MNACHAFUA AMANI | HAMUHESHIMU VIONGOZI | SISI NDIO CHANZO - SHEIKH MZIWANDA - KONGAMANO LA KITAIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Kongamano la Kitaifa la viongozi wa Dini kuhusu Sensa ya watu wa makazi ya Mwaka 2022
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •

  • @salumkarim69
    @salumkarim69 2 ปีที่แล้ว +3

    Akisimama sheikh mzowanda Huwa roho yangu inatulia Sana wallahi

    • @mshamuabdallaah6142
      @mshamuabdallaah6142 2 ปีที่แล้ว

      Mtaalamu sana katika kupanga mada lkn muda ni ttzo yaani alivyomaliza ndo km alikuwa akianza Allaah amjaalie umri mrefu tuendelee kustafidi na elimu na hekma zake alhabiib Shaykh Muharram Raashid wa Mziwanda

    • @hajisimaikhatibu443
      @hajisimaikhatibu443 2 ปีที่แล้ว

      Fahamu zenye maradhi

    • @hajisimaikhatibu443
      @hajisimaikhatibu443 2 ปีที่แล้ว

      Sheikh awo mafisadi hawajuwi

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe wetu asiyeogopa dudu wala mende Tandika inanyooka siku hizi sio km zamani misikiti ya kina fulani

  • @specialcuty652
    @specialcuty652 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi mashehe mukiendekeza sana njaa zenu Wallahi mutaritadi. Na kosa lenu kubwa baada ya kupigania haki na kuipinga dhulma nyinyi ndo muna wasifu na kuwasapoti viongozi wa dhulma

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah wailamu tuna akili nyingiii wallahi wabilah

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sheikh wangu رضي الله عنك

  • @ommymsagati8342
    @ommymsagati8342 2 ปีที่แล้ว

    SHEIKH ALLAH AKUPE UMRI MREFU. UMEUPIGWA MWINGI SANAAAAAA

  • @manyotamussa1328
    @manyotamussa1328 2 ปีที่แล้ว

    Shekh kilakitu anapanga mungu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu wangu.

  • @hamadmkaddam1621
    @hamadmkaddam1621 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah.

  • @japharytwaha8552
    @japharytwaha8552 2 ปีที่แล้ว

    Shegh kwa kweli mimi sina shaka nawe na pia Allah atukubali ibada zetu na atusamihe pale tunapotereza, nimepata na naendelea kupata elimu kubwa kupitia kwako

    • @chipesheikh2200
      @chipesheikh2200 2 ปีที่แล้ว

      Ppppppppppppppppppppp00p0ppppppppppp0pp300pppppppppppppppppppppp0

    • @chipesheikh2200
      @chipesheikh2200 2 ปีที่แล้ว

      Ppppppppppppppppppppp00p0ppppppppppp0pp300pppppppppppppppppppppp0

  • @binausiimohammed3265
    @binausiimohammed3265 2 ปีที่แล้ว

    Hawa mashekh wetu shida.
    Mwanzo hawataki vyeo lkn hawakemei mabaya yanayo fanywa na wenye vyeo badala yake ni utii kwa viongozi kila kiongozi ni wa kutiiwa?
    Uma mnaulaza

    • @sakibuabdul7318
      @sakibuabdul7318 2 ปีที่แล้ว

      Twaa kwa viongozi ni amri ya mungu na ndio msingi wa mwenendo na malezi mazuri ya jamii

    • @specialcuty652
      @specialcuty652 2 ปีที่แล้ว

      @@sakibuabdul7318 inategrmea na kiongozi. Ikiwa yuko katika haki basi kumtii ni lazima sasa je viongozi wetu wanafanya haki kama hawafanyi kunaumuhimu gani wa kuwatii

    • @sakibuabdul7318
      @sakibuabdul7318 2 ปีที่แล้ว

      Usemalo ni sahihi, nieleze hapo ni wap shekhe mziwanda kapotosha umma ili nae tusimtii?

    • @athumansuphian5891
      @athumansuphian5891 2 ปีที่แล้ว +1

      Njaaaaa ni mbaya sana kuna mashekh wana elimu kubwa lakini huwasikii humu kwakua hawapendi kuburuzwa mashekh wasasa kilakitu ndio hata km hakuna haki wanasapoti huu ni msiba sana kwa Uislamu