Kazi kazi mbele
Chris Bill k fapapa nimeona hii kitu 👍
Dungaaaa
Unayoo unayoo 🤣🤣🤣🤣 keeping up mr fighter an Sevior@HuBa boss lady and all the teams striker give them dozy papa .
Go beyond 💯 💯
Mbn km mnataka kumaliza bando lang Kwamaana narudilia wimbo mara mia👌 iiiih mtakuja kunitowa roho nyie napenda mnavyo imbaa💪💪
Et gonga like hapo kama unawakubali sana awa ma jamaa
Rhumba Tulivu yenye mafunzo na mapenzi tele. Swafi sana
from kenya..... kazi safi shukran kwa uongozi wa team striker
Nakupenda wangu huba mtoto mzuri
Kitu kimekaa good
Huba💕💕💕💕 yaani utaniuwa mie penda weye sana💕💕💕
ABECHU #dj ALINGOnice sanaaaaa
Jamani aka ka song 🎶❤️
Huba❤️❤️ sauti mama sauti nakupenda🔥🔥
Congratulations guys 🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza
Watu wangu mmehuwa
Huba 🥰🥰🥰I love your voice haki
Huba mm nshabiki yako namba 1❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Wadungeee♦️♦️♦️
Waaaoooo Jamani nawapenda sana kutoka burundi 🇧🇮
Yani kijana huyo p.boy namuhombeya sana Mungu amjaliye sana kwakazi anayoifanya ya music ila wakihachiyaga ngoma 🥁🥁 ngoma na bekanize og ula ya babondo itakuwaga bomu lamtaha yani
Nice audio
Nice video 📹
So congratulation team ya nyumban🔥🔥🔥
Ninachotaka baba nikuzalie watoto waaaa love this passage
❤️❤️❤️❤️congratulations huba wamie ule alikubishana mtandaon ju ya ule wimbo mwambie aje asikilize sasa hiyi ngoma hapa kisha ajuwe bishana na wew ongera sna kweli wangu dada ❤️❤️❤️
Kongi sana
Kali sana hiyo 💥💥💥💥
Wow 🤩
Sawaaaaaaah sana naikubali sanaaaaaa davidnondochano
jamani huba sauti yako inatisha🔥😩❤️
I like this song ❤️❤️
Aaaa mbwa umeuwa🔥🔥🔥🔥🎵✊✊✊✊
kali sanaaaaa
Kweli mupo Safi uyu dada IPO safi
Ni team yakunyumba team striker nawakubali sana 🔥 keep going up y'all. I see y'all from America Texas 🇺🇸
Hii ni zaidi ya ngoma kali
Kali sana
I love the messages of tha music
🔥🔥🔥🔥
Monjaka abenuuuuuuuuu heeeeeee nawaaaaaaa hineeeee
Thank you so much for nice and beautiful song 🎧
Rumba kali saaaaana Kaka nakukubali sana from Congo Fizi is 🏠 🔥
Huba huyo tena origino❤❤
By SAMIX BOY
Aiseee hiii timu itaniuwa kweli
Mungu Akubariki na Akuzidichie kipaji uwendeleye kwakazi yako
Hii ni dozi kabisa
♥️♥️♥️huba ♥️❤️♥️
Nawa Kubali Sana
Mnauwa sana Mmepowa 🎉🎉
Wafumule huba 🔥🔥
Huwezi hamini video hii nimehirudia zaidi ya mara tatu sababu ya uzuri wake. HUBA unasauti yakutoa nyoka pangoni. amakweli wengine wamejulikana kupitia sauti yako. ongera HUBA. Nakutakia mafanikio mema katika kazi yako. By Delux
❤️❤️❤️ respect sana Napenda
Daah nyie watto nomaa
Nice job brothers 🔥🔥🔥 nimeipenda iyo 🔥 https
Wimbo huu umenifanya niongeze upendo wa kasi ya 5G kwa mke wangu. Hakika mmenikosha
Huba wewe mkali sana wasahuti , Mungu asaidiye kazi yako isonge mbele
Brand kubwa team striker ✌🏿
Grand respect vraiment aux artistes
Kazi nzuri,nawapa maua yenu🌺
Wadogo zangu team striker nawakubali sana
🩺🥼tunapata uponyaji kweli hii ni dozi 🥼🩺🪡
Emoda💥
One of my favorite songs keep it up😂😂❤️🥰🌹
Congratulations sana watu wamgu ❤️🙏
Da Merry, tazama NIBEBE (video lyrics)
th-cam.com/video/f863h1UDlhc/w-d-xo.html
Nawapenda Saana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
My songggg🥰
Uyo msichana anaimba Kama kwaya 🥱
Huba she’s so pretty 😍❤️
HUBA on 🔥
Kazi Nzuri ,Huba sauti Nzuri Eduine amevuma kupitia sauti yako
Favorite 😍 ❤️🥀
Ngoma imekaa fresh sana hii
🙌🏻🙌🏻🎈🎈✅🎈🦅🦅
🔥🔥🔥
From Germany 🇩🇪 kazi pow sn
Huba unaweza sister upo poa
Ongereni sana namukubali sana
Huba congratulations you killed it 👏 🙌 ❤️
Nashindwa kukifu mwimbo huu namehipokeya kitu hii kwakishindo sijawahi hona wengine hapo camp nyarungusu wawe mashabiki kabisa
Team Wadunge❤️🔥🔥🔥
cool san wanangu wa Team stricker number one ila huba ni mkali
I love this song ❤😍😀 every day nzuri sana
Wadogo zangu hongereni
Kitu konki sana hiki
Huba for life 🔥🔥😍 her voice is everything
Huba unatisha sn dada yangu
Nawakubali sana
𝐍𝐨𝐦𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 🔥🔥🔥🔥
Huba akeee 🥰🥰
good song
mapenzi mbele kwa mapenzi
Nibembeleze py boy utatuuwa kaka yangu wadungeeeeeeeeeeeeeh
Nice❤
NIBEBE ❤️🩹🔥
Esperance tazama NIBEBE (video lyrics)
th-cam.com/video/f863h1UDlhc/w-d-xo.html
Poa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️👑👑👑👑👑🙏🙏🙏💋💋💋💋