@@omarkulatayn8243 ku suma kur 'an si twabiya zama kafiri, ku swaliya mtrume si twabiya za ma kafiri . Ku lisa ma islamu shakula si haramu katika usilam . Je una kafirisha wa wantru . Abawa wa me sema la ilaha illah Allah Muhammadu Rasullah , wa me swali swala tano, wame funga sawm ya Ramadhan, wame towa zakat wame hejji .
Na mbiye kafiri gani lime ngiya mi sikini na lina soma yasini na sira ya mtrume na ku swaliya mtrume ? Kafiri gani hilo . Hata wewe kuna rukhsa ku nika jina la kafiri maanae , mwezi zi Mungu peke yake ana dua nani kafiri nani mu islamu.
SHUKRAN SHEIKH ALLAH AKULIPE BILA HISAB AMIN SASA AENDE AMERICA AKAWAONDOE WALE WANAWAKE NDANI YA IKULU YA RAIS WA AMERICA AENDE UK AKAWAONDOWE WALIOKO GOVERNMENT NI WENGI WAISLAM MWISHO MAMA SAMIA ALIVAA HIJAB AKIWA MAKAMU WA RAS NA MAREHEMU MAGUFULI AKIMUAMINI NA KUIHESHIMU HIJAB YA KIISLAM JE HUYO ASKOFU HAKUIYONA HIYO HIJAB ALIPO KUWA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ? ANATAKA KULETA FUJO NCHI YENYE AMANI HUYO, HATA WALINZI WAKUBWA WA MAGUFULI WALIKUA WAISLAM NA AKISEMA MAREHEMU MAGUFULI, YEYE ALIKUWA WAPI HUYO ASKOFU ASIMJIBU MAGUFULI KWA NINI ANAWAPENDA WAISLAM?
Maa shaa Allah shkh Mziwanda unatumia hekma Sana ktk mazungumzo yko mweny ajili finyu ni ngumu sana kukuelew Allaha kulipe kheri
Sema ustadh
Kaongea Sana shkh Wang maasha Allah illa inategemea umeelewaje
Jazaka Allahu khayran .
Allah atuhifadh na vituko vya makafir
@@omarkulatayn8243 Wewe una kafitisha watru . Mu islam hana rukhsa ku kafirisha mtru .
@@omarkulatayn8243 hakuna kita , ki ma fanyiwa kwa mawlidi abasho shima haraziwa , katitika usilamu .
@@omarkulatayn8243 ku suma kur 'an si twabiya zama kafiri, ku swaliya mtrume si twabiya za ma kafiri . Ku lisa ma islamu shakula si haramu katika usilam . Je una kafirisha wa wantru . Abawa wa me sema la ilaha illah Allah Muhammadu Rasullah , wa me swali swala tano, wame funga sawm ya Ramadhan, wame towa zakat wame hejji .
Na mbiye kafiri gani lime ngiya mi sikini na lina soma yasini na sira ya mtrume na ku swaliya mtrume ? Kafiri gani hilo . Hata wewe kuna rukhsa ku nika jina la kafiri maanae , mwezi zi Mungu peke yake ana dua nani kafiri nani mu islamu.
JAZAKALWAH HAERI
SHUKRAN SHEIKH ALLAH AKULIPE BILA HISAB AMIN
SASA AENDE AMERICA AKAWAONDOE WALE WANAWAKE NDANI YA IKULU YA RAIS WA AMERICA AENDE UK AKAWAONDOWE WALIOKO GOVERNMENT NI WENGI WAISLAM
MWISHO MAMA SAMIA ALIVAA HIJAB AKIWA MAKAMU WA RAS NA MAREHEMU MAGUFULI AKIMUAMINI NA KUIHESHIMU HIJAB YA KIISLAM
JE HUYO ASKOFU HAKUIYONA HIYO HIJAB ALIPO KUWA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ? ANATAKA KULETA FUJO NCHI YENYE AMANI HUYO, HATA WALINZI WAKUBWA WA MAGUFULI WALIKUA WAISLAM NA AKISEMA MAREHEMU MAGUFULI, YEYE ALIKUWA WAPI HUYO ASKOFU ASIMJIBU MAGUFULI KWA NINI ANAWAPENDA WAISLAM?
Mashallah
Huyo askofu ana udini tu
MashaAllah
👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️💘💘💘
Unawwaambij awo wabeba visanduku
Kwakweli huyo anayejiita askofu ana wadudu kichwani
ZUZU
Huenda mgonjwa huyo jamaa Kama si mgonjwa Basi chuki yake umepitiliza
Alikuwa anatafuta kiki na kaipata maana tunamzungumzia huyo mpuuzi
Nyie mnasemea dini ila siyo uhalisia. Samia anabutua wala hajielewi hata mkimtetea
Huyo ni kichaa sio kiongozi wa dini shekhe
Jibuni hoja zake hoja haipogwi rungu
Yule mchungaji zuzu tu
huyu askof kakosa kazi mavazi ya mtu yanamuhusu nini?