ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Belami Muka Ft Bernard Baru - Wane Mwana ( Official Music Video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2022
- Belami Muka artist from central Africa Drcongo under #didastv my New Song Video #WANE MWANA is Out now subscribe my channel.
Follow me on Spotify, Boomplay, audiomack link 👇👇
open.spotify.com/artist/ Ob6CYoZyVqqfNU5wbKPral? si-biyWDlhvTAGbug5QkOwKag
www.boomplay.com/share/artist... srModel=COPYLINK&srList=IOS
Najivuniya kuwa mubembe jamani miye kazi nzuri sana kaka zetu 🥳🥳🥳🥳🥳❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mungu awasaidiye mufike mbali sana.😊
oooo amen amen dada yetu🙏
dada Euphrasie na furahi kumpata majina yangu pia mdogo wangu pcq miye ni mulega ndio maana nakuita mdogo wangu
G c z,
@@belamimuka Nisaidie number yako ya simu kaka
Mimi ni munyamulenge lakini napenda sana nyimbo za kibembe sana . Mungu awabaliki
MWANA HAAYAAALENGELE
najivunia ya kuwa mubembe 🥰🥰🥰🥰🫶👏
Nakupenda wimbo huu
❤️ PROUD MUBEMBE ❤️
Sisi kama sisi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️
yess ndo Sisi awapo kama Sisi
Kama nyarugusu vile 🧡❤🧡❤Kabira ya wambembe sitawasema vibaya muna roho yenu binafsi Mulitunza myaka 2 bila malipo Mungu azidi kuwabaliki 👏👏👏👏🌍
asante 🙏🇨🇩
Jamani lugha yangu pendwa ihi mimi ongereni sana kaka zetu ❤
asante sana ndugu yangu 🙏🇨🇩
Mwakole Manga 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🙌🙌🙌🙌🙌
baù baù 🙏
Bernard big up nimefurai sana
🙏🙏
Oya Mzee baba hujawahi kukosea iko poa hii hongera sana ❤❤❤❤
Ni Moto 🔥🔥🔥
🙏🙏🙏fizi juu
Congratulations watu wa kwetu🇨🇩🇨🇩
Love you music kaka yangu Basango 🥰🥰💪💪💪💪💪
🙏🙏🙏
Ubarikiwe kaka yangu mungu akutiye nguvu 🎉🎉🎉❤❤❤❤
🙏🙏🙏👍
Mungu Akusaidiye Kabisa 😍😍😍😍
Asante 🙏🙏🙏
Awa wasani wananikumbusha mbali sana Mungu awa jalie yalio yao
🙏🙏kaka yetu
Kazi nzuri sana vijana!! 🔥
ooo shukrani sana 🙏
Kazi kubwa
asante
I so proud to be m'bembe, bembe to the world I remember home zone fizi
Asante sn🙏
Belami muka, naomba wakupe chupa ya sodaa kaka, siyo kwaku burudika uku😍😍
Babembe tupo juuu❤❤❤ jmn ongereni sana kaka zetu wa kibembe kuwa mubembe kuna raha sana❤❤❤
🙏🙏🙏
Najivunia kuwa mubebe ,,,vraiment courage babondo
Ninavyo ipenda culture yangu, mungu tu ndo anajuwa 🥰😍🥰🥰🥰 M'bembe to the world 😍🥰😍🌍🌍
🙏🙏🙏🤝
Some to me
🙏 🙏 🙏
#grand ❤❤
Bembe ma fierté🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wabembe 🔥🔥🔥🔥🙌🙌 sisi kama sisi
yess
❤❤❤❤❤wow ❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
From 🇨🇦🇨🇦🙌 you are the best ❤️❤️
🙏🙏🙏💥
Kutoka kenya 🇰🇪 najivunia kuwa mubembe abatana eeeh hii imeenda🥰🥰🥰🥰😇😇😇😇
Kazi nzuri sana Vijana wetu. Mwakole manga kabisa
My mbembe forever
🙏😍🇨🇩
Courage saana vijana wa kwetu Fizi✌✌✌✌
🙏🙏
Nawakubali sana ❤😢❤wakaka zangu ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sn dada 🙏
Niko muluba akini napenda sana nyimbo zako kaka!Mungu anilindiye mweye
Vzr sana anko
🙏🙏🙏anko
Félicitations Kaka
Merci 🙏🙏
Ongereni sana Vijana wakwetu 🙏🙏🙏
asante ndugu yetu🙏🙏
Hongera kwa kazi nzuri ❤️❤️❤️😍
asante dada 🙏✌️
Umehuwa mwanangu
shukrani chui🐆
Wowwwww ❤
😍😍
Bernard courage babu wetu
shukrani sn 🙏🙏
Asante saana ndugu zangu wa bembe kwa kazi nzuri.. nile mkyoba i love this song
ooo shukrani sana ndugu yetu 🙏🇨🇩🤳
Babondo classique
asante ndugu yetu
Wane mwana mkongo ❤❤kazi tenu
🙏🙏🙏🇨🇩yess
💪💪 auyaweza ni angusha bwana mkubwa. Kizazi sana
Pwpw mzee
hongera sana mama Alain
Ooo 🙏🙏🙏
Proud yakuwa mubembe tena 💯 % big up 💪🏿guys
🙏🙏
Nyimbo zenu zinaniuwaga saana kabisa hata kama sisikiagi lugha ongereni saana
🙏🙌🔥 Hongereni Kwa kazi Nzuri
shukrani ndugu ✌️🙏
Umefanya kazi nzuri saaaaana my best
ooo asante sana m'y 🙏🙏 ninachotaka ni fizi itambulike ki mziki
Kazi kubwa my G
Good job 🎉❤
🙏🙏🙏
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
eee 🙏🙏🙏🤝🇨🇩 fizi juu
Nimekubari Sana hii ngoma brother mpaka mwili una sisimka kuwa m,bembe raha
na'ùnda manga sana lùnù lwembù
asande shiùlù
Nina kumbuka mikonga ya nyumbani. Fière de ma culture.
