Kusema ukweli vijana wetu hao wanaichapa vizuri kazi yao , ila wanaitaji Uungwaji mkono ili waendelee mbele. Big up brothers and sisters, I just discover your songs.
P Boy sijuwi nisemeje ndugu yangu. Unastaili kuwa mgurugenzi wa muziki mahali hapo. Sijuwi kwanini wengine ni wabishi kutaka kulinganishwa na wewe. Imagine video hii nimeitizama mara kazaa lakini naisi bado sijarizika kuisikia na kuitazama. Amakweli wewe ni KING WA MUZIKI By Delux
Nikisema p boy hanajuwa kuimbaa munaazaa kunichukia buree 😆😆😆🙏🙏🤪🤪❤️❤️🌹🌹 hongera Emanuel
Kusema ukweli vijana wetu hao wanaichapa vizuri kazi yao , ila wanaitaji Uungwaji mkono ili waendelee mbele.
Big up brothers and sisters, I just discover your songs.
Huyo Jamaa Wa Guitar Mpeni Namba Yangu, Nakuja Kumsajili Kwenye Label Yangu Mwezi Wa 10🥀
Subiri nita mpa nayo kiongozi wangu
@@Yozzykidd 😁😁😁 Nilikuwa Sijaona Si Ndo Mwezi Wa 12 Naenda Kuifungua😁🔥
Au sio
Nawakubali sana watu wangu ,musihishiye hapo pali muzidi kusonga mbele 💪💪💪💪
Kazi njema ndugu zangu Wabembe tunaweza kazi yeyote bila wasi wasi ❤️❤️❤️ from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😢😢😢😢😊😊
Ongera sana kijana yani nakupendagasa uwimbajiwako nahufananishaga na kijana haliyehapo camp anahitwa bekanize og ula ya babondo
This is why team strikers is the best in the Camp 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Saluti Kwenu
Toka HUBA Ajiunge Kila Ngoma Inakuwa Kali 🔥🥀
Mchepuko
Watching u from Zambia 🇿🇲💯💗👄💯🌹 nice one tole omucunge
Depuis RDC, je suis ravi vraiment de talent de la fille Uba et p boy team, que Dieu bénisse le musiciens de nôtre territoire ✊💯💯💯💯📽️
Nyimbo kali sana video ndo usiseme 🔥🔥🔥🔥keep it up guys
mziki unauweza,Hongera sana, wakuache tu , siku zote Mti wenye matunda mazuri ndo hupigwa mawe
Ongera sana my best friend 🙌🔥🔥🔥🦅aigle
Big up sana wadogo zangu, endeleeni kupambana ninaamini kabisa kesho itakuwa yenu ⚡⚡⚡⚡🎥
Kazi nzuri bro
Wimbo wenye ujumbe mzito 🔥🔥
Dogo Mzima Uko???Wimbo Uko Freshi Kabisa
aukosagi sehemu weye
@@elizebethhassani6733 nin wewe 😂 shaaa
@@amoseliasmeshack7064 yes mzm hii ngoma ni zaid ya kali 🔥🔥
You never disappoint Big up sana ❤️❤️🙏💥🔥
You never disappoint 🔥🔥🔥 Go ahead baba
P BOY🤴 never disappoint 🙌🙌🙌🙌
Kazi nzuri kwa team striker ngoma nzuri mnanipa furaha sana
Ma legend hawa fosi taratibu tu alwais keep going up team striker 🔞🙌🙌
Naandaa kazi na team strikers mana Wana nikosha sana 🔥✌️ c.e.o from ung4life Ascan boy
Nahipenda hiyo wimbo kazi zurisana kuna sehemu mulishusha sana nahipenda sana Hiyo wimbo ❤️🔥🔥🔥🔥🔥👍
Well done guys👏
Team strekers nawakubali sana kwa nyimbo za kuelimisha jamii
P Boy sijuwi nisemeje ndugu yangu.
Unastaili kuwa mgurugenzi wa muziki mahali hapo. Sijuwi kwanini wengine ni wabishi kutaka kulinganishwa na wewe. Imagine video hii nimeitizama mara kazaa lakini naisi bado sijarizika kuisikia na kuitazama.
Amakweli wewe ni KING WA MUZIKI
By Delux
Asante
Hiii Ngoma Ukiisikiliza Kwenye Gari Ukiwa Unaenda Chicago Safari Inakuwa Fupi👌
@zaina zaina Chicago Hiii Hiii Ya Zimbabwe 😁😁😁😁
Waoooo kjn wetu Mungu asifiwe sn kwailo Big up sn kbs chapa Kazi wng
Dah kweli nyarugusu camp kuna vipaji kweli kweli 🔥🔥🔥🔥
🔴🟡🔵 acha kazi iendelee wadunge family
Team striker for life ❤️❤️
From Germany 🇩🇪 tuna wapata noma sn. Ngoma yenye magunza Dankeschön
Good job my young brothers
May God protect all of you in that big task.
