🏿