🙏🙏👍🇨🇩
Bien sana kabisa ❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
🇨🇩🇨🇩🙏🙏🤝✌️ ndugu yetu 🙏
Ok❤❤
Fizi empire
#Ebembe to the world 🇨🇩💪🏿
Bonge moja la ngoma 🔥🔥
🙏🙏🤳✌️
Hiki ni kigogo cha wimbo natamanigi siku moja mpige na sadi baba muwe nyinyi wa tatu
asante usijali babu 🙏
Kazi nzuri kabisa babondo
🙏🙏🙏🙏🇨🇩 shukrani sana 🙏
Na ùnda ùno nziki manga❤
Wherever I am it makes me feel home is home no matter what
Kazi nzuri sana wakubwa, bembe to the World
Belami kweli wewe uko mutu wa FIZI mon frère courage sana🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱
🤣🤣 asante sana ndugu kwani ulikuwa ukizani mimi ni wawapi?
Safi sana kaka kwa kazi yako
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏿🙏🏿
🙏🙏🙏🇨🇩
@@belamimuka Amen 🙏🏿
KAZI zuriiii boss's wng
shukrani sn mzee 🙏🇨🇩🤳💥🤝
Napenda iZi nyimbo japo sizielewi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Umehuwa 🔥🔥🇹🇿😂
ooo shukrani sana ndugu yangu 🙏🇨🇩
Nimehipenda sana hiyi nyimbo imehambatana na bobyele yangu ❤❤❤❤❤❤❤ No ☝️can 🛑 this bro
oooo shangwe kubwa
Hongera Sana Vipaji Vyetu kwakazi Mzuri iyo"ékóko ya mkôngá"
🙏🙏🔥 asante kaka yetu 🙏
😅😅😅😅😂😂
Mungu akubariki kwa iyi nyimbo
Kwa kweli nakumbuka mengi
Yani nyimbo zenu na zipendaka atari mu hendelea hivo hivo musiwe na hacha luga yetu nyuma
🙏🙏🙏
Najivunia kuwa mubembe ongereni san wa kaka zangu
I really appreciate this style
Our culture and country
From New York
Hongereni kwa wimbo nzuri nimeupenda
ooo asante 🙏🙏
Big up 👏👏
🙏🙏 asante
Nyimbo nzuri kbs
Uvira oye🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥💯💯
Je m'abonner direct 🥰🥰🥰
Merci 🙏
mungu akubariki kwa kazi Yako ya uhimbaji
L'artiste de TOUT Temps belami
Tiger 🐆🙏
I'm so proud for you & this song make me feel better.......nashindwa ata niseme nn but I think it wonderful
Nice song 🎵 brother ata kama sielewi but nitam sana God bless your talent brother 👍
asante kk
Kwel kabisa hat mi sielew lakin song taam
Asante sana kaka naipenda japonsielew maana ak❤❤❤😂
Mungu Awe pamoja nanyi ili Musonge mbele zaidi Ebembe to the world.
Nikweli dada yang ATA mm najivunia sana Kuwait mubembe keeling🙏🙏🙏🥰🥰🥰😘😘😘😍😍😍
waoooooh! 💕💕💕 wabembe hatuna kazi ndogo
Nice songs 💃💃💃💃💃💃💃💃💃🙏🏽🙏🏽🙏🏽🥰
🙏🙏🇨🇩
@@belamimuka😮😢😮R
they say “no place like home” Congo see you soon 🇨🇩❣️ 5:31 kèba kèba 🦍
Kazi nzuri Kaka
Asante 🙏
Good job bembe boy
Walio ni furahisha zaidi ni wamama wa chezaji. Mwakole'ee
asante kwao🙏🙏💥
@@belamimuka Fundisheni ndiyo nyimbo nzuri zaidi kama huu
. Tutokane na uhongo wa wazungu
Mwakolè Mmwambaka Belami. Lwembo lwangenè maga..kutoka #Australia
nakanya manga kaka🙏
Babongwe nyuma yenu
🤝🤝
Good job 🔥
asante m'y kk
Napenda sana kazi yenu ndugu zangu
Fire 🔥 fire 🔥 ❤
🤝🤝🙏🙏
Najivunia kuwa mbe'mbe napenda sana nyimbo zenu from 🇿🇦jamani nazirudia kila sahaa Mungu aendelee kuwakuza vipaji vyenu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
ooo asante sana ndugu yetu 🙏
Kazi nzuri 🎉❤
🙏🙏✌️🇨🇩
Najivunia sana
🤝🤝🙏
Esoba eeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hahaha ale aya💥💥