It's your big brother Teacher FARAJA
Ooooh thanks your so much my Teacher
The one of my favorite song🙏
Team stricker 4 life 🤜🤛🔥🔥
Palipo niya pana njiya 👑👑👑👑yahani una weza mwambiye dogo nyumbani ni nyumbani tu
Bonge la video umejitaidi san bro Wang 🙏
Ujawah kufel bro
Huu ndo uimbaji tunaitaji kweny Sanaa Yetu
Good sound and meanings
big up brother's✋✋🔥🔥
Ooooooooh vitu gani ivyo tena wold wide mnahanza kufanya kitu Kali sana iyo
Team yangu ipo fresh saana
Love it 😍
Thank you! 😊
Iyi siyo yakitoto nawakubali sana 💕💕💕💞💞💞
naikubali sana team ya nyumbn wakiongozan na P-boy teacher wa music apa camp nakukubali sana bro zidi kuwap dozi 💊💊💊
Mungu awabariki kaka zangu uyodogo zidi kumkaza sana anaimba vizuri,wape
Wow hii kali ya mwaka, you guys you always on top, I can’t stop least or witching your music you guys you are the best well done
nime penda iiiii 🔥 🔥
Ujawai ku shindwa hata siku moja🔥🔥❤❤
Babu niambie kazi njema sana team strikers
Good job guys congratulations
Ongera kwa kazi kjn✊✊
🔥 nakukubali Dogo. Washa moto Dar
Rumba nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤ rumba taratibu
Nawakubali sana
u kill it ✊🏾
Ongera sana vijana wangu
Babu na mpenda❤️ Hubu😀😀
From USA napenda uyo wimbo
Mes gars, très fier de vous... la combinaison des sons exceptionnelle... bonne suite.
Nawakubali sana taem stricker muna jua sana kbs
Tu fais trop d'efforts, jeune garçon.
Attachez votre ceinture, j'aime cette chanson. 🎉🎉🎉🎉🎉
Versi ya Huba inaniuwaaa! Mabwanga bwangaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Kali sana ☝️❤️
Best song and video of the year. 🔥🔥🔥🔥🔥
U Never failed my brother
Good job 🔥🔥
Kaka umetenda hapo
Nimemuona sheikh Etienne, ongera sana Pboy na staff nzima
Asante sana
Asante San kijana wangu wafundishe haho madg wa camp awajuwi kazi
Kazi ihendeleee
Ngoma imekaha kistaharabu Hawa ndo wametambulisha camp kweli
Kosa LETU atujui kipi kizuri
Ila SALUT kwa KUNDI nzima
Nice 🔥🔥🔥
Naipenda sans iyo ngoma❤❤❤❤❤
Acha tuwakere tena 📶📶 full connection
Nakubali kweli niwewe umeshika camp
Nakubali sana king of music p boy striker
Ebembe to the world 🇨🇩
Hakika, Huba amenifanya niuelewe mziki wa Team stricker, big shout-out 🔥🔥
💥
Siye tunaimba kikubwa zaidi, hachaneni Na wale wa toto
big up brothes this song its very nice , keep it
Msikie ujumbe, msinogewe na beat
Kazi nzuri sana wanangu 💯🔥 🔥
I like this song guys from United States 🇺🇸
Napenda sana kazi zako
Toujours de belles mélodies 🔥🔥🔥
John sonda💉💉💉
🥰🥰🥰🥰😍
@@pboystriker4515 English nice
Made by Me Director Mr Spy 👑👑👑
Ongera sana
Una JUWA sana 'my brother
Abedi Mh jeshi ka sema
Bibùci
Bonge moja la ngoma 🔥🔥🔥💪🏿
Kazi Nzuri Kuliko Ihii Team Stecker Uwa Nakukubali Saanaa Iyo
So good song🔥🔥🔥
Braza p-boy nakukubali sana bro elimisha vijana wetu babu nihulizi
goood música kutoka nyarugusu 🔥🔥🔥🔥
Hatari kweli ila huba umeshuka sana sauti kazi kazi tu team ya nyumbani team sraiker yeaaaaaah from wadunge
Deblo Osiris Etaya babungwe🔥🔥🔥👍
Director ameonyesha tasfiri ya wimbo keep it up mwamba
Asante Sana Mwamba
Thank you sana bro p boy
Mungu awajaliye san
Talented jamaa anajua
Mbona hii ngoma kali sana 🙏🙏🙏
Huba mtoto mkali huyooo sauti nyororo mama.
Babu unajuwaimba nasema nikiwa Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bro mnajua na mnajua sna yni
Nawaona mbili… waleteeee
Emoda💥